Unajua kiukweli kabisa Wakenya walituacha sana , kosa wamefanya makosa wenyewe kutuamsha kuwa Tanzania ni tajiri ila imelala, Sasa imeamka na kuanza competition na Kenya , na ni kweli Tanzania ina Kila kitu na imeamka
Kabla ya kusema huwe unaangalia na kuchambua vitu vizuri, Uongo hautaibeba Tanzania na Chuki haitashusha Kenya, Wakenya huwa wanachukia ueleawa mdogo wa wabongo kuelezea facts: Mfano, Magufuli city ni mradi mdogo wa majengo ya utawala ya serikali, gharama ya ujenzi wete ni Dola za kimarekani Bilioni 5 na unakalia eleo lenye Eka 1,542 za ardhi. Konza city ni mji mzima, wenye viwanda, Makazi, ofisi na majengo ya kibiashara, gharama za ujenzi ni Dola Bilioni 14.5 na unakalia eneo lenye Eka 5000 za ardhi, unaongelea miradi miwili tofauti kabisa, Mfano wa mradi huu ni, Sandton Johannesburg, Eko Atlantic city Lagos, nk; Miradi kama hii uchukua mda mrefu kukamilika duniani kote! Mnafanya watanzania kuonekana wajinga.
kenyan sgr transports alot cargo from the port of mombasa to east and central Africa .. don't you see the benefits .. Bro..kuna utofauti wa state city na techno city fanya utafiti kikamilifu..
Kabla kulinganisha Tatu pia fanya utafiti vilivyo, naona Konza ulisema ati kuna ghorofa underground, sijui lengo lako, underground infrastructure ni tunnels ambazo zimejengwa kando ya barabara zote za Konza,Hizo tunnels ni za kubeba nyaya za stima, internate cables, sewage systems, water pipes etc.
Tafuta Chams media wakuonyeshe Konza city vizuri, hauelewi vizuri, underground alimaanisha cable za stima, sewage system, lighting system, in 2008 konza city ilikuwa Bado planing stage. Then konza has 147 parcels of land, out this 100 parcels having been bought and are at various stages of implementation.
@@PabloDallas255 let me tell you something what you're doing now we did it ages ago years ago let me tell you you can't keep up with the pace Kenya has 😂😂 only if we get a good leader in 2027 (which we will do actually) I tell you you'll be reading our number plates
The thing is Tanzania compares itself with Kenya while Kenya is trying to compare itself with developed countries 😂😂 our leaders are traveling to Singapore south Korea and all those developed countries for bench marking while your leadericome to Nairobi for bench marking there's levels
Wakenya walikuwa wanatuona wa Tz tumelala, kumbe hawajui sisi tunapiga mwizi kimya kimya, silent killer. Na kwa speed tuliyonayo ndani ya miaka mitano, watashangaa sana. Ukiachana na mijini hata vijijini bado tunawakimbiza, kwa sasa vijiji vyote Tz vinaumeme na maji kwa 90%. Nenda Kenya huko Left Valley ni balaaa.
WILLY PAUL HAJULIKANI KABISA BONGO MIMI NILIKUA SIMJUI KABISA NIKAONYESHWA WIMBO WA NANDY BWANA MKUNAJI NDIO NIKAMKUMBUKA KWAKWELI HAJULIKANI JINA LAKE WALA NYIMBO ZAKE.. HUKU BONGO NI MCHOVU TU HUYO KINYAGO WENU NYI WAKENYA
Tafadhali chomeka beach za mwanza na beach za kisumu 🤣🤣🤣watakutusi mpaka basi au mitaa ya mbali kiasi na miji 🤣🤣🤣 watakususa kukufutilia kaka , ira unanifurahisha kaka.
Compare but be professional being biased won't help you I have watched your videos unfortunately that is the case. You are saying tuchukulie positive, unless you stop being provocative 😅 remember in terms of you tube views and subscriptions no one will give better than Kenyans even your own Tanzanians can't nenda kaangalie your statistics silently then consult yourself, but if you want to be the coach and the ref at the same time is up to you 😅
Kuna kitu inaitwa pace what Tanzania is doing now we did them 10 20 years ago it's now when Tanzania is picking pace and starting comparing themselves with us
Unajua kiukweli kabisa Wakenya walituacha sana , kosa wamefanya makosa wenyewe kutuamsha kuwa Tanzania ni tajiri ila imelala, Sasa imeamka na kuanza competition na Kenya , na ni kweli Tanzania ina Kila kitu na imeamka
Au sio
Respect bro ..unatoa fact .....madini...
Thanks sana
Hahaha Kenya inabidi wakaze sana bana .......kwa hii spidi ya Tz ......wabongo washawasha turbo😅 waaale twaruka.....
Trrrrrrrrr
We together TROJAN BROTHER🤝🙏🎉
Pamojaaaa
@tanzanianexplorer ok thanks
Oky no problem sisi wakenya tunashida xetu
Au sio
Wambie ukweli maana wamekalili maisha wazazi wao walikua vizuri ila kizazi kipya cha kenya kimepumbazika watanguka vibaya
🙏🙏
Kenya walichobakiza saiv ni Marathoni tu ata Kiingereza saiv Tz inawazidi
Haha
uongo
Comparing brings negative energy kwanini tusiipongeze nchi zote kwa kufanya vizuri unaleta chuki sana bro na sio poa
Shida Kenya Hatuna Viongozi wazuri ila Mabaradhuli wasio na Uzalendo kwa Utaifa. Wana Ubinafsi Tupu.
Kabla ya kusema huwe unaangalia na kuchambua vitu vizuri, Uongo hautaibeba Tanzania na Chuki haitashusha Kenya, Wakenya huwa wanachukia ueleawa mdogo wa wabongo kuelezea facts: Mfano, Magufuli city ni mradi mdogo wa majengo ya utawala ya serikali, gharama ya ujenzi wete ni Dola za kimarekani Bilioni 5 na unakalia eleo lenye Eka 1,542 za ardhi. Konza city ni mji mzima, wenye viwanda, Makazi, ofisi na majengo ya kibiashara, gharama za ujenzi ni Dola Bilioni 14.5 na unakalia eneo lenye Eka 5000 za ardhi, unaongelea miradi miwili tofauti kabisa, Mfano wa mradi huu ni, Sandton Johannesburg, Eko Atlantic city Lagos, nk; Miradi kama hii uchukua mda mrefu kukamilika duniani kote! Mnafanya watanzania kuonekana wajinga.
Becoz we don't want
Haha
@@Brickyadventures26 😥 ha ha ha
Ukweli mtupu kabisa..mm Mkenya na nakubaliana na ww 100%
🙏
First of all your absolutely wrong there is no delay with konza konza it’s metropolitan city
kenyan sgr transports alot cargo from the port of mombasa to east and central Africa .. don't you see the benefits ..
Bro..kuna utofauti wa state city na techno city fanya utafiti kikamilifu..
Exactly
Kabla kulinganisha Tatu pia fanya utafiti vilivyo, naona Konza ulisema ati kuna ghorofa underground, sijui lengo lako, underground infrastructure ni tunnels ambazo zimejengwa kando ya barabara zote za Konza,Hizo tunnels ni za kubeba nyaya za stima, internate cables, sewage systems, water pipes etc.
Sawa sawa
Tafuta Chams media wakuonyeshe Konza city vizuri, hauelewi vizuri, underground alimaanisha cable za stima, sewage system, lighting system, in 2008 konza city ilikuwa Bado planing stage. Then konza has 147 parcels of land, out this 100 parcels having been bought and are at various stages of implementation.
Au sio...nmekuelewa
Bro from kenya accept !you are loosing speedly to Tz
@@PabloDallas255 let me tell you something what you're doing now we did it ages ago years ago let me tell you you can't keep up with the pace Kenya has 😂😂 only if we get a good leader in 2027 (which we will do actually) I tell you you'll be reading our number plates
The thing is Tanzania compares itself with Kenya while Kenya is trying to compare itself with developed countries 😂😂 our leaders are traveling to Singapore south Korea and all those developed countries for bench marking while your leadericome to Nairobi for bench marking there's levels
Mimi nadhani hali ngumu ya maisha kwa wakenya wengi, upungufu wa chakula na msoto mkali ndio huwafanya wawe aggressively kwa kila kitu
Aseeee...
Wakenya walikuwa wanatuona wa Tz tumelala, kumbe hawajui sisi tunapiga mwizi kimya kimya, silent killer. Na kwa speed tuliyonayo ndani ya miaka mitano, watashangaa sana. Ukiachana na mijini hata vijijini bado tunawakimbiza, kwa sasa vijiji vyote Tz vinaumeme na maji kwa 90%. Nenda Kenya huko Left Valley ni balaaa.
Haha...
Kaka hedelea ivoivo mpaka wenye waombe poo
Asante sana @Bahatnyo
Kwani kiingereza kimeacha kuwaletea maendeleo?😅😅😅😅
Haha...
😂😂
Kuwa na usawa kwa kulinganisha kwako si kuegemea upande mmoja
Mnabishania vitu za ujinga na nyinyi mnajua hamtawai tupita
Kenya or Tanzania?
Because you're not our level 😂😂
WILLY PAUL HAJULIKANI KABISA BONGO MIMI NILIKUA SIMJUI KABISA NIKAONYESHWA WIMBO WA NANDY BWANA MKUNAJI NDIO NIKAMKUMBUKA KWAKWELI HAJULIKANI JINA LAKE WALA NYIMBO ZAKE.. HUKU BONGO NI MCHOVU TU HUYO KINYAGO WENU NYI WAKENYA
😀😀
Hao wakenya hawajawahi kuwa na akili nzuri kila kitu wanapinga some times inabidi wakubali tu Tz tuko mbali sana now
Haha
Sijai ona kujenga reli na bus station ni maendeleo 😂
@@edwinchagara2970 kwani maendeleo ni nn et au nikuandamana kisa njaa na kukosa unga elimika ww
Ongea kiiingereza ng'ombe
We ushaona NG'OMBE inaongea kiingereza....labda nifanye Moo mooo
Nisawa nisafiiii
thanks sana
Tafadhali chomeka beach za mwanza na beach za kisumu 🤣🤣🤣watakutusi mpaka basi au mitaa ya mbali kiasi na miji 🤣🤣🤣 watakususa kukufutilia kaka , ira unanifurahisha kaka.
Haha umeona eeh
😂😂
Compare but be professional being biased won't help you I have watched your videos unfortunately that is the case. You are saying tuchukulie positive, unless you stop being provocative 😅 remember in terms of you tube views and subscriptions no one will give better than Kenyans even your own Tanzanians can't nenda kaangalie your statistics silently then consult yourself, but if you want to be the coach and the ref at the same time is up to you 😅
Au sio
@@bingorolly 😂😂😂 dawa inawaingia taratiiibu
Bado hujasema
@PabloDallas255 tatizo unapiga kwenye mshono bro
Muda mwingne shindanisha kenya na eswatin au Lesotho
Haha ila sio Tanzania si ndio
kama bongo tunawakimbiza he huko mnakotaka si ndio mtamwagwa Mavis kabisa dogo
@@tanzanianexplorer Yan bongo hawatuwez level zao akina Lesotho Burundi malawi
Endelea kucompare na uwe na usawa
okey thanks
Wapige spana Hao mpaka wajue hawajui
😀
Tanzania kwa Sasa maendeleo ni chap chap kenya yako lakini polepole
Au sio
Kuna kitu inaitwa pace what Tanzania is doing now we did them 10 20 years ago it's now when Tanzania is picking pace and starting comparing themselves with us
Kenya 50% of our salary ni tax so if u tz,ug,rd,br keep on mocking us na unga mara sukari one day u will get there our good brothers
True
Haha
And they'll cry 😂😂 they think Kenyans don't have money we have but issue is this mediocre called ruto
Ni sawa tu endelea watu wataongea tu
Umeona eeh
Kwa soka mnatushinda, lakini raga, mbio za nyika, voliboli,netball.
Aah kwa mbio mko vzr sana...
Rugby sevens, Volleyball tuko poa sana
@@chrispinusshibona4118 umesahau hasira na usera mavi sasa hivi mnatushinda machoko raha ombaomba wamejaa nairobi