DUDU BAYA ATOA USHAURI HUU KWA NAPE BAADA YA KUTUMBULIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 2 місяці тому +3

    Wejamaa unaakili nyingi sana mdogo wangu

  • @PhilMmary
    @PhilMmary 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa ana akili sana Safi sana duduz

  • @kelvinmalahu3522
    @kelvinmalahu3522 2 місяці тому

    Safi Sana DuduZuri
    Umeongea Point Kubwa

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 2 місяці тому +2

    Nape hafai hata kidogo .labda akawwe muosha magari ya polisi

  • @elisanteabraham3249
    @elisanteabraham3249 2 місяці тому

    Huyu jamaa Yuko vizuri. Anafaa kuwa kiongozi huyu.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 місяці тому

    Nape haonyeki wala hatasikia. Aliposimama na watu,roho wa Mungu alimuingia lakini alipotumbuliwa akamuasi tena Mungu na kurudi nyuma kwenda kunyenyekea. Alipopewa Wizara ileile akaamini unyama ndio ngao yake na kuwatosa watu. Sasa hatakubalika mpaka Amrudie Mungu kwa kuwapigania watu badala ya kuwapiga kwa kuitikia maelekezo hasi na ovu ya kimfumo ili kutetea cheo chake! Wengine kama yeye bado watajiloga kwa midomo yao wenyewe ili Mungu apate kujitukuza juu ya wafalme kwaajili ya watu wake tunaoonewa!

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 місяці тому

    Kwani Nape mpaka atafutiwe mahali pengine? Nape sio musomi, lakini anajionyesha kasoma. Mwenye tabia yake haachi. Nape hawezi kubadilika. Kuna watanzania wengi wasomi, lakini ni Hawo hawo wanazungushwa. Nchi kwa sasa inatafunwa waziwazi.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому

    Mbona wapinzani wamekuwa wanapiga kelele kuhusu dhuruma kea watanzania mbona amuungi mkono?

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 місяці тому

    Rafiki yake Mr Nice

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 місяці тому

    Awekwe wapi? Watu wapo wengi sana yule Vodafone hao ni wapigaji sisi ccm vingozi wetu wamepoteza mwerekeo wanaandaa watoto wao siyo pajamas tena

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 місяці тому

    Nape ni JINGA LILE,,,,, ROPOROPO,,, HALIJIELEWI

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 2 місяці тому

    Yote hayo dawa yake nikatiba Mpya tu

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 2 місяці тому

    Huyo January Hana mvuto wa kua raisi

  • @knight6757
    @knight6757 2 місяці тому +1

    Ila..Tabia haina dawa!

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 2 місяці тому +1

    Magufuri angetoka angeingia bashiru ally

  • @abdallahhassan4163
    @abdallahhassan4163 2 місяці тому

    Bw Dudu mtu anaweza kusoma lakini elimu ikashindwa kumkomboa KWA dhana.Akili ya kawaida alichokizungumza ni tusi kwake na chama chake,na mwingine asiye awaye,na majivuno yenye kibri kisichoona,lkn katoboa gesi imeripuka imemuunguza

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 2 місяці тому

    Hivi yeye lazima apewe uongozi serikalini, wasomi katika nchi hii tunao wengi mno si lazima yeye. Atulie tu awe raia wa kawaida kwani kuna shidaaa.
    !!! Heh..!!!

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 2 місяці тому

    Wewe tabia ya mtu huwezi kuibadilisha

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 2 місяці тому

    Dudu baya wewe ni hazina kubwa ila JAMII haijakufaam

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 2 місяці тому

    Kwani hakuna watu wengine kwenye hizo kazi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому

    Kupokezana madaraka ya uraia katiba unasemaje kuhusu rais wa dini ipi aongoze.

  • @hassanhussein-ow7qh
    @hassanhussein-ow7qh 2 місяці тому +1

    Acha Dudu unasema nini? Nani sio mwizi CCM? Eti Mizengo Pinda au Kasim Majaliwa, hayo si ndio Mapapa yenyewe, yamekula mpaka yamevimbiwa 😂😂😂😂

  • @MashakaMashaka-t1f
    @MashakaMashaka-t1f 2 місяці тому

    Malezi mabaya ya ccm? ebu wekeni sawa apo