Bishop Augustine Mpemba
Bishop Augustine Mpemba
  • 367
  • 1 149 554
Demokrasia Haikuanzia Kwa Wajinga...
Demokrasia Haikuanzia Kwa Wajinga...
Переглядів: 292

Відео

Mkopo Masharti Nafuu Maana Yake Nini?
Переглядів 8462 місяці тому
Mkopo Masharti Nafuu Maana Yake Nini?
Ni Serikali Ya CCM....
Переглядів 2,6 тис.3 місяці тому
Ni Serikali Ya CCM....
Safari Na Muziki, Agayaaa!!!
Переглядів 1,1 тис.4 місяці тому
Safari Na Muziki, Agayaaa!!!
... Labda Uwe Chawa...
Переглядів 9174 місяці тому
... Labda Uwe Chawa...
Akili Ya Home.....
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
Akili Ya Home.....
Muda Wa Kazi Mnasubiri Mheshimiwa
Переглядів 1,2 тис.5 місяців тому
Muda Wa Kazi Mnasubiri Mheshimiwa
Watanzania Tuache Ujinga...
Переглядів 7 тис.6 місяців тому
Watanzania Tuache Ujinga...
Dharau Kwa Wanajeshi Wetu Ikome
Переглядів 1,1 тис.6 місяців тому
Wategua Mabomu Si Wategua Mavi
Pinga Wanasiasa Uchwara
Переглядів 1,7 тис.6 місяців тому
Si Kila Wasemalo Viongozi Unapaswa Kutii...
Rais Sio Mzalendo...
Переглядів 2,1 тис.6 місяців тому
Wazalendo Nambari Wani Ni WANAJESHI!!!!!!
Ni Ukweli Usiopingika!!
Переглядів 2,1 тис.7 місяців тому
Kuna Jambo La Kufanya...
Utakaso... Hatua Tatu Muhimu
Переглядів 1,3 тис.7 місяців тому
Utakaso... Hatua Tatu Muhimu
Tumeacha Kuhubiri Ujumbe Tulioachiwa...
Переглядів 1,5 тис.8 місяців тому
Tumeacha Kuhubiri Ujumbe Tulioachiwa...
Ni Ujingaaa....
Переглядів 1,3 тис.8 місяців тому
Ni Ujingaaa....
Pongezi Mhe Rais Samia!
Переглядів 1,1 тис.8 місяців тому
Pongezi Mhe Rais Samia!
Mhe Rais Samia Na Mhe Mwenyekiti Mbowe
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
Mhe Rais Samia Na Mhe Mwenyekiti Mbowe
Ili Tuendelee....
Переглядів 1,8 тис.Рік тому
Ili Tuendelee....
Kuiba Nini?
Переглядів 603Рік тому
Kuiba Nini?
Pesa Na Madaraka
Переглядів 880Рік тому
Pesa Na Madaraka
Kumenogaje? 🤣🤣🤣
Переглядів 511Рік тому
Kumenogaje? 🤣🤣🤣
Ninapoiwazia Tanzania...
Переглядів 1,7 тис.2 роки тому
Ninapoiwazia Tanzania...
Mazuri Ya Rais Awamu Ya Sita
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
Mazuri Ya Rais Awamu Ya Sita
WanaCCM Na WanaCDM Mpooo?
Переглядів 2,4 тис.2 роки тому
WanaCCM Na WanaCDM Mpooo?
Huna Haki Ya Kumlaumu Rais...
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
Huna Haki Ya Kumlaumu Rais...
Poleni Sana Wana Diaspora
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
Poleni Sana Wana Diaspora
Nijibie Haya Maswali Mawili
Переглядів 1,5 тис.2 роки тому
Nijibie Haya Maswali Mawili
Eti Zamani Nilikuwa....
Переглядів 1,5 тис.2 роки тому
Eti Zamani Nilikuwa....
Mungu Sio Mzalendo!
Переглядів 2,3 тис.2 роки тому
Mungu Sio Mzalendo!
Kulipenda...
Переглядів 9692 роки тому
Kulipenda...

КОМЕНТАРІ

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 9 днів тому

    Uko sahihi Sana....!!!

  • @herintimizi5154
    @herintimizi5154 10 днів тому

    This’s the word of Truth, it takes “Revelation of Holy Spirit to understand and accept this, for those who will understand then Truth will set them free, Matthew 24, Remember this message was preached 4 years ago and not still not expired, ask yourself why!

  • @BenLeonard-tm5ht
    @BenLeonard-tm5ht 11 днів тому

    Kwa jinsi nilivyokuelewa unamaanisha kwamba upo upande wa Kamala Harris (Democratic) na sio upande wa Donald Trump(Republican) Ama nimekuelewa vibaya Bishop? Naitwa Ben kutoka pasiansi Mwanza.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 11 днів тому

      @@BenLeonard-tm5ht Sikumaanisha hilo kabisaaa. Haihusiani kabisa na uchaguzi wa Marekani. Nilichosema ndio ukweli uliopo kwenye siasa za dunia.

    • @dawsonrugalabamu9110
      @dawsonrugalabamu9110 4 дні тому

      Dunia isiyokuwa na maralia😂😂.... bishop wangu bora kuwahi kutokea Tanzania tangu misingi ya dunia kuwekwa.... ulinitoa mbali na mpaka sasa notes zako za kipindi cha fumbua macho na kile cha asubuhi pamoja na cha usiku zinanifanya niwe imara mpaka sasa

    • @HilaliKapanda
      @HilaliKapanda 12 годин тому

      Hakika pale Kwa neema fm ulikua unaturisha madini ya uhakika aseee,you have inspired a lot stay blessed bishop

  • @ChiefMpemba-lh8pp
    @ChiefMpemba-lh8pp 12 днів тому

    Ni muhimu kuelewa Tofauti kati ya Mwana siasa na Mwana demokrasia. Tukiweza kutofautisha basi itatufumbua macho. Je, Kila mwana demokrasia ni lazima kua mwana siasa?

  • @stephenmadembwe4784
    @stephenmadembwe4784 13 днів тому

    Nakubali Bishop

  • @JafariLukanya
    @JafariLukanya 17 днів тому

    dah, ulinijenga sana kimafundisho Bishop

  • @herintimizi5154
    @herintimizi5154 18 днів тому

    True Knowledge comes through revelation of understanding

  • @NaysonLumenyera
    @NaysonLumenyera 23 дні тому

    Plusi hafai hata kidogo aombe msamaha

  • @user-gc8vb3gv8c
    @user-gc8vb3gv8c 27 днів тому

    Pole sana baba. Mungu mi mtetezi wako

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 28 днів тому

    Unapo kiri na kuamini tokamoyoni mwako kwamba yesu kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai , yaani yesu ni Mungu 100%.

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 29 днів тому

    Umecheka kihatari tena muogope mungu

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa Місяць тому

    Ubarikiwe bishop...Mungu ndo mlipaji,,,mimi ninahitaji unisaidie,,jambo nitaeleza kifupi sana kwani nahitaji niwe chini yako kihuduma nijifunze zaidi kutoka kwako..naitwa George Nyamanga king...niliitwa na Mungu kihuduma lakini hadi sasa nimekuwa nikihubili mitaani,,,,,hadi sasa nimepata eneo nimenunua sehemu,,,,lakimi sijaanza kuabudia hiyo sehemu...lakini nahitaji ushauli wako kama mtumish...hiyo eneo bado sijajenga chochote...nipo Dar er salaam..

  • @herintimizi5154
    @herintimizi5154 Місяць тому

    Absolutely revelatory message 🙏🏾

  • @DogaleHuziyaSELEMANI
    @DogaleHuziyaSELEMANI Місяць тому

    Mungu akubarikisana mshindani

  • @josephmtikile-yf3pq
    @josephmtikile-yf3pq Місяць тому

    Perfect

  • @user-ox8pc5wu7u
    @user-ox8pc5wu7u Місяць тому

    Hapo mkuu umechemka Adam ameumbwa na hawa ameumbwa wote sisi ni viumbe wa mungu

  • @amaningalla9420
    @amaningalla9420 Місяць тому

    Mungu akubariki mtumishi upo sahihi

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Місяць тому

    Huyu mtumishi anadanganya eti Mungu alimruhusu Adam alale na Hawa ndio kazaliwa Abel na Kain? Ndio sababu hii dini ina mapungufu kwa sababu watu wanadanganya tu.Baada ya kula tunda ndio Mungu alikasirika na kuwafukuza bustanini na hapo ndio aliwaapiza nendeni mkazaane na mwanamke kupewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu. Halafu Sijui Yesu amekomboa nini wakati dhambi ya asili kama ipo Mungu alishatoa adhabu kwa nyoka Hawa na Adam hadi kufukuzwa bustanini. Na sisi tunatumikia hizo adhabu sasa mkombozi wa nini tena? Kwa hivi dhambi ya Asili Mungu alishatoa adhabu kwa wahusika na dhambi za ziada kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Maandiko yanasema Yesu alitumwa kuja kuwakomboa wana wa Isrsel mengineyo ni ya kutunga tu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Місяць тому

    Mungu mkatoliki ??! Haya ni maajabu halafu ni binadamu myahudi. Hata wsyahudi hawakubaliani na hilo tena wana dini yao Judaism. Huku ni kutafuta pesa tu kuuza clips ni biashara tu. Mungu kaumba binadamu akiwemo bikira Maria halafu bikira Maria tena nae kamzaa Mungu huyo huyo hoyo itakua komedi sasa. Yesu ni mtume wa Mungu alietimwa kuja kuwakomboa wana wa Israel na Yesu hakuanzisha ukristo Ukristo ulianzishwa na watu baada ya Yesu kufa na kufufuka. Hayo ndio ukweli. Mengineyo ni porojo tu na upotoshaji na utafutaji tu pesa na umaarufu

  • @NellyMuganza-n5n
    @NellyMuganza-n5n Місяць тому

    Napoteya vs massimasilia

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 2 місяці тому

    Uko Sawa Kabisa Yesu ni Mungu , Maandiko Yako Wazi Kabisa , Wàtu hawasomi Bible Vizuri kwa kumshirikisha Roho Mtakatifu , Harafu Yesu Mwishoni mwishoni kwa Yohana 16 - 25 - 33 , Yesu Alisema Saa Yaja Sita Sema Nanyi kwa Mithari , Jiulize Mwenyewe je Yesu Kristo Tangu Kitabu cha Mwanzo Agano la kale , Mpaka Ufunuo Agano jipya , Yesu Amesema methari ngapi , ? Jibu Unalo Wewe unae Sema Yesu Siyo Mungu , ! harafu pia Soma 1Wakorintho 2 - 10 Mungu Anasema Roho Uchunguza Yote Hata Mafumbo ya Mungu ,! Unagundua Kumbe Mungu ana Mafumbo Kupitia Yesu Unapata jibu kuwa Yesu ni Mungu , Tena ndiyo Mungu Mkuu , Soma Zaburi 95 - 1 -11 harafu Soma Tena Tito 2 - 13 - 15 . Nakupa Faida nyingine ya Methari hii Soma Walaka kwa Waebrania 1 - 8 - 9 inasema Kwaiyo Mungu , Mungu wako Amekutia Mafuta . Umeelewa Nini Kuusu huu Usemi , ?.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 Місяць тому

      Methali nyingi lakini kila mtu ana tafsiri zake zikiwemo za uongo. Je hizo methali zinazidi haya maneno ya Yesu mwenyewe kuonyesha yeye si Mungu? Pale aliposema baba mbona unaniacha? Baba wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba yangu na pale alipoomba kucha nzima alimuomba nani? Jamani mbona mnazusha tu yenu. Hapo hamjaona kwamba Mungu ni huyo baba yake? Tena wanasema kuna wakati Yesu alikua akihimiza watu wasimuabudu yeye kwani yeye ni binadamu bali wamuabudu Mungu baba yake. Mungu atahiriwe kweli? Mungu aruhusu watu aliowaumba mwenyewe wamdhalilishe kwa kumkamata kumchapa bakora kumdhihaki na kumtunfika msalabani!??? Mbona mna mawazo finyu kiasi hicho na kumdhihaki Mungu Mwenyezi?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 Місяць тому

      Huyo Mungu akamatwe na watu aliowaumba wamchape mijeledi wsmtukane na kumdhihaki wambebeshe msalaba huku akianguka nao na kunyanyuliwa mwisho kutundikwa msalabani eti ili kuwakomboa watu wake mwenyewe hii inaingia akilini? Mkatoliki katundikwa msalabani na wayahudi ili akomboe watu wote ajabu wayahudi wenyewe wana dini yao ya Judaism

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 2 місяці тому

    T.f.e 101nimasomo uliotufundisha hadileotunaishi kwaushindi na mafanikio. Barikiwa baba

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 2 місяці тому

    Barikiwa kwaujumbe wako

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 місяці тому

    God bless u man of God.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 місяці тому

    wewe kula vya bure ulaya!ila hakuna cha bure duniani.....itavilipia tu!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 2 місяці тому

      Hakuna sehemu Afrika wanafanya kazi kama ulaya. Ndio maana wanafanikiwa. Kama unadhani ulaya kuna vya bure basi umedanganyika sana. Huku watu tunafanya kazi kama mchwa ndio maana Marais wa Afrika huja huku kutembeza bakuli. Tunafanya kazi na tunalipa kodi. Umesikia lakini?

  • @BenLeonard-tm5ht
    @BenLeonard-tm5ht 2 місяці тому

    Na Mimi natamani kuishi USA kama wewe bishop!!! Mafundisho yako yaliyopita ulisema our president is very meek!!! Sasa nashangaa kwa haya unayosema!!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 2 місяці тому

      Hata Lucifer kuna wakati alikuwa akiongoza malaika wengine kumsifu na kumwabudu Mungu. Baadaye alikengeuka akatupwa duniani na kuwa shetani. Malaika na wanadamu tumeumbwa na kupewa hiari. Unaweza ukachagua hili au lile. Nadhani umenipata. Karibu Marekani, nchi unalala na kuamka salama!

    • @BenLeonard-tm5ht
      @BenLeonard-tm5ht 2 місяці тому

      Hakika💥💥💯💯

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 2 місяці тому

    Mhola ya G'waseba, Bishop habari jabupanga? Seba akutongele bagishage bose ahakaya henaho.

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 2 місяці тому

    Uncle are you a trucker?

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl 2 місяці тому

    Utawadanganya wakristo sio waislam. Na hata baadhi ya wakristo wameamka wanajifunza vitabu vitakatifu huwadanyanyi kwamba yesu ni mungu.

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 2 місяці тому

    Kupitia Mahojiano na Kituo cha Matangazo cha BBC Swahili Mhe. William Samoei Ruto amesema Mkopo wa South Korea ambao Wamesaini Makubaliano RIBA yake ni Asilimia 0.01 tofauti na Mikopo Ya Kule kwingine America & EUROPE ambapo marejesho ya Deni pamoja na RIBA yanaanzia Asilimia 10 na kuendelea..........

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 2 місяці тому

      Hakuna sehemu wamekopa wasiseme ni mkopo wa masharti nafuu. Kila wakikopa ndio kauli yao. Hata wakikopa America na Europe. Wanachokopa kitalipwa na Watanzania. Kwa nini wanaficha?

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 2 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 Nimekuelewa Bishop Wangu. Umesema Kweli Hapa TZ Sehemu kubwa ya Mapato yatokanayo na Makusanyo ya Kodi kupitia TRA yanaenda kufanya Matumizi ya Anasa na Kulipa Madeni ya Nje na Kiasi Kidogo sana kinachobaki Ndicho kinatumiwa kupeleka Huduma Muhimu katika Jamii Kwa kusindikizwa na Wale Walaji na Wapigaji.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 місяці тому

    👊✌👍.

  • @HenryKisusi
    @HenryKisusi 2 місяці тому

    Namhala ulimhola? Agayaaa bawilage, submarine natogwa nooo Wana wa ngikulu!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 2 місяці тому

      Bakuzunya duhu!

    • @HenryKisusi
      @HenryKisusi 2 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 Giko lulu namhala wane, ulipyeni noo utizulega na hado yaya komelaga Agayaaa. Wewe ni mmoja wa walimu wangu adimu sana, nakwiza kwinuko Amerika lushiku lumo tukwibona duhu.

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 2 місяці тому

    Bishop Bwana Asifiwe.. kw uzoef wako huko America, wao walipigaje hatua had kuwa leading nation il sis 3rd world countries tujifunze

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 2 місяці тому

      Kwa hili swali tu wewe unafaa kuwa kiongozi. Viongozi waliopo wangeuliza swali hilo miaka 50 iliyopita nchi ingekuwa mbali sana. Siri zilizowafanya Marekani wafanikiwe ziko wazi na nchi nyingi wamekopi na kufanikiwa. Sisi kwa staili yetu, tutabakia kutembeza bakuli daima. Inasikitisha mnooo.

  • @kikumbiboysband2750
    @kikumbiboysband2750 2 місяці тому

    Moto sana

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Huyu ni zaidi ya ma Professor wa maCCM na watawala njaa kama Prof Kabudi, Kitila Mkumbo na mengineyo!!

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 місяці тому

    Pole sana baba Ask

  • @deckmayunga6555
    @deckmayunga6555 3 місяці тому

    Kweli kabisa

  • @fatmajafar8275
    @fatmajafar8275 3 місяці тому

    Huyu pius huku kilimanjaro tuna mtambua kwajina la piusi kongo kumbe ni mhaya anaonyesha tu hata akizungumza anaonyesha si mkweli piusi

  • @user-jl6uj4lf6q
    @user-jl6uj4lf6q 3 місяці тому

    Huko marekani ni kwenu?au ni ulimbukeni wakusujudu mazungu.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 3 місяці тому

      Dunia yote hii ni mali ya Baba yangu aliye mbinguni. Mungu wangu aliupenda ulimwengu wote. Hakuipenda Tanzania na wala hajui kipande hicho. Anamiliki dunia yote na vyote viijazavyo. Kwa hiyo huku niliko ni kwa Baba yangu pia. Umeelewa?

  • @user-jl6uj4lf6q
    @user-jl6uj4lf6q 3 місяці тому

    Huna jipya wewe,ulikimbia nchini Kwa sababu gani,ujue huruma ya mzungu ni yamchinja kuku unahangaika tu huko,Bora ulivyokuwa unakula sadaka hapa nyasaka msumbiji.

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 3 місяці тому

    Kufikiri ni muhimu sana

  • @EyeseesPictures
    @EyeseesPictures 3 місяці тому

    Ila aliyesema hivyo alikuwa akizungumza kwa Muktadha wa NCHI/TAIFA hence WATU, ARDHI, SIASA SAFI & UONGOZI BORA. 01. Akili bora kwa "watu" husika ✓ 02. Uongozi Bora = Unamuongoza nani na nani anaongozwa kama sio = WATU !?, Na Je hao "WATU" wako wapi kama sio kwenye "ARDHI" - Nyumbani, Kanisani, Msikitini, Etc . . . ••• Nadhani uko sahihi HALFWAY Kaka yangu na kwamba ulitakiwa kuchukua hayo maneno na kisha kuanza kuya-dadavua vema zaidi kwa MANUFAA ya wengi tena na tena yaani MUSTAKABALI wa hapa tulipo kwa kujali ; 01. MANUFAA - Ya Kauli hiyo 02. CHANGAMOTO - Kwa kujali kauli hiyo ya BABA WA TAIFA Amen.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 3 місяці тому

      Uongozi bora na akili bora huleta kila kitu. Inataka tafakuri ya kina kujua kile nilichosema!

  • @EyeseesPictures
    @EyeseesPictures 3 місяці тому

    Hahahaha

  • @PhilipoMwita-ge2oj
    @PhilipoMwita-ge2oj 3 місяці тому

    Hapa sirari wamama wanalia sana wanawekewa mapato makubwa nahauna chakufanya

  • @user-cl7ey5so8s
    @user-cl7ey5so8s 3 місяці тому

    Napenda Bible Study

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 місяці тому

    BABA NAKUPENDA SANA,MIMI NI MSHIRIKA WAKO WA MWANZO KABISA TUKIWA BADO FURAHISHA KANISA LA MABANZI,SHEMASI WETU ALIKUA ANAITWA MAMA MTUI,MIMI NILIKUA NAISHI NELA ,BABA MIMI BADO NAHANGAIKA NA MAISHA, UNIKUMBUKE KWENYE MAOMBI, NB:MARA YA MWISHO TULIFANYA MKUTANO WA INJILI WILAYA YA KAHAMA 🙏🙏

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 3 місяці тому

    Bishop samahani Wewe ni engineer wa fan gani?

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 3 місяці тому

      Engineer wa ujenzi wa moyo!

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 3 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 sawa baba. I am your fans since your first church at flaisha. I was your memba those day when I still young boy studying bugalika secondary. But now am working as ELECTRICAL FIELD TECHNICIAN in aitel telecommunications tower.

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 3 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 I like your reflector. I meant to know why you dress reflector.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561 3 місяці тому

      @@musajoseph7896 I was studying transportation logistics

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 3 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 👌

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 3 місяці тому

    NI SAWA AMEONGEA UHALISIA NDANI YA CCM..HUYO MSOMALIA WALA HAJAKOSEA

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 3 місяці тому

    Mmmh chungulia tena

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 3 місяці тому

    Hapa wewe askofu Augustine Mpemba ndiye hasa 'bangladeshi'-sawa na SSH aliyesema 'katiba ni kitabu tu' kwa kudai kwako kuwa katiba ya nchi iletwe na wataalamu wa katiba pekee (ambao huwa ni wanasheria ktk eneo hilo) kwa vile eti walioko kule kijijini hawana lolote la kuchangia! Umepotoka kabisa kwa sababu ipo tofauti kubwa kati ya 'hard science' ihitajikayo ktk kujenga jengo refu (uamuzi,usanifu, kujenga n.k), na uamuzi wa namna watu 'tunavyotaka tuendeshe mambo ya maisha yetu (yaani katiba ya nchi)'. Hata hivyo umefanya vizuri kufunguka namna hiyo, kwani umetoa mwanya kwa 'ubangladeshi' uliokuwa nao kukutoka pamoja na wengine na 'kunywa uji' sawia! Siku nyingine anza mada kwa kusema "kwa maoni yangu..." badala ya kutanguliza kujinasibu; itapunguza 'embarrassment' kwako pale inapotokea jambo ulilolisema si sahihi au linahitaji masahihisho kama hili! USHAURI TU