HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 493

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 10 місяців тому +2

    Hili zee sawa na baba angu kila kitu mke wangu baba angu ameowa wake 9 anaowa anaacha lakin hili Bibi moja haliachwi na wala halizai baba limewezwa kila kitu mke wangu

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому +3

    Asanteni sana nyote koo mzima ya ktv tz Online hakika hii ni Fahari yetu musiache kutupa muendelezo sehemu ya 4 ikiwa itakuwepo na nyenginezo Inshaallah

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 7 років тому +2

    Hongera bb salut nakupongez ww jembe umenena bb yang

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 15 днів тому

    Hongira mzee wangu kwa ma amuzia yako mshikia mkeyo ndiyo atakushika watoto hawanadinia nihatare

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +1

    Pole baba mungu akusaidie

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 6 років тому +3

    Amen amen. Shida uyo mama. Mama wa kambo ni janga.mimi mpaka sumu nilipewa Mungu akaninusuru. Na uyo mzee awagawie watoto sehemu ya mali . na akumbuke hao ni watoto wake na mke siyo mtoto wake. Amen.

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 роки тому +1

      Hivi unajua Sheria wewe? Sio lazima mwenye Mai awape ulithi anaweza akazigawa kwigine kabisa acheni uvivu tafuteni Mali zenu Sasa hivi watoto hamfanyi kazi Nawaza Mali za wazee tu, akiamua hawapi ansuza au anawapa mayatima mtamfanya Nini uzuri mwenye Mali ndo mwenye uamzi,, na wewe pole kupewa Sumu na mamako huyo ndo mwenye roho mbaya wengine hawana roho Hizo mbaya

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 10 місяців тому +1

      Shenzii mama wakambo wote hakuna mnzuli mama wakambo ukiona mama wakambo kakulea umekuwa mxhukulu mungu alifanya mbinu nyingi ila mungu kakukinga hakuna mama wakambo mwema wote nimbwa 2 kama mbwa wengine ctaki kukumbuka nyooooooio mbwa mama wakambo

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому +12

    Mashaa Allah babu nime muelewa yupo sahihi wao washurikie waume zao na yy ashurikiwe na mkewe isipo kuwa watembeleane mm nime muelewa babu kumbe sio mzee kiivo kumladhimisha akae pekeyake ooo tunataka kumlea mm babu yangu mzaa baba alikua na mali mashaa Allah nyumba na magali lakini wallah ss wajukuu atukushobokea wala nn tena ata watoto kila mtu alikua ana pambana na hali yake zilikua zinamsaidia yy tena alikua mzee kuliko ata uyo tena alikua na watoto wa 8 naakuna ata walio gombea mali saaa uyo babu sio mzee kiivo kujifanya wataka mlea tena kamakweli wana mpenda na wanataka radhi zake wamuache akae kwake atoe sadaka kwa watu kama anavofanya ndio watapata baraka zake yy kuliko kumkasirisha akachukia kikubwa watoto wajishushe

    • @abrahmaniomar9858
      @abrahmaniomar9858 5 років тому

      mimi naona kama kawatekeleza watoto wanane na huyu mke kazaa naye kweli pesa watoto fitina

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 роки тому

      Kama ttzo mali basi wasimtukane mkewake wakae nae baba kwa hekima atawaelewa ila kinachoonekana wametsngulia choyo et baba wa Taifa maskini na wenyewe kakubali yuko sahihi dini Imani yake ndo inavyosema sadaka hasa kwa umri wake anajua anachokifanya Allah ampe mwisho mwema

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 7 років тому +4

    Big Up Baba.. You said it Right. 👍 These Children are hypocrites...!

  • @MrAllydullah
    @MrAllydullah 7 років тому +4

    Mungu akuzidishie afya njema mzee na akuepusha na Husda za wanao. Hao watoto wako ni tamaa mpaka inatia aibu ktk dini ya kiislamu. Tamaa wameweka mbele Allah awaongoze

  • @aboudmsonde3137
    @aboudmsonde3137 6 років тому +5

    Masha Allah mzee upo makini sana watoto fitna hao

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 7 років тому +36

    Hongera mzee n ndio sahihi wameolewa wabaki kwenye ndoa zao

    • @abdullakhamis777
      @abdullakhamis777 7 років тому +3

      bila ya shaka

    • @kimmseinvtz
      @kimmseinvtz 7 років тому +2

      Sawa kabisa, baba yuko sahihi 100%

    • @abdulrahman282
      @abdulrahman282 7 років тому +2

      Reemii Omar kubaki kwa mume kweli lakini watoto wanahaki duniani na Akhera

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 6 років тому +1

      Hongra nini ,huyu mzee karogwa kweli

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      Watoto wana haki kwa wazazi wao!

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 років тому +5

    wallah afadhal utamkeeee mwenyewee ....mashaAllah

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali 2 місяці тому

    Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR

  • @peninafredrick3317
    @peninafredrick3317 6 років тому +7

    Nimekupenda mzee wanguuu

  • @zuenasalim7136
    @zuenasalim7136 6 років тому +2

    Mzeee Ma sha Allah.Ndio ivoooo...umeongeaa

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 8 місяців тому

    Mzee hoyeeeee, Mzee juuuuuuu, Mzee poaaaaaa , Mzee Mungu Akujalie afya Bora. Umezeeka na hekima yote.

  • @cholocaptain1623
    @cholocaptain1623 2 роки тому

    Sawa sawa father

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 7 років тому +7

    Safi sanaa mzee kwa msimamo, Na pia masha Allah kumbe umzima wa afya na pia una akili zako timamu halafu wanakuzushia kua unaumwa, watoto sio wale mzee ukithubutu kukaa nao karibu wanaweza hata kukutilia sumu ili tu ufe haraka.

  • @selemanimmeswa3556
    @selemanimmeswa3556 7 років тому

    pole sana,

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 7 років тому

    Nachokiona hapo ulisi muzee Andike mapema ulisi sahizi mabo moto je badae nimauji hakuna kingine mhh❤❤❤❤❤❤ pole san muzee

  • @rebmanwillbard7464
    @rebmanwillbard7464 4 місяці тому

    Huyu Mzee Mwenyezi Mungu azidi kumlinda ,Yuko vizuri.

  • @mariacassian1927
    @mariacassian1927 6 років тому +2

    tamaa mbaya jamani muachieni atumie malizake kwaraha katafuta kwashida atumie kwaraha

  • @a.856
    @a.856 7 років тому +25

    Hakuna kurogwa wala nini baba mzee anasema ukweli mtupu angekuwa hana mke sawa wangeishi nae wao lakin ana mkewe wamuche apumuwe habar za kumteka wakataka kumpofuwa waache wapambane na hali zao na wao kama mahodari.

    • @puritywamboi4040
      @puritywamboi4040 6 років тому

      Doa&mum sasa hapa umeongea kama wazee wa kijiji kumi yes umeolewa kaa kwako na mumewe tena hio miaka yote akitunzwa na hao wajukuu wengine walikua wapi mtu akiwa kwa shida atakae kukusaidia huo mda ndio utakae mtambua hata awe mtoto wako umezaa na alikutoka wakati wa shida mkubwa ndio ni wako lakini utaishi kusema kama si flani kweli singekua hapa ama hivi thats why we say a friend in need is a friend in deed hope point taken.shukrahn

  • @shaffyabdul878
    @shaffyabdul878 6 років тому +2

    Inalillah wainaillah rajiuni. Mtamuua Mzee kabla yasiku. Muacheni Mzee

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 місяці тому +1

    Mmmh mzee kasha nasa hajielewi 😂😂😂

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 7 років тому +20

    Mmmh Subhallah mtihani huu.Mzee uko sawa kabisa

    • @sadahamad5390
      @sadahamad5390 6 років тому

      Kawashushuwa

    • @merryn4891
      @merryn4891 6 років тому

      +Sada Hamad yani hadi aibu

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 6 років тому

      Huyu mzee hayupo sawa karogwa sio yy mwwnyeww kabisa

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 6 років тому

      Huyu mzee afanyiwe dawa,hayupo sawa na huyu bibi analotaka watoto watengane na baba yao ili yy afaidi Mali vizuri,na ndio maana anawakataa watoto ,kwa kurogwa,lipwata halija mtoka uyoo

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 9 місяців тому

    Baba uko sawa kabisa wao watafute maisha yao kweli baba hao watahusika na mli yako mpaka ufe. Sahihi unavyosema baba hawana radhi wote hao.

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 7 років тому +1

    Mzee anamahaba niuwe kwa mama watoto tulizeni visepe wenyewe bado wanapenda japo kua wazeee 👍

  • @neziali6992
    @neziali6992 7 років тому

    Asnte mtangazaji uko sawa nakukubali kazi

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 7 років тому

    ee mungu tunusuru dunia yaisha pole mzeee hao watoto wanallaana

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 років тому

    Mmh 😩😩😩 yajayo yanafurahisha

  • @AzizaMengwa-wg5ik
    @AzizaMengwa-wg5ik 4 місяці тому

    Safi mzeee

  • @mwanashaabdallah3638
    @mwanashaabdallah3638 7 років тому +2

    Hayaaaaaaa mambo ndo hayo pia mm nataka kuishi na mumewangu sitaki tabu watoto hukooooo mbali 😀😀😀😀

  • @fatmahchambo2037
    @fatmahchambo2037 6 років тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂
    Nimecheka kama mazuri jamani dah...huyu baba kiboko Wallah

    • @hadijaangura6572
      @hadijaangura6572 6 років тому

      Huyu mzee anachotaka ni urith tu upote hana lingine huyu mwanamke kampika vixuri huyu mzee

  • @msafiribakari5941
    @msafiribakari5941 7 років тому +1

    Kazi ipo kaeni nawaume zenu nikae na mke wangu,uko sawa mzee

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 років тому +17

    Mzee usharogwa lakini Allah akuondoshee mtihani huo.

  • @kimedinson5879
    @kimedinson5879 6 років тому

    pole mzee

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 2 роки тому

    Pole sana baba yatakwisha waelewe wanachotaka ubaki na mkeo kwa amani nafsi zao Zina tizama mali sio furaha wala Amani yako

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 4 місяці тому

    Huyu mzee Yuko vizuri sana ,natamani ningeoa Kwa huyu mzee tusaidiane kuwanyoosha hao wanae

  • @chachamadini9372
    @chachamadini9372 6 років тому +8

    Huyu mzee sio yeye kisha fanywa msukule, hayo yametokea kwenye familia yetu hawa wake wadogo shida sana

  • @amanrashid9993
    @amanrashid9993 7 років тому

    Nashukuru mungu napambana nahali yangu

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 7 років тому

    Ndungu mutangazaji hongela umejitahidi sana

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 роки тому +1

    Libwataaa jmn

    • @mudriqhamidu6031
      @mudriqhamidu6031 4 роки тому

      Inamaana hata ww baba ymo amewekewa limbwata na mama yko ? Mbna mpka leo wapo wte wanaish🤔⁉️

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 років тому +25

    Hao watoto wana kiu na mali tu,hawana lolote ni njaa tu ndio inawasumbua,tafuteni vyakwenu,mali ya baba watoto inawahusu nini,tafuteni vya kwenu

  • @abdullakhamis777
    @abdullakhamis777 7 років тому +9

    duh!!! hapa kazi ipo ila Allah awafanyie wepesi. Na pia sio jambo zuri watoto kuingilia mapenzi ya wazee wao kama mali ni zake mwenyewe na wao watafute zao wasitegemee za mzee

  • @mustafajamal8829
    @mustafajamal8829 7 років тому +1

    Da kiukwel msingalie upande mmoja sir ya apo anaijua mungu na wao weny kila upand inamalengo yakee apo ila ipo siku yatakwish tuu mungu awaongozee hawa waislam wenzetu inshaall

  • @charles-lc4pp
    @charles-lc4pp 3 місяці тому

    baba hongera sana watoto wasikuhizi mbwelambwela weweulishawasomosha basi watoto wasikuhizi nishida tatizo tamaaaaazinawasumbua

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 6 років тому +3

    Mmh,huyu mzee nae dish

  • @suraiyasaidy2849
    @suraiyasaidy2849 6 років тому

    Baba ume sema vizuri sana

  • @suraiyasaidy2849
    @suraiyasaidy2849 6 років тому

    Safi sana baba

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 6 років тому +1

    ni kweli baba lkn watembelee wajiskie vibaya watoto ni mzee wao pia wakiwa na matatizo ktk ndoa zao uwape ushauri mzuri baba

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 роки тому

    Huyu mzeee anaongea point sana!!mtoto Hana haki. Kwenye kurithi labda itokee wazazi wameamua kuwaandikisha watoto basi! Huyu baba yuko sawa kabisa!!! Watoto muacheni baba yenu na mumuheshimu huyo mama kama mamayenu mzazi mtapata fungu Lenu siku Moja

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 років тому

    😂😂😁😂😃😃😄😅😅😅😆😆😆😅😄😃😆😆😆😆safi sana mzee hy mawanawake hayana akili na wenyewe watafute mali zao jmn

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 7 років тому +3

    Hao watoto ni wajeuri sanaaa tena sana tena sanaaaa maaana ukiwaona tuuu utawajua kua ni wajeuri.

  • @mohdmaalim2129
    @mohdmaalim2129 7 років тому

    MZEE anajielewa nayukosahihi nawalahajawakataa watoto mtt akishaolewa bbhanamajukumu tenakwamtt wakealieolewa wtt wamuachemzee namkewe nawao wakae nawaumezao ibaki kutembeleanatuu hebutusomeni kuruan inatuongoza vipkwabb namtt aliekwisha olewa nawengine musitoe maoniyakishabikitu angalieni diniinaeleza nn musiwape sapotwatt ilihali wanapotea wasije wakapata laanabure watt wakaewamsikilize bbyaoanatakann nanawasihwatt wamuomberazi bbyaoinshalla mwenyezi Munguatupe taufiki

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 7 років тому +2

    Baba ametulizwa hapo huba zashinda uchawi afu baba mwenyewe bado adai😁
    Wao wataka kumueka kama kizere baba bado hajachemsha huyu yuko proper

  • @jumaazuberi9317
    @jumaazuberi9317 7 років тому +11

    Jamani nyie watoto muogopeni ALLAH hivi mmemuacha Mzee hakuswali Ijumaa nyinyi hilo mtaenda kujibu. Huyo ni baba yenu na nyinyi ni waislam na kunasherie ya dini Mzee akifa sheria ya dini itagawa mirathi sasa haraka yenu ya nini.

  • @mohammedaliabdallah5508
    @mohammedaliabdallah5508 4 роки тому

    Kuhusu urathi mzee ni lazima awape watoto wake ikiwa niwa halali, asiseme haiwahusu. Wana haki kwa hilo. Shukran

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 7 років тому

    Ni.Zanzibar halisi.mzewagu.salam.kutoka.marekani.usiwatu.pewanao.

  • @suraiyasaidy2849
    @suraiyasaidy2849 6 років тому

    Wana rahana awo watoto

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 6 років тому

    Hahahahaha wao wajue za zaume zao na Mimi na mke wangu basiiii... Baba umenena hao watoto wanalana na watapata Lana na Mzee acha usia wamali kabisa watakuuwa wanao uache watu wauwane..... Baba Wa taifa hongera sana kwa busara

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 7 років тому +15

    mzee wao ana mali nyingi lkn inavyoonekana hawapi taarifa wanawe juu ya mali hizo sasa wanahofia endapo mzee akifariki watazulumiwa urithi wao.

    • @suleshmussa1349
      @suleshmussa1349 7 років тому

      rashid suleiman ...ndio wana tamaa...mungu kasema mali na watoto ni fitna..na fitna zenyewe ndio hizoo...akifa urithi watapata kwa sheria ya dini

    • @denniskiango6901
      @denniskiango6901 6 років тому +1

      Watafute zao wasimuombee mzee afe Mali si kitu mzee wao ndio wamwombeee aishi maisha marefu

  • @rashidmohamedomar8300
    @rashidmohamedomar8300 7 років тому +7

    At pengine wao wamebadilisha dini. Tatizo hili liwe funzo kwa wale wote wanaoacha kujituma eti kisa baba ana mali na wale wajukuu wanaotamani mirath za babu na bibi zao iliha babu, bib, mama na mama au baba zao wapo hai. Tumia rasilimali za wazizi kutafuta cha kwako tengea bado mdogo ili ukiwa mkubwa unusurike na kumpangia matumiz mzazi wako.

    • @mauwam3627
      @mauwam3627 7 років тому

      rashidmohamed omar uyo mzee kamuoa uyo mkew hana kitu mpk saiv kawa na mali wana chuki binafs

    • @janethshoo1213
      @janethshoo1213 7 років тому

      Mnaosema HAWA watoto wabaya angalieni hill jambo kwa undani, he na ndugu zake wa KUZALIWA naye woote asiwepo walau moja anayezunguza la hero upande wa mke wa MZEE Mcha. Sisi kwenye familia yetu yalitukuta kwa kaka yetu. Mpaka wazazi wakati wa uhai wao waliingilia kati na mpaka wore wanafariki hapakuwa na jawabu. Usiombe kujua mke wa kaka alivyoruchrukia baada ya kuona wazazi wetu hawako tena. Ndo na mambo ya uchawi kaweka waziwazi. Sie kila MTU alikuwa na Mali zake na familia take. Hata mashemeji ndugu za mke walimuhurumia kaka yetu alivyokuwa akitendwa na mkewe, yaani Hugo Dada yao. Tena bila kujali kuwa NI Dada yao walidiriki kushirikiana nasi ili kunusuru kaka yetu mikononi mwa mke wake bila mafanikio maana siku zote kaka yetu alitushinda kwa kuwa kile mke anaamua yeye hakuweza kupinga. Uzuri hata watoro wao waliona jinsi baba yao na ndoa ya mateso kutoka kwa mama. Watoto wao hawakuweza, walipoanaza kukua walijaribu kumpiga mama yao baba aliwakataza kwa maneno makali tena akiwatishia kutokuwa na radhi nao. Kaka yetu kafariki wiki 2 zilizopita. Mke kamzika Jmosi LAKINO siku ya JNNE kamtia mtoto rumande aliyeonekana kutetea baba wakati wa uhai wake. Ninapoandika hapa huyo mtoto huko ndani.mambo duniani yako makubwa SAA nyingine yanazidi hata ya kuzimu inategemea wanaosimamia utekelezaji ujasiri wa kuzimu KIASI gani. Sisi WiFi yetu hana habari na wazazi wake wore wawili na wakijaribu kumkanya matendo anawatamkia wazazi wake kuwa NI wachawi. Mke wa kaka yetu mchungaji alimfukuza kanisani na alimpiga marufuku asionekane kukanyaga eneo hilo.kaka naye akaamua kuondoka na mke wake. Mambo NI makubwa siwezi hapa kuwaelezea, bado tuna uchungu, kakakweli kafa sio kwa muda wake, LAKINO Mara moja mateso yamehamia kwa watoto. Tunajisikia vibaya. Serikali haiamini uchawi, ndo maana huko kuzimu wanabuni mbinu za kutekeleza kazi za shetani duniani KIASI kwamba KIASI kwamba suala litalapowasilishwa kwenye Sheria bado watendaji wa shetani wataonekana kuwa washindi.

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 6 років тому +9

    Asalam alikum warahmatullah wabarakatu
    254
    Nimesikiza bando zote mpili kwa watt na baba lkn kwa baba yy asema wanawe wakae kwa waume zao na ukiangalia watt wa mke wake ako nao na wana watt kama wanae mbona hawaambi waende kwa waume zao na lakushanga mpaka wajuku wa mke wake wako hapo hapo wanaoshi kwa jicho la tatu kuna kitu tena cha wazii kabisa

  • @Msakatonge23
    @Msakatonge23 4 роки тому

    Kabla ya kucoment ni vzuru tuangali part 1 and 2 maana mm nahisi amerogwa mzee haku chingine

  • @WaheedMahrouk
    @WaheedMahrouk Рік тому

    Jaman huyu baba mtihan wamuache tu😂😂

  • @muniraathman1453
    @muniraathman1453 5 років тому

    Wewe mwelekeo wako kulingana na maneno yako hutaki kujua kuhusu wanao umempa mkeo kipao mbele zaidi huwashirikishi wanao na msaada unaopendeza zaidi kwa Mungu niwakizazi chako sio miskitini wala watu wa nje mwanzo wasaidie wanao uwashughulishe katika mambo yako uwe karibu nao yote haya yatakwisha

  • @shareefaali6129
    @shareefaali6129 7 років тому +11

    Baba nmekupenda bure kwa majibu yako umewakomesha sheeeenzi zao

  • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
    @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 років тому

    😂😂😂 baba tajili ami mi ningemteka 😁😁😁😁

  • @dismasdonald745
    @dismasdonald745 5 років тому

    Mzee uko sawa kabisa! Watafute za kwao! Ukitonga hapana. Waache u zezeta

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 4 роки тому +1

    Mzee karudi kwa wanawe
    Sasa kheeeri kuko shwari
    KVTZ mnalo hiloooo

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 років тому

    Mashaa allah

  • @lupakisyomsese8210
    @lupakisyomsese8210 7 років тому +1

    Mungu pekee ndie anajua ukweli wa hili jambo, tusihukumu kwa kauli ya huyu baba.Hata mama anaweza kuchezesha vichwa vya hiyo familia.kutekwa baba anaweza panga hata huyo mama ili mzee achukie watoto.Pia watoto wamuombe mungu aoneshe ukweli uongo ujitenge.Wampende mama yao kama vile mzazi.

  • @sulebinjuma9966
    @sulebinjuma9966 7 років тому +2

    Yaliobaharini yasubiriwe ufukweni,
    Mitihani mengine ni hatari Ila Allah atunusuru na Imani za kishirikina
    Allah alete ufumbuzi juu ya ukweli wa Mzee huyu na watt wake na jamaa zake Ammin

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 7 років тому +1

    Awa ndio wazee wa Zanzibar 😂😂😂

  • @mkamimatha2692
    @mkamimatha2692 7 років тому

    safi sana

  • @reginalaurent5175
    @reginalaurent5175 6 років тому

    Duh wababa jaman tuhurumien watt wenu jaman

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 роки тому

    🙄🙄🙄🤔🤔mtihani Subhannallah ☹️ mmh Bora ya Mimi Baba yangu amenikataa nashuhudia Tu Mali zake mitandaoni😭☹️na hata kama ningelelewa na Baba......sidhani kama ningekodolea macho mambo ya kijinga kama hayoo😏Kwa sababu hata mama yangu walizaliwa wawili Tu Ila mjomba kashatangulia sasaa miaka 7 na mama ana nyumba aliicha Bibi na babu ya maana Tu Ila pia sina Mda nao Kwa maana ninajielewa natafuta vya kwangu Kwa Ajili ya mwanangu now yupo mmoja miaka 10 na wengine nikijaaliwa Kwa sasa NI singo Maza😢 na Sisi tupo wawili Tu Mimi na Kaka japo tulizaliwa 7 wenzetu wametangulia .Kwa sasa nipo zangu Oman Nina miaka 4 nimeanza kujenga Kwa jasho langu Kaka nae ana kwake na ana Mali zake mashallah, hatuna tatizo na mama yetu kumkaba koho hela hela wala nini tunamuacha ale jasho la Baba Ake Sisi halituhusu.Sasaa ninyi nawaona wa ajabu Sana aisee 😬

  • @alinuhu3727
    @alinuhu3727 7 років тому

    Mzee anaongea sawa ila pia anakosea, hapa dunia mke muhimu watoto muhimu zaidi maana ndio dumu yako, huu ni mtihani Mzee anao ila hajaangalia kwa makini zaidi,jiulize kwann watoto wa mke wake wanafahamiana na hakuna baya wala matatizo ila kwa watoto wake Mzee kuna matatizo na ni wabaya na ugomvi kila siku ukiangalia huu mtihani ulivyo unajua tu kuwa ipo naona, watoto wa wakija nyumba inakosa amani ila wale wanaoishi pale hawana kosa fikiri sana ndipo ukoment mzee apate washauri wazuri juu ya familia yake na ajue wale ni watt wake wana haki kwake kwa kila kitu na mke pia ana haki kwake, inaumiza sana unapoona mzee wako anahudumiwa na watu Wengine wakati ww upo inaonekana watoto wa mke huduma za kawaida zote za mzee wanafanya wao maana mke kwa muonekano tu huwezi, ila mzee ana mtihani sana,nyinyi watoto wa mzee kaeni chini muyaongee kuhusu mzee wenu na mtafute njia sahihi, Allah atawsadia inshaallah

  • @aliothman9519
    @aliothman9519 2 роки тому

    Wewe mzee mke na watoto ni vitu viwili tofauti,, mke utamuacha na ataolewa na mtu mwengine,, usiwadharau watoto wako,, hata kama wanamtukana mama yao wa kambo usiangalie upande wa mke wako tu na wanao wape sehem ya maisha yako

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 5 років тому +2

    Mzee yupo na akili zake na uzima wake hawa watoto hawana akili wanafanya imani za kishirikina tu Hamna lolote
    Mama wa jambo ni mama na mjukuu wa mama wa jambo ni mjukuu wa baba pia

  • @ibranassor610
    @ibranassor610 4 роки тому +1

    Huyu mzee ana akili zako jamani anazungunza kosept tupu

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 6 років тому

    Kweli mzee uko sawa. Lkn ujue hao ni wanao nawana haki kukurithi.

  • @mwanakhamishaji4236
    @mwanakhamishaji4236 7 років тому +8

    Hao watt wote ndo wawe wabaya jaman hebu tumien akiliiiiii..

  • @kimendehemed9664
    @kimendehemed9664 6 років тому +1

    hata akiwakana duniani ila kesho akhera watalipa

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 7 років тому

    Inapendeza mbaya maana nawafaham vzr sana hawa watoto enz hizo walipokuwa wakiish pale michenzani Block number 4
    But sijui ata kuna jinamizi qan kati yao.
    Yarrab tuepushe na mifarakano ya namna hii

  • @MaryamMaryam-ij3uw
    @MaryamMaryam-ij3uw 6 років тому +6

    Loh uyu baba karogwa kweli Mimi baba angu anamke na sisi katuozesha lkn wanawe anatujali kuliko mkewe hahaha apo eshima akuna kwa mana huyo mama anapewa kichwa na uyo baba

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 6 років тому +1

    walikuteka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 7 років тому

    SubhaAllah

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 7 років тому +6

    Dini yetu yakiislamu inatwambia Mali na Watoto ni fitna.

  • @pastor_mashimo
    @pastor_mashimo 6 років тому

    Naugana na mzee hapa sinza kuna mzee anamiaka 95 watoto wake wa kuwazaa walimfukuza kwenye nyumba yake baba yao. Lakini Mungu ni kamsaidia kusimamia kesi mahakamani na mzee yule ameshinda kesi na nyumba amekabithiwa

  • @daudipaulomatanga2947
    @daudipaulomatanga2947 4 роки тому

    Uko Sawa mzee

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому

    Si dhambi mzee kuwaarifu watoto wako katika mipango yako!!!

  • @saudatoller642
    @saudatoller642 9 місяців тому

    Watu wameeka mbele tamaa tu, wana nguvu wana waume pia ila still wanaakili mbovu
    Mzee yupo sahihi kbsa anatka akae n wife
    Mtekeni tena huyu mzee😂😂😂

  • @ramadhanmkude594
    @ramadhanmkude594 7 років тому +2

    Hakika ya malizenu wake zenu na watoto wenu ni mtihani kwenu.

  • @AminaKhamls
    @AminaKhamls 7 років тому +3

    Baba uko sahih

    • @kimmseinvtz
      @kimmseinvtz 7 років тому

      Amina 1999 Khamls1111 Yuko sahihi kabisa.

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 7 років тому +9

    subhana llah nilisema vidio yapili kuwa hawa watoto wanaonesha waongo wanamchukia mama yao looo wanatafuta kujitwika chupi kichwani baadae waseme mamayao wakambo kawaroga kumbe wamejiroga wenyewe kwa razi ya mzazi wao

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 років тому +5

    Uyu mzee ameshafanywa msukule nahuyu bibi hasikii haoni hhhhh

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 7 років тому

    Mzee uko sahihi kbsa...na wanawe walisema eti ana matatizo ya akili lkn mzee anaonekana yuko sawa kbsa na haoneshi akiwa na matatizo jamani watoto acheni thana mbaya kwa alio eleza huyu baba yani yuko sahihi wabaki na waume zao na yy abaki na mkewe...mie nawaombea Allah awajalie maskilizano mema inshaallah

  • @missiffa4636
    @missiffa4636 6 років тому +2

    Wamuwache baba yao karidhika na mkewe