KWA UCHUNGU MKUBWA DUDU BAYA ALIA NA WAKRISTO NA WAISLAM ATOA SOMO KUBWA MWAMPOSA NA DR SULLE WATAJW

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 72

  • @user-ly4jw9qi9x
    @user-ly4jw9qi9x 2 місяці тому +9

    Mungu akufunike mtumish wa Mungu.leo nakupa jina jipya.wewe sasa unaitwa mwana mwema nasi dudubaya tena

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 2 місяці тому +16

    Dudu baya akili Yako moja ni sawa na wasanii wa Sasa hivi 20000

    • @Worldunite
      @Worldunite Місяць тому

      Zaidi ya 20,000 😂😂😂

  • @EmmanuelMaganga-be7bl
    @EmmanuelMaganga-be7bl Місяць тому +3

    Wew ni hatari sanaaaaaa brother ❤❤❤❤

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 2 місяці тому +6

    Mamba!, konki!, konki! Master. Uko vizuri wachache watakuelewa, ipo siku mtu mmoja atakuelewa na malaika watashangilia.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Місяць тому +2

    Ubarikiwe kiongozi dudu baya ❤

  • @T-Fellow
    @T-Fellow 2 місяці тому +3

    Dah, uncle Dudu Baya
    Nakubali sana unasema mazuri mapana manene!

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 22 дні тому +1

    Mungu aku simamieee inshallah

  • @user-el4pg9zg8w
    @user-el4pg9zg8w Місяць тому +1

    The master mind. The dudu

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 2 місяці тому +4

    Mwenye masikio ya kusikia na asikie

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому +1

    NIMEIPENDA HIYO.; MTUMISHI WA MUNGU UMEAMBIWA KUNA MGONJWA WASHA NDINGA UNAENDA KUTIMIZA WAJIBU❤❤❤❤❤❤. 😂😂😂😂😂😂. HAPO VIPI HAPO ❤❤❤❤❤❤

  • @abdulisike
    @abdulisike Місяць тому +1

    Konk konk konk master hua nafrai sana interview zako .

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 місяці тому +3

    Sawa kabisa manenoyako

  • @JustinaPeter-nq6dn
    @JustinaPeter-nq6dn 2 місяці тому +3

    Naitwa justina hiyo nmeielewa sana kka yang

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 2 місяці тому +2

    Maneno ya Mungu halisi hakika maadiki yetu yamemomonyoka Mungu akutumie.

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 місяці тому +3

    YES DUDUBAYA UKO RIGHT VIONGOZI WA DINI SASA HIVI NI WASANII.

  • @eliankota570
    @eliankota570 2 місяці тому +3

    Great thinker 👏👏

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +1

    Matendo 1:8
    Kaeni humu mpk mtiwe nguvu.....
    Ila yuko sahihi mtu unapambana eti upate kiwanja katikati ya makazi ya watu badala ya kwenda nje ya mji

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Місяць тому +1

    Huwezi kuwa kiongozi wa dini bila pesa kwa sababu kufanya kazi ya Mungu inataka pesa

  • @raymondthomas3960
    @raymondthomas3960 2 місяці тому +3

    Konki kweli una akili kaka nimekipenda bure

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 22 дні тому

    Wallah Tena dudu baya umengea point sana

  • @arjunmutotowadzaleka
    @arjunmutotowadzaleka 2 місяці тому +3

    Niatari Sana

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-qq2oc4bt3i
    @user-qq2oc4bt3i Місяць тому

    Mtumishi wa Munguu fanya Kazii Mungu ameshakuita tayariiii

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 місяці тому +3

    Dudu baya yupo sahihi

  • @alexandersangi1724
    @alexandersangi1724 2 місяці тому +2

    Aminaaaaaaaaa

  • @moussamoss2786
    @moussamoss2786 2 місяці тому +1

    Kwa muda mdogo tuu nime muelewa Dudu Baya kuliko jinsi nilikua sija muelewa Kwa muda mrefu. Wewe ni dhahabu ambayo haija safishwa,
    Ila ipo siku uta safika tu kaka.

  • @mnyama8
    @mnyama8 2 місяці тому +1

    Kiukwel Mungu alieko agano LA kale ambaye ni OG mwenyewr ni tofaut na Wa agano jipya ,Wa agano LA kale keshasema kabisa hakuna Mungu mwingie apasaye kuabudiwa juu mbinguni ,dunian au chini ya Maji ,lakin Mungu Wa agano jipya aseee , 😂😂😂😂😂anasema Yesu pia ni Mungu ,aaabudiwe na kuombwa uliniz na mahitaji Mengine ,sas a izo amri kumi zitakumbushwa SAA ngap

  • @njiasalamatv4794
    @njiasalamatv4794 2 дні тому

    DUDU BAYA FATILIA HOPE CHANEL TANZANIA.......
    UTASIKIA AMRI KUMI ZIKIFUNDISHWA KWA UPANA SANAA KUPITIA WAHUBIRI MBALIMBALI..
    MUNGU AKUBARIKI KWA KUJALI AMRI ZA MUNGU

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c Місяць тому

    Amri 10 zilikua ni adhabu ya izrael walishindwa kumwamin mungu ,na sio mataifa ,maana sisi zilikua sio adhabu zetu hizo ,ila sisi amri tunayotakiwa tuifaate ambayo ni asili ya utu wa ndan toka hapo mwanzo ni upendo ktk nafsi na wala sio hizo amri tunazozifuatilia ,wakati zilikua adhabu kwa izrael kwakua walimuuz kwakutomuamin yy, kikubwa sheria au amri kubwa ya moyon hua ni kuishi kwa iman ktk pendo na sio sheria hizo ambazo ni adhabu. Ila kwakua watu wameshazoea pasipo kuelewa uhalisia ,unakuta ndio maana wanakua wabaya zaidi maana wanafikilia amri za adhabu kuliko kufikilia haki ilio ktk sheria ya nafsi ya mtu kwa asili ambayo ni uoendo.

  • @abelmwakipesile9868
    @abelmwakipesile9868 2 місяці тому +3

    Nakubali

  • @user-uk6vv8ug1g
    @user-uk6vv8ug1g 2 місяці тому

    Kweli

  • @morisanicent6339
    @morisanicent6339 11 днів тому

    We kichwa..

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 2 місяці тому +1

    Kweli duduu

  • @AdilianoSiwale-pt5mu
    @AdilianoSiwale-pt5mu Місяць тому

    Amrikumi zimebaki kwa kakobetu maana yeye anakemea dhambi mpakaleo

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 місяці тому +1

    Dudu baya ... Uko sahihi

  • @johnfaustinechannel746
    @johnfaustinechannel746 Місяць тому

    Dudu baya! Limebaki tu jambo moja ! Soma Kutoka 20:3-17 uzijue amri 10 za Mungu za kweli ! Alafu zilinganishe na za kwenye Katekisimu utagundua kuna mahali tumepigwa!

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino Місяць тому

    Kwenye jamii hayo yapo, wengi wenye wake wazuri wasiojua Mungu ni tatizo kubwa 5:31

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY Місяць тому +1

    MISIKITI HAIFAI KUKAA MBALI.
    MISIKITI NI SEHEM YA MAISHA.
    5-TIMES SWALA
    MISIKITI NI SEHEM YA MAISHA

  • @KarimKajia
    @KarimKajia День тому

    Kupigana miti

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 місяці тому +1

    Dudu baya umeongea ukweli

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Місяць тому

    Simama na Mungu mtumikie Mungu tu

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Місяць тому

    Dudu Baya nyumba za Ibada zinajengwa jirani na makazi kwasababu ya kutaka wewe Kama DuduBaya Ifike kwenye nyumba ya Ibada ya kumuabudia Mungu. Hujajua kwa hata Yesu aliwafuta wenye dhambi majumbani mwao Kisha akala nao ndipo akawahubiria habari za Mungu na kuwaasa waache kufanya dhambi, kama ingekuwa kama hivyo unavyo fikilia basi angeenda kilimani au polini ili wenye dhambi na wanao taka kujua habari za Mungu wamfuate huko lakini Yesu alienda katikati ya miji na kuhubiri habari za Mungu.

  • @williamkavishe397
    @williamkavishe397 2 місяці тому

    Amri kumi Ni zipi tunaomba uzitaje nami nizijue mungu akubariki

    • @MajaliwaLechipya
      @MajaliwaLechipya 2 місяці тому

      Usiibe usizini usimshuhudie jilan yako uongo usilitaaje jina labwana Mungu wako bule usitaman usiseme uongo uikumbuke siku yasaba usimtumikishe mjakaz wako wala mnyama alieko malangon mwako

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      Soma kutoka 20 itazikuta hapo

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Місяць тому

    Anaishi nje ya mda Dudu Baya yuko really

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому

    NILIWAHI KUWAAMBIA HUYU NI ZAIDI YA WALE MITUME NA MANABII WA SASA HIVI MTANIELEWA TU NAMAANISHA NINI.

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 2 місяці тому +1

    Tumetoka somo baba siisawana watoto wa mbarikiwa kikosikazi

    • @thomaskiponda6079
      @thomaskiponda6079 Місяць тому

      Israelliiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @josejosepg6601
    @josejosepg6601 2 місяці тому

    Dudu bayaa master

  • @user-ly4jw9qi9x
    @user-ly4jw9qi9x 2 місяці тому

    Tunaomba namba zako mwana mwema

  • @user-uk6vv8ug1g
    @user-uk6vv8ug1g 2 місяці тому +1

    Dudu unatisha

  • @user-uk6vv8ug1g
    @user-uk6vv8ug1g 2 місяці тому

    Maokotoooo

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Місяць тому

    Dudu Baya zinaa ni jambo la kawaida kwa binadamu hata wakioana.😂

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 Місяць тому

    Sasa kwanini kwa mganga unatoa sadaka, lakini kwa watumishi asitoe sadaka?

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 12 днів тому

    Unacho sema niukweri mtupu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

    Wapo bwana
    Ila wachache😅

  • @Worldunite
    @Worldunite Місяць тому +2

    Unafuata amri 10, umekuwa myahudi😂😂😂😂😂😂😂

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Місяць тому

    Watu hawa wasipopiga kelele, mawe yatapiga kelele🤔 imefika hatua wanaojiita wanadini , wanahubiriwa na watu wanao waita wapagani

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 2 місяці тому

    Duh mwamba umeeleweka kiufupi

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 Місяць тому

    Mb zangu sijuti

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Dudu Baya nakutakwajinakubwa sana mpendwa hata mimi napenda ufunguwe kanisa tutakuhungamkono ndugu mpendwa wewe utakuwa mchungaji mzuri sana kabisa wa Chana Nahao wachungaji wamchongo mimi niko apa ujerumani tutakuhinua usihogopi kabisa

  • @user-xm9wr1lk4t
    @user-xm9wr1lk4t 2 місяці тому

    Wewe nae huna akili kabisa yaani; unaposema usioe mwanamke mzuri ndiyo upumbavu wa wapi!! Kuoa au kuolewa ni kibali, ni jambo la rohoni na halina uhusiano na muonekano wa nje!! We vipi!!!?
    Binafsi, nadhani huyu dudu sijui nani ameanza kudata!! Sehemu Gani mtume Paulo alisema bado!!!!? Acha uongo bro! Kama maandiko huyajui piga kimya na usiyaletee mazoea maandiko ya Mungu; Paulo anasema sikuyaasi Yale maono ya Mbinguni.
    Halafu mtu aliyeitwa kuifanya kazi ya Mungu ana muda wa kusikilizia; Na wewe dudubaya usije ukajidanganya kwamba wewe ukiacha kazi ya Mungu basi ndiyo haitatendeka, eti anataka nimtumikie Mungu kama mapadre wa Roman Catholic!
    DUDUBAYA HUNA WITO HUO; Kina Paulo, Musa, Petro, na wengine wengi waliacha kazi zao

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 Місяць тому

    Tatizo unazungumza vitu kwa akili zako, neno la Mungu linasema wataendeaje bila kupelekwa?

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl 2 місяці тому +1

    Kama amri za mungu ni kumi peke yake kila mmoja angeenda peponi. Halafu wewe ni unaongea ujinga tu nyinyi wasanii ndo mnaongoza kwa kutuharibia watoto kwa maadilu yenu ya kijinga. Ungeanza na wasanii wenzako ndo uje kwa viongozi wa dini. Halafu ulitaka mchungaji aje nyumbani kukushika mkono au? Acha upumbavu. Maadili yangeanza na wewe kwanza ndo utoke nje kuongea.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 2 місяці тому

    Wewe mwombe Mungu akupe neema na akuchague kwenye kazi yake