Mazuri Ya Rais Awamu Ya Sita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Pepere: fumbuamacholeo@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 21

  • @edwinimezza2471
    @edwinimezza2471 2 роки тому +1

    Haleluya, haleluya Neema ya Mwenyezi Mungu ni kubwa sana kwa watu wake, Mtumishi Ubarikiwe sana, sana

  • @safarimginya2270
    @safarimginya2270 2 роки тому +5

    Bishop upo sawa ila ,kiukweli ni wachache sana wanaonufaika na huyo mama, wengi karibu asilimia 90% Tunajuta makodi mengi yaliyotolewa na Magufuri yamerudishwa machinga wanateseka wachimbaji wadogo wanafukuzwa kwenye maeneo yaliyokuwa yameruhusiwa na magufuri watu wananyanganywa ardhi wanapewa wawekezaji kiufupi hakuna eneo salama ni kwa wale tu wachache wanaonufaika nae ila wengi tunaliaaa😭😭

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  2 роки тому +2

      Huo ni upande tofauti. Tukiongelea upande huo tunaweza kutoa ushauri

    • @mwl.timothysangayoni2137
      @mwl.timothysangayoni2137 2 роки тому

      @@bishopaugustinempemba4561 🙄🙄🙄 Askofu

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  2 роки тому +2

      @@mwl.timothysangayoni2137
      Fikiria umeambiwa utaje mazuri ya Rais wetu. Ukikosa hata matatu basi wewe una lako jambo. Tujifunze kuangalia mambo kwa jicho la Bwana Yesu. Aliona mazuri kwanza kwenye makanisa saba kabla hajawaonesha upungufu wao. Tatizo letu sisi tunaona mapungufu tu. Ndio maana tunaambiwa tutafute yaliyo mema machoni pa watu. Mema ni ya KUTAFUTA!!!

    • @mwl.timothysangayoni2137
      @mwl.timothysangayoni2137 2 роки тому +1

      @@bishopaugustinempemba4561 Nimekuelewa Na nahisi Magufuli alifanya mazuri Sanaa KULIKO Huyu Mama japo alikuwa na madhaifu kawaida tu

  • @mwl.timothysangayoni2137
    @mwl.timothysangayoni2137 2 роки тому +3

    Daaah Baba nimesikia hii ulivyoanza nikahisi Uchungu Sanaa an,
    Ila katika Yote Yesu ni Mwamba,,
    Ayubu 23:10

  • @yayanews6870
    @yayanews6870 Рік тому

    Nce

  • @martinemambosasa8702
    @martinemambosasa8702 2 роки тому +2

    Nimesikiliza ujumbe wako Bishop na kukuelewa. Bado wewe pia wakari utafika na kurejea nyumbani. Tunahitaji sana uwepo wako ili uendeleze kazi ambayo Mungu amekutuma. Naomba sana iwe hivyo!

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 Рік тому

    Magufuli alikufaga kwa sababu ya kusema UKWELI na kumaliza wizi 😭😭😭😭😭😭

  • @JayJay-qc1ky
    @JayJay-qc1ky 2 роки тому +2

    Hapo kwenye maombi.. sidhani kama kuna Rais wa Tz alisha wahi kuombewa akiwa hai kama yule wa awamu ya 5, tena mpk watu wakawa wana kufuru.. lakini wapi 🤪, nimeanza kuona ile tabia inarudi taratibu.. wasije tu wakamponza mama wa watu nashauri wawe na kiasi. Mungu nae ana angalia dhamila ya unae muombea. Nashauri pia uje na mabaya yake.. utakua umebalance Minzani🤪🤪, ….Agahyaaaa!!😂

  • @mlongomasudi8183
    @mlongomasudi8183 2 роки тому +1

    Naawewe unatakiwa hurudi nyumbani Tanzania majambazi wa imani wamezindi mwanza rudi uje ukomeshe

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  2 роки тому

      Nyie hamnitaki huko. Acha niendelee kupumzika tu

    • @mlongomasudi8183
      @mlongomasudi8183 2 роки тому +1

      @@bishopaugustinempemba4561 hapana tunakutaka ila tu wale manabi wa uongo Ndio wanakupiga vita ao

    • @mlongomasudi8183
      @mlongomasudi8183 2 роки тому +1

      @@bishopaugustinempemba4561 Kama wakina Nabi G Marisa wakina mtashi wabaya sana

    • @mlongomasudi8183
      @mlongomasudi8183 2 роки тому

      @@bishopaugustinempemba4561 nakusuh redio yako nayo wamechukua paka namakanisa yote ulio azisha

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  2 роки тому +1

      @@mlongomasudi8183
      Redio hautaisikia tena ikiwa hewani. Sasa hapo watakuwa wameichukuaje? 🤣🤣🤣.
      Makanisa ya Yesu wanayachukua na kuyapeleka wapi? Nitaanzisha mengine basiii😜😆😆