Nasikia kuitwa,Tenzi no 40. Mbarikiwa Ft Salome (official video music)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @simonlaizer6261
    @simonlaizer6261 Рік тому +2

    Hakika Kwa kupigwa kwake sisi tumepona asanteeeeeh 🙏 yesu njoo kwetu baba 😭😭😭😭😭😭😭

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 2 роки тому +9

    Nawapenda sana wazazi wangu hakika mioyo yenu imemkaribia sana MUNGU ,ni matamanio yangu kuinywa mioyo yenu na roho zenu najiona nitakuwa moja ya mwanadamu mwenye heri sana kama nitaishi kipande cha maisha yenu . I LOVE YOU MY FATHER AND MOTHER

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 Рік тому +3

    Mioyo iliyo pondeka hata wimbo tu unaaisimua nampenda Yesu 🥰🥰

  • @priscarodrick552
    @priscarodrick552 2 роки тому +3

    Bwana YESU aendelee kuwabariki zaidi watumishi🙏🙏🙏

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 Рік тому +1

    Yaani huu ujumbeumenisogeza mbele za muumba wangu, mbarikiwe sana watumishi wa mungu

  • @JosephPastory-v2m
    @JosephPastory-v2m Місяць тому

    Mungu awabariki by Abel wa chato

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya7010 Рік тому +2

    Glory to God 🙏🙏🙏

  • @devotasanga9239
    @devotasanga9239 2 роки тому +2

    Eeeee Mungu wangu unisaidie sana nami niwe miongoni mwa hao watakao rithi picha ya wazazi wangu ya kuufunua WOKOVU HALISI NA THAMANI YA WOKOVU DUNIANI. Mungu nishike sana kazi ya wazazi wangu na kujitaabisha kote kwa ajili yangu isiwe bure, haya nitayarithi.

  • @chrispincharles3616
    @chrispincharles3616 2 роки тому +5

    Asante Yesu kwasababu ya mjoli wako baba yangu Mbarikiwa hata nimesafishika na tabia chafu kupitia nyimbo zake ikiwemo kujichua kulikopitiliza. Nyimbo hii inanisogeza kwako kwa tafakari hiyo, ambapo vyote vilishindwa ila mfumo huu wa ibada tu uliweza!

    • @marykakiimue2432
      @marykakiimue2432 2 роки тому

      Nawapenda Bure watumishi wa MUNGU hivi karibuni mutamuona MUNGU Akiwatetea;God protect you

  • @ayubujoseph
    @ayubujoseph 2 роки тому +5

    Wimbo huu niliusikia kwenye clip Ile iliyopostiwa wakati Mtumishi wa MUNGU Mbarikiwa akiwa pamoja na wapendwa wengine pale walipokuwa wanaelekea mahakamani mara ya nne kama sijakosea, nikaupenda sana hatimaye leo nimeupata.MUNGU akukumbuke sana mtumishi wake Mch.Mbarikiwa🙏

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 2 роки тому +2

    Amen nasikia kuitwa Mbarikiwe wapendwa kwa juhudi za kumtafuta Mwenyeezi Mungu.

  • @magdalenamkelemi54
    @magdalenamkelemi54 5 місяців тому

    Kazi nzuri, mbarikiwe sana.

  • @alexelegwa4327
    @alexelegwa4327 Рік тому

    Serikali ya Tanzania heshimu wachungaji wa mungu. Twahitaji mbarikiwa kwa Manisha yetu ya baadaye ameni, 🏠🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Рік тому

    Mungu aendelee kusimama nawe mtumishi wa Mungu.

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 Рік тому +1

    Mbarikiwa sana watumishi, hakika tunasonga mbele hatua zaidi🙏🙏🙏

  • @ConsolataNgatunga-fb1yn
    @ConsolataNgatunga-fb1yn 7 місяців тому

    Duuuuuh! Wimbo mzuri umenisisimua sana moyo wangu mzidi kubarikiwa sana nawapenda mnooooooooo

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 2 роки тому +1

    Bwana Yesu kristo nisafishe hata mimi kwa hiyo damu

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Рік тому

    Mungu amesikia na anakwenda kujitwalia utukufu amani ya ikatawale katika mapito yenu yote.

  • @elinajacksonharusha7155
    @elinajacksonharusha7155 2 роки тому +2

    Wimbo mzuri sana, asanteni kwa yote, najikuta nakosa mengi ya kusema. Asanteni tu wazazi.

  • @MosternDominka
    @MosternDominka 11 місяців тому

    Amin unanimalisha kuta moyo unapkea uponyaji

  • @lydiaseventy5509
    @lydiaseventy5509 Рік тому

    Nimebarikiwa na huu wimbo

  • @juneserastochales7172
    @juneserastochales7172 2 роки тому +1

    AMEEEN kubwa kwakweli nimependa sana Mungu awabariki sana mama Mbarikiwa na Baba Mbarikiwa⚘🙏🙏🙏🙏

  • @petermwasyika
    @petermwasyika 2 роки тому +2

    Siyabonga Jesu nkosi ya makhosi

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 2 роки тому +1

    Mbarikiwe Sana watumishi was Mungu kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuinjilisha kupitia tenzi zenu.

  • @Isayatz
    @Isayatz Рік тому

    Mbarikiwe Sana kikosi Kazi Cha Injili Mungu Wa Mbinguni Yupo Upande wenu Wakati Huu Mgumu kwenu

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 2 роки тому

    Nasikia uchungu Sana haswa pale ninapowawszia ndo wameondoka na mtoto wao Wokovu roho inauma Sana Mungu watie nguvu

  • @rosejenembe4849
    @rosejenembe4849 Рік тому +2

    Mbarikiwe Sana wapendwa, Nimebarikiwa Sana na wimbo huu

  • @Upendo6045
    @Upendo6045 7 місяців тому

    Amen asante yesu

  • @elitusmajaliwa5479
    @elitusmajaliwa5479 2 роки тому +2

    Wimbo huu umenitafakarisha hakika.

  • @michaelmgache
    @michaelmgache 2 роки тому

    amen babaangu uwe na moyo mkuu sana hata katika hii hatua,zaburi 61:2

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому

    Kwa kweli kuna uwepo wa Mungu hapa. Mch. Mbarikiwa wewe u 😇. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alexelegwa4327
    @alexelegwa4327 Рік тому

    Majozi yanitoka nashisi

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 2 роки тому +1

    Hakika mioyo yenu wazazi wangu imemkaribia sana MUNGU natamani sana mioyo yenu

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 2 роки тому +2

    Mbarikiwa zidi kubarikiwa asante sana dadangu Solome sauti yako nzuri dadangu ,hallelujah praise God, natokwa na machozi Mungu wangu 😭😭😭😭👏

    • @deborachacha5740
      @deborachacha5740 Рік тому

      Amen mbalikiwe mnooo nawapenda munooo
      Mungu akubalikiii akutunzee 💪💪💪

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 2 роки тому +1

    Amina sana baba na mama kwa winbo Mauri huu,

  • @KhairatkSarah
    @KhairatkSarah 2 роки тому +1

    Amen and amen asante baba namama wimbo huu menitoa machonzi

  • @petermwasyika
    @petermwasyika 2 роки тому +1

    Nsante sana mama na baba Nasikia kuitwa.good song

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 2 роки тому +1

    Ameniiii nimnyoge kweli asanteee

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 2 роки тому +1

    Aise!!! eee MUNGU naomba unisaidie Mbona naona wingu lako linanifunika mala nyingi ninapo sikiliza na kutazama nyimbo za baba za taratibu namna hii. NAKUOMBA unisaidie BWANA

  • @costakihaga4744
    @costakihaga4744 Рік тому

    Mungu fanya jambo kwa watumishi Hawa,thibutisha kuwa wewe ndiwe mungu uliyewavusha Wana wa Israel bahari ya Shamu wakati jeshi la pharau likiwafuata nyumba yao

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 Рік тому

    Yesu wa nazareti azidi kuwainua ameni

  • @dainessjoseph9296
    @dainessjoseph9296 2 роки тому

    Mungu atawalipa msipozimia mioyo.... Nimesisimkwa mnoooo

  • @zawadikikosikazi3887
    @zawadikikosikazi3887 2 роки тому +1

    Ooh! Haleluya. Nasikia kuitwa......

  • @bartolomeuhenrique1574
    @bartolomeuhenrique1574 Рік тому

    Mwendelee kubarikiwa.

  • @victoriasalukele493
    @victoriasalukele493 2 роки тому

    Imani yenu kumpenda Bwana Yesu ni kali sana sana Mungu awabariki na bila shaka ATAWASHINDIA

    • @emeliaphilipo
      @emeliaphilipo Рік тому

      Mbarikiwe Mungu awainue

    • @tumainiabel4656
      @tumainiabel4656 Рік тому

      Aminaa mtumish.unagusa sana moyo wangu.songa mbele MUNGU akutie nguvu.

  • @sofianafasi6285
    @sofianafasi6285 2 роки тому +5

    Nimesogea mtini pako BWANA unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako🙏🙏🙏

  • @gloriakilonzo4706
    @gloriakilonzo4706 Рік тому

    AMEN nabarikiwa

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Рік тому

    Amina Amina.

  • @petronjowela6670
    @petronjowela6670 2 роки тому +1

    Nabarikiwa

  • @rosemakene5483
    @rosemakene5483 Рік тому

    Haleluyaaaa

  • @AgnesSimon-w6p
    @AgnesSimon-w6p 4 місяці тому

    Amina

  • @bakarimgalavaji4786
    @bakarimgalavaji4786 Рік тому

    Nice songs for everytime

  • @chrisshonga
    @chrisshonga Рік тому +1

    GLORY BE TO GOD

  • @joshuajastin.
    @joshuajastin. 2 роки тому +1

    Amina Sana amina sana

  • @ayubujoseph
    @ayubujoseph 2 роки тому +1

    Amen Amen hallelujah 🙏🙌

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 2 роки тому

    Hadi machozi kutiririka

  • @brianshomi722
    @brianshomi722 2 роки тому +1

    AMEEEEEN

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 11 місяців тому

    Amen🙏

  • @AminaCharles-e5q
    @AminaCharles-e5q Рік тому

    Ameen

  • @esnartkayuni558
    @esnartkayuni558 Рік тому

    Amen

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 Рік тому

    🧎🧎🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭

  • @victoriasalukele493
    @victoriasalukele493 2 роки тому +2

    Imani yenu kumpenda Bwana Yesu ni kali sana sana Mungu awabariki na bila shaka ATAWASHINDIA

  • @esnartkayuni558
    @esnartkayuni558 Рік тому

    Amen