My suggestion, we have three cities, Nairobi to host executive authority, Dar es laam to host legislative body and Kampala to host Judiciary. Then other cities including Kigali, Bujumbura, Juba, and Mogadishu can host other regional power, ranging from Maritime powers for Mogadishu, commercial purposes for Kigali, among others.
@@maria_mutondioriginal5 Hata biashara kuna wanaoenda hadi mashambani kusumbua wakulima na kulazimisha bei wanazotaka wao. Makubaliano yanaweza kukubali kuuziana baadhi ya biashara lakini kuna wakati nchi moja inakataa bidhaa za mwingine ikidai wao wanazo bora na za kutosha kinyume na makubaliano
Tanzania ndo napendekeza kwa sabb mbili kuu, ya kwanza Reli yetu ikija kumalizika na kuunganisha nchi za jirani kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na pili Bwawa letu la kufua umeme. miradi hii yote ikikamilika hakuna wa kujaribu hata kuguna tu kama si kufumbua midomo yao 😂😂😂 TANZANIA: 🇹🇿 We can , we must we will 💪
Huyu anayesema eti Nairobi Nairobi kitu gani mji wenyewe mdogo hatuwa tatu tu za miguu unaisha ss mji gani Bongo ndiyo ilitakiwa kuwa mji mkuu afrika mashariki
we kenyans have no interest in uniting with tanzania and uganda, we are more than okay with how we are...infact we are different different people uniting will just lead to us fighting....wacha tanzania na uganda waungane leaves kenyans out of that crap
@@tanzanianexplorer Hapana si sahihi kuwa Arusha iko tu kama mji wa makao makuu ya Jumuia ya Africa ya Mashariki. Katika vikao vya wakuu wa nchi hizo walishapitisha kuwa Arusha ndiyo iwe Makao Makuu ya Jumuia hiyo, lakini pia ndiyo iwe mji mkuu wa kiutawala wa baadae wa Shirikisho hilo la Africa Mashariki. Nchi itakayoundwa na anghalabu nchi 10 za awali, baada ya nchi hizo kutimiza kikamilifu masharti ya mkataba unaounda Jumuia hiyo ya Africa Mashariki kabla ya Shirikisho. Na moja ya Masharti ya mkataba huo wa Africa Mashariki ni..., I.)Usalama wa uhakika na utulivu wa kisiasa kwa kila taifa mwanachama. II.)Kuunganisha watu katika mambo muhimu na fursa mbali mbali ikiwemo biashara na uchumi, (Raia wa Africa Mashariki). III.)Soko la pamoja (kuimarisha biashara kwa raia, na Nchi kwa Nchi mwanachama. IV.) Utengamano wa wananchi (Kuondosha vikwazo vya usafiri kwa raia wa nchi mwanachama.) V.) Miundombinu wezeshi ya kurahisisha biashara na uchumi kwa kila taifa mwanachama. VI.) Sarafu ya pamoja. VII) Katiba ya Shirikisho la Africa Mashariki.
Bro my answer very simple and clear Dar es salaam and if second Kampala! Huo wa Nairobi akuna kitu hapo ni backward City a.k.a Kibera.
Duuh
Mawazo ya baba wa taifa yalikua poa sema kwa sasa haifai kuungana tuwe majilani tu ila kila mtu adili na mambo yake🇹🇿💕
Exactly
My suggestion, we have three cities, Nairobi to host executive authority, Dar es laam to host legislative body and Kampala to host Judiciary. Then other cities including Kigali, Bujumbura, Juba, and Mogadishu can host other regional power, ranging from Maritime powers for Mogadishu, commercial purposes for Kigali, among others.
This is nice
Arusha
Au sio
Dah! Kama Tz 🇹🇿 Kenya and Uganda tungeundana kiuchumi tungekuwa mbali sana
Exactly, tusingeshikika asee
Nairobi is so beautiful and and big to be the capital city of East Africa countries.😂
Asee
Ilisha amuliwa Capital ni Arusha hata bunge na Mahakama za East Africa Community vipo Ausha.
Au sio
Tz 🇹🇿 hatutaki tena muungano Kenya ni wasumbufu sana tokea mwanzo tutaishia kugombana tu wacha tushirikiane kibiashara tu.
Asee
@@maria_mutondioriginal5 Hata biashara kuna wanaoenda hadi mashambani kusumbua wakulima na kulazimisha bei wanazotaka wao. Makubaliano yanaweza kukubali kuuziana baadhi ya biashara lakini kuna wakati nchi moja inakataa bidhaa za mwingine ikidai wao wanazo bora na za kutosha kinyume na makubaliano
tunawapenda TzTz. Mi ni mkenya wa hapo Kitengela
nairobi mji mkuu of EA , dar es salaam iwe commercial city of EA
Exactly
safiiiiiiiiiiii
Hakuna haja ya kuungana. Miaka ile Kenya hawakuona umuhimu wa kuungana leo wako tayari sababu wana hali mbaya kiuchumi na Tanzania kuna fursa nyingi.
Wabongo wabaki na nchi yao, waganda vilevile na sisi pia hivo hivo, hatutaki muungano wowote
Haha
Kabisa maana mtatuletea huo ukabika wenu mara Mkikuyu au Luo, au Mkalienje😂😅 bora mbaki huko huko atutaki mambo yenu
Arusha ilisha pita mda mrefu
Au sio
Naona watu hawajui kuwa Arusha tayari ndio mji mkuu na makao makuu.
@nyumbanituthegendaheka7222 asee
Tanzania ndo napendekeza kwa sabb mbili kuu, ya kwanza Reli yetu ikija kumalizika na kuunganisha nchi za jirani kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na pili Bwawa letu la kufua umeme. miradi hii yote ikikamilika hakuna wa kujaribu hata kuguna tu kama si kufumbua midomo yao 😂😂😂
TANZANIA: 🇹🇿 We can , we must we will 💪
Exactly
Huyu anayesema eti Nairobi Nairobi kitu gani mji wenyewe mdogo hatuwa tatu tu za miguu unaisha ss mji gani Bongo ndiyo ilitakiwa kuwa mji mkuu afrika mashariki
Haha
Wabongo mnapenda ligi sasa Nairobi na Dar wapi na wapi😂?
Toa maoni mkuu haha
Kwanza kenyas wajufunze kiswahili ndio tuongee mambo mengine hawajui kiingereza wala kiswahili daah hawajiamini kabisa yes nyingi noo chache sanaa
Haha
Mimi nashauri nairobi ndo uwe mji mkuu alafu dar iwe mji wa biashara
Okey
we kenyans have no interest in uniting with tanzania and uganda, we are more than okay with how we are...infact we are different different people uniting will just lead to us fighting....wacha tanzania na uganda waungane leaves kenyans out of that crap
Asee haha
That Kenya that you care so much about who created it? You don't even know that pwani si Kenya.
@salimyakub6417 haha
@goddyffmarsacha say it again louder😅😅😅
@joshateka1396 haha
Kwani Arusha ili wekwa ya vp sasa, maana inavyo eleweka ni Arusha
Arusha n makao makuu ya jumuiya...mpango wa kuziunganisha iwe nchi moja... haitakuwa tena jumuiya Africa mashariki itakuwa ni nchi
@tanzanianexplorer oooh hapo nimekupata
@@tanzanianexplorer
Hapana si sahihi kuwa Arusha iko tu kama mji wa makao makuu ya Jumuia ya Africa ya Mashariki.
Katika vikao vya wakuu wa nchi hizo walishapitisha kuwa Arusha ndiyo iwe Makao Makuu ya Jumuia hiyo, lakini pia ndiyo iwe mji mkuu wa kiutawala wa baadae wa Shirikisho hilo la Africa Mashariki. Nchi itakayoundwa na anghalabu nchi 10 za awali, baada ya nchi hizo kutimiza kikamilifu masharti ya mkataba unaounda Jumuia hiyo ya Africa Mashariki kabla ya Shirikisho.
Na moja ya Masharti ya mkataba huo wa Africa Mashariki ni...,
I.)Usalama wa uhakika na utulivu wa kisiasa kwa kila taifa mwanachama.
II.)Kuunganisha watu katika mambo muhimu na fursa mbali mbali ikiwemo biashara na uchumi, (Raia wa Africa Mashariki).
III.)Soko la pamoja (kuimarisha biashara kwa raia, na Nchi kwa Nchi mwanachama.
IV.) Utengamano wa wananchi (Kuondosha vikwazo vya usafiri kwa raia wa nchi mwanachama.)
V.) Miundombinu wezeshi ya kurahisisha biashara na uchumi kwa kila taifa mwanachama.
VI.) Sarafu ya pamoja.
VII) Katiba ya Shirikisho la Africa Mashariki.
tanzania na uganda waungane ... kenyans we are fine, tutoeni kwenye huo ujinga wenu wa kuungana
Haha
Kuna nchi ambayo hata wao kwa wao wanashindwa kuungana .Hilo ni suala gumu kwani kuna wengine wanajiona wako bora na juu zaidi
@hashimchaoga9566 haha
Mimi kama mkenya na wish one day tuhungane bro
Wacha matusi just comment