Hiki Ndio Chanzo Cha Mgogoro wa Tanzania na Malawi Kwa Miaka Mingi / ITATOKEA VITA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 160

  • @GALLUSHALINGA
    @GALLUSHALINGA 16 днів тому +2

    Siku moja tutakuwa pamoja na Africa will become Super power and independent continent 🫡🇹🇿🌍

  • @aproxaprox
    @aproxaprox 21 день тому +13

    Kenyans keeps obsessed with TANZANIA,
    But kitu kizuri ni kwamba kuanzia nyinyi wakenya na chokochoko zenu tunawamudu ,
    Na nchi nyengine yeyote hapa Afrika mashariki tunaimudu.
    Mambo ya mipaka yanasimamiwa na jeshi letu imara la JWTZ kwa iyo hakuna nyau wa kumhofia.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 21 день тому +10

    Wakenya ni viumbe wa shari sana, na sababu kubwa ni bangi na mirungi, wanafikiri sisi tutagombana na malawi.

    • @danielmacharia9603
      @danielmacharia9603 21 день тому +2

      Tuko huku 🇰🇪 tz na Kenya hatuwezi Achana kwa sababu tunatumia lugha Moja kiswahili na English

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      @danielmacharia9603 watu wa maana kabisa

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 20 днів тому +1

      LUGHA 1 ya Kiswahili na English 😅
      PUMBAVU KABISA

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  20 днів тому

      @Ndu-wa.uroony2 asee

    • @deokibona2835
      @deokibona2835 19 днів тому

      Wakenya wako sahihi, Malawi wanachokitafuta watakipata.

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 10 днів тому +2

    Malawi na Tanzania ziungane iwe inchi moja

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 22 дні тому +11

    Hata muukuze vp huu mgogoro malawi ni jiran yetu na hatuna mpango wa kugombana nao

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  22 дні тому +1

      Kwan nani kasema mtagombana boss?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 21 день тому

      Asee wewe unaakili kubwa sana

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 21 день тому

      ​@@tanzanianexplorer😂😂😂😂😂tuvumilie watu wako

  • @EphrancinaBeyanga
    @EphrancinaBeyanga 21 день тому +8

    Nilikenya hili hata msihangaike watz , najua mnanielewa

  • @DavieChikuMandah
    @DavieChikuMandah 17 днів тому

    Hatari😊

  • @amosbenson6383
    @amosbenson6383 16 днів тому

    I will comment later

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 11 днів тому +1

    Unamjua mjerumani kweli au yeye aseme mpaka ni fukwe kweli chezea mjerumani km huamini angalia mpaka mlima Kilimanjaro ❤

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 днів тому

      Aliukunja haha

    • @gloriamichael7935
      @gloriamichael7935 10 днів тому

      @@tanzanianexplorer huyo mwache tu ni hatari sana huyo mtu hakuja kwa hasara alikuja kwa nchi ya mali ya kila aina ndiyo maana alikuwa na koloni 2 tu afrika hakutaka utitili uliojaa udonga tupu achana naye huo

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya 9 днів тому +1

    Waandishi wa habari acheni chokochoko msitegemee tanzania kugombana na Malawi hilo msahau...

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  9 днів тому

      Hakuna chokochoko hapa....kanywe maji ukalale. Hii ni taarifa ya kilichopo

  • @adammaro7836
    @adammaro7836 9 днів тому +1

    Hujatuambia hiyo sheria ya mipaka ni ya Mwaka gani na kama automatically ilibatilisha hiyo iliyokuwepo

  • @HassanAli-kq4sp
    @HassanAli-kq4sp 19 днів тому +3

    Sheria za kimataifa haina ubaguzi wala upendeleo, kwa hiyo ni lazima itumike

  • @INOCENTMCHOME
    @INOCENTMCHOME 18 днів тому +3

    Hakuna nchi apa Africa mashariki na kati inaweza battle na sisi tuta wafanya vibaya sana uganda na congo wanajua mziki wetu 🔥🔥

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 19 днів тому +3

    Hawa wanyasa wata chemka tu haeaijui Tz vzr hawa

  • @denson.d.johnmsabi3194
    @denson.d.johnmsabi3194 21 день тому +5

    Tanzania tumuombe mungu amani

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      Amen

    • @HansChuma
      @HansChuma 21 день тому +1

      Amani ikizid sana inakua kama upumbavu mtu anakutovoga unakaakimya huo sio UPUMBAVU wakikitaka wakipate japo itakua nishida ila hawa wenzetu wanapenda sana kutujaribu

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      @HansChuma asee

  • @ShamimaWilliam
    @ShamimaWilliam 15 днів тому +1

    I think something will happen after election in malawi

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 10 днів тому +1

    Wazungu walijua ziwa lina mafuta wakaamua kuwapa Malawi kwasababu wanaweza kuwamudu ila kiukweli walichemka vibaya na hata hao Malawi nao hawafikirii wanagombana huku wakijua hawatendi haki 😢

  • @BeauryKumwenda-ex6bv
    @BeauryKumwenda-ex6bv 7 днів тому +1

    Ulikuwepo tafuteni ela kwanjia zingine acheni mambo ya inchi

  • @joshateka1396
    @joshateka1396 21 день тому +2

    As a kenyan, we need to redraw the lake Victoria boundary . Each of the three countries should have a percentage of 33.3% of lake Victoria waters. We shall revist.

  • @benitoxavery1802
    @benitoxavery1802 9 днів тому +1

    1. Kwa sheria za mipaka ipitayo majini ya kimataifa hakuna mpaka wa maji unaopitia fukweni.
    Mpaka unaopita majini,huwa lazima upite kwwnye maji.
    Moja ya sababu yabkuamua hilo ni sababu maji hutembea,na hubomoa aldhi. Sasa ukiuweka kwenye kingo za aldhi,mpaka huo utakuwa unatembea na nchi moja kuna muda itachukua zaidi sehemu ya nchi nyingine.
    2. Wakati hiyo sheria ya kusema mpaka ni ufukweni inaandikwa,Tanzania haikuwa koloni la uingereza,wala haikuwa sehemu ya uingereza. Ilikuwa inajitegemea,na iliwekwa iangaliwe tu na League of Nations.
    Sasa mtu baki asiyekuhusu kamwe hawezi kuingia na ku sign mikataba kwa niaba yako.
    Refferences nyingi za haya zipo.

  • @JonathanTembo-f6j
    @JonathanTembo-f6j 16 днів тому +1

    Dawa ni vita ya Malawi na Tanzania,vita ndio suluisho la mgogolo huu

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 21 день тому +3

    Mi nafikili ili la katikati ndio linamashiko coz wananchi wa pandezote mbili wananufaika na mazao ya bahari haiwezekani eti mwanzo wa fukwe zangu ndio mpaka wa nchi zingine kwaiyo watu wangu ata maji yasiguse 😂😂 ata kwa umwagiliaji au kunywa

  • @THEVIllAGEDRIVER
    @THEVIllAGEDRIVER 4 дні тому

    Tanzania you're not right on this leave that small border on Malawi🇲🇼 please your Country is bigger than Malawi🇲🇼 please🙏 you can't own everything we are Africans

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 22 дні тому +8

    Wakenya banana 😂

  • @MohamedHamadNyange
    @MohamedHamadNyange 15 днів тому +1

    Malawi ni jirani zetu na hatutagombana nao

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 20 днів тому +1

    Naitaman hyo vita

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 22 дні тому +4

    Sasa hii mipaka yoyote dunia nzima hii ya Tanzania na Malawi ni viongozi wasio jitambua tamaa na chuki sasa ifanyike tena mipaka mipywa ya Africa utaona hayo yapo Togo na Ghana ujinga ujinga tu

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 17 днів тому +2

    Matawi ni wachokozi, mpaka uko katikati ya ziwa NYASA hakuna hata wa kupinga hilo unataka kumaanisha hata wananchi wa TANZANIA wasichoke maji wala kuvua samaki kwa imani za kijinga?!

  • @George-King-o4q
    @George-King-o4q 17 днів тому +1

    Na bado Burundi inahitaji mipaka yake ya zamani kigoma yote ilikua ya Burundi.

  • @RashidSunuku
    @RashidSunuku 21 день тому +2

    Kumbe kuna mgogoro wa ardhi mbona mm sijui 😮😮😮 ndo naskia apa

  • @tospend
    @tospend 13 днів тому +1

    Baada ya kugundulika mafuta malawi wanataka kuchukua ziwa lote

  • @MASAGATV-s9m
    @MASAGATV-s9m 17 днів тому +1

    Tunaomba vita isitokee mana sio poa

  • @JumaKatara-r2b
    @JumaKatara-r2b 21 день тому +2

    Hata kama ziwa ni letu tumelifanyia nn

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      Mmh

    • @EdsonNkinga-yn3ib
      @EdsonNkinga-yn3ib 21 день тому +1

      Wewe uko nchi gani? Mimi ni miongoni mwa watu tuliozaliwa kwenye fukwe za ziwa Nyasa na tunatumia ziwa kwa maisha yetu yote, kama vile uvuvi, maji ya kunywa na matumizi mengine, usafiri n.k na hilo ziwa ni ziwa nyasa na sio ziwa Malawi.

    • @tunsumemwakinyuke661
      @tunsumemwakinyuke661 19 днів тому +1

      Tumelioga acha maswali ya ajabu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 20 днів тому +1

    Lake kivu na lake Albert ni hivyo hivyo

  • @PrinceBanda-x6r
    @PrinceBanda-x6r 10 днів тому +1

    This rake it's not even part of Tanzania ,this lake full malawians

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 19 днів тому +1

    Hili ziwa lina mafuta na gess na mengi yako upande wa Tanzania 🇹🇿 na ndio chanzo cha kuibua ishu ya huu mpaka ktk kampuni zinazo fanya utafiti wa mafuta inabidi ifunguliwe bezi ya au bregedi ya ziwa nyasa kwajili ya kulinda masilahi ya Taifa.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  19 днів тому

      Asee

    • @JacksonMarko-qb7kj
      @JacksonMarko-qb7kj 15 днів тому

      Ujinga tu kwa tz saa Zingne hakuna haja ya kupigania maslahi haya coz wanajeshi wanaweza kujitoa tukashinda mwishowe mafuta hayo na gas yakiaanza kuchimbwa wananufaika viongozi wachache kuliko wananchi mfano kwenye madini gas ya mtwara nk tunanufaika na nn ukiangalia ubinafsi tu,me naona km wanataka vita na Malawi kisa Mali gafi hizo viongozi mshike silaha mkapigane nyie achaneni na vijana wa watu,mkishinda mle hatunashida coz unaweza peleka jeshi huko watu wataenda kufa huko wakishinda hatimaye mnashiba nyie huo ubinafsi utawamaliza

    • @kingmsanya3524
      @kingmsanya3524 12 днів тому +1

      Akili kubwa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 днів тому

      @kingmsanya3524 asee

  • @HansChuma
    @HansChuma 21 день тому +1

    Nihiv wajue hao wapumbavu wakitaka vita na Tanzania watambue sio jesh tu la tanzania ndio watakao pigana pekeao hadi sisi laia tutashika bunduki nakuwasaidia jesh letu na kulilinda taifa letu kudadeki zao yan hilo wajue kabisaaa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      Asee

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 20 днів тому

      Watashika wachache kwa kupigana nchi labda nishike kwa kujilinda mwenyewe na familia yangu pale adui atakaponijia.
      Mishahara mikubwa wapate wao, mafunzo ya kijeshi wapate wao tena kwa kupenyezana kwa kujuana halafu kashike bunduki kwa kupigania nchi? Kwani nchi kua na jeshi maana yake ni nn???

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara 21 день тому +1

    Kwan mbona kila mtu anasema wakenya wakenya kwan wamefanya nini??au wamesema nn humu

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому +1

      Asee sijui kwa nnn

    • @FrancisNgomaitara
      @FrancisNgomaitara 21 день тому

      @tanzanianexplorer Kaz kweli kwel

    • @FrancisNgomaitara
      @FrancisNgomaitara 21 день тому +1

      @tanzanianexplorer au wanahis we mkenya😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 21 день тому +2

      Kunawapumbavu ambao hawana akili kwani sisi na kenya tuna shidagani niwajinga wachache walio lewa sifa Kenya ni Wala mirungi mbona siko kubwa la mirungi ikobongo! Bangi ndo usiseme

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 20 днів тому

      Wewe ni muongo sababu Tanzania Mirungi iko katika kundi la madawa ya kulevya Kenya hapana hulimwa wazi wazi hasa kule Meru na ni zao la biashara huuzwa hadi nchi za nje

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 22 дні тому +7

    Kumbe wewe ni mkenya?

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  22 дні тому

      Why?

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 21 день тому +1

      ​@@tanzanianexplorer😂😂😂😂😂😂😂😂leo nimecheka. Kadi yako ya kliniki tunayo mkuu wewe ni mkenya wa kisumu

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      Hahaha daaah

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 21 день тому +1

    Hatuwezi kufuata mikataba ya wakoloni sasa hivi sisi ni nchi huru free hivyo haki itumike katika kumaliza mgogoro huo. Watu wanaofuata mambo ya kikoloni bado hawajawa huru.

  • @AliBakar-sx7lu
    @AliBakar-sx7lu 20 днів тому +1

    Kama ni hivyo zanzibar mipaka ya wakoloni ni kuanzia Lamu kenya malindi mombasa tanga darhadi mtwara je saivi ni uhalisia?

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 16 днів тому

    Kuna kambale watamu

  • @yusufuosman8966
    @yusufuosman8966 21 день тому +4

    Hakuna mgogoro nyinyi wandishi wa habari na media zenu ndiyo mnatutukuza uwe ugomvi..

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 11 днів тому +1

    Nafurahi kutawaliwa na mjerumani kbl ya uingereza wana akili sana wajerumani haendi kwa hasala huyu mjerumani . Mjerumani aliona pia lasilima hizo akaweka mpaka katika ya ziwa nyasa. Hata ziwa Victoria amechukuwa aslimia kubwa kuliko Kenya na Uganda. Chezea mjerumani wewe

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 днів тому

      Mmh

    • @gloriamichael7935
      @gloriamichael7935 10 днів тому +1

      @@tanzanianexplorer ziwa Victoria kachukuwa asilimia 51 chezea huyo halfu nyasa asichukuwe kwa lipi hasa aaaaaaaa no mbaya hiyo iche ilivyo

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  10 днів тому

      @gloriamichael7935 asee

  • @SultanSaidisaidi
    @SultanSaidisaidi 20 днів тому +2

    Sasa umesema ziwa Nyasa au lake malawi sasa inatuhusu nn watanzania kama sio tamaa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  20 днів тому

      Ww ni mkongo au?

    • @frankkaipa8925
      @frankkaipa8925 20 днів тому

      Nikweri kabisa inaitwa ziwa nyasa inakuwaje Tena?kwasababu ile ziwa linamafuta nasisi tama tunataka tuwape wanyasa kkkkk

    • @mosesjacksonkarashani2642
      @mosesjacksonkarashani2642 20 днів тому +1

      Umeshawahi kusikia ziwa Tanganyika? Mbona Zambia na Congo linawahusu?!

    • @SultanSaidisaidi
      @SultanSaidisaidi 20 днів тому +1

      @mosesjacksonkarashani2642 hilo jina lako laukoo ukampa mwanao alaf badae MTU aseme ni mwanao wote utamwelewa vp

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  20 днів тому

      @mosesjacksonkarashani2642 word

  • @JoakimMarko
    @JoakimMarko 21 день тому +2

    Kipigwe bana mbabe amiliki ziwa mana kelele zimekua nyingi

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  21 день тому

      Hakuna vita www.... tanzania sio mongiki

    • @frankkaipa8925
      @frankkaipa8925 20 днів тому +1

      @@JoakimMarko mutapoteza vitu vingi musipo angalia vita ni kukomowana ilo mulitambue

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  20 днів тому

      @frankkaipa8925 hakuna vita

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 19 днів тому +1

      Malawi aina uwezo wa kijeshi wa kupigana na Tanzania otherwise kama wamechoka kuishi wanataka kufa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  19 днів тому

      @anoldpotentin2446 haha