Video music:ANAKUJA YESU. Mbarikiwa atoa wimbo wa kurudi kwa Yesu baada kushtakiwa na Christina

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 184

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 Місяць тому +4

    Uwe na akili mbovu mapepo au majini hila huyu mtumishi ni level ingine Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Uzidi kutunzwa na Nguvu za Mungu songa mbele

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u 2 місяці тому +6

    Ubarikiwe nikweli mungu akuongezee ujasiri. Mutumishi. Wa. Mungu

  • @dicksonmlelwa1762
    @dicksonmlelwa1762 3 місяці тому +10

    Binafsi nampenda sana huyu mchungaji

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 3 місяці тому +16

    Machozi inanitirika Mimi tu sijui ni wangapi watamwona MUNGU aliye hai katika kizazi hiki

    • @user-te1vg6dc2h
      @user-te1vg6dc2h 2 місяці тому

      Tafakari misingi ya maisha yako ukiona unashuudiwa uko vizuri ingia kazini kuwaambia na wengine mapenzi ya mungu ndoo tutapona sio kuliatu unatengeneza wewe ukimaliza unawatengeneza na wengine warumi 8;16 amina

    • @niyibigiraesperence7772
      @niyibigiraesperence7772 Місяць тому

      Ni kweli

    • @machumumalugu4058
      @machumumalugu4058 17 днів тому

      Amina​@@user-te1vg6dc2h

  • @kikosikaziupdate
    @kikosikaziupdate 3 місяці тому +15

    Huu wimbo upako mwingi sana...

  • @FESTOJAPHET-cw3fl
    @FESTOJAPHET-cw3fl 3 місяці тому +10

    Huuuu wimbo nimeurudia kama mala 8 mzuri sana

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 місяці тому +5

    TANZANIA NZIMA NI YESU ANAKUJA ,HAYO YA SHUSHO SUKARI TU KWENYE CHAI

  • @joshuanguo
    @joshuanguo 3 місяці тому +1

    Barikiwa sana sanaaaa tena sana Mbarikiwa baba Mungu azidi kuiponya hali yako na mkeo mpone kabisa mzidi kulitangaza neno lake mtumishi Mungu akuweke kwaajl yetu baba mbarikiwa

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u 2 місяці тому +1

    Nasikitika. Sana mutumishi wa mungu utalipwa mungu ndie mutetenzi. Wako

  • @JoshuaGabriel-f7v
    @JoshuaGabriel-f7v 29 днів тому

    Hakika mtumishi uimbaji wako unanibaliki sana mungu akubaliki saana naitwa Joshua gabrieri kutoka mkoa wadodoma

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 3 місяці тому +3

    Utake husitake, Upende husipende,Uhamini husihamini, Usikie husisikie, Usikilize husisikilize.
    ANAKUJA YESU
    Amina haleluya
    ANAKUJA YESU
    Amina haleluya
    ANAKUJA YESU
    Amina haleluya.

  • @user-bn6dq5ov9v
    @user-bn6dq5ov9v 9 днів тому

    Kuimbakwako nafsizawatu zakombolewa. Ubalikiwe mtumishi

  • @Pabelu123
    @Pabelu123 3 місяці тому +26

    HAKIKA MBARIKIWA SI MTU WA KAWAIDA, MAHUBIRI YAKE NA NYIMBO ZAKE NI UPONYAJI WA ROHO NA MWILI. Ipo siku nitahamia kwa Mbarikiwa ili niabudu hapo maisha yangu yote.

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 місяці тому +3

      Kabisasasa

    • @user-pk7xj3dr6w
      @user-pk7xj3dr6w 2 місяці тому

      Kalibu

    • @EmmanuelSimkwai
      @EmmanuelSimkwai Місяць тому

      Ongera kwa hilo ila fahamu wakati tulio nao ni mdogo kwani mfalme anakuja kama nyimbo ya baba yangu mbarikiwa inavyo sema fanya uamuzi haraka kaka unachelewa

    • @yusufulugona3439
      @yusufulugona3439 Місяць тому

      Nyimbo tu zinakupa hamasa za kuendelea mbele,hili ni kamanda la mbinguni

  • @UAMSHOTV
    @UAMSHOTV 3 місяці тому +4

    UTUKUFU WA MUNGU na uwe juu ya Baba yetu Mbarikiwa Mwakipesile MILELE NA MILELE

  • @joycemapunda9915
    @joycemapunda9915 Місяць тому

    Asante maombi ni dawa ubarikiwe mtumishi

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 3 місяці тому +4

    Taka usitake Yesu yuaja mpendwa. Barikiwa kaka Mbarikiwa na team nzima🙏

  • @BujwigaMao
    @BujwigaMao Місяць тому

    Barikiwa Sana mtumishi wa mung

  • @user-wm3dc1vq2s
    @user-wm3dc1vq2s 3 місяці тому +2

    Da! MBONA KAZI za huyu mtumishi ni nzuri Sana hazikinaishi Zina nguvu .tukubali huyu nizaidi ya wachungaj wa kusomea bibilia nizaidi ya wachungaji wakubwa duniani.

  • @EmmanuelSimkwai
    @EmmanuelSimkwai Місяць тому +1

    Mathayo 13
    14 Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
    15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.

  • @Leonard-jl8gt
    @Leonard-jl8gt Місяць тому

    Wewe ni kiungo cha Mungu duniani hakuna wa kukuzuia songa mbele ktk haki na kweli utashinda zab 25

  • @stevenvictor437
    @stevenvictor437 3 місяці тому +3

    Safi sana mchungaji mbarikiwa Kwa kutupatia zawadi mzuri ya wimbo huu, hakika umenibariki sana mm na family yangu, Mungu akubariki sana Songa mbele, mti utoa matunda yaliyo mema lazima upigwe mawe kwa7bu kwenda kinyume na matakwa ya ulimwengu ni kuharibu falme zao.

  • @LeusiAnton-l6n
    @LeusiAnton-l6n 2 місяці тому

    God bless you more and more

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 3 місяці тому +1

    Nakuelewa mzee na naipenda namna ya injili yako kutoka moyoni.

  • @felcRaphael
    @felcRaphael 3 місяці тому +7

    Umenikumbusha ,,dhambi inaua dhambii ,tune yake

  • @user-cq8nd4ek8w
    @user-cq8nd4ek8w 2 місяці тому

    Amen,Amen, Alleluya Kweli kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri yakwamba YESU NI BWANA

  • @user-ys4md3gg6o
    @user-ys4md3gg6o 3 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU akutie nguvu maana umetumwa kama mjumbe wa kristo kuja kuonya mabaya na ili tuweze kutenda mema jina la BWANA liwe nawe siku zote za uhai wako mtumishi

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 місяці тому

    Mungu akupe maisha malefu naloli amasiku ghamalikee

  • @jacksonlucas9322
    @jacksonlucas9322 3 місяці тому +1

    Goood ubarikiwe Mbarikiwa una kipaji Cha kuimba

  • @alexandersanga8461
    @alexandersanga8461 25 днів тому

    Nzuri

  • @PelesiMethod
    @PelesiMethod 2 місяці тому

    Amen Asante kwakutukumbusha haudaiwi kwakila atakae sikia wimbo huu in🙏🏻🙏🏻

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 3 місяці тому +2

    Wow that's wonderful

  • @FayChalamila
    @FayChalamila 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana sana abariki familia yako na vitu vyako vyote mungu azidi kukuimarisha afya njema oooooh Jesus bariki mtumishi huyu

  • @user-uh6of4dk6h
    @user-uh6of4dk6h 3 місяці тому

    Cjui niseme Nini katika huu wimbo asiyebarikiwa na huu wimbo bass c wa uflme wa mungu na anahitaji kuokoka kabisa.aminaa MCH.mwakipesile

  • @eliaschipanda2006
    @eliaschipanda2006 3 місяці тому

    Ubarikiwe mtu wa Mungu. Uko na Mungu. Kamwe hawatakuweza. Songa mbele ili umtangulie shetani.Amina sana

  • @MTEULEWAMUNGUTV
    @MTEULEWAMUNGUTV Місяць тому

    Hallelujah hallelujah ameeen

  • @EstherManda-ex3bc
    @EstherManda-ex3bc 2 місяці тому

    Wimbo mzuli 🙏

  • @mwlvincentmwakisyala
    @mwlvincentmwakisyala 3 місяці тому +2

    Wimbo mzuri sana huu nimeupenda

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 місяці тому

    Amen 🙏 ubarikiwe sana baba mungu aendelee kukuinua

  • @gracelossy19
    @gracelossy19 3 місяці тому

    Aminaaaa, ubarikiwe songa mbele usiache kusema kweli ya Mungu

  • @nuswemwakasala8687
    @nuswemwakasala8687 3 місяці тому

    Amen alellujah,,, BABA mtumishi ludi kwenye hizi mambo,, Yani tukisikilizaga haya mambo hata tushida tunakimbia,,

  • @JuneJune-xf4pc
    @JuneJune-xf4pc 3 місяці тому

    Baba Mungu akuweke miaka mingi pamoja naunayo pitia ila Mungu yupo nawe

  • @wonderkapichira6929
    @wonderkapichira6929 3 місяці тому

    Amen it's powerful massage pastor keep it up more than, we are living in end of the days, may almighty father blesse you man of God l blessed. Mungu akubaliki amen.

  • @user-wv9wc6yr1u
    @user-wv9wc6yr1u 3 місяці тому

    Mungu yu pamoja na mtumishi na katika hayo yote wewe ni mshindi

  • @edenfamilymelody
    @edenfamilymelody 3 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi ni faraja tunapoana uko na furaha, maana watesi siku zote wanatamani uendelee kuumia na furaha zaidi pale wanapoona ukionyesha hali ya kuumia. Inatia sana moyo tunapoana unamsifu Mungu kwa furaha

  • @user-du3pd7gb4c
    @user-du3pd7gb4c 3 місяці тому

    Mungu tusaidie mwenye dhambi akiambiwa dhambi yake anachukia anataman akuue wakati unamupenda Unataka arekebishe,Ili apone,mi natamani nikifanya vibaya Mtumishi wa Mungu hata angenibiga makofi siwezi kuchukia ndipo nitampenda zaidi kuliko mitumishi Ambayo inachukuliana na Uovu.hii Mimi siipendi wanadamu hizi ni siku za Mwisho,unapo tenda uovu umedhalilisha jina la Yesu ukionywa wengine wajifunze wewe unakimbia mahakamani hii ni ajabu sana !!! Ukiharibu hadharani inatakiwa ukemewe hadharan Ili usihalalishe ule ubaya ulio Fanya

  • @EmmanuelMikael-in1ej
    @EmmanuelMikael-in1ej 3 місяці тому +3

    Wimbo mzuri

  • @EmmaKija
    @EmmaKija 3 місяці тому

    Hakika wimbo mzuri sana unaleta amani na utulivu kiroho

  • @deoelias841
    @deoelias841 Місяць тому

    Amen and amen 🙏🙏

  • @pris_jimsband
    @pris_jimsband 3 місяці тому +3

    Amina kubwa

  • @user-vq8gk2ub8s
    @user-vq8gk2ub8s 3 місяці тому

    Baba mungu akupe kibali chakuishi miaka mia unatuponya mwengi

  • @user-do9mr6cb1l
    @user-do9mr6cb1l 3 місяці тому

    Waovu wakiutazama wimbo huu wanaogopa sanaaaaa wanatetemeka, ila mioyo Yao kubadilika ni migumuuuu!!!!!

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 місяці тому +1

    KESI YENYEWE BAADA YA WIMBO HUU IMEISHAAA❤

  • @MiriamIfuja
    @MiriamIfuja 22 дні тому

    Amen amen

  • @nuswemwakasala8687
    @nuswemwakasala8687 3 місяці тому

    Hahaaaaaaa Baba mtumishi hatuoni kweli eti vimbunga vina majina, Mungu tusaidie tuzijue nyakati

  • @JentoMmary-et7py
    @JentoMmary-et7py 3 місяці тому

    Hakika nais kumuona Mungu kwa ujumbe huuu .......wakujikinai nmewaona ukengeufu

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 3 місяці тому

    siku zote msema kweli kuchukiwa nakupingwa ila kweli itabaki kweli milele.hata katika ngazi ya familia mkikaa vikao vya familia ukiwa unakosoa wengine kwa kuonya katika yaliyo mabaya kwakesema ukweli wa ubaya huwa itachukuwa,ila kuonyana na kufundishana sio dhambi.Mtu wa Mungu fanya kazi ya Mungu iko siku utalipwa na Mungu na wengi ikosiki watakukumbuka nakuelewa mafundisho yako

  • @IsakaHosea-g9g
    @IsakaHosea-g9g 3 місяці тому

    Hakika huu Wimbo unautukufu wa bwana,amen amen amen.❤❤❤❤❤

  • @edwardchange1407
    @edwardchange1407 2 місяці тому

    May God bless you abundantly and protect you, plus your family.

  • @emmanuelMbembela-oy7pi
    @emmanuelMbembela-oy7pi 3 місяці тому

    Daaaaaah jamani mungu anavyombo vyake Dunia kama shetan alivyo

  • @user-lq4mq7rz6h
    @user-lq4mq7rz6h 3 місяці тому

    Utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni amen hallelujah

  • @mariachengula5166
    @mariachengula5166 3 місяці тому

    Kweli Yesu anakuja .barikiwa sana Kwa wimbo wakujiandaaa

  • @joshuamwalusambo2391
    @joshuamwalusambo2391 3 місяці тому +1

    Ila mimi ninaumia saana nikilinganisha huduma ya huyu Mwamba na mateso yake,aa basi MUNGU WEWE NDIYE MWENYE MATUMIZI NAE MTUMIE UPENDAVYO AMINA

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 3 місяці тому

    Amina Amina,,,njoo BWANA YESU KRISTO

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 3 місяці тому

    There is something great God has put in his life. How I wish he stops criticizing people and situations. Vita hivyo ni vya mungu mwenyewe.

  • @mussajanke
    @mussajanke 3 місяці тому +2

    Neema ni nyingi sana

  • @barikimtukula1619
    @barikimtukula1619 3 місяці тому

    Ubarikiwe baba kazi zako zimevuviwa

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 місяці тому

    Mungu mwema akubariki mtumishi wa mungu

  • @FrankMwampashi-om9ww
    @FrankMwampashi-om9ww 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @miliamdaniel9046
    @miliamdaniel9046 3 місяці тому

    Amina mtumishi. Wimbo umenigusa sanaa

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 3 місяці тому

    Thank you for the song . I'm blessed.

  • @kikosikaziupdate
    @kikosikaziupdate 3 місяці тому +1

    Anakuja kuwalipa akina Nape......😭😭😭 wapende wasipende

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤Amen Aleluya Aleluya nabarikiwa sana

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 3 місяці тому

    Wimbo mzuri sana ubarikiwe mtumishi wamungu

  • @user-kl6zb6so3i
    @user-kl6zb6so3i 3 місяці тому

    Ameena nimebarikiwa sana Mtumishi.

  • @nethosiame14
    @nethosiame14 Місяць тому

    Sauti ya mtu aliayeee Duniani kwasasa. 😭😭😭

  • @machumumalugu4058
    @machumumalugu4058 24 дні тому

    Amen

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 3 місяці тому

    Wimbo huu ni neema kutoka kwa mungu ni kwa vile sisi binadamu tumekuwa wagumu kupokea neema hii

  • @SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc
    @SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc 3 місяці тому +1

    hakika Kila ulimi utakiri yesu ni mungu

  • @GossesMwambene-eg8lo
    @GossesMwambene-eg8lo 3 місяці тому

    Mungu akutunze mtumishi

  • @EmmanuelKiula
    @EmmanuelKiula 3 місяці тому

    Ni kweli kabisa YESU anakuja! Pinga upingwe.

  • @happymvula
    @happymvula 3 місяці тому

    Mungu atusaidie kujiandaa

  • @MenasehLiula
    @MenasehLiula 3 місяці тому

    God bless you mbalikiwa

  • @user-cw2pm4hg4t
    @user-cw2pm4hg4t 3 місяці тому

    Nimekusoma sana baba

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 3 місяці тому

    most high GOD take care of your people of Jehovah wee

  • @NuruMbwile
    @NuruMbwile 3 місяці тому

    Baba we sema kweli utakapoishia atakuwa Mungu ameamua penda sana nyie

  • @user-ub8vm1go9j
    @user-ub8vm1go9j 3 місяці тому

    Wimbo kutoka rohoni ❤❤❤

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 Місяць тому

    Wimbo unaniliza huu mimi

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 3 місяці тому

    Wimbo mzuri sana huu

  • @machumumalugu4058
    @machumumalugu4058 17 днів тому

    Mwenye namba ya huyu Mtumishi maana anagusa hisia zangu ktk kuwa karibu na mungu

  • @annaezra2344
    @annaezra2344 3 місяці тому

    Acha wakusumbue mchungani wataenda na mafuriko mda mfupi ujao sijue wataenda kujibu nini kwa mungu

  • @user-ge2vv4zp3i
    @user-ge2vv4zp3i 3 місяці тому

    Kwanini weye njo umemutukana shusho kwa sawuti ndefu?.ungemuita unamwambiya muko wa wili.umeongeza cuki ndani ya shusho na weye tena.Na mungu amesema tupendane .tushauliyane.kwa Nini mungu amesema mwenye hajafanya Zambi acukuww jiwe apige ule mama?wote wamefika wanakimbia

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 місяці тому +1

    Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏

  • @joyceseguni2038
    @joyceseguni2038 3 місяці тому

    Amen sanaaa

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 3 місяці тому

    Wimbo mzuri wa kuponya roho na mwili

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 3 місяці тому +1

    Ameeeni oooh ameeen haleluya

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o 3 місяці тому

    Amina anakuja mfalme

  • @user-br5yb2uf4o
    @user-br5yb2uf4o 3 місяці тому

    Àmiñà kubwa sana

  • @Luckyseed138
    @Luckyseed138 3 місяці тому

    Kweli dalili zinaonekana kwamba yu karibu....
    Kenya nakufatilia

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 3 місяці тому

    Ni kweli kabisa tumezoea tu na mizambi yetu