Safari Na Muziki, Agayaaa!!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @rehemageorge9506
    @rehemageorge9506 6 місяців тому +2

    ,😂😂😂 Yesu ni Bwana Mbarikiwee

  • @stephenmadembwe4784
    @stephenmadembwe4784 6 місяців тому +2

    Huwa nawasikitikia sana wooote wasiokufuatilia.
    Binafsi huwa najifunza mengi sana.Endelea kutoa zile scripts zako za magunzo hasa kuhusu nchi yeti namna ya kuenenda.

  • @omuze1290
    @omuze1290 6 місяців тому +1

    Mafundisho unayofundisha ni injili ya kweli. Yananijenga kiroho. Ubarikiwe Bishop!

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 6 місяців тому

    Congratulations Bishop Mpempa in USA.Umeyaona maji yalivyosomba watu wetu Rufiji?Tafadhali yazungumuzie hayo.

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 6 місяців тому +2

    Bishop mpemba noma sana

  • @KibuMsela
    @KibuMsela 6 місяців тому

    Bishop unanibariki saaaana natamani SAA a na kuwapmoja Sana na we we maana nikikusikiliza huwa nabarikiwa saaaaaaaaana bishop jqmani si urudi tz

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 6 місяців тому +1

    Mhola ya G'waseba? Utumishi mwema huko uliko.

  • @barakachankwa4014
    @barakachankwa4014 6 місяців тому +2

    Nchi isiyo na malaria,

  • @nkondokubini7618
    @nkondokubini7618 6 місяців тому

    Hongera sana Bishop Mpemba

  • @Bishopdavidndaki7184
    @Bishopdavidndaki7184 6 місяців тому +1

    ℕ𝕪𝕠𝕤𝕙𝕒 𝕝𝕦𝕝𝕒

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 6 місяців тому

    Music is Oxygen we breathe it.
    May Jesus be praised

  • @richardmoses7470
    @richardmoses7470 6 місяців тому

    Umesikia ya Tanzania, EAGT wanagombania makanisa ndugu zako uliofanya nao kazi wanazichapa mpaka wanaweka ndani, walienda na mapanga nasikia kanisa la bugando 😂😂😂 kulola pumzika kwa amani hawa waliobaki sijui wanaenda mbingu ya nani? wote siku hizi ni madokta wamesoma misungwi PhD 😂😂😂😂😂 k

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  6 місяців тому

      Kama ni hivi inasikitisha sana. Poleniii

    • @richardmoses7470
      @richardmoses7470 6 місяців тому

      @@bishopaugustinempemba4561 mimi siko huko kwenye nchi za malaria niliisha kimbia siku nyingi, yaani mimi nimekua nakuona unaleta snema kwa msuka pale, mpaka unapata kwa neema umenyooka kama rula ila hawa uliowaacha hasa EAGT Mungu awakumbuke kanisa lina majungu Mungu atusaidie