TAZAMA ALIYOWAHI KUYASEMA HUMPHREY POLEPOLE AKIWA KATIKA NAFASI YA UBUNGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 2 роки тому +8

    Daa mchango wake mzuri tutaukosa sana bungeni,lakini mungu yupo huenda huko kwenye ubalozi akatusaidia vizuri zaidi na kupata uzoefu,ili hapo baadaye atusaidie kwa wadhifa mkubwa zaidi hapo baadaye,nafasi ipo bado yuko kijana.

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      Ndio atulie, akubali kujifunza. Mf Ni kweli miradi mikubwa ya Ujenzi Ni kiashiria Cha kukua kwa uchumi lkn Ni uchumi upi? Macro - sio Micro.
      Micro economic Ni ile inayogusa watu wa kawaida.. kuanzia upangaji, utekelezaji+matokeo ya muda wote mfupi,Kati na muda mrefu.
      Macro inapangwa paap, watekelezaji Ni Kampuni ya Uturuki/China.. consultant Dubai, Hakuna matokeo ya muda mfupi... Ni muda wa Kati na Mrefu. Tutaumizana

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Edward makonge wameshamfunga mdomo kwa kumpa ubalozi wa mchongo wa nchi mbovu ili mradi asiseme seme lakini hakuna jambo lisilo na mwisho mama anapelekeshwa kiroho mbaya na awamu ya nne kuachia watu wakombe hela mama kila siku anaupiga mwingi huku wenzie wanahomola

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Halooo ya ccm kazi inaendelea mijizi imejazwa wanaokula urefu wa kamba yake

  • @josephinelyimo2467
    @josephinelyimo2467 2 роки тому +10

    Any ways !
    Upelekwe Malawi
    Au Somalia
    Bado tuko pale pale
    2025 hatumtakiiiii !

  • @atanasjuma433
    @atanasjuma433 2 роки тому +6

    kama ccm wamechoka kuongoza nchi basi 2025 wamuweke samia awe mgombea.

  • @salummichael87
    @salummichael87 2 роки тому +3

    Polepole kichwa angalia alivyo tulia bungeni kama msomi astailivyo ndivyo ilivyo.vema sanaaaaaa

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 роки тому +4

    Sasa tumebaki na mabubu bungeni. Wote wenye uchungu wa nchi yetu wameondolewa. Unawezaje kumpeleka mbunge kama PolePole na kuwacha wapiga makofi bungeni? Samia anawakosea sana Watanzania kuwaondowa Magufuli team waliyofanya kazi vizuri na kutuwekea wezi kila kona. Watanzania wameonja uongozi bora anafanya zambi kubwa kuturudisha nyuma kwa mafisadi wasio juwa chochote zaidi ya kuiba

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Grace grace waliobaki ni wapiga makofi tu wanachojali ni kuupiga mwingi na kula urefu wa kamba yake sasa mama kayarudisha majizi watafanya nini hao wabunge ukisema sana unapigwa kibuti unaona heri uwe mbunge ndiyo ikifikia miaka yako 5 unapanbana urudi au usirudi

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 роки тому

      @@margarethpolepole7438 inashangaza sana. Bunge gani halihoji. Rais anazunguka na kikapu kuomba vijisenti wakati mabilioni yanaibiwa! Rais akirudi na visenti wanashangilia, wakati fedha za umma zinaibiwa Kwa mabilioni. Mungu alitunyang’anya Rais mapema sana. Kwa sasa maji hakuna, watu wanasumbuka huku tunaambiwa mabilioni yametolewa tupate maji. Wabunge kimya ni makofi tu. Tunarudi kule kule Kwa mateso. Hatuna altenative. Upinzani ndiyo balaa hata wameshindwa kujenga makao makuu ya chama chawo, kijumba kama jiko la mukaa. Wanajiita wasomi, fedha zote za chama zichotwa na viongozi. Eh Mungu tusaidie sisi wanyonge wako.

  • @cypriankikoti9160
    @cypriankikoti9160 2 роки тому +1

    Nakukubali Mh Balozi PolePole

  • @muhdhars
    @muhdhars 2 роки тому

    Mmefanya kosa kubwa sana kumuondoa Mh. HUMPHREY POLEPOLE Bungeni, Kosa kubwa sana, yaani ni maamuz mabovu mnoo. Kichwa kama hichi mnakipeleka Ubalozin Kweli !! Haya bhana.

  • @misomisomisoji7722
    @misomisomisoji7722 2 роки тому

    Tutakukumbuka sana mzalendo Polepole, vibaraka wa mabebelu wamekuondoa bungeni.

  • @hbdina
    @hbdina 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Sasa tumebaki na mambumbu bungeni,Humphrey Polepole tutaimiss upeo na akili yako ya ajabu hopefully utarudi tena bungeni kama Waziri👍👌🙏🙏

  • @salummichael87
    @salummichael87 2 роки тому +4

    Wivu ni hatari kuliko vita ya wasio jua tumpongeze yupo vema.
    Uendako usichoke tenda jema Mungu atukuzwe milele.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Salum michael msemaji ukweli kama huyo hapendwi huyo anapendwa sanaaaa ndiyo maana wakamtoa mbio kumpeleka nchi isiyo kuwa na kichwa wala miguu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Bwawa lenyewe huenda linaota nyasi na huku vyakula vimepanda bei kawabeba wafanyabiashara na anasafiri nao tele kwa gharama za kodi za wananchi ccm kazi inaendelea mama anaupiga mwingi hataki kutuma wasaidizi wake

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 2 роки тому

    Huyu na gwajima ni fire

  • @habaccucisrael5328
    @habaccucisrael5328 2 роки тому

    Kweli 💯 #kataawahuni

  • @dayomedia2373
    @dayomedia2373 2 роки тому +2

    naona kukomoana sasa daaa

  • @greenafricatzorganization
    @greenafricatzorganization 2 роки тому +1

    Genius

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Wapigaji wamesharudishwa na mama hii ni awamu ya nne imerudi upya

  • @hassanlaizer470
    @hassanlaizer470 2 роки тому

    Unasema ukweli mheshimiwa Sasa wanakupeleka ubalozi nani atatusemea ukweli bungeni?

  • @pauldaniel5685
    @pauldaniel5685 2 роки тому +3

    Hivi mbunge wa kuteuliwa anaweza kuenguliwa kabla ya muda kuisha 5yrs??!!

  • @barikiurio9816
    @barikiurio9816 2 роки тому +3

    Katafutiwa sehemu pakutuliza kidomo

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 2 роки тому +6

    Kwanini ukisema ukweli unanyamazishwa ????????????????

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 роки тому

    DAWA YA KANSA YA AINA ZOTE.MAMBO MA 5 MUHIMU YA KUZIKATI ILI UPONE KANSA*#*#
    m.ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 2 роки тому +4

    KUNA NINI KIBAYA AMEONGEA MPAKA ANYAMAZISHWE? NAPE MBONA ALIKUWA NA MDOMO BUNGENI KIPINDI CHA JPM??

    • @janethpallangyo2633
      @janethpallangyo2633 2 роки тому +1

      Umeonaeeee

    • @froma3732
      @froma3732 2 роки тому

      NAPE Alikuwa na kidomo wakati wa Magu halafu wakamuweka wapi yaani wakati ule ilikuwa sawa Rais kuweka watu wake lkn sasa hivi inakuwa chuki inatakiwa muelewe kila kiaogozi ana mipango yake wacha aweke watu wake kama hamuridhiki hiyo itakuwa matatizo yenu

    • @janethpallangyo2633
      @janethpallangyo2633 2 роки тому

      @@froma3732 fyuuuuiu

  • @keensflevas7
    @keensflevas7 2 роки тому

    Afu nasubscribe kwa atakaye SUBSCRIBE kwangu

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 роки тому +1

    DAWA YA KANSA YA AINA ZOTE.MAMBO MA 5 MUHIMU YA KUZIKATI ILI UPONE KANSA*#*#
    m.ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html