Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Tumeacha Kuhubiri Ujumbe Tulioachiwa...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2023

КОМЕНТАРІ • 15

  • @fanuelburra5664
    @fanuelburra5664 8 місяців тому +1

    Hongera sana Bishop Kazi yako ni njema nakukumbuka sana kipindi uko pale mwanza unafundisha kwenye redio na Emanuel rimon kama sijakosea maana miaka mingi imepita

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 місяців тому +1

    👊✌👍.

  • @davidsonstevenson2653
    @davidsonstevenson2653 8 місяців тому +1

    agaya

  • @nabiiilyaaseliya2551
    @nabiiilyaaseliya2551 8 місяців тому +1

    Bishop hongera sana sasa Unasogea. Taarifa tu ukigusa hiyo Kingdom USA watakufukuza. Kama unasikia kuanza hiyo huduma jiandae kisaikolojia kukabiliana na misukosuko ushauri hamia Africa kwanza si lazima Tz. Msome sana Dr Myles Munroe.
    AGAYAAA

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  8 місяців тому +1

      Afrika ni nyumbani. Hata kama Tanzania haitaki ni sawa tuu. Hata Yesu alikataliwa na watu wake akaenda kwingine na akawawezesha. Hatuna muda wa kupoteza kwa kusubiri akili za kisiasa ambazo zimeshindwa kuisogeza nchi pazuri. Leo dola moja inakimbilia kwenda kuwa shs elfu tatu. Balaa kubwa ndugu yangu Eliya

  • @charleskatemi5874
    @charleskatemi5874 8 місяців тому +1

    I'm blessed

  • @kahema_steven
    @kahema_steven 8 місяців тому +1

    Bishop tumekumic Sana huku Tz

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 2 місяці тому

    T.f.e 101nimasomo uliotufundisha hadileotunaishi kwaushindi na mafanikio. Barikiwa baba

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 8 місяців тому +1

    Bishop Bishop huo ni ukweli kamili..!!

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 8 місяців тому +1

    Hakika mtumishi wa MUNGU

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 4 місяці тому +1

    😂kweli pastor nilienda kanisa moja wanahubir uchawi tu mapepo,mpk ibada inaisha

  • @dismasbaltazary9129
    @dismasbaltazary9129 8 місяців тому +1

    Hakika bshop nimekumiss pia redion

  • @makwayabakari3806
    @makwayabakari3806 8 місяців тому

    Bishopu wewe nimkweli upendio uongo kabisa uko sawa

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 8 місяців тому

    Agaya 😂😂😂

  • @harimmdahe5616
    @harimmdahe5616 7 місяців тому

    Bishop hatukupati kabisa,clip zako za kiimani na za kisiasa kutuelimisha hatuzipati mkuu tunaomba utuelekeze tutazipataje updated zote unazozitoa bishop tusaididie ili tupate masomo yako yote.