Asante sana mchambuzi marekani hana urafiki wa kudumu bali ana maslahi ya kudumu sikujuaga aisee kumbe venezuela wana mafuta mengi kuliko saudia aisee ingekua sio marekan na chokochoko zake venezuela kumbe angekuwa na uchumi mkubwa duniani
Hakuna msuguano pale kuna utawala wa kizalendo na makundi ya vibaraka wanaofadhiliwa na marekani. Iwe iwavyo potelea mbali demokrasia isiwepo lkn utawala wa vibaraka usitawale.
MMARECANI ANA PESA ZA KUFADHILI HATA VITA ELFUMOJA. LAKINI HANA PESA YAKUWAFANYA RAIAWAKE WAISHI ANGALAU ROBO YA MAISHA WALIYOYAISHI RAIA WA GADAAFI LIBIYA AMBAO HUDUMANYIINGI WALIPATA BURE😂😂😂.
Shukrani sana mwalimu kwa uchambuzi makinika
Video zako sauti iko chini, Fanya urekebisho wa speakers
Marekani ni wanafiki sana!
Shukran
Ubalikiwe
Asante sana mchambuzi marekani hana urafiki wa kudumu bali ana maslahi ya kudumu sikujuaga aisee kumbe venezuela wana mafuta mengi kuliko saudia aisee ingekua sio marekan na chokochoko zake venezuela kumbe angekuwa na uchumi mkubwa duniani
Hakuna msuguano pale kuna utawala wa kizalendo na makundi ya vibaraka wanaofadhiliwa na marekani. Iwe iwavyo potelea mbali demokrasia isiwepo lkn utawala wa vibaraka usitawale.
Allah amlinde Putin ataikomboa dunia inshallah
MASHETANIHAYA YA MARECANI SIJUWI LINI WATAWAACHA WALIMWENGU WAWE HURUUH,!!!!.