NYAKATI ZA MWISHO NA HUMPHREY POLEPOLE - WASAFI TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2020
  • Haya ni Mahojiano niliyofanya na Wasafi TV katika kipindi cha Wasafi Sunday Worship kuhusu Nyakati za Mwisho na kurudi kwa Bwana wetu Yesu Kristo ili atuchukue ili alipo na mimi na wewe na yule tunaomwamini tuwepo. Karibu kusikiliza na Mungu akakupe kibali cha kuelewa. Amina.
    Zingatio: Maudhui haya ni yangu binafsi kama Muumin wa Dini, Mkristo, Niliyeokoka, Ninampenda Yesu na Ninakwenda Mbinguni.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 686

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому +3

    Utukufu kwa Bwana Mwema Hongeleni kugundua Polepole ana kitu mbarikiwe Sana Abarikiwe kujua Neema Hii ya Yesu Kristo Aliyehai Imependeza Sana Glory to God In Jesus Name.

  • @mtumishiwambwana5564
    @mtumishiwambwana5564 3 роки тому +43

    ni kweli nimeamini MUNGU anavyovifaa amejisazia. usilete kiburi kwa YESU ana watu wengi kwa ajili ya kazi yake.

    • @thawabuunique9154
      @thawabuunique9154 3 роки тому

      Yan KIPINDI hiki nimekipenda Sana ila nyie watangazaji msimtangulie my polepole anapokuwa anaelezea, muwe wapole kumsikiliza misidakie maswali just KWA juu mnamfanya mtu hata asahau alichotaka kumalizia

    • @heavenlight5084
      @heavenlight5084 3 роки тому +1

      It's true

    • @leticiakato478
      @leticiakato478 3 роки тому +1

      H. Polepole asante kwa ufafanuzi, ubarikiwe.

    • @birazenomasanamarco621
      @birazenomasanamarco621 2 роки тому +1

      Amakweli duniani tunapita kila mtu kaka tunapaswa kufanya mema2 maana hapa dunia twapita tuheshimiane na kutendeana mema2 usifanyie mtu unaya ukaona utafaidika mungu akusimamie kaka upo sawa sema ukweli hata kwenye siasa simama hivyo

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 3 роки тому +23

    Hizi dakk 42 nimeziona kama dakk 5 zimeisha ghafla. Hili ni muhimu sana kuliko jambo lolote lile.

  • @denilsondenis3990
    @denilsondenis3990 3 роки тому +33

    HUMPHREY UNA JICHO LA KUONA KWENYE NENO LA MUNGU, UNA NURU YA MAANDIKO! I appreciate you brother.

    • @stratega03
      @stratega03 3 роки тому +1

      Gotchaaaaa😂😂😂😂....kumbe huku pia upooo

    • @denilsondenis3990
      @denilsondenis3990 3 роки тому +1

      @@stratega03 Nipo sana....mti uliopandwa kando ya maji lazima uwe Kijani hahahaha

    • @pst.mathewnestory4201
      @pst.mathewnestory4201 3 роки тому

      Weeeeeee huyu kuna mwalimu kahusika mambo haya yapo vyuoni msitudanganye kwamba ni Roho

    • @denilsondenis3990
      @denilsondenis3990 3 роки тому +2

      @@pst.mathewnestory4201 kama ni hivyo pia anastahili kupongezwa kwasababu tuna watu wengi makanisani na madhabahuni ambao wameikataa knowledge na hata mwalimu hawako tayari kumsikiliza.....so kama mtu amejifunza to this level then he's teachable

    • @pst.mathewnestory4201
      @pst.mathewnestory4201 3 роки тому +2

      Kweli kabisa unachokisema,wengi wao hawawezi hata kuelezea pamoja na kwamba wamejifunza

  • @theonestrenatus954
    @theonestrenatus954 3 роки тому +16

    Sikujua kuwa mh.wewe ni mtumishi mzuri WA BWANA kiasi hiki,,hakika umefundisha vyema Somo ambalo ata watumishi waliosomea huwa hawalifundishi vzr kama ulivyofundisha,,taji yako utaikuta Kwa BABA..Barikiwa Sana...

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 3 роки тому +13

    Somo kuhusu unyakuo ni kweli, lakini kurudi kwa Bwana Yesu kati ya 2035 au 2042 haitakuwa exactly. Kwa sababu hata muda wa waisraeli kukaa Misri ktk utabiri ni miaka 400,lakini wakakaa huko miaka 430. Mwanzo 15:13. Lakini ikaongezeka na kufika miaka 430. Kutoka 12:40. Kwa hiyo hatakuwa ktk hesabu hizo, lakini ktk kipindi hiki cha kutoka mwaka 2000- na kuendelea unyakuo utatokea. Ndugu Polepole amejitahidi ktk kuwaandaa watu kwa ajili ya unyakuo, ila asiwaaminishe watu kuwa ni kati ya 2035 au 2042, Bwana Yesu anaweza kurudi hata sasa. Thanks Wasafi.

    • @melikkatwiga1081
      @melikkatwiga1081 3 роки тому

      Nauliza swali kwanini kati ya wanafunzi wa yesu 12 wote walikuwa wanaume

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +1

      @@melikkatwiga1081 wanafunzi walikuwa wanaume ila pia wanawake manabii walikuwepo na walimfuata kama Maria magdalena, Martha.
      Aligawa kazi kulingana na ilivyompendeza.

    • @zephaniazacharia519
      @zephaniazacharia519 3 роки тому +2

      Comment yako nmeona we ndo umejarbu kua against nmekuelewa lakn pia neno linasema hakna aijuae SKU wala SAA kwaio hyo ya 2042 mm skubalian nayo

    • @gabrielnyenye6964
      @gabrielnyenye6964 3 роки тому +2

      Sawa umetoa hoja ya kupinga, ingekuwa vema utoe na somo la wapi imani yako imesimamia katika maandiko.

    • @airbus380a6
      @airbus380a6 3 роки тому +3

      @@zephaniazacharia519 hamtajua siku wala saa lakini unaweza kujua season au mwaka....kutokana na Yesu aliyosema yatatokea kabla ya siku ya mwisho.
      mbaka sasa 99% yametokea ina maana rapture/ unyakuo ni anytime from now. Ukisoma bible with the help of holy spirit utafunuliwa calculations zilivyokaa.

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 роки тому +1

    Nimekuelew mh pole pole asante kwa neno la mungu miaka 120 ukifanya mema hapa funiani kwahiyo maneno ya hayati jpm na matendo yake yote yapo kwenye bibilia asante jpm mi pia nampenda mungu wangu

  • @alexezekiel5280
    @alexezekiel5280 3 роки тому +26

    Sasa nimeelewa hekima YAKO inakotoka!!
    Hongera Sana.

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 роки тому +2

    Sasa nime tambua kwanini ulikua pamoja na hayati Magufuli, hakika taifa tunayo hadhina ya kutosha.
    Mungu tupe njia ilio bora pekeetu hatuwezi 🙏

  • @rogatiusscarion726
    @rogatiusscarion726 3 роки тому +27

    Namshukuru mungu taifa letu limepata viongozi werevu ,wanaojua nyakati vizuri

  • @congressmr8594
    @congressmr8594 2 роки тому +2

    Mungu atusaidie kuimarisha Imani zetu na mafunuo ya neno lake.
    Asnte kwa Neno mtumishi.

  • @dayanakassanga944
    @dayanakassanga944 2 роки тому +2

    Pole pole ndo anaongea wokovu halisi ambao haujachakachuliwa wokovu wa ukweli ukifuata haya ukaacha dhambi zote na ubaya wa kila namna hakiyanani mbinguni lazima uende.amina

  • @glorykibona3761
    @glorykibona3761 3 роки тому +1

    Nimejikuta2 nalia baada yakuskiliza kipindi hiki kuanzia mwanzo had I mwisho hongera sana mh polepole kuna kitu nimejifunza kutoka kwako MUNGU akubaliki pamoja na wote mliopo kwenye hii injili

  • @rudovickmajimaji7116
    @rudovickmajimaji7116 3 роки тому +2

    Kaka Humphrey polepole, Nimeamini Mungu yupo kazini. Tunashukuru kutukumbusha kuhusu kujiweka tayari. Hakika Mungu anatupenda, mweye sikio na asikie.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому

    Ni kujiandaa yuko Karibu Yehova Ema neno halibadiliki usiongeze usipunguze ufunuo

  • @sijalikifunyo912
    @sijalikifunyo912 3 роки тому +16

    Ndo maana Prez Dar wetu yuko vizuri anazungukwa na wacha Mungu kama hawa. Good sana.

  • @user-cs2ud6id9e
    @user-cs2ud6id9e Місяць тому

    Humfrey Mungu akubariki sana umenifundisha sana ila unakarama ya utumishi

  • @washindionlinetv9315
    @washindionlinetv9315 3 роки тому +4

    Kaka polepole, wewe ni mtumishi wa Mungu. Tumika tumika. Ni nyakati za Mwisho

  • @merryeduward3028
    @merryeduward3028 3 роки тому +5

    Mungu uliye juu Nakupenda sana mungu barikiwa mtumishi wa mungu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +2

    Hubiri sana baba mungu atakubariki sana

  • @lwitikomwakalinga3798
    @lwitikomwakalinga3798 Рік тому

    Mungu akubariki mh nilimuomba Roho mtakatifu anifundishe nisiyoyajua nashangaa huku nako nimeongeza maarifa

  • @keeptimenimrod3770
    @keeptimenimrod3770 3 роки тому +8

    Safi sana, kweny siasa upo na kwa Yesu upo!!!. Mwingne akishaingia kweny mambo ya kidunia Mungu anamweka pembeni!!. Utawala huu wa Mh. J.P.Magufuri ni utawala ambao Mungu anatukuzwa sana kuliko tawala zingine zilizopita!!. Hongera mtumishi kwa ujumbe mzuri

  • @yohanalazaro4973
    @yohanalazaro4973 3 роки тому +2

    Polepole hongera Sana wewe kumbe ni mtumish wa mungu

  • @nabwikeswedy346
    @nabwikeswedy346 3 роки тому +4

    Yesu atusaidie sana hakikaaa, ubarikiwe kutukumbusha

  • @michaelemmanuel7089
    @michaelemmanuel7089 3 роки тому +2

    Kwanza kabisa nina kila sababu ya kusema, MUNGU asante kwa sababu unatupenda watoto wako ndio mana unaleta hawa watu waseme,pili nawashukuru kwa dhati wasafi waliomwita mtumishi huyu,na mwisho kabisa Shukrani za kipekee kwa polepole, ninakusihi ulio tufundisha amina naomba uyaishi hayo mpaka YESU atakapokuja kutunyakua tulio watakatifu,amen.

  • @vailethpeter7209
    @vailethpeter7209 3 роки тому +1

    Yesu anarudi ndugu zangu nikujiweka tayari ndokilichobaki hali inatishasana sana wapendwa asaukiangalia waubiri waleo wanaojiita manabii badala wawaambie watu ujiowa Yesu kurudi wao wanapambana kusema pokeaaa uyoanaeambiwa pokea ndokwaza unaishi na mume wa mtu au anadaiwa na damu zisizo kuwa na hatia kwa kutoa mimba hakika Mungu atusaidie lkn hali ya sasa inatisha mwenye masikio na asikie

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 3 роки тому +4

    Binafsi nampenda Sana Yesu ,,ni kweli hakutaja siku maalumu ya kurudi maana alisema hatujui siku wala SAA ,,lakini dalili zote za kurudi kwake aliziainisha ,,asomaye na atambue ,,Mambo haya wamrgichwa watu wenye akili na hekima wakafunuliwa watoto wachanga, ila si wachanga wale unaowajua wewe,,Groly to God

    • @dannychagana3019
      @dannychagana3019 3 роки тому

      Mbona nabii Daniel alioneshwa siku za mwisho ni lini?

    • @eddyjuniortz2234
      @eddyjuniortz2234 3 роки тому

      @@dannychagana3019 okay alisema ni lini?

    • @dannychagana3019
      @dannychagana3019 3 роки тому

      @@eddyjuniortz2234 soma Daniel 12:1 - 13 utaona aliambiwa ni lini mwisho wa mambo haya. Ila kumbuka siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka 1,000 kwa mwanadamu
      Pia ni kweli kabisa kusema; hakuna ajuaye siku wala saa ya siku ya mwisho. Ila kwa mujibu wa Daniel mwaka unajulikana. Tuendelee kutafakali kwa amani mambo haya bila kuogopesana

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 3 роки тому

      Hahahaaa msipofaham ni kwamba siku ya mwisho ishafika na kazi zilishapimwa kwa moto

    • @eddyjuniortz2234
      @eddyjuniortz2234 3 роки тому

      @@chrismassawe326 mmmmh chriss kweli?

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 роки тому

    Hubirini watu waokoke, wamjue Kristo,kina masanja na wahubiri wengine
    Tuache mahubiri yasiyowaandaa watu!
    Ushajiuliza kwann miaka hii kuanzia 2019 mpk sasa Mungu anachukua watumishi wake waliomtumikia kwa uaminifu,hataki watu wake wauone huu uharibifu

  • @peaceofmind7036
    @peaceofmind7036 2 роки тому +1

    Kaka Hamfey kiukweli. Umenifanya nimgeukie Mungu tangu sasa maana kila ulichokisema ni kweli tupu. Binafsi umenifanya kua na wivu sana na wewe kwa namna unavvo mjua Mungu ungali bado u kijana. Nakuombea kwa Mungu tamanio lako la kuingia Mbinguni litimie kwa Jina la yesu kristo. Amen

  • @user-cs2ud6id9e
    @user-cs2ud6id9e Місяць тому

    Pole pole ni kweli mengi yametokea me naamini kweli siku zimeisha

  • @deviskaliare5420
    @deviskaliare5420 3 роки тому +11

    Barikiwa sana mheshimiwa kwa ufafanuzi mzuri na kwa unyenyekevu mkubwa kama kawaida yako,
    I have lent a lot, Mungu wetu wa mbinguni aendelee kukulinda.

  • @charlesdaniely4656
    @charlesdaniely4656 3 роки тому +1

    Amen Amen Amen ukiachilia mbali na siasa ana karama ya utukufu wa MUNGU hakika kiongozi wa kuigwa na MUNGU akuinue kwa huduma yako Amen

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому +1

    Amina,Hakika Tusilete kiburi kwa Mungu anawatu wengi

  • @elebencoltd8649
    @elebencoltd8649 2 роки тому +1

    Mungu wa mbinguni akubariki Kaka Polepole kwa Kazi njema uliyoifanya

  • @herieliyesaya2086
    @herieliyesaya2086 3 роки тому +23

    Kaka hamphrey mafunzo yako yamenifundisha roho wa mungu awe pamoja nawe

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 3 роки тому +1

    Bwana Yesu nitenge na dunia nikauone uzima wa milele. barikiwa mtu wa Mungu Polepole.

  • @nasrahassanmasesa3745
    @nasrahassanmasesa3745 3 роки тому +1

    Tumrudie mwenyezi mungu kwa mema ili muda ukifika tunyakuliwe wote kwenda binguni

  • @chedielmbwambo4385
    @chedielmbwambo4385 3 роки тому +3

    Kaka polepole una maarifa mazuri sana ya Biblia. Hongera hiyo ni hazina na ni neema ya MUNGU kwako. Umenibariki mno mno 👏👏👏

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 3 роки тому +2

    Neno la MUNGU ni kweli kabisa. Na litahubiriwa popote mahali popote na yeyote atakaetakiwa kufanya hivyo. AMEN

  • @mariamsebogo9816
    @mariamsebogo9816 3 роки тому +1

    Amini mtumishi wa Mungu ni wakati wa maandalizi.

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 2 роки тому +1

    Asante sana kwa kujenga kiroho ni mekusikiliza vizuri sana katika mafundisho haya naubarikiwe sana

  • @eliyagikaro6426
    @eliyagikaro6426 3 роки тому +1

    Polepole, nimemkubali!hakika ni mtumishi wa Mungu.

  • @gugainukaentertainment85
    @gugainukaentertainment85 3 роки тому

    AMINAAA KUBWAAA'SAANA SAAAANA AISEEE NIMEPOKEA HUU UJUMBE MAHUSUSI KWAAJILI YA KANISA LA KRISTO NA WANADAMU WAKAAO JUU YA USO WA NCHI. TUCHANGAMKE TUKAINUE VICHWA VYETU KWASABABU UKOMBOZI WETU UMEKARIBIA

  • @iuem5792
    @iuem5792 2 роки тому

    Aisee Yesu Kristo ni mwema sana.Ndio maana watu wanaonyeshwa sana unanyakuo sasa hivi Nyie chanjeni tu

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema sana. Humphrey Polepole uendelee kufundisha. 🙏

  • @richardsanga1711
    @richardsanga1711 3 роки тому +2

    Mungu ndo mwema atuongoze katika mema yote asant yesu kwa kunifia msalabani nifutie jina langu kwenye kitabu cha huku ameni

  • @kataninyido962
    @kataninyido962 3 роки тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kusimama katika haki ya Mungu, wewe nikiongezi imara usieteteleka umeonyesha ushupavu kama Gwajima, nyinyi mnafaa mmebeba watanzania wengi sana natutaendelea kuwafuata mawazo yenu tumewaona nyinyi ni viongozi wazuri mnafaa na tutawapa kura za ndio tena zakutosha, sisi tunawafuatilia sana kwenye mitandao mko makini mno mnamapenzi mema na watanzania wengi Ahsante 🙏🙏🙏

  • @rosemarymgalula8939
    @rosemarymgalula8939 Рік тому

    Mtumishi uko sahihi siku zimeisha tujiweke tayari tumtafute zaidi Mungu na kutengeneza mahusiano yetu Yesu Kristo yuko mlangoni sana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 роки тому +3

    Nimegundua kuwa watu wengi walioitwa kutumika wame diverge na kuingia kwenye masuala mengine kabisa!
    Shetani mjanja sana,lkn Yesu ni Bwana itafahamika tu

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 роки тому +12

    Ndugu Mh. Polepole kumbe umekuja Hadi humuu safi sana mkuuu 🇹🇿❤️🙏🏽

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 3 роки тому +2

    Nimebarikiwa sana mtumishi polepole🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 роки тому +3

    Mh Polepole Asante kwa kutufunulia hayo maneno yenye hekima kwa wale wamwaminie Mungu alietuumba.
    Tunaomba uwe na kipindi cha kuwaelimisha wana wa Mungu ili hata wale wasiomwamini wajue ipo siku na saa ambayo kila wanadamu awe tayari kuyapokea hayo mapito.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому

    Wonderful Safi Sana Atukuzwe Kristo

  • @israelmtega1886
    @israelmtega1886 3 роки тому +1

    Napenda sanaaa kusikiliza maneno ya Mungu

  • @tithomtitu32
    @tithomtitu32 3 роки тому

    Ivi Yesu akija sasa kuna mtu atajitetea kuwa hakusika neno maana Mungu anajaribu kutumia kila aina watu maadamu akufahamishe kuwa wakati umekaribia ni wakati wang na wako wa kujutakasa na kujianda kwaajir ya unyakuo Mungu akubariki sana mheshimiwa pole pole hakika umetumika vyema sana na Mungu pia azidi kukutumia zaidi katika kutimiza kusudi alilo kuitia hatimae heanda tukapata neema ya Yesu kristo katika unyakuo wake tukawa miongon mwao watakao nyakuliwa Amen......🙏

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 3 роки тому +3

    Haaa!!kumbe Mh.Polepole ni mhubiri mzuri namna hii!!!!!!Barikiwa sana baba.

  • @gabrielnyenye6964
    @gabrielnyenye6964 3 роки тому +3

    BWANA akubariki Humphrey. Umeonyesha msimamo wako kimaandiko, nimekuheshimu kwa hilo.

  • @lailaselmin9590
    @lailaselmin9590 3 роки тому +2

    Namshukulu Mungu kwaajili ya neno la lakuniandaa

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 3 роки тому

    Atukuzwe mungu aliye. Umba mbingu na nche tazama alivyo wainua watumishi wake wanatangaza habari njema. Kuhusu kurudi kwa kwa yesu wateule tuwe macho

  • @noelkamundi1602
    @noelkamundi1602 3 роки тому +1

    Nampongeza ndugu Humphrey Pole pole Yuko vizuri Sana kimaandiko na haya ndio yanayopaswa kuelekezana kila siku.

  • @boazmandago2381
    @boazmandago2381 3 роки тому +2

    Umenishangaza sana Mkuu polepole, sikujua kama na huku uko tena zaidi ya kule!

  • @stevenkahabi2600
    @stevenkahabi2600 3 роки тому +1

    Ubalikiwe sana na MUNGU aendelee kuku pigania na kukulinda zidi ya hila na vita dhidi ya muovu ibilisi shetani . U so inspired me 🙏👏

  • @nuruyauzimatv
    @nuruyauzimatv 3 роки тому +2

    Daaah balikiwe Sana mtumishi wa MUNGU kumbe na kwenye uchungaji ipo Safi Sana mungu akupe neema ya kuuona ufarume wa MUNGU

  • @stelamkane9775
    @stelamkane9775 3 роки тому

    Kweli Mungu ana watumishi wengi ,naomba Mungu akutie nguvu pamoja NA watumishi wengine wamhubiri Yesu kuwa ni Bwana NA Mwokozi wetu , nasiku tusiyoijua atakuja kulichukua kanisa lake

  • @peterntora5041
    @peterntora5041 3 роки тому +1

    Amina kamanda kazi yako no njema ubarikiwe sana mtumishi wa Kristo Muokozi wetu! Hakika Mungu ana vifaa!!!!

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому

    Mmependeza kwa Bwana barikiwa.

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 роки тому +2

    Hawa ndio viongozi tunao waitaji katika maisha yetu Barikiwa Baba Polepoe 👏🙌🙏💚

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 2 місяці тому +1

    Neno la Uzima MUNGU BABA WA Mbinguni Atubarikie sote

  • @frankcheba2185
    @frankcheba2185 3 роки тому

    Nimefurahi sana kusikia kaka yangu polepole unakijua vzur kile nilichokuwa nakifahamu,kiukweli nimebarikiwa na umenitia nguvu upya... Mungu ni mwema sana

  • @nabwikeswedy346
    @nabwikeswedy346 3 роки тому +3

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏

  • @daisykilatu7903
    @daisykilatu7903 3 роки тому +1

    wewe dada mtangazaji Mungu akujalie kumjua yeye zaidi

    • @michaelmunene738
      @michaelmunene738 3 роки тому

      Sina lakusema mungu awabariki nyote jamani tuombeane uzima

  • @josephatdubi6038
    @josephatdubi6038 3 роки тому

    Hongera Mtumishi wa Mungu Polepole kwa ujumbe wa siku za mwisho! Wee,umenibariki Sana! Mimi Ni Mchungaji na Mwalimu wa vyuo vya Biblia,nimefurahia, wewe Ni mtafiti Kama Waberoya

  • @tilifozakikoti5046
    @tilifozakikoti5046 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sanaa polepole wewe ni mtumishi hasaa Mungu akutunze

    • @nicksonmbaga7698
      @nicksonmbaga7698 3 роки тому

      Sasa kama miaka saba ya dhiki ya yako inaanza wakati watakatifu wameshanyakuliwa, hiyo hakuna kuuza wala kununua mpaka uwe na chapa ya mnyama yani 666, hawa wote waliobaki ni waasi hiyo chaps ni ya nini sasa?

  • @erickwilson5698
    @erickwilson5698 3 роки тому +3

    Aise Mungu atusaidie

  • @martinchadulaga5745
    @martinchadulaga5745 3 роки тому

    Uko vizuri sana polepole ila umekosea kidogo sana unabi unasema hivi baada ya Yesu kuja Dunian kwa mara ya pili watakatifu watamlaki Yesu hewani kwa waovu wote ule utukufu wa yesu kwa kuwaangazia watakufa ila watakatifu wataenda zao mbinguni hakuna unyakuo Yesu atapokuja kila jicho litamwona hata wale waliomtesa watamwona

  • @mpelienock
    @mpelienock 3 роки тому

    Asante Humphrey pole pole, kaa huko yachunguze maandiko na utukumbushe kujiandaa kwa unyakuo.

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 роки тому +3

    Yaani MAGUFULI kaondoka kama Yesu katuonyesha viongozi wabaya wako vipi na viongozi Wema wako vipi 😭😭 tunakushuru Mungu Baba 🤲🙏

    • @richardkaswalala780
      @richardkaswalala780 3 роки тому

      Sasa hv tumebaki na anayeabudu shetani.ndio maana anatuambia nawasalim kwa jina la jamuhuri

  • @elishaelia2951
    @elishaelia2951 3 роки тому +1

    Mwenye sikio la kusikia na alisikie Neno hili ambalo Roho ayaambia Makanisa

  • @johnbernad3407
    @johnbernad3407 3 роки тому

    Barikiwe sana mh pole pole Kumbe Mungu anawatu wengi sana awamu ya tano Mungu aliipa tunu kubwaga sana iliyo shehen watu watumishi wa Mungu

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 2 роки тому

    Ndugu Pole Pole huwa yuko vizuri kwenye nyanja zote...hata siasa, usanii, kuhubiri Kristo , muziki...aaaah! Kajaliwa aisee...Namshukuru Mungu kwa kuwepo kwake....hivyo Mama yake kabla yamkumzaa alimcheki kwanza ndo akatuletea...

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 2 роки тому

    Huyo polepole mnafiki wa dunia mwenye ndimi mbili amesha poteza waTanzania wengi

    • @Jastus100
      @Jastus100 2 роки тому

      Unafiki wake nini?

  • @charlesheswa2140
    @charlesheswa2140 Рік тому

    Hamfley barikiwa., kwa ufahamu mdogo ulionao juu ya uliyosema ila jifunze vizuri kwani kuna mambo hujui kuyafundisha kama yamanishwavyo kwenye maandiko, pengine ni msingi wa imani yako uliyo uliyofundishwa, ila omba sana ujifunze ujue ili uokolewe😀😀😀 nimependa ujasiri wako wa kuongea unachokijua lakini brother yangu, unania ya kuujua ukweli. Ila jifunze zaidi maandiko.

  • @marrysauli8455
    @marrysauli8455 3 роки тому

    Jina la Bwana Mungu lihimidiwe kwa ajili yenu Mr Pole pole

  • @petromwakyalabag9484
    @petromwakyalabag9484 3 роки тому

    Uko sahihi Sana nijua wewe ni mwanasiasa tu kumbe hata kristo unjua sana

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 роки тому +14

    Sasa atokee boya aseme hakusikia neno uone kichapo chake. Yesu anasema tazameni wevi na wanyang'anyi Wana watangulia kufika mbinguni. Mnao muhukumu Polepole sio wajibu wenu kuhukumu.

  • @venelandakundi63
    @venelandakundi63 3 роки тому

    Polepole Mungu Ana makusudi nawe mwenye akili ataona ndani yako kuna nini Mungu bado anatuonyesha nini kwa hili

  • @selemanijidonge3172
    @selemanijidonge3172 3 роки тому +7

    nmeelewa somo polepole upo gud

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 2 роки тому

    Nimefurahi sana' Masanja anavyopiga mahesabu' H....umenifurahisha sana

  • @prijoseph4665
    @prijoseph4665 2 роки тому +1

    Polepole sijui niseme nini juu yako ila you're so smart.

  • @neemamwakasape1630
    @neemamwakasape1630 2 роки тому

    Miaka 70 ukiwa na nguv miaka 80, hii kauli sio ya Mungu alisema Daudi, Mungu amekomea miaka 120 hapo hakusema tena.
    Hapohapo Mungu anasema miaka 1000 qaqe ni kama siku 1, Mungu atujalie mwisho mwema kweli.

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 3 роки тому +2

    Excellent. Ubarikiwe Polepole mdogo wangu

  • @dorisselembo1225
    @dorisselembo1225 3 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kweli tuwetayari kwa unyakua Jesus Christ yuko mlangoni 🙏🙏🙏

  • @patricknanyaro6391
    @patricknanyaro6391 3 роки тому +2

    Hongera! Ila uko katikati ya mbwa mwitu,unaweza kulijua neno lakini kama husimamii haki ni bure tu.Yawezekana ulipewa nafasi ili urudishe haki katika mbwa mwitu.Je unafanya hivyo.

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 3 роки тому

      Ungemuweka wazi haki ipi anayopaswa kuisimamia na hajafanya hivyo sio kuweka kijumla jumla

  • @charlessospeter4826
    @charlessospeter4826 2 роки тому

    Sawa polepoe Uko sawa mtume Charles sospeter

  • @florianfinda7445
    @florianfinda7445 3 роки тому +10

    This guy Mr Polepole is so talented. I thank GOD because of him.

    • @charlesmafumiko6027
      @charlesmafumiko6027 2 роки тому

      Ni bahati kubwa kuwa na mtumishi huyu wa Mungu kwa kweli tunapaswa kukumbushana kufanya maandalizi kamili nyakati hizi

  • @simonibonifacemwakaniki3357
    @simonibonifacemwakaniki3357 3 роки тому

    Asante mtumishi tukopamoja

  • @mekitildaleopold1912
    @mekitildaleopold1912 3 роки тому +3

    Kweli umemuwakilisha Kristo Yesu kitaifa na haijawahi kutokea,kazi yako so bure Mungu atakutunuku,maana viongozi wengine huwa wanaaibu

  • @estherelias6266
    @estherelias6266 3 роки тому

    Mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe, barikiwa mtumishi

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 2 роки тому

    Kweli jina lako lipo sawa polepole kweli wewe nitumishi wa mungu

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 3 роки тому +1

    Mungu hadhihakiwi.
    Kuna watu wamevaa ngozi za kondoo ili hali myoyoni mwao ni mbweha.
    Tafakari.

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 3 роки тому

      Hayo yako sisi tunamsikiliza na kufuata Neno kwani si lake ni la Mungu na sisi tunaishi kwa Imani kwa kusikia na si kwa kuona hata wachungaji na masheikh nao ni wanaadamu kama mimi na wewe na wanadhambi kumbuka hilo acha upuuzi wako

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 3 роки тому

      Tatizo lako unamezeshwa vitu, chochote atakachosema kiongozi wako unakibeba kama kilivyo, hata hukifanyii utafiti, ww unameza tu, sasa safari hii umemeza sumu, Polepole yuleeeee mbinguni,