Nyimbo zako zinatia moyo sana kaka, mimi kazi yangu nikukuombea TU kwa Mungu azidi kukutumia. Itoshe kusema hii nayo tayari ninayo kwenye frash nasikiliza na kuitazama pamoja na famili nyumbani. Heshima yako Jeph
Inspiring song, more especially to youths, we should keep pushing to make ends meet though the the end looks bleak. Don't ever look down on others, God is there watching.😊😊
Blessed be father Clarissa, may God grant you a long life and may we continue to be blessed by your songs. And whoever is reading this comment, may God bless you too 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This song has come on the right time am trusting God for breakthrough over my business. i connect my self with this song may all that he has written for me come to pass. AMEN
Good job, the zabron singers 👨🎤. Japhet's voice does not disappoint 👏 🙌. Your voice is what to watch for. Unatangaza injili ya kweli kabisa. I love it 😀 😍 like it. You go my friend. Niko hapa Uengerezani nasikia Sauti yako kwa umbali. ❤😂😮😅😢🎉🎉😅😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
I thank God I was amongst the first people to listen to listen to this song while on our way from Jacks housewarming.haki si hii wimbo niliitafuta sana youtube .sikua najua haujairelease😂😂❤❤
Wakenya najua mko huku,,,much love ❤️❤️❤️
Tukakosa kwingine lakini sio kwa zabron singers
Tunapita tu
Oooh, my people wakenya tuko mercy
Tunakosaje😂😂😂
Ukienda wapy na huku ni nyumbani@@mercyatieno6886
Wimbo mzur sana tuliopenda huu wimbo tujuane weka like
Wimbo mzur Asante 🥰🥰
toka nianze mfatilia mtumishi japhet sijawahi pata hata like 10 jamn
Nice song hope next ni ya kwaya mzima mwenye anakubaliana nami aweke like tukisonga
Wil be back with a testimony 😢😢
I'm going through a lot ,, someone like my comment ntarudi
Wimbo mzuri huu much love from kenya 🇰🇪
Song ni 🔥🔥🔥🔥🔥inabariki Moyo wangu
Mr Azalia ni 🔥🔥🔥🔥kazi nzuriiiiiii
huu wimbo kablaa hata hujatoka ulikuwa tayari umeshanibariki
Mungu akuongoze katika huduma hiii
Wabeja sana💪❤
Kijana, hii nyimbo inabariki, inatia moyo, na inamkumbusha mwenye uwezo kuheshimu utu wa mtu. Hongera sana, umeupiga mwingi Japhet.
Who else came to listen 👂🏼 to this song in full from TikTok?
Mmh! Kweli Mungu fundi kwa nyimbo hii! 🎉🎉💯
Kaka japher huu wimbo 90%umegusa maisha yangu barikiwa Sana mtumishi wa baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaan wimbo huu umeuleta kwa Wakati sahihi sana,mana watu wanayonicheka kwaajili ya maisha yangu 🙌🙌
Nice song with good messages....uende mbele
nimebarikiwa sana na huu wimbo. Mungu azidi kukubariki Mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏
Waonyeshe kwamba uko Mungu muumba vyote
Kazi nzuri sana bro tubarikiwe na wimbo unao tiya moyo sana wakati sahihi ukifika utanibariki❤
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu nabalikiwa Sana na nyimbo zako
I'M SO GLAD I FOUND THIS TODAY
Team 🇰🇪 hili ni ombi letu
Nimebarikiwa sana kaka ni kama unaimba kisa changu God bless you ,kisa sina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤ God bless japhet for christ name amen
Kazi nzuri mungu akuongezee marifaa Kila kutwapo leo
Amen! wimbo mzuri mtumishi wa Mungu!
Wimbo mzuri san ❤ from 🇧🇮🇧🇮
I always get blessed from Zabron singers. Good job
Msanii wangu bora ,nyimbo nzuri sana
I'm walking with this song this week❤
We cherish you Japheth pamoja na wenzako wote kikundi cha Zabron singers.
Pure love from Kenya 🇰🇪
Nyimbo zako zinatia moyo sana kaka, mimi kazi yangu nikukuombea TU kwa Mungu azidi kukutumia. Itoshe kusema hii nayo tayari ninayo kwenye frash nasikiliza na kuitazama pamoja na famili nyumbani. Heshima yako Jeph
Huu wimbo Ume ni Bariki Kabisaa 💯💯💯💯✅ Barikiwa Sana Mtumishi 🙏🙏 wa Mungu Japheth Zabron Mimi ni shabiki Wako kutoka Kenya 🇰🇪
Inspiring song, more especially to youths, we should keep pushing to make ends meet though the the end looks bleak. Don't ever look down on others, God is there watching.😊😊
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤nipenii likes
Wimbo mzuri,,, Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪 ❤️❤️❤️❤️
Neema nyingi Japhet❤❤❤
keep it up bro, nataman kuwa kama wew🙏🙏
Bwana asifiwe sana, this talent is lit ❤❤❤🙏
Nice song 🎉
This song is on another level
Ameee
Wimbo wenye ujumbe maalum 🫡🫡🫡💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏 tunapokea mema tu kutoka kwako Mungu nimwema hakika tutapata hata kama hatunaaa❤
❤❤❤
Wa kwanza kuja nipeni like zangu, kazi nzuri as always Japhet
Great project aki more blessings
Wasio like wote ni Goliath
Weee hii nyimbo kama nipo hapa ndani da Asante kaka kwa kutubariki sisi tunao pambana kwaajili ya familia zetu
Ameen
From Saudi, nice song feeling blessed here
❤❤wimbo mzuri nmebarikiwa nao
Keep up the good music alive
Blessed be father Clarissa, may God grant you a long life and may we continue to be blessed by your songs. And whoever is reading this comment, may God bless you too 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nice song. Mungu skubariki
Ubarikiwe kwa wimbo mtamu
🕊️❤️Si mzembe kweli. ❤️🕊️blessings.
Aller de l'avant mon grand frère
Kaa unaamini wee ni tajiri kwa ulimwengu wa kiroho gonga hapa 👍
Waooo!! Nmefeal bless sana kuisikiliza ujumbe wa wimbo huu,, ubarikiwe sanaa mtumishi wa MUNGU
God never disappoint..His time is the best
Kazi nzuri❤❤❤❤ kweli kabisa Yote yatujiayo maishani Mungu alikwisha kutuandikia ubarikiwe
Nyimbo zako hunitia moyo na kuniinua kila ninapohisi kushindwa, barikiwa sana ndugu yetu kutoka Kenya 🇰🇪 twakupenda❤
This song has come on the right time am trusting God for breakthrough over my business. i connect my self with this song may all that he has written for me come to pass. AMEN
Kazi nzuri sasa🎉🎉🎉🎉🎉
Melody ya kipekee sana ,Sema nini kisa sina🎉🎉
Nice song my brother ❤
AMEN 🙌🙌🙌🙌
Nice song brother 🎉
Baraka tele🎉🎉🎉
Amen🙏
Wimbo ni mzuri ila tumezoea kuwaona wote mkiimba pamoja!
Wakenya tulifika mapema bila kuchelewa
Wimbo nzuri sana pongezi Kenya tunawapenda sana
Nice song God defense you Japhet Zabron we wish you all the best forever and ever!!
Wow 😲 wimbo mzuri sana mtumishi nabarikiwa San na nyimbo zako Mungu akuinue zaidi
Mungu hawabariki kwa nyimbo zuri sana❤🙏🙏🙏
Good job, the zabron singers 👨🎤. Japhet's voice does not disappoint 👏 🙌. Your voice is what to watch for. Unatangaza injili ya kweli kabisa. I love it 😀 😍 like it. You go my friend. Niko hapa Uengerezani nasikia Sauti yako kwa umbali. ❤😂😮😅😢🎉🎉😅😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen nyimbo muzuri sana
Mungu akubariki sana
❤❤❤🙏
The song came at the right tine, Amen Japhet
May God bless you 🇨🇩mwimbo nzuri kaka Japhet
Kazi nzuri sana Brother
daaah wimbo nimeimbiwa mimi kabisa ❤❤❤❤❤❤
Wow, kweli una kipawa ndugu yetu...Usanii wa hali ya juu... Barikiwa zaidi unapotubariki... Hongera 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii wimbo ni yangu last year nimechokesha watu wengi kubeba mzigo sio wao but mungu nakushukuru kwa yote ❤❤from kenya much love
😅
Mungu azidi kukuweka Mr🤝kazi nzuri kama ilivyo desturi yako kutuletea vitu vizuri🤗
Be blessed Mr japhet I'm from kenya nice song God bless you and we love you all pass our greatings to your group🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri🙏Mungu akubariki, azidi kukuinua hata katika viwango vya juu zaidi🙏
Ubarikiwe sana mtumishi 🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ❤️❤️❤️❤️❤️
Nimebarikiwa sana bro❤❤
Mzuri sana nimeupenda ❤❤❤
Hit song❤
Nice song..zabron family be my best gospel singers forever ❤❤❤ am blessed 🇰🇪
Kazi safi mtumishi wa Mungu
I thank God I was amongst the first people to listen to listen to this song while on our way from Jacks housewarming.haki si hii wimbo niliitafuta sana youtube .sikua najua haujairelease😂😂❤❤
Keep the good music alive
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri sana ❤❤❤❤❤
Roho wa Mungu awe nawe siku zote mtumishi wa Mungu.