Serikali ya Wakenya walikuja hapa TZ kujifunza kuhusu uanzishaji wa BRT, Sijui kama waliweza maana ndugu zetu wakenya wamechoka mbaya, hawaiwezi TZ😂😂😂😅
Hiyo brt tz inchi ya kwanza afrika kutumia huo usafiri kwa hiyo hapo uwezi kulinganisha na inchi yoyote afrika mashariki. Nimewahikusema kwa wakati huu kenya majirani zetu hawatupati tena. Ukabila. Rushwa pamoja na maandamano mpaka wa malize tz itakua ndio king of africa sio east africa tu. Hii inchi umezungukwa na bahari na maziwa. Vitu kumi ambavyo vitaifanya tz iwe juu 1 sports ligi yetu sasa hivi another level 2 tunajenga east africa commercial center. Kwenye kila kona ya inchi tunajenga masoko makubwa ya kibiashara.eg kigoma. Mwanza. 3 sgr itakua imefika burundi. Rwanda. Congo na uganda. 4 tumesha jenga dry port kwala mzigo yote ikishuka inapelekwa kwara 5 chakula itakua kingi sana kwa sababu inchi nzima sasa hivi ina barabara za lami. 6 utalii 7 ajira zitakua nyingi sana 8 industry park 9 bwawa la nyerere litaanza kazi bei ya umeme itapungua 10 mafuta na ges pamoja na madini
BRT system is not your system it's everywhere in the world. Matatu culture is our thing it's our culture, najua huezi elewa mwanangu BRT ni mfumo unaokuwa kwa kila jiji hata hapa Kenya utaziona hivi karibuni, tunashughulika na mambo mengi
MATATU ZA KENYA NI KIPIMO CHA UMASKINI MAANA WAMEAMUA KUCHUKUA FUSO NA ISUZU A KUIMODIFY KUWA PUBLIC TRANSPORT,MEANS KWAMBA WAKENYA WAMEKUWA WAKIBEBWA KWENY GALI ZA MIZIGO. TUJE KWENYE COMMUTER TRAIN,yenye inaoperate only from airport to citu center njoo Dzm ukutane na mwakyemb train
Endelea na chumvi Mtanzania_Mzalendo 😂😂😂 Watanzania wenzako watafurahia sana hi trolling yako, mbona 10 years? Tuifanya 20 ama 30 years, gani kitawajaza vizuri 😂😂😂
Tafauti na Kenya na Tanzania , Afrika Kusini ilijengwa kwa kiasi kikubwa na Wazungu enzi za hao Wadhalimu. Nairobi na Dar es Salaam zimejengwa na Serikali za Kiafrika miaka 60 iliyopita
Nairobi ilikuwa well established wakati wa Waingereza. Waingereza waliacha mfumo mzuri wa elimu, vyuo vikuu na Nairobi ilikuwa ni makao makuu ya utawala wa Uingereza😂
Kenyas public transport has been left to wananchi to run,it is an economy on its own it brings in money to run the the country.Kenyas matatus is unique and interesting.
Utekelezaji wa BRT katika Jiji la Nairobi ungefanyika zamani sana ata kabla Dar es Salaam lakini kumekuwa na pingamizi nyingi. Lakini bado Serikali iko na mpango wa BRT jijini Nairobi.
Ni kweli sisi viongozi wetu wanalipwa pesa ndogo kuliko viongozi wenu na ndio maana kila siku mnaandamana hata bei ya ukipanda😂 huoni mtanzania akiandamana kwasababu ya vyakula, na maandamano tz ni wafanyabiashara kufunga maduka yao, pale kodi zinapikuwa juu na haizidi siku mbili muafaka unapatikana maisha yanaendelea kwenu huko mnaingia mpaka bungeni utadhani panya road mnachoma mpaka bunge halafu mbajiita wazalendo mnaharibu vitu mlivyotozwa kwemye kodi hiyo akili au matope, mkiona tz hakuna maandamano mnasema watzee ni waoga hatuko na muda wa kuandamana sababu kula kwetu sio stress kama huko mchele mzuri pia hamna unatoka tz hadi vitunguu mnashindwa kulima vinatoka tz mko busy na matusi kumtukana raisi wenu wakati mlimchagua wenyewe, hii 2025 ikiisha tutaongea mambo mengine, mpaka umeme tunawauzia sisi mnatia huruma sana, surely usafiri wa kenya unakera sana fujo miziki kama club yaani ukiwa mgonjwa inabidi upande tax ambazo pia usalama ni mdogo, sehwmu zote za kenya nzuri nzuri wanakaa vigogo na sehemu nyengine nyingi tu wameje wao na kupangishavwazungu wakati wenye nchi wanaambulia maandamano na kupigwa risasi na kujiuguza wenyewe waliopata majeraha ya maandamano, asilimia tisini za tv za kenya ni tv za kubet yaani unaamka asubuhi saa kumi na mbili watu wanabet mpaka saa sita usiku mtapata kweli maendeleo? Kasongo alienda uingereza kuomba mkopo akakutavwazungu wamevaa tshirt ya kubet ya kenya, Zakayo akakasirika sana akaona isiwe shida amerudi kenya ameifungia hiyo bet moja ila zipo kama zote😂 mnaishi maisha ya bahati nasibu😂leo hii kweli ndio maana polisi wenu wanachukua rushwa hata ksh100😂 what a shame sibahitishi Kenya is my second home na mimi ni mwemyeji nairobi ninapoish juu ghorofa nne ila mziki wa matatuu unaniramba, acheni kutukana mandugu zetu hakuna mkenya wala mtanzania anaevuka boda kwa visa sisi ni wamoja ila viongozi wenu bure kabisa wanajali matumbo yao tena bila aibu kuliko maendeleo ya nchi
@@DavidCurtis-e4cHayo yote na 40% ya digital economy ya Tanzania ni Mpesa inayoijenga. Hao wakulima wa vitungu na mchele wanauwezo ju ya maendeleo kutoka Kenya ndio walete mboga la bei ya chini. Tafakari hayo, economy ya TZ iko mkononi wa mpesa 😂 Hapo ni labour outsourcing kwa nchi unaolipa mshahara, kodi na ushuru wa chini. 😅 Hakuna shida na kununua stima TZ kama kibiashara inokoa pesa, hio ni vizuri kukuza mapato ya asilimia ya juu kwa wafanya biashara nchini. Kenya, TZ, Ethiopia na UG tunauza na kununua stima sisi sote kutoka kwa jirani hapa Afrika mashariki, kisha hu mradi itafika hadi Afrika kusini mwaka ujao. Haina shida lakini, nuclear itakuepo pia na geothermal wakati climate change italeta shida kwa hydropower miaka inaokuja. 😂
@ miaka mingapi hiyo inayokuja labda wewe mtaalamu utuambie mapema maana zipo nchi nyingi hata wazo la kuweka hizo nuclear zako hazina, mfano mdogo Sadam husein alivamiwa na kuuwa na watu wa magharib kea msaada wa raia wa iraq leo hii wanalia na kusaga meno unalijua hilo? Alikuwa na hiyo mitambo unayosema kwa ajili ya umeme matokea yake akaonewa wivu na wanaoona ulimwengu upo kwa ajili yao, akagombanishwa na raia wake wakamuita dictator, terorist na majina yote mabaya na katibu mkuu kwa kipindi kile Kofi Anani alizuia asivamiwe lakini je mbona alivamiwa? Raisi wa sasa wa America akaweka wazi kuuwawa kwa sadamu ilikuwa makosa makubwa sana kwa maana hakuwa na mabomu angamizi ni mitambo ya kufua umeme tu, acha kutawaliwa kifikra na wazungu ifike wakati tutumie akili zetu za kuzaliwa kuhoji na kutafuta majibu kwa hekima zetu sio kwa mihemko. Just know that Kenya is my second home bro by living not just talking.
Heshimu matatu za Kenya, hata brt ikiletwa kenya matatu zitakuwepo, matatu zinamilikiwa na watu binafsi si kama ilvyo Tanzania, matatu za Kenya zimewajiri watu wengi sana kuliko brt, faida ya matatu huenda kwa watu binafsi na kwa serikali ilhali huko Tz yote ni ya serikali, Kenya watu wengi hawapendi kutumia mabasi kama Tz, Kenya ni kawaida watu kusafiri kwa zaidi ya saa mbili kwenye matatu za watu 11-14 si kama Tz ambapo mabasi pekee ndo yameruhusiwa kusafirisha watu kwa safari sa saa nyingi. Hizo matu zimeajiri wengi kenya ikilinganishwa na mabasi ya huko Tz. Sawa na stendi za mabasi, watu wengi Kenya hawana mazoea ya kutumia stendi za mabasi kama ilivyo Tz. Ukitembea Kenya utakuta stendi nyingi za matatu zimeundwa lakini hazitumiki.
Kenya brt muipate wapi LOL😂 badala serikali iwaekee irrigation schemes msife na njaa .....kwa akili yako ndogo unataka brt ...umerogwa!.....Huku bongo hatuna njaa nyie endeleeni kulilia vitu vya watu walioshiba
Man..😂😂 Google thika road.. has a BRT designated lane... But kenyans never used it even day 1... it went down. But check out the commuter rail train ... when you mention matatu..😊 that's a culture not a transport mode. 😮don't be brave n stupid @@PabloDallas255
Watz mko na matako na vile mmekonda kama vijiti vyameno kadanganye wengine labda hao wanawake matako flat sisi huwaona wakiwa mamevalia dera ni wanaume waliovaa dera
Tanzania daladala ni maarufu na BRT imekuja juzi acha kujisifia sana,....BRT imeanza imetumika kwa nchi nyingi Africa kama morocco ,egypt South africa kabla Tanzania
This is a joke, those matatu in Kenya look like Kathmandu buses in Nepal yaani mabasi yao yamepakawa rangi ya choo 😅😅 No where closer to Tz Brt, they are still well far behind.
Tanzania hata bus za mikoan tu nzuri kuliko za nchi yeyote ile africa mashariki hawa majiran hadi leo watumia isuzu kama bus... Sehem ya 400km unatumia zaidi ya masaa 12 wakati dodoma to dar n km 500+ na unatumia masaa 6 kufika
Watali wengi huu come kenya for matatu culture competition, shida ni nganya zetu hazi fuati sheria za barabara thats y hatuna bus station nairobi even stage zetu hazitumiki zime geuzwa duka 😂😂😂 Kupanda na kushuka ni anywhere bt kama ni pesa wako nazo bro
Brt is there because you have a failed transport system,poor road network and poor economy that's make citizens unable to afford to buy a car but rely on public transport system.Kenya we are ahead with good infrastructure and most people in kenya can afford to use private means
Barabara za Kenya zote ni superhighway,laini name ikiwa kidogo,thika supper highway Kwa watanzania ni kama kivutio cha utalii,wengi wanakuja Kenya kujionea Barbara Haina hiyo.Kumbuka sijataja Express way na miundo mbinu zinginezo
Kenyans are proud of music and graphics thats all they care na ndio mana unaona matatu culture is unstoppable all over kenya … in kenya they have the modern electric buses and nobody cares and u r here preaching about mwendokasi 2016 😂 ua-cam.com/users/shorts0awwYo862OQ?si=slC-Cylnb33Nfrez
@@johnmwambire6198 kazi yangu ni kutengeneza content...and I know Siwez kufurahisha kila mtu...so usubir siku nikipost matikiti utawatch au sio bro! May be this isn't for you ndo maana umemind
Wa tz wapigeni sindano hao wakikuyu na wajaluo hadi wavimbe miili yao ili kesho wakaandamane, shame on you kenyans. Mmetuchokoza na kiingereza huko mnalala na njaa.
Mbona huonyeshi mabasi za umeme zinazo tumika kenya,wacha ubinafsi ,hivi bet ipo asilimia 5 peke wa mji ila kwingine ni daladala na pikipiki sasa watuona wajinga
Heri umeongea yaliyomo moyoni mwako,cha muhimu ni heshima hata kama mnatawala dunia nzima kibiashara na hamkutawaliwa,usukule na hakuna aliye na dhambi kati yenu.
Acha majivuno hakuna ajuwaye kesho halafu kujigamba ustarabu huu ndio ustarabu?...tz imejengwa na wazungu na wengineo...chunga ndimi tuko mwaka mwengine kuna mengi tuu yanayoendelea chinichini tz ila kimya...halafu mmh...
Do you know that kenya is currently building 3 lines of brt concurrently,line 5,line 1 and line 3 ,,out of the 5 lines supposed to be built by the end of the project,,so we will achieve what you have achieved within 2 years ,, research
😂😂😂😂 tz mnachuki sana nyie juu mko na train za green yaani wewe uko after kenya all you video sasa next video ni za mboro za kenya na mboro za tz gani zuri juu naona matako wametuzidi ... Meno .....pia nywele kila kitu tz wametuzidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😋kiswahili wametuzidi english wametuzidi 😅😅😅😅😅😅
@@FredyMwaijandemushono gani dada,huyu jamaa anajuwa akitaja Kenya anapata views😂kuna video fulani alifanya wiki moja iliyopita hakutaja Kenya alipata 640 views hadi leo hawajaongezeka hii ni content tuu usiwe na hasira ukatutowa kafara
Hata kuandika pia ni shida na ni Kiswahili?matajili(matajiri)kibokoyao(kiboko yao)alikuawa(alikuwa)KILA WAKATI KAMILIKAPETA UNATUTUSI TUKO NA NJAA NI SAWA ILA WASANII WENU WOTE WAKO KENYA NA TUNAWAKARIBISHA VIZURI TUU.
Nmechoka kuwacheka kenya ila tu kitu wanatakiwa kujua ....kwa TZ inavoenda huko mbele tutakuja kuwakalia kwenye kila kitu .....sema izo bus zao zinatisha 😅 ni kawa zile bus zakupelekea wafungwa Gwantanamo bay
NI SAWA PABLO UMESHINDA SANAAA JIFUNZE HII LUGHA VIZURI(UNAUNGANISHA MANENO MAHALI HAIFAI(inavoenda)ni inavyoenda ENDELEA KUTUCHEKA..ILA TUOMBEANE MEMA
Hata Marekani imefeli kwenye miundo mbinu. Wachina na wajerumani wako mbali sana. Ujerumani ni kanchi kadogo. China ni kiboko wako kule kusikofikika. Wamarekani wanawaambia wananchi wao wasiende China 🇨🇳 kumbe hawataki wananchi waone wachina walivyo na shoo. Sasa Kenya wako hivyo hivyo kama marekani. Denying and Denying.
God bless Tz.
Tanzania 🇹🇿 Pongezi Mdau
Tz leads others follow 😊
Ewaa
"Matatu Culture" imekubalika kimataifa kama Utamaduni Wa Kenya. Ata Watalii na Wageni wengi wanashabikia utamaduni huu wa Matatu Culture
Ewaa
Jimmyodari;mbona ujieleze kwa watu ambao wanamajivuno
Tuliza kalio
@CamilasJohn duh 😀
Stupid culture
I have come to realize that tanzania is so rich than kenya here on youtube but kws ground mambo ni tofauti..tembea kenya ujione
na wewe TembeA Tz uone
Serikali ya Wakenya walikuja hapa TZ kujifunza kuhusu uanzishaji wa BRT, Sijui kama waliweza maana ndugu zetu wakenya wamechoka mbaya, hawaiwezi TZ😂😂😂😅
Haha
Maelezo mengi sana halafu unarudia kitu kile kile,
Au sio
Kaka mbona kama naona unatengeneza chuki ambazo hazina ulazima kwani lazima tz tufananishwe na wakenya? Kwann usifananishe na gana,
Kama haikuhusu pita hv...hujui this imeanzia wapi
huwajui wakenya wewe................wakorofi
@jeremiaaugustino7187 mmh
Hapa kenya usafiri ni free style,bora ufike kwenye waenda,mabasi ya tanzania yangekua kenya tungeyaita migongo
Hiyo brt tz inchi ya kwanza afrika kutumia huo usafiri kwa hiyo hapo uwezi kulinganisha na inchi yoyote afrika mashariki. Nimewahikusema kwa wakati huu kenya majirani zetu hawatupati tena. Ukabila. Rushwa pamoja na maandamano mpaka wa malize tz itakua ndio king of africa sio east africa tu. Hii inchi umezungukwa na bahari na maziwa.
Vitu kumi ambavyo vitaifanya tz iwe juu
1 sports ligi yetu sasa hivi another level
2 tunajenga east africa commercial center. Kwenye kila kona ya inchi tunajenga masoko makubwa ya kibiashara.eg kigoma. Mwanza.
3 sgr itakua imefika burundi. Rwanda. Congo na uganda.
4 tumesha jenga dry port kwala mzigo yote ikishuka inapelekwa kwara
5 chakula itakua kingi sana kwa sababu inchi nzima sasa hivi ina barabara za lami.
6 utalii
7 ajira zitakua nyingi sana
8 industry park
9 bwawa la nyerere litaanza kazi bei ya umeme itapungua
10 mafuta na ges pamoja na madini
Nimeipenda hii
Hivi hizi tambo kuwa BRT Tanzania ni ya kwa nza Africa huwa mnazitoa wapi? Mmefanya utafiti?
BRT system is not your system it's everywhere in the world. Matatu culture is our thing it's our culture, najua huezi elewa mwanangu BRT ni mfumo unaokuwa kwa kila jiji hata hapa Kenya utaziona hivi karibuni, tunashughulika na mambo mengi
Au sio
BRT in kenya cant work govt wame jaribu kuleta bt ni ngumu nairobi, Nganya zetu zime take over transport industry
🙏
Brt za wazungu
Matatu Kenya made
Tunajua mnachukua cheses za magari ya mizigo mnaenda kuunda mabasi,,
Au sio
Haha
Na kizungu ni cha wazungu
@mishaelmgendi8274 😀
MATATU ZA KENYA NI KIPIMO CHA UMASKINI MAANA WAMEAMUA KUCHUKUA FUSO NA ISUZU A KUIMODIFY KUWA PUBLIC TRANSPORT,MEANS KWAMBA WAKENYA WAMEKUWA WAKIBEBWA KWENY GALI ZA MIZIGO.
TUJE KWENYE COMMUTER TRAIN,yenye inaoperate only from airport to citu center njoo Dzm ukutane na mwakyemb train
Word
Tanzania iko far sana kenya ilikuwa zaman now tz iko mbali zaidi
Au sio
@@FredyMwaijande maombi au Dua yako hiyo
@jimmyodari5487 ndio uhalisia uliopo kwa sasa
@FredyMwaijande au sio
Tz mko nyuma saana.....
Tanzania is so beautiful, Kenya seems to be 10 years behind Tanzania in developments. Congratulations Tanzania 🎉 keep going ❤
Ewaa
Endelea na chumvi Mtanzania_Mzalendo 😂😂😂 Watanzania wenzako watafurahia sana hi trolling yako, mbona 10 years? Tuifanya 20 ama 30 years, gani kitawajaza vizuri 😂😂😂
😂😂😂tunatakiwa watanzania tu i colonize kenya
Haha
Tafauti na Kenya na Tanzania , Afrika Kusini ilijengwa kwa kiasi kikubwa na Wazungu enzi za hao Wadhalimu. Nairobi na Dar es Salaam zimejengwa na Serikali za Kiafrika miaka 60 iliyopita
Nairobi ilikuwa well established wakati wa Waingereza. Waingereza waliacha mfumo mzuri wa elimu, vyuo vikuu na Nairobi ilikuwa ni makao makuu ya utawala wa Uingereza😂
I like this
Sasa jimmy unabembeleza Hawa watu na nini...they know nothing except kujigamba tu.,they can never see us bro..hawataweza Leo ama kesho
@danmatiku5840 au sio
Mbona io nairobi yenyewe ndani ndani kama mbagala langi 3😅
Hahaha
Tatizo unamaelezo mengi Sana kuliko vitendo onesha hizo vidios
Noted boss
Kenyas public transport has been left to wananchi to run,it is an economy on its own it brings in money to run the the country.Kenyas matatus is unique and interesting.
Wazungu call them moving disco guday bro
😀
Utekelezaji wa BRT katika Jiji la Nairobi ungefanyika zamani sana ata kabla Dar es Salaam lakini kumekuwa na pingamizi nyingi. Lakini bado Serikali iko na mpango wa BRT jijini Nairobi.
Au sio
Who wants BRT for sure...tuko na nganya na tuko sawa..unajua nganya moja inaweza lipa president yenu suluhu
Asee
Ni kweli sisi viongozi wetu wanalipwa pesa ndogo kuliko viongozi wenu na ndio maana kila siku mnaandamana hata bei ya ukipanda😂 huoni mtanzania akiandamana kwasababu ya vyakula, na maandamano tz ni wafanyabiashara kufunga maduka yao, pale kodi zinapikuwa juu na haizidi siku mbili muafaka unapatikana maisha yanaendelea kwenu huko mnaingia mpaka bungeni utadhani panya road mnachoma mpaka bunge halafu mbajiita wazalendo mnaharibu vitu mlivyotozwa kwemye kodi hiyo akili au matope, mkiona tz hakuna maandamano mnasema watzee ni waoga hatuko na muda wa kuandamana sababu kula kwetu sio stress kama huko mchele mzuri pia hamna unatoka tz hadi vitunguu mnashindwa kulima vinatoka tz mko busy na matusi kumtukana raisi wenu wakati mlimchagua wenyewe, hii 2025 ikiisha tutaongea mambo mengine, mpaka umeme tunawauzia sisi mnatia huruma sana, surely usafiri wa kenya unakera sana fujo miziki kama club yaani ukiwa mgonjwa inabidi upande tax ambazo pia usalama ni mdogo, sehwmu zote za kenya nzuri nzuri wanakaa vigogo na sehemu nyengine nyingi tu wameje wao na kupangishavwazungu wakati wenye nchi wanaambulia maandamano na kupigwa risasi na kujiuguza wenyewe waliopata majeraha ya maandamano, asilimia tisini za tv za kenya ni tv za kubet yaani unaamka asubuhi saa kumi na mbili watu wanabet mpaka saa sita usiku mtapata kweli maendeleo? Kasongo alienda uingereza kuomba mkopo akakutavwazungu wamevaa tshirt ya kubet ya kenya, Zakayo akakasirika sana akaona isiwe shida amerudi kenya ameifungia hiyo bet moja ila zipo kama zote😂 mnaishi maisha ya bahati nasibu😂leo hii kweli ndio maana polisi wenu wanachukua rushwa hata ksh100😂 what a shame sibahitishi Kenya is my second home na mimi ni mwemyeji nairobi ninapoish juu ghorofa nne ila mziki wa matatuu unaniramba, acheni kutukana mandugu zetu hakuna mkenya wala mtanzania anaevuka boda kwa visa sisi ni wamoja ila viongozi wenu bure kabisa wanajali matumbo yao tena bila aibu kuliko maendeleo ya nchi
@DavidCurtis-e4c asee
@@DavidCurtis-e4cHayo yote na 40% ya digital economy ya Tanzania ni Mpesa inayoijenga. Hao wakulima wa vitungu na mchele wanauwezo ju ya maendeleo kutoka Kenya ndio walete mboga la bei ya chini. Tafakari hayo, economy ya TZ iko mkononi wa mpesa 😂 Hapo ni labour outsourcing kwa nchi unaolipa mshahara, kodi na ushuru wa chini. 😅
Hakuna shida na kununua stima TZ kama kibiashara inokoa pesa, hio ni vizuri kukuza mapato ya asilimia ya juu kwa wafanya biashara nchini. Kenya, TZ, Ethiopia na UG tunauza na kununua stima sisi sote kutoka kwa jirani hapa Afrika mashariki, kisha hu mradi itafika hadi Afrika kusini mwaka ujao. Haina shida lakini, nuclear itakuepo pia na geothermal wakati climate change italeta shida kwa hydropower miaka inaokuja. 😂
@ miaka mingapi hiyo inayokuja labda wewe mtaalamu utuambie mapema maana zipo nchi nyingi hata wazo la kuweka hizo nuclear zako hazina, mfano mdogo Sadam husein alivamiwa na kuuwa na watu wa magharib kea msaada wa raia wa iraq leo hii wanalia na kusaga meno unalijua hilo? Alikuwa na hiyo mitambo unayosema kwa ajili ya umeme matokea yake akaonewa wivu na wanaoona ulimwengu upo kwa ajili yao, akagombanishwa na raia wake wakamuita dictator, terorist na majina yote mabaya na katibu mkuu kwa kipindi kile Kofi Anani alizuia asivamiwe lakini je mbona alivamiwa? Raisi wa sasa wa America akaweka wazi kuuwawa kwa sadamu ilikuwa makosa makubwa sana kwa maana hakuwa na mabomu angamizi ni mitambo ya kufua umeme tu, acha kutawaliwa kifikra na wazungu ifike wakati tutumie akili zetu za kuzaliwa kuhoji na kutafuta majibu kwa hekima zetu sio kwa mihemko. Just know that Kenya is my second home bro by living not just talking.
Today ukoo uijui South Africa
😀
Ugomvi wa kipuzi kabisa
❤
Miji mipya ya KONZA CITY, TATU CITY na OAKLAND CITY yote inajengwa na miundo msingi ya BRT
Au sio
2050
Piga kwenye mshono
Haha
Tena bro BRT ni govt project bt Nganya zetu ni private business, Nganya moja can employe more than ten people
🙏
Unamjua PAPA FOLOLOOO WEWRRR,
AU SAIDI COPS😂😂😂
NJOO DAR KIJANA
Huyu binti anawaza matako tu hakuna kitu kichwani.
Haha
Heshimu matatu za Kenya, hata brt ikiletwa kenya matatu zitakuwepo, matatu zinamilikiwa na watu binafsi si kama ilvyo Tanzania, matatu za Kenya zimewajiri watu wengi sana kuliko brt, faida ya matatu huenda kwa watu binafsi na kwa serikali ilhali huko Tz yote ni ya serikali, Kenya watu wengi hawapendi kutumia mabasi kama Tz, Kenya ni kawaida watu kusafiri kwa zaidi ya saa mbili kwenye matatu za watu 11-14 si kama Tz ambapo mabasi pekee ndo yameruhusiwa kusafirisha watu kwa safari sa saa nyingi. Hizo matu zimeajiri wengi kenya ikilinganishwa na mabasi ya huko Tz. Sawa na stendi za mabasi, watu wengi Kenya hawana mazoea ya kutumia stendi za mabasi kama ilivyo Tz. Ukitembea Kenya utakuta stendi nyingi za matatu zimeundwa lakini hazitumiki.
Au sio
Kenya brt muipate wapi LOL😂 badala serikali iwaekee irrigation schemes msife na njaa .....kwa akili yako ndogo unataka brt ...umerogwa!.....Huku bongo hatuna njaa nyie endeleeni kulilia vitu vya watu walioshiba
Fuatilia Kenya mwaka huu
Man..😂😂 Google thika road.. has a BRT designated lane... But kenyans never used it even day 1... it went down. But check out the commuter rail train ... when you mention matatu..😊 that's a culture not a transport mode.
😮don't be brave n stupid @@PabloDallas255
@chrispinusshibona4118 au sio
Watz mko na matako na vile mmekonda kama vijiti vyameno kadanganye wengine labda hao wanawake matako flat sisi huwaona wakiwa mamevalia dera ni wanaume waliovaa dera
Haha
Unagusa mshono mkuu
Haha
Standing za mabasi za Tanzania ni viwanja vya ndege Kenya.😂😂. Tazama stand ya mabasi Nairobi ukilinganisha na Magufuri stand ni kichekesho.
Haha
Wakenya sasa ivi hawatuwezi wajipange sanaàaaa 😅😅😅😅😅
Au sio
Tanzania 🇹🇿 iko mbele sana kwa miradi mingi sana
Tanzania daladala ni maarufu na BRT imekuja juzi acha kujisifia sana,....BRT imeanza imetumika kwa nchi nyingi Africa kama morocco ,egypt South africa kabla Tanzania
Au sio
Hizi ligi zenu ni za kipumbavu sana 😂
Niko Singapore naona jinsi mbilikimo mnavimbiana Tanzania na kenya wote ni wapumbuvu😂😂😂
Haha
This is a joke, those matatu in Kenya look like Kathmandu buses in Nepal yaani mabasi yao yamepakawa rangi ya choo 😅😅 No where closer to Tz Brt, they are still well far behind.
Haha
Msisahau Kama Usafirihuo Haujaanza Léo Alikuwepo Kitambo.
😀
adaNahimamana;nyoosha Kiswahili mbona kama hukielewi😂😂una unganisha maneno kama uko chekechea(kuandika pia ni shida?)
Haha
@@tanzanianexplorer AdaNahimana anashida ya kuandika😂😂kaka
Je wakenya lini mnenda choma bunge jemeni na kuua viongozi wenyu? Ila kenya bwana hya wana kiberaa
Tanzania hata bus za mikoan tu nzuri kuliko za nchi yeyote ile africa mashariki hawa majiran hadi leo watumia isuzu kama bus... Sehem ya 400km unatumia zaidi ya masaa 12 wakati dodoma to dar n km 500+ na unatumia masaa 6 kufika
Au sio
Tuache uongo
@pure_drive_reviewer
Mmh
Kenya tukona pesa na TZ😂😂😂
Asee
Watali wengi huu come kenya for matatu culture competition, shida ni nganya zetu hazi fuati sheria za barabara thats y hatuna bus station nairobi even stage zetu hazitumiki zime geuzwa duka 😂😂😂
Kupanda na kushuka ni anywhere bt kama ni pesa wako nazo bro
Ooooh
Wealso have commuter rail
Au sio
Unaijua mwakymbe kijan hyo commuter rail ni only from the airport😂😂
Kenya wanapanda mikebe
Haha
Hyo mkebe moja unanua brt 3
@@Vegasboy254 ah kmmk dogo una njaa .....unajua brt ni shingap ww
@PabloDallas255 hahaha
@Vegasboy254 asee 😀
Brt haipo kila Mahali kaka , don't compare that twajua mnadaladala mzee hizo mbona hutuonyeshi
😀
Explore with Bertin does it best 😂😂😂😂ndo maana huna views...kurudia tu content 😂😂😂😂kuja ground msee
Au sio
Tuonyeshe Bagamoyo na Bukoba mama anaupiga mwingi hoyeee
Brt is there because you have a failed transport system,poor road network and poor economy that's make citizens unable to afford to buy a car but rely on public transport system.Kenya we are ahead with good infrastructure and most people in kenya can afford to use private means
Miundombinu ipi uliyo nayo ww kenya ilikuwa zaman akn so sasa tz iko far zaidi
Au sio
Haha
Barabara za Kenya zote ni superhighway,laini name ikiwa kidogo,thika supper highway Kwa watanzania ni kama kivutio cha utalii,wengi wanakuja Kenya kujionea Barbara Haina hiyo.Kumbuka sijataja Express way na miundo mbinu zinginezo
@@kevinochieng6458endelea kujidanganya
Kenyans are proud of music and graphics thats all they care na ndio mana unaona matatu culture is unstoppable all over kenya … in kenya they have the modern electric buses and nobody cares and u r here preaching about mwendokasi 2016 😂 ua-cam.com/users/shorts0awwYo862OQ?si=slC-Cylnb33Nfrez
Nairobi sio matatu only Kuna metro rail na city hoppa...
Okey
Wewe ni kuma ya mamako
Au sio
People wameacha kukufa huko? Food inapatikana siku hizi? Shelter je? 😀😀
Acha unafiki wa kujitafutia views kupitia comparison isiyo na msingi
Au nipost matikiti maji mkuu? Utawatch?
@tanzanianexplorer heri matikiti maji ,ju ww mbwehu tu
Haha Mbona povu kubwa sana ndugu yangu? Huu mchezo hautak hasira
@@tanzanianexplorer ww ndio umelileta sio
@@johnmwambire6198 kazi yangu ni kutengeneza content...and I know Siwez kufurahisha kila mtu...so usubir siku nikipost matikiti utawatch au sio bro! May be this isn't for you ndo maana umemind
Wa tz wapigeni sindano hao wakikuyu na wajaluo hadi wavimbe miili yao ili kesho wakaandamane, shame on you kenyans. Mmetuchokoza na kiingereza huko mnalala na njaa.
Haha
Ukishiba unageuka unakuwa mjinga 😂
@Vegasboy254 haha
Mbona huonyeshi mabasi za umeme zinazo tumika kenya,wacha ubinafsi ,hivi bet ipo asilimia 5 peke wa mji ila kwingine ni daladala na pikipiki sasa watuona wajinga
Karibu tanzania
Mtangayika mwenyewe hajui maana ya BRT.....😂😂😂😂
😀😀
Kenya ilijengwa na wazungu, tz imejengwa na watz. Kenya mlitawaliwa kishenzi na waingereza hadi mkasahau kiswahili na mila za kwenu.
Asee
Heri umeongea yaliyomo moyoni mwako,cha muhimu ni heshima hata kama mnatawala dunia nzima kibiashara na hamkutawaliwa,usukule na hakuna aliye na dhambi kati yenu.
Acha majivuno hakuna ajuwaye kesho halafu kujigamba ustarabu huu ndio ustarabu?...tz imejengwa na wazungu na wengineo...chunga ndimi tuko mwaka mwengine kuna mengi tuu yanayoendelea chinichini tz ila kimya...halafu mmh...
Asee
🥹
Do you know that kenya is currently building 3 lines of brt concurrently,line 5,line 1 and line 3 ,,out of the 5 lines supposed to be built by the end of the project,,so we will achieve what you have achieved within 2 years ,, research
Ikiisha. Mnaanzisha project kibao lakini haziiishi. Hela kwenye mifuko ya wachache.
@joycelinelyimo-fenske8745 😀
@@joycelinelyimo-fenske8745haya ngoja uone😂
😂😂😂😂 tz mnachuki sana nyie juu mko na train za green yaani wewe uko after kenya all you video sasa next video ni za mboro za kenya na mboro za tz gani zuri juu naona matako wametuzidi ... Meno .....pia nywele kila kitu tz wametuzidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😋kiswahili wametuzidi english wametuzidi 😅😅😅😅😅😅
Haha
Linganisha Tanganyika na Uganda hao ndio level yenyu....achana na Kenya
Kwani nyie wakenya mna nin cha maana kutuzidi tuliza mshono dawa ikuingie
Haha
@@FredyMwaijandemushono gani dada,huyu jamaa anajuwa akitaja Kenya anapata views😂kuna video fulani alifanya wiki moja iliyopita hakutaja Kenya alipata 640 views hadi leo hawajaongezeka hii ni content tuu usiwe na hasira ukatutowa kafara
Bro kulinganisha tz na kenya ni kitu inaitwa low self-esteem in other words maskini akichinja mbuzi ashinda kuanika ngozi. Tz mko shule
Au sio haha
Mbona wana panic kwa KITULA kidogo wana maandamano
Hapo sasa
Oe bloody mtabidi mpambane sana ndio mfikie 254 maana wabweka sana yaani wewe bweka wee kisha koo ikikauka utafute maji ulainishe
Haha....
English is not development.
Au sio
Jamani wanadaiwa njaaa pia hawana lisosi alizi yao waliwapa matajili kibokoyao alikuawa magufuli
Au sio
Hata kuandika pia ni shida na ni Kiswahili?matajili(matajiri)kibokoyao(kiboko yao)alikuawa(alikuwa)KILA WAKATI KAMILIKAPETA UNATUTUSI TUKO NA NJAA NI SAWA ILA WASANII WENU WOTE WAKO KENYA NA TUNAWAKARIBISHA VIZURI TUU.
MHHH;KAPETA NIMEKUJUWA SASA NA HII COMMENT YAKO,ISIWAHI KUKUSHIKA HIO NJAA UNAYO ITABIRI
Nmechoka kuwacheka kenya ila tu kitu wanatakiwa kujua ....kwa TZ inavoenda huko mbele tutakuja kuwakalia kwenye kila kitu .....sema izo bus zao zinatisha 😅 ni kawa zile bus zakupelekea wafungwa Gwantanamo bay
Haha
😂😂😂gwantanamo
@stellanyamuhogota1832 😃
NI SAWA PABLO UMESHINDA SANAAA JIFUNZE HII LUGHA VIZURI(UNAUNGANISHA MANENO MAHALI HAIFAI(inavoenda)ni inavyoenda ENDELEA KUTUCHEKA..ILA TUOMBEANE MEMA
Si kila tajiri anatia bidii...
Hata Marekani imefeli kwenye miundo mbinu. Wachina na wajerumani wako mbali sana. Ujerumani ni kanchi kadogo. China ni kiboko wako kule kusikofikika. Wamarekani wanawaambia wananchi wao wasiende China 🇨🇳 kumbe hawataki wananchi waone wachina walivyo na shoo. Sasa Kenya wako hivyo hivyo kama marekani. Denying and Denying.
Haha...Nimeipenda hii
Wakenya wengi ni bangi ,mirungi na chang'aa, na ndiyo maana mitaa yote ya nairobi usiku hujaa chocolate.
@SalvatoryMtunga haha
@@SalvatoryMtungaKumbe mnayo...tukana kabisa ili...
JOYCELINELYMO;UNGEKUWA NA MAMLAKA HII DUNIA HAPANGETOSHA ILA MUNGU ALIJUWA...HAKUNA ALIYE KATAA TZ INAONGEZA DUNIA MHHH
Acha kutafuta views na watu wa Kenya....linganisha tanganyika na uganda....umbwa
Haha au sio