NIMEUMALIZA MWENDO - Bernard Mukasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Nimeumaliza, Mwendo, Nimemaliza, Nimevipiga vita, vilivyo vizuri, imani nimeilinda, Yuda Thadei, kwaya, Mbeya, Mjini, JMC

КОМЕНТАРІ • 331

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 11 місяців тому +9

    Ooh Mungu tusaidie Mama yangu ameumaliza mwendo Jana saa kumi na dk 35 asbuhi akijiandaa kwenda kanisani! Pumzika kwa amani Mama

  • @goodchancemongi3767
    @goodchancemongi3767 3 роки тому +8

    Shujaa kaumaliza mwendo, R.I.P our president

  • @elizabethkihumbe7420
    @elizabethkihumbe7420 4 роки тому +13

    Nilipojitetea Mara ya kwanz hkuna mtu ...aliesimama pamoja nami...lkn mwana mungu ....maneno mazr sana safi sana

  • @ESTERMADIRISHA
    @ESTERMADIRISHA 9 місяців тому +4

    Baba yangu aliumaliza mwendo mwaka 2006 na mama aliumaliza mwendo mwaka 2020 rest in peace my Lovely parents ❤❤❤

  • @LucyJailo
    @LucyJailo 9 місяців тому +4

    Ee Mungu nakuomba unijalie mwisho mwema❤ikifika tamati ya Uhai wangu. Hapa Duniani Amina 🙏🙏🙏🙏

  • @veronicamgimba5964
    @veronicamgimba5964 4 роки тому +8

    Nakumbuka machungu na mitihani ninayopita lakini ninaposikia .nyimbo hii yaani nafarijika saaana nawashukuru sana kwa ujumbe mzuri jamaniii safi sana

  • @magrethphillos1569
    @magrethphillos1569 4 роки тому +117

    Wakatoliki tunaoangalia huu wimbo tujuane

    • @richardchaula1860
      @richardchaula1860 4 роки тому +2

      Magreth Phillos ,tupo.

    • @oliverkizigo557
      @oliverkizigo557 4 роки тому +2

      Oliver Kizigo

    • @veronicamgimba5964
      @veronicamgimba5964 4 роки тому +1

      Najivunia kuwa mkatoliki nawashukuru saaana wazazi.wangu kunibatiza katoliki ninaendeleza kwa kizazi changu chooote mungu awabariki sana wainjilishaji mnatufariji sana hasa sisi wajane!!!!!!!

    • @jonasmwacha8278
      @jonasmwacha8278 Рік тому +1

      Inagusa sana moyo

    • @fraahjustin
      @fraahjustin Рік тому +1

      Barikiwa sana wana kwayaa najivunia kuwa mkatoliki

  • @StivinSapi-eg7kr
    @StivinSapi-eg7kr 2 місяці тому +1

    Hakika MUNGU Atukuzwe kwa Karama hii.kuimba nikusali mara mbili.Asante MUMGU.

  • @florencewambura7333
    @florencewambura7333 3 роки тому +7

    Ameumaliza mwendo, imano ameilinda, apumzike kwa amani Rais wetu Hayati John Magufuli

  • @cristinatemba9211
    @cristinatemba9211 4 роки тому +30

    Nabarikiwa sana wimbo mzuri umebeba ujumbe mzito tunaosikiliza 2020 tujuane apa

  • @annabenedikto7769
    @annabenedikto7769 4 роки тому +10

    Paul alimaliza mwendo na imani kailinda, Mungu mbariki sana mzee wangu aliyeumaliza mwendo February mwaka huu 2020, Kwani sote ni wa Mola aliyemwumba wetu, Amina

  • @witiiefelix8377
    @witiiefelix8377 5 років тому +32

    Tutaumaliza vizur tukifa ndan ya yesu........ naupenda sana ukatoliki wangu.....

    • @petrogenge212
      @petrogenge212 5 років тому +1

      witiie felix
      Shukulan sana by mwanakwaya sauti ya 3

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 5 місяців тому +1

    Wimbo ni mzuri mpaka mzuri tena. Narudi kwa Mungu haraka sana nikiusikikiza wimbo huu

  • @fabiangeorge616
    @fabiangeorge616 4 роки тому +8

    TUMSIFU YESU KRISTU.TUMWOMBE MUNGU KWA PAMOJA KUPATA BAHATI YA KUIMBIWA WIMBO HUO ANAOTUHIMIZA MTAKATIFU PAULO.MBARIKIWE SANA TENA SANA. Y

  • @bhonatesha2390
    @bhonatesha2390 3 роки тому +2

    Hapo mwishoo. Ee Mungu wangu

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 3 роки тому +11

    Huu Wimbo kila unapoimbwa napata kutafakar mambo mengi sana hasa wakat Wa Msiba! Ee Mungu nijalie niumalize mwendo salama 2021 naangalia 🙏🙏🙏🙏

  • @amanikiteve5195
    @amanikiteve5195 5 років тому +13

    Nabarikiwaa sanaaa kuusikilizaa huu wimbo Ee Mungu nakuomba unisaidie nami nimalize mwendo salama proud to be Catholics

  • @leahrobert5247
    @leahrobert5247 3 роки тому +2

    Mungu nisaidie niumalize mwendo salama🙏

  • @kelvinurassa698
    @kelvinurassa698 4 роки тому +3

    Napenda sana mnavoimba najivuniaaa kuwa mkatholic

  • @adventinasamson4381
    @adventinasamson4381 4 роки тому +4

    Yaan huu wimbo ukityuniwa na mw/ najisikiaga vzr nanina farijika sana hongera sana mtunzi wa huu wimbo Mungu ammbaliki popote ulipo

  • @betridatossi2990
    @betridatossi2990 4 роки тому +7

    Nimebarikiwa mnoooo Mungu azidi kutuimarishia ukatoliki

  • @BonaTesha-f9p
    @BonaTesha-f9p Місяць тому

    Pumzika kwa amani my LOVE. Ni miaka 8 sasa tangu umalize mwendo na kwa huruma ya Mungu unafurahi na malaika na watakatifu mbinguni. Pengo uliloliacha halizzibiki baba. RlP❤

  • @itololo_rhckondoadc4900
    @itololo_rhckondoadc4900 5 років тому +28

    Eee mwenyez MUNGU unisaidie nmalize mwendo salama hapa duniani ameeen.

    • @evalineyohana8060
      @evalineyohana8060 4 роки тому

      Ee mwenyez MUNGU. Nisaidie nimaliz salm mwend hap dunian

    • @eliekanoel9714
      @eliekanoel9714 4 роки тому

      Nisidie yesu nivipige vita nimalize mwendo salama

  • @Massywilly09
    @Massywilly09 3 роки тому +7

    Anyone 17/03/2021 after hearing Mr. president Magufuli’s death??😭😭

  • @maryjoanna7003
    @maryjoanna7003 3 роки тому +7

    Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza imani umeilinda... Rest in eternal peace My President Magufuli 🙏🏿

  • @annastaziamdimi4303
    @annastaziamdimi4303 Місяць тому +1

    😭😭😭😭 dedicated to my Mother, Father and my son Arin in heaven

  • @ernestkashunja1514
    @ernestkashunja1514 4 роки тому +6

    Eee Mungu wangu nakuomba unijalie ni umalize mwendo wangu salama hapa duniani, saa ya kuzimia kwangu kinywa changu kikutamkie kuwa naomba nife mikononi mwako

  • @FigeniaKalisti-iq1sj
    @FigeniaKalisti-iq1sj Рік тому +1

    Yaan wimbo huu nikiusikia nawaza kwamba mwendo nitaumalizaje hivyo najikuta nikishikwa na huzuni huku nikitafakar mwisho wa mwendo itakuwaje ,,nihuruma ya mungu tu wakristo wenzangu

  • @nerymponda4765
    @nerymponda4765 2 роки тому +3

    Wimbo huu naupenda sana. Ukiimbwa huwa natokwa na machozi

  • @floraamon1167
    @floraamon1167 4 місяці тому +1

    Huu wimbo siupendi kuusikiliza siyo mbaya ila inanitia uchungu ninawakumbuka watu wangu wa karibu unaniliza mnoo

  • @eliyamasindi7590
    @eliyamasindi7590 4 роки тому +3

    Amina bwnard mkasa utunzi wako mzuri sana huu wimbo umenivuta kutafakari zaidi eee Mungu tusaidie tuvipige vita vilivyo vizuri imani mwendo tuumalize imani tuilinde.

  • @simonukwele8532
    @simonukwele8532 3 роки тому +3

    Natamani niumalize mwendo vizuri maana huu wimbo una ujumbe mzito Sana kwetu sisi wanadamu.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 3 роки тому +8

    Pamoja na Wimbi kubwa La Dunia Covid 19 bado MUNGU wetu ametupa,kumaliza tujuane wapendwa 24/12/2020

  • @stellafungo2291
    @stellafungo2291 5 років тому +6

    Yesu naomba unisaidie na mimi niumalize wendo na kuvipiga vita vilivyo vizuri.

  • @bonatasha176
    @bonatasha176 5 років тому +11

    Ee Mungu nijaalie niweze kumaliza mwendo kwa kutetea Imani yangu. Mbarikiwe wote ktk Bwana

  • @marthamarthakambona9444
    @marthamarthakambona9444 5 років тому +17

    Bwana Yesu niongoze nimalize mwendo salama

  • @saimjonas
    @saimjonas 10 місяців тому +4

    Bado nautazama sana. Gonga like kama bado unauangalia na kuufagilia.

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 Рік тому +2

    Till 2023 konk song tukifa ndani ya yesu

  • @AgnesMwita-uq9nq
    @AgnesMwita-uq9nq 4 місяці тому +1

    Napousikia huu wimbo nakumbuka CK mamaangu alipoumalza mwendo wake pumzika kwa aman mamaangu kipenzi

  • @rutarutahindurwa2080
    @rutarutahindurwa2080 6 років тому +33

    2 Timotheo 4
    1 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho
    6 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;
    7 baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.

  • @AgnesMwita-nb3cx
    @AgnesMwita-nb3cx Рік тому +1

    Huu wimbo unanikumbusha mbal jaman mbarikiwe sana kwa wimbo huu

  • @360signssigns8
    @360signssigns8 Місяць тому +1

    Shari martin ameumaliza mwendo wake leo .....buriani Shari 16.8.2024 pale Tana River county

  • @deodatusdeogratius4910
    @deodatusdeogratius4910 5 років тому +9

    Wimbo mzuri sana ee Mungu Niongoze niweze kuumaliza mwendo salama Ohooo nimewekewa taji ya uzima

    • @saudahassani8033
      @saudahassani8033 4 роки тому +1

      Nimependa sana uuu wimbo maana unafumbo kubwa sana kama Mimi mwenyewe linaniusu sana kutowa malalamiko awakusiya ila nilipopasa sautiyi mataifa wamenielewa

    • @odiliaompeshi4832
      @odiliaompeshi4832 4 роки тому +1

      Wimbo mzuri ee mungu niogoze nimalize mwendo salama

  • @esterrhobi2824
    @esterrhobi2824 5 років тому +18

    Mungu niongeze nimalize mwendo salama

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 2 роки тому +3

    Nyimbo nzuri Sana 2021 tujuane kw like

  • @melaniapaul8436
    @melaniapaul8436 3 роки тому +2

    Mungu azidi kuwatia nguvu kwa kazi nzuri tumeiona

  • @divinahdivinahw513
    @divinahdivinahw513 4 роки тому +3

    Asante sana kwa huo wimbo mtamu mungu hawabaliki.

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 3 роки тому +15

    Am not a Catholic but i really like their tune.. is just wooow❤️💕

  • @daudmabulamashenene1854
    @daudmabulamashenene1854 4 роки тому +7

    Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana

  • @dorotheakumbi4374
    @dorotheakumbi4374 5 років тому +10

    Eeh mwenyez mungu unijalie niumalize mwendo wangu salama

    • @francisantony4742
      @francisantony4742 4 роки тому

      Ewe mungu wangu yu mwema na mwingi sana wa fadhiri na ndiyo tegemeo la wanadamu wakristo wenzangu tumrudie mungu kwani tusali kwa bidii maana hatujui siku wala saa na mwokozi yuu karibu ambaye ni yesu kristo anakaribia

  • @barakadaudi1446
    @barakadaudi1446 Рік тому

    Ee mungu ni saidie nami ni malize mwendo salam

  • @vicentsalvii7250
    @vicentsalvii7250 6 років тому +12

    jaman kuimba ni Raha Sana nataman Sana huu wimbo niimbiwe siku ya harus yangu Mung anijalie uzma niumalize mwendo iman niilinde

  • @priscabelino3168
    @priscabelino3168 2 роки тому +1

    Asante mungu kwakumaliza mwaka salama;

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 4 роки тому +8

    Mi huu wimbo hapo mwisho dah, najiuliza sana hilo taji!! Ee Mungu nijalie

  • @RoseMtune-vu5pf
    @RoseMtune-vu5pf Рік тому +1

    Wimbo unabariki na kuelewa mafumbo ya kifoo love this song ❤

  • @collinsmkunde1472
    @collinsmkunde1472 3 роки тому +2

    kwa uwezo wako Mungu 2020 nimeumaliza maana ulikuwa mgumu sana kwangu

  • @vailethmawanja781
    @vailethmawanja781 5 років тому +14

    Mmbarikuwe waimbaji WA huu wimbo

  • @neemamacha8806
    @neemamacha8806 5 років тому +40

    Mbarikiwe sana waimbaji! Mimi sio Mkatoliki ila huu wimbo niliusikia jana kwenye mazishi,umenipa kutafakari mno,nimeandika tu baadhi ya maneno niliyokumbuka,na nimefanikiwa kuupata hpa youtube.....Mungu awabariki!!!!!!

    • @florakweli1651
      @florakweli1651 5 років тому

      Unanikumbusha sana msiba wa baba yangu mzazi mwenyezi mungu ampe pumziko LA milele , Amina

    • @janethmwacha5208
      @janethmwacha5208 4 роки тому +1

      una maneno mazur sana ya kutafakari je mwendo tunaumaliza tukiwa na hali gani

    • @meshackmvula4188
      @meshackmvula4188 4 роки тому +1

      Pale St. Perer's juniory seminary kila mahafali lazima tuimbe ilikuwa. Naupenda sana

    • @antelmalikiliwike6332
      @antelmalikiliwike6332 3 роки тому

      Mi huwa nikiusikiliza nawakumbuka wazi wangu, Mungu awapumzishe mahala pema😭😭

    • @jamesdamian7256
      @jamesdamian7256 3 роки тому

      Ubarikiwe sana mtunz wa hii nyimbo

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 4 роки тому +2

    jamani mmeimba vizuri nimshukuru Mungu kwa ajili yenu aendelee kuwatunza muzidi kuinjilisha zaidi

  • @emmanuelmao5184
    @emmanuelmao5184 9 місяців тому +1

    Mubarijiwe saana wandugu pale tanzania mimi ni mkongomani DRC nawependa sana

  • @LukasMbiho
    @LukasMbiho 4 місяці тому

    Namuomba Mungu alinde familia yangu kimwili nakiloho

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 3 роки тому +6

    Tujuane wanaoangalia 24/12/2020

  • @farbianilingwanda3421
    @farbianilingwanda3421 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana Bernad mukasa hakika napata faraja na tunzi zako.

  • @ntabongusa3442
    @ntabongusa3442 2 роки тому +1

    Mungu skype nguvu tunabarikiwa sana

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 3 роки тому +1

    Asanteni WATUMISHI wa MUNGU yuda Thadey kutoka mbeya. MUNGU AWABARIKI, tumalize mwendo salama.

  • @priscamhoja9490
    @priscamhoja9490 4 роки тому +5

    Naomba nimalze mwndo eeh mungu❤❤❤

  • @daniellembile9988
    @daniellembile9988 5 років тому +9

    Mbarikiwe wimbo huu unafariji Sana

  • @mbyanyuma
    @mbyanyuma 4 роки тому +2

    Mungu atusaidie kuumaliza mwendo dhidi ya corona

  • @sheilarasuli9051
    @sheilarasuli9051 3 роки тому +1

    Eeh mungu nijarie mwisho mwema

  • @jacklinecleophace2953
    @jacklinecleophace2953 2 роки тому +2

    Nmeumaliza mwendo,by benard mkasa

  • @mbagambaga9105
    @mbagambaga9105 5 років тому +4

    Mungu awabariki wanakwaya walioimba huu wimbo

    • @francisantony4742
      @francisantony4742 4 роки тому

      Kweri kristo ni njia ya kweli nauzima hakunaanayefanana naye

  • @philissimiyu2123
    @philissimiyu2123 Рік тому

    Asante Bwana yesu sifa na utukufu zikurudie uliye nguvu zangu

  • @shipandapamba2755
    @shipandapamba2755 Рік тому

    Hakika ukisikiliza wimbo Kwa utulivu ni zaidi ya mahubiri. Mungu awabariki wanakwaya wote Kwa uijilishaji Kwa njia hii.

  • @AltemiaVenant
    @AltemiaVenant 5 місяців тому

    Nimemkumbuka sana Baba yangu kipenzi rest In peace my lovely Dady😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 siku zote upo moyoni mwangu

  • @Jerad-i9k
    @Jerad-i9k 9 місяців тому

    Naupenda sana huu wimbo mungu atulinde tuumalize mwendo wetu salama katika maisha yetu

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 6 років тому +23

    Nabarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki

  • @lazaromosses4263
    @lazaromosses4263 Рік тому

    Huku nyimbo ni nzuri inafundisha kua karibu na yesu ili umalize mwendo salama

  • @sheflawless4939
    @sheflawless4939 3 роки тому +17

    Rest in peace magufuli....we shall miss you

  • @reginaassey6534
    @reginaassey6534 5 років тому +69

    2019 tujuane tunaoangalia leo

  • @edinamkongwa1121
    @edinamkongwa1121 3 роки тому +1

    Mungu Ni mwema

  • @AlsoAlso-mq3pu
    @AlsoAlso-mq3pu 4 місяці тому +2

    Mimi,naomba wimbo,sifa,kwamungu

  • @thomasirenadi95thomasirena14
    @thomasirenadi95thomasirena14 4 роки тому +1

    Mungu naomba niumalize mwendo salama

  • @VailethDastan-yj1yc
    @VailethDastan-yj1yc 8 місяців тому

    Jaman wimbo mzuri huu😍

  • @thobiasifbalaganya5005
    @thobiasifbalaganya5005 4 роки тому +4

    huwa nabalikiwa sana nawimbo huu hongola sana b, mkassa.

  • @juliusngaira819
    @juliusngaira819 Рік тому

    Gud work iam really the image of my brother mukasa

  • @melxkb3840
    @melxkb3840 5 місяців тому

    Ilikuwa Tarehe 26-Nov-2023, Jumapili saa 11 jioni❤
    Ma Elizabeth K.A. Francis umeumaliza mwendo vyema sana, Imani yako uliilinda, pumzika kwa Amani Mama mwema❤

  • @KUDRAMAGERE
    @KUDRAMAGERE Рік тому

    Mungu nisaidie katika maishayahapa duniani niumalize mwendo salama

  • @fabiangeorge616
    @fabiangeorge616 4 роки тому +3

    Kwa ushauri tunaombwa tunapoandika mawazo yetu tujitahidi kutumia herufi kubwa YA mwanzo kwa making matakatifu kwa mfano ....Yesu,, Maria,,,Mungu.Kamwe tusitumie herufi ndogo kwa majina matakatifu.Samahani kwa watakaokwazika.

  • @einhardmlelwa8901
    @einhardmlelwa8901 2 роки тому +1

    Inafanya viziuri sana. Wimbo na ujumbe makini

  • @asifiwechaula4565
    @asifiwechaula4565 3 роки тому +1

    Mungu awabariki Sana wimbo mzuzuri

  • @AgnesMwita-uq9nq
    @AgnesMwita-uq9nq 4 місяці тому

    Kweli mkasa una kipaji Cha pekee hongera sana kwa utunz wa nyimbo nzur

  • @gifttewele9968
    @gifttewele9968 2 роки тому

    Mukasa mtunzi no moja afrika zima

  • @ochikomu1297
    @ochikomu1297 3 роки тому +1

    Mbarikiwe na bwana

  • @theresiapaul4795
    @theresiapaul4795 5 років тому +3

    Nimebarikiwa Sana Wimbo huu mbarikiwe Sana na bwana yesu

  • @nicholasedward2658
    @nicholasedward2658 4 роки тому +1

    Benard Mukasa nyimbo zako huwa zinanibariki sana

  • @joetemba6376
    @joetemba6376 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sn

  • @rozashinjeemanuelishinjeem5797
    @rozashinjeemanuelishinjeem5797 3 роки тому +1

    Hongereni wimbo mzuri sana

  • @stacykibutu365
    @stacykibutu365 4 роки тому +5

    Wow! Beautiful piece... Especially vthe hohoooos.......!!!!

  • @eliasgunze4935
    @eliasgunze4935 6 місяців тому

    Miongoni mwa nyimbo bora wimbo huu ni moja wapo kwangu huwa unanifikirisha sana

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 3 роки тому

    buriani dr. magufuli kazi umeimaliza na imani umeilinda