Alichokiomba mama wa mtoto aliyetekwa na kupatikana ameuawa kwa Watanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Judith Richard (20), mama yake na Asimwe Novath, mtoto mwenye ualbino aliyetekwa na kuaawa hivi karibuni, ameomba familia ikubali awezeshwe kumudu maisha na kuendelea na masomo ya fani ya ushonaji aliyokatisha baada ya kupata ujauzito.
    Judith anasema kabla ya kuwa na uhusiano na Novath (24) baba wa Asimwe, alikuwa mwanafunzi wa chuo cha ufundi Veta Ndorage, kilichopo wilayani Muleba mkoani Kagera.
    Akizungumza na Mwananchi jana, alisema kutokana na janga kubwa la kumpoteza mpendwa wake, familia haikubali aendelee kuishi alipokuwa akiishi awali, hivyo anaomba jamii na Watanzania kwa ujumla kumsaidia kumudu maisha na kuendelea na mafunzo ya ushonaji.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 місяці тому +1

    UmEZIDUWA NA KUKU.?? ANALINDA WATOTO WAKE? AFU UNAPATA UJASILIBWAPI WA KUOMBA NYUMBA MARA DUKA LWENDA ZAKO HUKO KALIME

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 місяці тому

    Hiyo ni akili gani?yaani mliopo hapo woote hamuwezi kumjengea kijumba mpaka mtuchangishe watanzania woote?kumbukeni hii nchi ni kubwa na watanzania wenye shida ni mamilioni.hata siamini kama hizi ni akili za vijana au za wazee.hizi menyu za shule za ugali na maharage ni kama zinaharibu I Q za watanzania.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 місяці тому

    Hamfahi kanisa . Nyoooote mmeshondwa lumlinda mtoto 1??? HAKUNA WA KUTIA HATA SENTI

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 2 місяці тому

    😢😢😢😢

  • @annadeus7505
    @annadeus7505 2 місяці тому

    😊

  • @emilynathanielluvanda8298
    @emilynathanielluvanda8298 3 місяці тому

    Najiuliza mtoto aliponyakuliwa na watu wabaya wa roho
    Ilitakiwa nguvu hyo inayotumika sasa ndo ingetumika wakati kaibiwa
    Huenda tungempata akiwa hai

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 3 місяці тому

      Kwakweli😢

    • @chikujuma18
      @chikujuma18 3 місяці тому

      Mtihan kwakeli

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 3 місяці тому

      Kweli hakuna faida😢😢 maan alipo nyakuliwa nguv aikutendeka haraka kufanyika wakat wanajuwa kwamba Hawa viumbe walemav wangoz Wana fanyiwa mazar uzun kwakwer 😢😢😢

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 3 місяці тому

    Wakitokal
    Hapo huaoni