Mbarikiwa TENZI NO 20 (Ninaye rafiki) live video kutoka studio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
    1. Alex Tewele ... / @pastorstz
    2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
    3. Helbeth Mlelwa ... / @helbethmlelwa
    Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
    Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
    KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
    NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

КОМЕНТАРІ • 75

  • @annahaule7775
    @annahaule7775 Рік тому +6

    Amina nabarikiwa sana na nyimbo zako mchungaji mungu aendelee kukuinua viwango vya juu zaidi.mungu naomba nisaidie na Mimi nisimame nikujue wewe.

  • @isaacchiwinga1915
    @isaacchiwinga1915 10 місяців тому +2

    Uimbaji wake ni wa pekee kwani una mvuto mkubwa sana huleta utukufu wa Bwana Mungu wetu. 7:51

  • @JosephKomba-bj6ww
    @JosephKomba-bj6ww 2 місяці тому

    Nabarikiwa sana na nyimbo za mbarikiwa mwakipesile mungu akubariki sana.

  • @Prisca-fj9zv
    @Prisca-fj9zv Місяць тому

    Kwa Yesu kuna laha yake kalibu tena mtumishi songea

  • @user-ll2rx3fy7v
    @user-ll2rx3fy7v Місяць тому

    Mimi pia nabarikiwa sana nikiwa hapa Samburu -Kenya.Mungu azidi kukubariki Mchungaji.

  • @JosephKomba-bj6ww
    @JosephKomba-bj6ww 2 місяці тому

    Ubarkiwe sana mtumishi wa mungu, bwana akutie nguvu siku Moja tukuone sonngea.

  • @sharonetsisiche5184
    @sharonetsisiche5184 20 днів тому

    🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉very nice song 🎵

  • @jacksonjohn1708
    @jacksonjohn1708 3 роки тому +8

    hakika kaka japo unaimba tenzi ila uimbaji wako ni wa kipekee sana. sauti yako ina utukufu wa mungu sana na ina mvuto wa kipekee ninapendaga sana kusikiliza nyimbo zako asa za tenzi unaziimba kwa mtukufu mwingi sana MUNGU AKUBALIKI SANA MCHUNGAJI

    • @florianmsoffe3549
      @florianmsoffe3549 Рік тому

      Umeona ,hata na wewe umejaliwa kuona mbali sana, glory glory

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 4 місяці тому +1

    Kazi iliyotukuka❤❤❤🎉🎉🎉

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 10 місяців тому +1

    Moja ya nyimbo makini yenye kuvuta wingu kwa maombi

  • @PriscamwanjalaMwanjala
    @PriscamwanjalaMwanjala Місяць тому

    Baba mbalikiwa mungu akubaliki sana

  • @piusgadau6328
    @piusgadau6328 Місяць тому

    mimi nikija kuamua kufanya ibada nitafanya nikiwa chini ya huyu bwana amenyoka kwenye mambo mengi

  • @edwardsungura2428
    @edwardsungura2428 2 роки тому +2

    Uimbaji huu ni mkubwa sana, tumeona na kusikia waimbaji wa Tenzi lakini wewe Kaka Mbarikiwe Mwakipesile upo juu.

  • @user-vn5vo3zc6y
    @user-vn5vo3zc6y 7 місяців тому

    Ameen

  • @langsontembo7274
    @langsontembo7274 3 роки тому +8

    You are truly a man of God because Everytime I listen to your song's I feel the presence of God. God bless you and your family

  • @KalingasPicture-mz5dt
    @KalingasPicture-mz5dt 5 місяців тому

    Barikiwa sana

  • @evancynyemba6017
    @evancynyemba6017 2 роки тому +2

    God bless you and your generation as well🙏.

  • @restituta5206
    @restituta5206 2 роки тому +1

    Mungu akubariki. Nakushukuru kwa kazi yako. Akuinue mwokozi.Amen

  • @pst.josephmungatindi5290
    @pst.josephmungatindi5290 2 роки тому +1

    Mungu aongezeke kwako man of God akutetea na kuilinda imani yako daima

  • @user-vl4pv4sy3h
    @user-vl4pv4sy3h 10 місяців тому

    Be blessed

  • @nsimirenshokano6169
    @nsimirenshokano6169 11 місяців тому

    Ameen baba mubarikiwa napedaga sana nyimbo hihi

  • @paschalrutashoborwa7976
    @paschalrutashoborwa7976 3 роки тому +3

    Thank you and be blessed! Truly, I appreciate your song, very unique.

  • @jimani4529
    @jimani4529 8 місяців тому

    Kwake nimetia nanga, Ndimi wake milele, Amen 🙏

  • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
    @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 3 роки тому +2

    Yesuuuuuuuuuuuu e kweli we nirafiki umeziba mapengo yooote

  • @neemamakundi6407
    @neemamakundi6407 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sana na huduma hii!
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 Рік тому +1

    Ninaye Yesu

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 2 роки тому

    I love you it songs.huwa zinanivaa nguvu yesu kristo akubariki pamoja na kikosi kizima.

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 9 місяців тому

    Mbarikiwa babangu Mungu akutunze huko ulipo😢

  • @nsimirrlove2139
    @nsimirrlove2139 2 роки тому +1

    Ameeeen

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 місяці тому

    ❤️🙏❤️🙏🌹🙏✝️✝️✝️✝️🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @julianambilinyi3341
    @julianambilinyi3341 2 роки тому

    Ubarikiwe rohoni kumejaaa .Mungu Ni Neno na Neno ni Sheria lakini Sheria yake Ni njema na takatifu sana . Hakuna masharti. Magumu hayo Ni maisha ya ufalme wa Mungu kwake tumetia nanga hata waseme walemaa ooo kwake tumetia nanga

  • @paulinekamau955
    @paulinekamau955 8 місяців тому

    Amina!! Amina!! I Love yr songs!!! They r so encouraging!!!

  • @lwitikomwakalinga3798
    @lwitikomwakalinga3798 Рік тому

    Hahaha mpaka Raha,,utazani wimbo umetoka Jana Mungu awabariki sana

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 2 роки тому

    Thank you My brother God bless you , you try to build most disciplined church of Jesus Christ the king.

  • @edouardnsengiyumva1145
    @edouardnsengiyumva1145 2 роки тому

    I like your song be strong for God,s job

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 Рік тому

    Amen Amen MUNGU atukuzwe milele tuko pamoja

  • @josephmgao6813
    @josephmgao6813 2 роки тому

    Hakika wewe ni mbarikiwa. YESU awe nawe

  • @mariamtanz4224
    @mariamtanz4224 3 роки тому +1

    Ninabarikiwa sana mtumishi

  • @bridgiettnsajigwa8229
    @bridgiettnsajigwa8229 Рік тому

    Jina la mbarikiwa (Nsajigwa) limekufaa umebarikiwa sana .pole sana kwa kupotelewa na mtoto wa peke mungu awafunge mkanda wake wa faraja .natamani kupata CD ZA UWIMBAJI WAKO TUPE NAMBA YA MWASILIANO AMENI

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  Рік тому

      Amina ndugu. Kwasasa DVD zinapatikana mbeya tu kwa kuwa soko lake lilipungua sana.
      Namba za mawasiliano, kambi kuu mbeya ni 0769 015 164

  • @pastorjohnsimiyubarasa8164
    @pastorjohnsimiyubarasa8164 2 роки тому

    Mtumishi tumengoja video ya wimbo wa tenzi ninaye rafiki ninaye

  • @mrsmahenge5413
    @mrsmahenge5413 3 роки тому

    Nabarikiwa sana Kwa huduma Yako ya uimbaji na mahuburi Yako ubariwe sana mtumishi was mungu

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 3 роки тому

    Kwake nimetia nanga...

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 Рік тому

    Amina, Amina

  • @jimani4529
    @jimani4529 3 роки тому

    Hakika ni Mwema ,Mwana wa Adamu, Yesu Kristo Rafiki Mwema!!!

  • @elizalohay8336
    @elizalohay8336 3 роки тому

    Hakika mbarikiwa umebarikiwa nyimb Zak zinanibariki sana

  • @dorakiyao4509
    @dorakiyao4509 Рік тому

    Ninarikiwa Mungu akubariki

  • @neemanabwangu1469
    @neemanabwangu1469 2 роки тому

    Amen amen 🙏🏿

  • @alakimboko3845
    @alakimboko3845 3 роки тому +2

    Amen 🙏 “Thank you

  • @jairoyusuph8922
    @jairoyusuph8922 2 роки тому

    tupo pamoja japo hutuon

  • @bukelebengelela
    @bukelebengelela 3 роки тому +1

    Amina sana

  • @kongoweamudashisokum2392
    @kongoweamudashisokum2392 2 роки тому

    Nice

  • @carolinemuenimueni8061
    @carolinemuenimueni8061 2 роки тому

    Amen

  • @langsontembo7274
    @langsontembo7274 3 роки тому +2

    Enjoying from Lusaka Zambia I love your music it's comfort me in prayers

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  3 роки тому

      Amen, have you joined the WhatsApp group, GROUP LA WAGUMU, leaded by Past, Mbarikiwa Mwakipesile

    • @langsontembo7274
      @langsontembo7274 3 роки тому

      @@HelbethMlelwa no

    • @langsontembo7274
      @langsontembo7274 3 роки тому

      Add me please I will appreciate brother in Christ

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  3 роки тому

      @@langsontembo7274 send me a whatsapp message through +255620671231

    • @langsontembo7274
      @langsontembo7274 3 роки тому

      @@HelbethMlelwa okay

  • @drmanxinlinlectures5550
    @drmanxinlinlectures5550 3 роки тому +1

    Good song to listen...it encourage more more more in this journey and it emphasize us more to still walking with God

  • @KhairatkSarah
    @KhairatkSarah 3 роки тому

    Halélujah

  • @SophiaCharo-cb7wp
    @SophiaCharo-cb7wp Рік тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @KhairatkSarah
    @KhairatkSarah 3 роки тому

    Hakuna rafik kama yesu

  • @ericbajeme
    @ericbajeme 2 роки тому

    Mbarikiwa Unanibariki Sana!!!

  • @davidsaidi4488
    @davidsaidi4488 3 роки тому

    Tafadhali naomba wimbo wa tufani inapovuma...

  • @JosephKomba-bj6ww
    @JosephKomba-bj6ww 2 місяці тому

    Ubarkiwe sana mtumishi wa mungu, bwana akutie nguvu siku Moja tukuone sonngea.

  • @nsimirenshokano3193
    @nsimirenshokano3193 3 роки тому

    Ameeeen