Mkopo Masharti Nafuu Maana Yake Nini?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 3 місяці тому

    Mhola ya G'waseba, Bishop habari jabupanga? Seba akutongele bagishage bose ahakaya henaho.

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 3 місяці тому +1

    Kupitia Mahojiano na Kituo cha Matangazo cha BBC Swahili Mhe. William Samoei Ruto amesema Mkopo wa South Korea ambao Wamesaini Makubaliano RIBA yake ni Asilimia 0.01 tofauti na Mikopo Ya Kule kwingine America & EUROPE ambapo marejesho ya Deni pamoja na RIBA yanaanzia Asilimia 10 na kuendelea..........

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 місяці тому

      Hakuna sehemu wamekopa wasiseme ni mkopo wa masharti nafuu. Kila wakikopa ndio kauli yao. Hata wakikopa America na Europe. Wanachokopa kitalipwa na Watanzania. Kwa nini wanaficha?

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 3 місяці тому

      @@bishopaugustinempemba4561 Nimekuelewa Bishop Wangu.
      Umesema Kweli Hapa TZ Sehemu kubwa ya Mapato yatokanayo na Makusanyo ya Kodi kupitia TRA yanaenda kufanya Matumizi ya Anasa na Kulipa Madeni ya Nje na Kiasi Kidogo sana kinachobaki Ndicho kinatumiwa kupeleka Huduma Muhimu katika Jamii Kwa kusindikizwa na Wale Walaji na Wapigaji.

  • @HenryKisusi
    @HenryKisusi 3 місяці тому

    Namhala ulimhola? Agayaaa bawilage, submarine natogwa nooo Wana wa ngikulu!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 місяці тому

      Bakuzunya duhu!

    • @HenryKisusi
      @HenryKisusi 3 місяці тому +1

      @@bishopaugustinempemba4561 Giko lulu namhala wane, ulipyeni noo utizulega na hado yaya komelaga Agayaaa. Wewe ni mmoja wa walimu wangu adimu sana, nakwiza kwinuko Amerika lushiku lumo tukwibona duhu.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому

    wewe kula vya bure ulaya!ila hakuna cha bure duniani.....itavilipia tu!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 місяці тому

      Hakuna sehemu Afrika wanafanya kazi kama ulaya. Ndio maana wanafanikiwa. Kama unadhani ulaya kuna vya bure basi umedanganyika sana. Huku watu tunafanya kazi kama mchwa ndio maana Marais wa Afrika huja huku kutembeza bakuli. Tunafanya kazi na tunalipa kodi. Umesikia lakini?

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 3 місяці тому

    Bishop Bwana Asifiwe..
    kw uzoef wako huko America, wao walipigaje hatua had kuwa leading nation il sis 3rd world countries tujifunze

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 місяці тому

      Kwa hili swali tu wewe unafaa kuwa kiongozi. Viongozi waliopo wangeuliza swali hilo miaka 50 iliyopita nchi ingekuwa mbali sana. Siri zilizowafanya Marekani wafanikiwe ziko wazi na nchi nyingi wamekopi na kufanikiwa. Sisi kwa staili yetu, tutabakia kutembeza bakuli daima. Inasikitisha mnooo.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 місяці тому

    👊✌👍.

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 3 місяці тому

    Uncle are you a trucker?

  • @BenLeonard-tm5ht
    @BenLeonard-tm5ht 3 місяці тому

    Na Mimi natamani kuishi USA kama wewe bishop!!! Mafundisho yako yaliyopita ulisema our president is very meek!!! Sasa nashangaa kwa haya unayosema!!!

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 місяці тому +1

      Hata Lucifer kuna wakati alikuwa akiongoza malaika wengine kumsifu na kumwabudu Mungu. Baadaye alikengeuka akatupwa duniani na kuwa shetani. Malaika na wanadamu tumeumbwa na kupewa hiari. Unaweza ukachagua hili au lile. Nadhani umenipata. Karibu Marekani, nchi unalala na kuamka salama!

    • @BenLeonard-tm5ht
      @BenLeonard-tm5ht 3 місяці тому

      Hakika💥💥💯💯