Walter Chilambo-Waiting On You (official Video Lyrics)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #walterchilambo #waitingonyou #gospelsong
.
.
Audio Song Produced by @walterchilambotz
Visual by Director AIC
Production by Love Music Brand /Mtungi studio
.
LYRICS
Jesus Ooh My Lord ×8
.
Japo kitambo kimepita
Bado nangojea ,I'm waiting on you
I'm waiting on you
Ahadi zako nazisubiria nitazipokea
I'm waiting on you I'm waiting on you
Japo kiza ni Nene na wingu Zito
I'm waiting on You I'm waiting on you
Maana hakuna mlima mrefu
Mbele zako Bwana
I'm waiting on you I'm waiting on you
Madakitari wanasema hakuna namna nyingine
Ya kufanya nipone mmmh inauma
Lakini neno lako Linasema
Hakuna mponyaji mwingine Bwana kama wewe
I'm waiting on you
.
Chorus
Jesus Ooh My lord ...Bado ninakungoja eeh
Jesus Ooh My lord..... oh my Lord
Jesus Ooh My lord......Nitakusubiri Bwana
Jesus Ooh My lord......Ujaposema na mimi
Jesus Ooh My lord......YESU utanijibu
Jesus Ooh My lord......Bado kidogo
.
Verse 2
Kama ulinivusha kwenye bahari
Kwa fimbo ya Musa
Naamini hata hili Bwana aahh litapita tu
Wewe mvunja maagano na vifungo
Urejeshaye uzima Bwana nakuamini tu
Ukisema unatenda Bwana Unatenda
Kweli unatenda we mwaminifu
Tukiomba wasikia maombi unajibu
Kweli unajibu I'm waiting on you
Japo kiza ni Nene na wingu Zito
I'm waiting on You I'm waiting on you
Maana hakuna mlima mrefu
Mbele zako Bwana
I'm waiting on you I'm waiting on you
Madakitari wanasema hakuna namna nyingine
Ya kufanya nipone mmmh inauma
Lakini neno lako Linasema
Hakuna mponyaji mwingine Bwana kama wewe
I'm waiting on you
.
Chorus
Jesus Ooh My lord ...Bado ninakungoja eeh
Jesus Ooh My lord..... oh my Lord
Jesus Ooh My lord......Nitakusubiri Bwana
Jesus Ooh My lord......Ujaposema na mimi
Jesus Ooh My lord......YESU utanijibu
Jesus Ooh My lord......Bado kidogo
Jesus Ooh My lord......wajua sina haraka nawe
Jesus Ooh My lord......ahadi zako unatimiza
Jesus Ooh My lord.......eehh Bwana Nipe utulivu
Jesus Ooh My lord......Oohh Jesus oh my lord
Jesus Ooh My lord.....Sina wasi wasi tena
Jesus Ooh My lord......kwa maaana tumaini langu ni wewe
Jesus Ooh My lord......Jesus oh My Lord
Jesus Ooh My lord......Jesus oh My Lord
Jesus Ooh My lord
Mungu anakupenda sana kaka walter chilambo hajawahi kukuacha yeye anayekupitisha kwenye changamoto ndie anayetengeneza mlango wa kutokea kwa utukufu wake
Ameeennn kaka mkubwa
1 Wakorinto 10: 13
🙏 amen
@@yvonnerichard2936unamahanisha nini baba
@@WalterChilambomungu akuongezeye Walter !naomba namba yako yasimu kwamawasiliano saidi samahani !
Sita kufa bali nita ishi nakutangaza matendo makubwa ya Bwana mbarikiwe sana watumishi wa Mungu wimbo mzuri🙏
Bado ninakungoja
😢😢 BWANA nipe uvumilivu
Jmn huu wimbo kama umekuja na ushuhuda yani anyway always God is good kuna siku nimesikikiza huu wimbo siku nzima nikamwambia Mungu huu wimbo ni maombi yangu nahisi nimekosa maneno lakn mtumishi wako kanisemea kupitia wimbo huu
Mungu bariki kazi ya mikono ya mtumishi wako @Walter_Chilambo
Nimekua wa kwanza jakan nimefurahi sana Mungu akutunze wewe na family yako
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him akisema anatenda, keep waiting on Him anakwenda kujibu itaji lako. Amen
Kaka walter nyimbo zako zurisana namimi Nina tamani nikuwe Kama wewe nifanyeje kaka ninacho juwa kikubwa no mungutu kaka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉
👍🎉 mtumishi wa Mungu. Mungu unayemtumikia Kwa njia ya mziki mtakatifu akutunze daima 🙏
Ubarikiwe sana kaka. Uko vzr sana ktk kutufariji I am waiting on you LORD❤❤
There's one uniqueness about kaka Walters songs.. It's original and always refers to the wonders and power of God YAWEH.. No matter which song I click, it point back to the cross and the power in the name of Jesus 🔥 🔥
Powerful kaka Walter, masterpiece ❤❤🇰🇪
In 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏
Mungu atatenda kwa wakati wake mtumishi wa Mungu. I am Waiting the Lord najua atatenda
Hallelujah Mungu yu mwema sana 🙏 😢 🙌 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akutumie zaidi 🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana my brother Walter chilambo unanitia Nguvu ya Mungu kufanya kwa utukufu wake
Yeah,,,,,,everything is possible with God.God be with you Bro
Mungu wetu ni mkuu siku zote anakuwazia mema balikiwa
Was working and I had to stop for a bit to listen to this powerful song.....
"Maombi anajibu hata kama giza ni nene, I'm waiting on you! "
Wapi mashabiki wa kenya jameni 🔥🔥🔥 hii motooo
Your songs keep touching my soul each time .🎉🎉
Nakubali mungu ndye pendo langu ,Am waiting on you Jesus 🙏🙏🙏🙏
Daaah kaka unajua sana Mungu aendelee kukuinua aaee
Nyimbo nzur no views
Jmn bongo but nyimbo za hovyo ......utasikia......good music bro
Wachane bhana, kazi kushadadia ujinga ila vya maana kama hivi aaaaaah!
All the best water chilambo love you so much ❤❤❤
Uko vizuri kijana Mungu kakubariki sauti
Nice song brother
Barikiwa Mtumishi wa Mungu🙏🙏
Keep on waiting my lovely gospel singer,am proud of you always 💪💪💪💪💪💪💪
Mungu akulinde my Brother
Hongera my kaka❤❤❤❤❤❤ kama siku zode nyimbo zako zimekua ibaada kwa kwetu
Gizazi 🙌🙌✅
Gloire a Jésus, Good song 🇨🇩🇹🇿
Mungu azidi kukuinua kaka. 🎉
Walter wewe niwabaraka...ila nakuomba jambo moja, usituvunje moyo jinsi Obby Alpha alivyo vunja wengine wetu ...Yeye kufanya Colabo na Diamond kidogo haileti sifa nzuri
🙌💥💥💥💥 I'm still waiting on God.......
Nitakusubiri bwana ujaposema name amen
Kenyans let's gather hear ❤🎉😊
God bless you Walter chilambo
Hongera sana kaka
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏
Ameeen mtumishi 🙏
Gloria from tiktok 🎉😊
hongera kaka walter chilambo 🎉kwa kazi njema sana hii imegusa maisha yangu ❤
Glory to God❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭
Nabarkiwa kuwa na rafiki kama wewe kaka
Nabarikiwa sanaa mtumishi wa Mungu
Japo kiza ni nene na wim=ngu zito, am waiting on you
Kaka water 🔥🔥🔥
Amen 😊😊
powerful🙌🙌
Brother MUNGU akubariki Sana nyimbo zako Toka only you Huwa unanigusa mnoo
Ubarikiwe Zaidi 🥰🥰🥰
Am waitin lord 2025🎉
Endelea kunyenyekea na kulitaja jina la yesu kwa ushindi mkubwa
Kaka barikiwa san nyimbo zako ni za viwango sana najua huwa unatumia hakili mingi sana kutunga pia Mungu huhusika zaidi ..I blessed God my blood
To every perdon waiting on God, Subiri🙏🙏He will be right in time❤
Kaka ubalikiwe zaaid hakika unamjua mnguu
Amen amen mtumishi hongera sana kaka kwa kazi nzuri sana 🙏❤
Always my best singer...may God bless you bro
Kaka huyo ndy walter tunaye mtaka siyo madudu mengine unayoimbaga big up broo
Amina
Yes, standing firm and waiting on God, we glued on him with nowhere to go, only Jesus, the king of Solutions. Nice lyrics, Very Encouraging and empowering.
Moto sana hii dogo
God is good, Awesome, and Great✊.....
Respect big broh nice song, watching from cape town
I'm waiting on you🤲🤲🤲🙌😥😥🙏stay blessed rafiki yangu 🙏
Good job, God bless you
Ubarikiweee
Pamoja kaka situna fata nyayo zako
God, you’re my light in the darkness 🙌🏽🙌🏽🙌🏽❤️
Wimbo huu ume ni gisa kabisa !
Am waiting on you lord 🙏
Amen SANA kaka
Amen.
♨️🎉🎉
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aseeeeee 🎉🎉
Am waiting on you Lord hear my prayer
Eee Bwana nipe utulivu..
Walter 🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
Amina 🙏
fabby lucas swah❤
🎉🎉🎉❤
This song ❤
🔥🔥🔥
🙏💯
🔥🔥🙏🏽🙏🏽
Amen 🙏
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
I still waiting on you GOD
❤❤❤❤
Account imerud hongera kaka
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri lakini vitendo sijapendaa nyinyi sio waimbaji wa Mungu
Zambians let's gather here
Finally we are back
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉?🎉❤
Huu wimbo nimeamka nao leo🔥 kila kona naukuta kuanzia ndani yangu Mungu akubariki kaka NA VP KUHUSU TAARIFA ZA KUFUTIWA ACCOUNT???
😭😭😭😭😭🙏