Explore With Trojan
Explore With Trojan
  • 97
  • 202 774
MJI UPI Utakuwa Mji MKUU WA AFRIKA MASHARIKI? Kati ya Nairobi? Dar e Salaam na Kampala? / WHY?
East Africa's Country are in the process of Forming a Largest Federation in Africa....where Tanzania, Uganda, Kenya and Other East Africa's Countries Will JOIN TO FORM ONE BIG COUNTRY, EAST AFRICA FEDERATION....AN IDEA THAT WAS FIRSTLY PROPOSED BY FOUNDING FATHERS, NYERERE, KENYATTA AND OBOTE. THE QUESTION IS WHICH CITY WILL BE A CAPITAL CITY OF THIS FEDERATION? WATCH THE FULL VIDEO
DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
Переглядів: 5

Відео

VITA Ya LISSU na MBOWE YAFIKIA PABAYA: Nyeusi Ipi? Nyeupe Ipi? KUNA ATAKAYEPONA? / A GAME OF THRONE
Переглядів 8421 годину тому
CHADEMA is going to Undertake a General Election ON 21st January 2025. Among the Most Influencial Figures battling for the top Position Are The Current Chairman Freeman Mbowe, looking forward to be Re-elected, and Tundu Antipas Lissu, who is contesting for the same seat. WHO IS WHO? AND WHO IS GOING TO WIN? WATCH THIS VIDEO DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
PAUL KAGAME NA MUSEVENI Wanavyowatibua WAZUNGU na 'Demokrasia Mpya' Wanayoiamini!
Переглядів 3462 години тому
Paul Kagame and Yoweri Kaguta Museveni are two longest serving presidents in East Africa. Museveni has been in power for 39 years, Kagame for 25 years. They Believe in their own 'Kind of Democracy'. DO YOU KNOW THAT? DO YOU KNOW THAT KAGAME WAS A POLITICAL STUDENT OF YOWERI MUSEVENI? WATCH THIS VIDEO TO THE END DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
KENYA, TANZANIA & RWANDA Katika VITA ya Kutawala Sector ya Anga / WHO IS LOSING?
Переглядів 4,1 тис.4 години тому
RwandAir, Kenya Airways and Air Tanzania are the giant aviation companies in East Africa, Each Company striving to dominate the sector with Quality of fleets and services. This Short Documentaries Highlights th sector, Since 1977 to date, it's development and challenges. WATCH THE FULL VIDEO AND DROP YOUR COMMENT. WHO IS LOSING BETWEEN KENYA AIRWAYS, RWANDAIR AND ATCL? DOWNLOAD EXPLORE WITH TRO...
#CAPTAINTRAORE : Shujaa wa Afrika, Anayewanyima USINGIZI WAZUNGU / ALICHOKIFANYA GHANA CHAZUA GUMZO
Переглядів 1407 годин тому
#CAPTAINTRAORE: Ibrahim Traore, Burkina Faso Interim President Has Set another trending stories in Media, after Landing in Ghana unexpectedly...Do You Know What Happened? WATCH THE FULL VIDEO DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#MEGAPROJECT : Mradi Mkubwa wa Tanzania, Uliomshtua RAIS RUTO!! / 'TANZANIA IS A GIANT" - RUTO
Переглядів 2,5 тис.12 годин тому
EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTIC CENTRE is one among the biggest project that is going to change the atmosphere of East Africa Trade, this Massive project is under construction and Nearly completion. Found in Dar es Salaam Tanzania, aiming to connect all East Africa Traders to One shopping Spot. WATCH THE FULL VIDEO HERE DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#BITTER TRUTH : Jinsi Gani Maisha ya Wakenya Yanategemea Tanzania / And Vice Versa!
Переглядів 3,4 тис.12 годин тому
Kenya and Tanzania are two Countries in East Africa, They Depend on Each other in almost Each and Everything, from Trade, Tourism, Social Interaction etc. This Episode explains How these two Countries Depends on Each Other, DO YOU KNOW, WHICH COUNTRY IS MORE DEPENDANT? WATCH THIS VIDEO TO THE END? DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
SIRI NZITO YA RWANDA : Kutoka Mavumbini, Mpaka Kuwa Taifa Lenye UCHUMI IMARA : THERE IS A BIG LESSON
Переглядів 55114 годин тому
Rwanda is a country with a dark history of Genocide, happened 1994 where more than 1 million People were Killed. After that, they decided to start afresh and Rebuild their country, strengthening the unity and now, It is one of the fastest Growing Economy in East Africa. DO YOU KNOW WHY? WATCH THIS VIDEO TO THE END DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
UKWELI MCHUNGU! Kwa Nini Kenya Inastruggle Sana Kuchuana na Tanzania! / SPEED YAO NI YA KOBE?
Переглядів 12 тис.16 годин тому
In East Africa, Kenya and Tanzania are two countries that competes to dominate East Africa's Economy and Trade. For Many Years, Kenya was Leading but Tanzania Overtook the game in Recent years and Kenya Is struggling to take His Throne back! Do you Know Why Kenya Is Loosing to Tanzania Everyday? Here are the Reasons! WATCH THE FULL VIDEO DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d...
Hiki Ndio Chanzo Cha Mgogoro wa Tanzania na Malawi Kwa Miaka Mingi / ITATOKEA VITA?
Переглядів 11 тис.19 годин тому
Tanzania and Malawi are in constant feud about Lake Nyasa Borders, This conflict has spanned over 50 years now and nothing has been resolved rather than being escalated in recent years, Do You Know Why? WATCH THIS VIDEO TO THE END DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Northern Corridor VS Central Corridor Transit/ A SECRET BEHIND KENYA & TZ
Переглядів 1,2 тис.21 годину тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Today We are Looking at Northern Corridor Transit in Kenya and Central Corridor Transit in Tanzania. A Secret to an Endless Economic Battle Between Tanzania and Kenya. WATCH THE FULL VIDEO AND SHARE YOUR IDEAS, WHICH PROJECT IS GOING TO CHANGE EAST AFRICA? DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Hapa Ndipo Kenya Walipokosea / IS IT TRUE?
Переглядів 3,2 тис.День тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Today, We are tracing back Our History, Kenya and Tanzania After Independence, What Happened? What Went Wrong to Kenya? What is Happening to Tanzania? DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Kenya's Public Transport VS Tanzania Public Transport / A HUGE BLOW!
Переглядів 2,5 тис.14 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : We are Looking at Kenya's Public Transport [MATATU] and Tanzania Public Transport [MWENDOKASI]. Which Public Transport Between Kenya's and Tanzania's has Great Economic Impact? WATCH A FULL VIDEO and Put Your Comment Below.. DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Tatu City Kenya VS SINOTAN Industrial Park Tanzania / ECONOMIC BATTLE
Переглядів 3,7 тис.14 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Is taking You to TATU CITY and SINOTAN Industrial Park, two Mega Projects developed in Kenya and Tanzania aiming to transform INDUSTRIAL SECTOR. Basing on the facts, Which project Is going to be more advantageous than the other in Terms of Job Creation and Contribution to ECONOMY? Watch a FULL VIDEO and drop your Comments below DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfup...
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Vituko Vya Kenya 🤣 VS Vituko Vya Tanzania 🤣: KENYA IPEWE MAUA YAKE 🤣🤣🤣
Переглядів 43914 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Todays Episode, We are Looking at The Comedy Industry Between Kenya and Tanzania. Which Country Performing Better in This Sector? Watch the Full VIDEO and DROP your Comment Below.. DOWNLOAD EXPLORE WITH TROJAN MAGAZINE pdfupload.io/docs/d4716f4e
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Ikulu ya Kenya VS Ikulu ya Tanzania / The Battle IS REAL
Переглядів 6 тис.14 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA Ikulu ya Kenya VS Ikulu ya Tanzania / The Battle IS REAL
#TROJANSMENU : Namna ya Kutengeneza Makange ya Kongoro Kwa Pesa Kidoogo/ Roasted Yummy Ox Foot
Переглядів 8714 днів тому
#TROJANSMENU : Namna ya Kutengeneza Makange ya Kongoro Kwa Pesa Kidoogo/ Roasted Yummy Ox Foot
#A HIDDEN SLUM : Mita Chache Kutoka Dar City Centre, WANAISHI KWENYE MABATI na MITUMBWI
Переглядів 53814 днів тому
#A HIDDEN SLUM : Mita Chache Kutoka Dar City Centre, WANAISHI KWENYE MABATI na MITUMBWI
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Viwanja vya AFCON 2027! Kenya Stadiums VS Tanzania Stadiums! IT'S A BATTLE
Переглядів 2,7 тис.14 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Viwanja vya AFCON 2027! Kenya Stadiums VS Tanzania Stadiums! IT'S A BATTLE
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Kwa Nini Kenya Hamtaki Kuwa Compared na Tanzania?? Let's END THIS
Переглядів 1,4 тис.14 днів тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Kwa Nini Kenya Hamtaki Kuwa Compared na Tanzania?? Let's END THIS
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Jiji Gani Lipo Vizuri Zaidi? Kisumu au Mwanza? This Time It's Hard to Tell
Переглядів 1,6 тис.21 день тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Jiji Gani Lipo Vizuri Zaidi? Kisumu au Mwanza? This Time It's Hard to Tell
MAGUFULI SGR STATION : Yaliyomo Ndani ya Jengo Hili Yatakuacha Mdomo Wazi! This is Tanzania
Переглядів 65121 день тому
MAGUFULI SGR STATION : Yaliyomo Ndani ya Jengo Hili Yatakuacha Mdomo Wazi! This is Tanzania
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Dongo Kundu ByPass VS JPM Bridge in Tanzania! This Is What We Want to SEE
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Dongo Kundu ByPass VS JPM Bridge in Tanzania! This Is What We Want to SEE
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Magufuli City (Tanzania) VS Konza City (Kenya) : Why All This?
Переглядів 3,2 тис.21 день тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Magufuli City (Tanzania) VS Konza City (Kenya) : Why All This?
#BEACH za Dar, Ambazo Hutakiwi Kukosa Kuzitembelea Sikukuu Hizi! #MustWatch This!
Переглядів 25321 день тому
#BEACH za Dar, Ambazo Hutakiwi Kukosa Kuzitembelea Sikukuu Hizi! #MustWatch This!
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Barabara za Jiji La Nairobi Vs Barabara za Dar es Salaam! You Won't Believ
Переглядів 6 тис.21 день тому
#DIDKENYALOSETOTANZANIA : Barabara za Jiji La Nairobi Vs Barabara za Dar es Salaam! You Won't Believ
#AFCON2027: Ulipofikia Ujenzi wa Viwanja vya AFCON, Kenya, Uganda na Tanzania : UGANDA Itakushangaza
Переглядів 3,2 тис.21 день тому
#AFCON2027: Ulipofikia Ujenzi wa Viwanja vya AFCON, Kenya, Uganda na Tanzania : UGANDA Itakushangaza
#DIDKENYALOSETTOTANZANIA #2 SGR Train ya Tanzania VS SGR Train ya Kenya! Hii Vita Itaisha Kweli?
Переглядів 5 тис.21 день тому
#DIDKENYALOSETTOTANZANIA #2 SGR Train ya Tanzania VS SGR Train ya Kenya! Hii Vita Itaisha Kweli?
#DIDKENYALOOSETOTANZANIA? Bus Terminals Za Kenya vs Bus Terminal za Tanzania! Hutoamini Ya Kenya..
Переглядів 8 тис.21 день тому
#DIDKENYALOOSETOTANZANIA? Bus Terminals Za Kenya vs Bus Terminal za Tanzania! Hutoamini Ya Kenya..
#EXPLOREWITHTROJAN : A Mysterious Grave in the Middle of Dar City Centre / Who was Buried Here?
Переглядів 87Місяць тому
#EXPLOREWITHTROJAN : A Mysterious Grave in the Middle of Dar City Centre / Who was Buried Here?

КОМЕНТАРІ

  • @ngwenoh.e9725
    @ngwenoh.e9725 14 годин тому

    SMH, bro the African history was apparently never documented because the Africans didn't know how to write,now their descendants know how to write in pictures but they still fail to paint the narrative, NOBODY HATES YOU GUYS, this thing is only domiciling in your heads,wafrika amkeni dunia inatuwacha!

  • @tospend
    @tospend 14 годин тому

    Baada ya kugundulika mafuta malawi wanataka kuchukua ziwa lote

  • @John-yi8kq
    @John-yi8kq 18 годин тому

    Kenya airways is not a joke, tz air is useless cannot even access EU market

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 20 годин тому

    Kweli ni Ujinga mkubwa huu . Badala ya kushukuru Kenya imewaruhusu na kuwafungulia Watanzania Soko Huru ya kuuza Mazao yao ya Shambani ili wapate pesa za kukidhi mahitaji mengi waliyonayo mnaanza kujigamba. Hamjui kuwa Kenya pia inaweza kuzalisha hayo Mazao. Wewe unafanya Ujinga kuharibu Biashara inayowafaidisha Wana vijiji wa Tanzania. Leo hii Kenya wakiamuwa kuzuiya Mazao ya Wakulima Wa Tanzania yasiingie Kenya watakaoumia ni kina nani. Maana Kenya wanauwezo ata wa kuzalisha hayo Mazao pia. Kwa sababu ya sera ya Kenya ya Soko Huru ndiyo imeruhusu Watanzania wenzako wauze Mazao yao Kenya. Je , Kenya ikiwagomea mtauza wapi. Chunga usijekupigwa Na Wafanyabiashara wa Tanzania kwa kuwaharibia Soko Kenya ina uwezo wa kuagiza Mali kutoka nchi yeyote. Chunga sana , Mabadiliko ya Kilimo yakifanyika Kenya hayo Mazao yenu yataozea huko kwenu.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 20 годин тому

    Tanzania's food exports to Kenya in 2024 are expected to include coffee, cashews, tea, cotton, tobacco, cloves, and avocados. Explanation Tanzania's main exports are agricultural products, including coffee, cotton, tea, cashews, tobacco, and cloves. Kenya imports edible vegetables, roots, and tubers from Tanzania. Tanzania's main export partners include India, Japan, China, the United Arab Emirates, the Netherlands, and Germany.

  • @LampardShaweshi
    @LampardShaweshi 20 годин тому

    Unaweza ukawa na sarafu ya thamani bado uchumi wako ukawa chini kwa mfano sarafu ya kenya iko juu kuliko hata ya afrika kusini. Sasa linganishi hayo mataifa.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 20 годин тому

    Kenya exports many food items to Tanzania, including dairy products, eggs, meat, fish, and vegetables. Food exports from Kenya to Tanzania Dairy products: Kenya exports dairy products to Tanzania. Eggs: Kenya exports eggs to Tanzania. Honey: Kenya exports honey to Tanzania. Meat: Kenya exports meat and meat offal to Tanzania. Fish: Kenya exports fish and seafood preparations to Tanzania. Vegetables: Kenya exports edible vegetables, fruits, and nuts to Tanzania. Poultry: Kenya exports poultry, hatching eggs, and processed poultry items to Tanzania. Trade relations between Kenya and Tanzania In 2021, Tanzania banned poultry imports from Kenya due to the Avian Influenza outbreak. In 2024, veterinary authorities from Kenya and Tanzania met to resolve the poultry ban. In 2022, Kenya-Tanzania trade grew by 25.9%.

  • @SafayaPlatnum-zz1dz
    @SafayaPlatnum-zz1dz 20 годин тому

    Dar is my home ❤❤❤

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 22 години тому

    Hao wazungu wahuni wao wamekuwa wakijipanga miaka Mia mbili wamejenga nchi zao na baadae yakuweka mambo Sawa ndio wakaanzisha vyama vingi mwaka 1976 Leo siasa zao ni wshamiaji wakahamia ulaya Tu sasa huku Africa hata hivyo tunajitahidi mnoo wao walishindwa kabisa mvuatano walijenga nchi zao Kwa mkono wachuma sasa wanajitoa ufahamu hatari sanaa hawa watu

  • @AnthanusMutava
    @AnthanusMutava День тому

    Wewe nini unatafuta na Kenya, Kwanza sura yako ni kama ya nyani 🖕🖕🖕

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 День тому

    Angekuwepo JPM basi tz inge take over....

  • @kakageorges6229
    @kakageorges6229 День тому

    Tanzania Air wamezimwa Europe. Soon itanunuliwa na KQ. Inasambaratika haraka sana.

  • @Chachez.
    @Chachez. День тому

    Tanzania endeleeni kuota. Wapumbavu wenzako tu ndio watasupport whatever you are saying here, pure nonsense.

  • @NerdNovaTech
    @NerdNovaTech День тому

    Akuna hapa Vita Kenya haibishani na watoto wadogo

  • @onmyzone4146
    @onmyzone4146 День тому

    Why is there always a comparison between kenya and Tanzania instead of looking on what we can work on pamoja tunaanza mashindano.. east africa won't grow with such stupid rivalry together we're strong apart we fall .. i see tz as my brothers let's stop with the nonsense

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer День тому

      Basi students wangekuwa wanapewa karatas moja pia wote wajibu mtihani hapo. Ungekuwa poa eeh? Wangescore 100%

  • @omarjumaan3061
    @omarjumaan3061 День тому

    Sasa kenya miaka yote hio inanawiri kiuchumi ulumbukeni huwo ni wa nini huja zaliwa hujaumbika masifu sifu ni ya nini au kusema mambo ya jirani yako kuvunjikiwa labda inaletwaje ikiwa siochuki .

  • @Hit_them-hard25128
    @Hit_them-hard25128 День тому

    Nadhani Air Tanzania na Air Rwanda wanasonga mbele zaidi na wanafanya vizuri ila ndege za Kibera Land zimezeeka sana zinaonekana kama matatu 😅😅😅

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer День тому

      Haha

    • @kakageorges6229
      @kakageorges6229 День тому

      Utalijua jiji.. Angalia tu soko KQ inafika na ulinganoshe na huto tu-reptiles mnaita ndege za tanzania air au rwanda air. Kenya is a market leader,4th largest airline in Africa. Tanzania air is 45th,rwanda air is 38th ranked.

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 5 годин тому

      Kusoma ni muhimu...

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 День тому

    Tanzania imepiga hatuwakubwa san panandege ya kwend china Dubaï uturuki na sehem zingine

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 День тому

    ❤️❤️🇹🇿🌹💪💪

  • @fredsabora2543
    @fredsabora2543 День тому

    Tz chama ni moja tangu nchi ipate uhuru,.Huo ni democracy kweli,..Kenya peke ndio nchi ambayo iko na democracy

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 День тому

    Kirimo jenga nchi ❤🇹🇿

  • @MASAGATV-s9m
    @MASAGATV-s9m День тому

    🎉kaz nzr sana kaka

  • @eddyabel4099
    @eddyabel4099 День тому

    Tanzania vitu gani.

  • @ShamimaWilliam
    @ShamimaWilliam День тому

    I think something will happen after election in malawi

  • @MohamedHamadNyange
    @MohamedHamadNyange День тому

    Malawi ni jirani zetu na hatutagombana nao

  • @dwights5681
    @dwights5681 День тому

    Kenya is the yard stick for Tanzania. Just compare the quality of infrastructure in the Tanzanian project to that of Tatu City & you will realize Kenya is light years ahead. Bear in mind there are at least 3 projects of Tatu City’s caliber in greater Nairobi alone, Konza City, Northlands City and Tilisi. Then there is the Vipingo Ridge at the coast. 😊

  • @esem135
    @esem135 2 дні тому

    TZ only has a handful of planes!! Cannot compete or compare with Kenya on matters aviation. In the meantime, focus on taming your TZ government to stop killing and abducting Tanzanians so that they can stop fleeing to Kenya to seek refuge as TZians fool themselves that they are peaceful. Kenyans, are fixing Kenya!!

  • @georgejumaa9672
    @georgejumaa9672 2 дні тому

    Hata kama ni views unatafuta kuwa factual. You cannot talk of the corridors without taking into consideration the core business with these corridors which is the Ports. Now go and look at the efficiency rate/ container port performance between the Port of Mombasa and that of Dar es Salaam. Can you check the CPPI rankings for the two ports? Well, do you understand why Mombasa port surpassed even the Port of Durban, South Africa? Well, that's enough hint to tell why the Northern Corridor is the most busy. In fact, 60% 0f Kenya's wealth lies in this corridor.

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 2 дні тому

    I didn't know there was hate between Kenya and Tanzania. Stop forcing issues bro. Talk of issues that can help both of the two countries like having a common currency that will do better in the international market.

  • @nganzimwaliza8191
    @nganzimwaliza8191 2 дні тому

  • @Vegasboy254
    @Vegasboy254 2 дні тому

    Kitu moja nataka watu wajue Tanzania na kenya kwa muda sio mrefu wataongoza Africa ukiangalia project zao zinafanana sana ni sisi wananchi tunabishana lakini Tanzania na Kenya wako na kitu inajiita vision 2030.alafu another thing the whole sale market being built in dar means as a Kenyan i don’t have to buy things overseas again i can just use my East African ID buy goods in Tanzania and sell them in Kenya for a higher price

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 дні тому

    Shirika la Ndege la Kenya ni jina tuu ila Ndege na biashara haimilikiwi na Kenya kwani lina Ubia/ Share na Makampuni 3 ikiwemo KLM, Private company 1 na Serkali ya Kenya. Hivyo faida na Ndege za Kenya vinagawanywa mara 3 na sio kwamba Serkali ya Kenya inanufaika sana na shirika hilo, tofauti na Air Tanzania inamilikiwa 100% na Serkali ya Tanzania.

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дні тому

      @@tanzanite9944 nguruwe ujikaranga na mafuta Yake sasa wewe jikarange Tu,alafu maneno ya kuambiwa ayanufaishi jamii njoo Kenya kisha huende kwenye vituo vya ndege ukafanye uchunguzi kisha useme ivyo kama huna la kusema shhhhhhhhhhhhh...... Yani kimya

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Asee

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Ujikaranga????

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 2 дні тому

      Ohh kumbe ndiyo maana ulaya imekua na nguvu sana kukataa ndege za Tz sisituwe huko! Now I know 😢

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 День тому

      @@tanzanite9944 KENYA AIRWAYS OWNERSHIP Kenya Government 49 % KQ (Kenya Airways)Lenders Co. (Kenya Local Banks) 38% KLM Royal Dutch 7 % Kenya Airways Employees 6% Air Tanzania ni Shirika dogo sana lenye Ndege 16 peke tena za ukubwa mdogo. Isitoshe Air Tanzania imepigwa marufuku isijaribu kamwe ata kidogo kwenda Bara Uropa ( Ulaya)

  • @imranzikhali4156
    @imranzikhali4156 2 дні тому

    Ethiopia, SA and kenya......this countries have the biggest airlines in africa..........tanzania is not and wil neva b on this league, airtanzania waz born yesterday

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 2 дні тому

    Kwa Sasa Tanzania iko juu kuliko Kenya Kwa kila

  • @priscaauma-c2r
    @priscaauma-c2r 2 дні тому

    Wakenya hawana kinyongo na maendaleo kwa nchi jirani. afrika mzima ni burkina faso inatushangaza kimaendeleo.

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 2 дні тому

    Tanzania iko vizuri sana mbeleni

  • @RealSenziaWarema
    @RealSenziaWarema 2 дні тому

    Kenya Airways ni shirika liliotengenezwa kwa dhulma na uwizi. Baada ya kuvunjika Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC), Kenya walizuia ndege zote zilizokuwa zinamilikiwa na Tanzania, Kenya na Uganda. Waliwadhulumu Watanzania na Waganda ndege zao. Alikuwa rubani mmoja tu wa Tanzania akiitwa Mapunda alifanikiwa kutoroka na ndege kutoka Nairobi Jomo Kenyatta Inter. Airport yalipokuwa makao makuu ya shirikia (East African Airways) na kuileta Tanzania. Ndege zingine zote Kenya walizuia na kujimilikisha. Kwa hiyo Kenya Airways ni product ya udanganyifu na uwizi. Wajitahidi waombe radhi wajisafishe ama sivyo vitu vya dhuluma havidumu.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Asee

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 2 дні тому

      Siyo mapunda peke yake bali na captain Majura ndiyo walifanikiwa kuleta ndege kurudisha ndege mbili Tz 🇹🇿 sema wakati JPM anamrunuku Mapunda zawadi Majura alishakufa kitambo 😊

    • @esem135
      @esem135 2 дні тому

      Roho chafu!! Wachaneni na Kenya!! Cry babies!!

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 2 дні тому

    Sema ushindani wa kiuchumi mjomba, hii sio vita

  • @jacksonmandere
    @jacksonmandere 2 дні тому

    Hoja zako hazina uzito wowote unashinda kurudiarudia vihoja zako.

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 2 дні тому

    Tanzania Airways banned in Eroupe check airport volume for 2024

  • @jacksonmandere
    @jacksonmandere 2 дні тому

    Kwani Tanzania wako na port kweli? Port ya Dar es salaam ni ya waraabu ndugu yangu jua Hilo.

  • @josephmetu7191
    @josephmetu7191 2 дні тому

    Wacha ujinga ya kuweka image ya rais hivo tutakusalimia

  • @harry5395
    @harry5395 2 дні тому

    Kwa maoni yangu naona Air Tanzania inapiga hatua haraka kwa muda mchache kumiliki ndege 16 na soko asia hadi na ndani ya Afrika si rahisi. Pia ni ndege zake si zakukodi, mfano kenya air wanaubia na KLM. So, kuna ndege ni za KLM km vile ilivyokuwa air Tanzania na south Africa air.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Okey

    • @esem135
      @esem135 2 дні тому

      Your candle will not shine brighter by dimming another's candle. Robo chafu!! Wachaneni na Kenya!!

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 День тому

      18🎉😅

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 День тому

      ​@@esem135 Kenya huna kitu sisi tunapambana na mzungu wewe ni kichaa tu maana Kenya share holder ni waingereza ndo maana wanatubania zisifike kwao mamae na tutawapiga bao hii Tanzania haipoi😂🎉

    • @harry5395
      @harry5395 20 годин тому

      Kaza fuvu tuu, fuatilie news ya mwaka jana shirika lenu lilivyopata kwa ubia huo​@@esem135

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 дні тому

    ni bora tuachane na mifumo dume leo raisi wa ufaransa kasema kweli je wao tuwaabudu kwali apa aisee awa wali tupoza sana miaka mingi sasa ndo nina amini kua yesu alikua mweusi aminini hivyo

  • @fuadHalifani
    @fuadHalifani 2 дні тому

    Tanzania Air bado haija anza safari za ulaya ndio iko katika mikakati yaku fanikisha hilo ,so it as along way to go , hata ni juzi tu muli baniwa kuingia anga la ulaya . ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Sure

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 дні тому

      @@fuadHalifani waliambiwa wajifunze kienge.......ndio warudi🤪🤪

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      @mohamedsuleiman1222 haha

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 дні тому

      ​@@mohamedsuleiman1222Hizo ni porojo tu kwani kiingereza ndio official language ya Tanzania na unaina spika mkuu wa mabunge duniani ni mtz hata aliekua awe boss WHO kanda ya Afrika alikua mtz. Kiingereza kinatumika toka pre class katika shule nyingi mno za English media kwingineko toka form one hadi University lugha ni kiingereza

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      @hashimchaoga9566 mmh

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 дні тому

    kina fuata mmesha otesha ama nimeota mwenyewe??

  • @cliffolch5924
    @cliffolch5924 2 дні тому

    wacha kupotosha watu..

  • @cliffolch5924
    @cliffolch5924 2 дні тому

    Tanzania bado..wacha kulazimisha vitu..

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer 2 дні тому

      Asante kwa maoni yako. Hakuna mtu aliyelazimisha hapa

  • @fredsabora2543
    @fredsabora2543 2 дні тому

    Shirika la ndege ya Uganda iko mbele ya tz na rwanda

  • @DavidCurtis-e4c
    @DavidCurtis-e4c 2 дні тому

    Usipemde kutumia neno la uchochezi, badala ya kusema vita tafadhali tumia neno ushindani, neno vita halikai vizuri.