Ganaz Media
Ganaz Media
  • 65
  • 55 083
Arsenal Yawaheshimisha Washabiki wa Afrika
Arsenal Yawaheshimisha Washabiki wa Afrika kwa kutoa vifaa mbali mbali vya Kiafrika
00:00 Utangulizi
01:02 Jezi na Afrika
02:26 Kenya na Jezi ya Ugenini
02:47 Bei ya Jezi
03:48 Ratiba ya Marekani
04:30 Emirates Cup
05:09 Ligi ya England
05:32 Athari katika Matayarisho
06:02 Wachezaji waliopo Kambini
07:74 Wachezaji walio likizo
09:00 Calafiori
11:00 Madrid wamuulizia Calafiori
11:40 Hitimisho
Переглядів: 1 600

Відео

Usajili na Uhamisho Toleo la 12: Arsenal, Chelsea, Liverpool, Man City na Man United
Переглядів 1,4 тис.4 години тому
Usajili na Uhamisho Toleo la 12: Arsenal, Chelsea, Liverpool, Man City na Man United 00:00 Utangulizi 00:51 Southgate ajiuzulu 04:07 Arsenal (Setford) 05:24 Liverpool kimnya sana 06:48 Alvares akataa mkataba 07:41 KDB yuko fayari kwenda Saudi 08:31 Ederson 08:50 Joshua Zirkzee 10:30 Man United mawindoni 11:23 Leny Yoro 11:58 Chelsea 13:46 Hitimisho
Sakata la Video ya Ubaguzi wa Rangi la Enzo Fernandez
Переглядів 2,1 тис.7 годин тому
Sakata la Video ya Ubaguzi wa Rangi 00:00 Utangulizi 01:25 Fofana amemblock Enzo 02:26 Ufaransa yashtaki FIFA 02:40 Ubaguzi hauna timu 03:20 Msamaha wa Enzo 04:49 Chelsea sio wa kusamehe 06:20 Lazima waadhibiwe 07:08 Kick It Out 08:08 #nzo lqzima afunzwe 10:30 Hitimisho
Usajili na Uhamisho Toleo la 11: Wachezaji wa ghali waliosajiliwa EPL mpaka sasa
Переглядів 1,7 тис.12 годин тому
Usajili na Uhamisho Toleo la 11: Wachezaji wa ghali waliosajiliwa EPL mpaka sasa
Usajili na Uhamisho Toleo la 10: Setford, Calafiori na Tavares
Переглядів 1,6 тис.16 годин тому
Usajili na Uhamisho Toleo la 10: Setford, Calafiori na Tavares 00:00 Utangulizi 00:53 Lokonga 01:52 Tavares 03:20 Smith-Rowe 05:24 Setford 06:48 Cslafiori 08:20 Kwa nini Calafiori 09:57 Arsenal inategea 11:10 Hitimisho
Usajili na Uhamisho Toleo la 9: Toleo na Premier League (Man United, Liverpool na Chelsea)
Переглядів 743День тому
Usajili na Uhamisho: Toleo na Premier League (Man United, Liverpool na Chelsea)
Usajili na Uhamisho Toleo la 8: Dan Bentley, Calafiori na Kiungo wa Arsenal asajiliwa Brighton
Переглядів 2,6 тис.День тому
Usajili na Uhamisho Arsenal: Dan Bentley, Saka na Calafiori na Kiungo wa Arsenal, Wachezaji wa Arsenal na ushiriki wao kwenye EURO na COpa America. 00:00 Utangulizi 00:54 Copa America 01:36 Saliba na Ufaransa 02:16 Saka na England 04:01 Calafiori 05:26 Jakub Kiwior 06:12 Cozier Dubbery 07:08 Dan Bentley 09:13 Hitimisho
Wachezaji 10: Usajili Mbovu Kuliko Yote
Переглядів 42214 днів тому
Wachezaji 10: Usajili Mbovu Kuliko Yote
Usajili na Uhamisho Toleo la 7 Arsenal: Calafiori, Chido Obi, Merino na Tavares
Переглядів 1,8 тис.14 днів тому
Usajili na Uhamisho Arsenal: Clafiori, Chido Obi, Merino na Tavares 00:00 Utangulizi 00:50 Riccardo Calafiori 02:54 Je Calafiori atasajiliwa? 05:01 Chido Obi Martin 07:50 Mikel Merino 08:28 Kiungo Mlinzi 09:55 Nuno Taavares 10:32 Hitimisho
Usajili na Uhamisho Toleo la 6 Arsenal: Riccardo Calafiori, Lokonga, Raya na Kiwior
Переглядів 2,4 тис.14 днів тому
Usajili Arsenal: Riccardo Calafiori, Lokonga, Raya na Kiwior 00:00 Utangulizi 00:42 Arsenal V Man U Mwezi huu 01:25 David Raya Asajiliwa 02:14 Lokonga Anazungumza na Sevilla 03:46 Riccardo Calafiori 06:11 Jakub Kiwior 07:13 Hitimisho
Klabu Ya Premier League "ILIYOINGIZWA MJINI" Kwenye Usajili
Переглядів 23014 днів тому
Klabu Ya Premier League "ILIYOINGIZWA MJINI" Kwenye Usajili
England 2 - 1 Slovakia: Je England itafika nusu fainali? Uchezaji wa Kobie Mainoo na Kyle Walker...
Переглядів 31314 днів тому
England 2 - 1 Slovakia: Je England itafika nusu fainali. Uchezaji wa Kobie Mainoo ang'ara na Kyle Walker aharibu England bado ni matatizo: hawatengenezi nafasi, wanashuka sana chini, wana recycle mpira bila ya mbinu 00:00 Utangulizi 00:50 Shukran za dhati 02:00 England haridhishi 02:34 Kiwango cha Kobi Mainoo 03:56 Ulinzi wa England 05:05 Kiwango cha Kyle Walker 07:00 Mashambulizi dhaifu 10:25 ...
Mashtaka 115, Adhabu zake na Ugumu wa Kesi ya Man City
Переглядів 60421 день тому
Mashtaka 115, Adhabu zake na Ugumu wa Kesi ya Man City. Tunazungumzia makosa, adhabu, kesi iliyopita dhidi ya EUFA, nguvu ya Mqn City kisiasa, aiku ya mashtaka 5 kuanza na lini tutarajie hukumu dhidi ya Man City. Vile vile tunaongelea kesi ya Man City dhidi ya EPL #mancity #arsenal #115
Zungumza Na Ganaz Media: Je Arsenal itachukua Ubingwa 2024/25
Переглядів 33221 день тому
Zungumza Na Ganaz Media: Je Arsenal itachukua Ubingwa 2024/25
Ni Nini Hasa Tatizo La England?
Переглядів 68221 день тому
Ni Nini Hasa Tatizo La England?
Usajili Ligi Kuu ya England: Timu zinazohitaji kusajili kabla ya Mwezi Kumalizika
Переглядів 1,2 тис.21 день тому
Usajili Ligi Kuu ya England: Timu zinazohitaji kusajili kabla ya Mwezi Kumalizika
Zungumza na Ganaz Media Episode 1: Usajili, Klabu zilizopata hasara na Charlie Patino
Переглядів 41921 день тому
Zungumza na Ganaz Media Episode 1: Usajili, Klabu zilizopata hasara na Charlie Patino
Usajili na Uhamisho toleo la 5 - Wachezaji 10 Wanaofaa Kusajiliwa Arsenal - Sehemu ya 2
Переглядів 66828 днів тому
Usajili na Uhamisho toleo la 5 - Wachezaji 10 Wanaofaa Kusajiliwa Arsenal - Sehemu ya 2
Usajili na Uhamisho toleo la 4: Washambuliaji 5 Wanaofaa Kusajiliwa Arsenal
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Usajili na Uhamisho toleo la 4: Washambuliaji 5 Wanaofaa Kusajiliwa Arsenal
Ratiba ya Ligi Kuu England - Arsenal
Переглядів 652Місяць тому
Ratiba ya Ligi Kuu England - Arsenal
Breaking News: Reiss Nelson aomba kuihama Arsenal
Переглядів 730Місяць тому
Breaking News: Reiss Nelson aomba kuihama Arsenal
Usajili na Uhamisho toleo la 3 - Nafasi Zipi Arsenal Inahitaji Kusajili? Sehemu ya 2
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Usajili na Uhamisho toleo la 3 - Nafasi Zipi Arsenal Inahitaji Kusajili? Sehemu ya 2
Usajili na Uhamisho toleo la 2 - Nafasi Zipi Arsenal Inahitaji Kusajili? Sehemu ya 1
Переглядів 759Місяць тому
Usajili na Uhamisho toleo la 2 - Nafasi Zipi Arsenal Inahitaji Kusajili? Sehemu ya 1
Je Wachezaji 10 Hawa Wataihama Arsenal? Usajili na Uhamisho toleo la 1
Переглядів 4 тис.Місяць тому
Je Wachezaji 10 Hawa Wataihama Arsenal? Usajili na Uhamisho toleo la 1
Timu Zilizopata pointi za Ziada kwa Makosa ya VAR. Ni timu zipi zimepoteza pointi nyingi?
Переглядів 256Місяць тому
Timu Zilizopata pointi za Ziada kwa Makosa ya VAR. Ni timu zipi zimepoteza pointi nyingi?
Fedha Katika Soka Premier League
Переглядів 902 місяці тому
Fedha Katika Soka Premier League
Mikel Arteta Atunukiwa Nishani ya Izabela
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Mikel Arteta Atunukiwa Nishani ya Izabela
Pendekezo la Kuondoa VAR Lapelekwa Premier League
Переглядів 1102 місяці тому
Pendekezo la Kuondoa VAR Lapelekwa Premier League
Je Ni Kweli Kosa La Casemiro? (Goli la Trossard)
Переглядів 742 місяці тому
Je Ni Kweli Kosa La Casemiro? (Goli la Trossard)
Uchambuzi wa Kitakwimu Man United v Arsenal
Переглядів 952 місяці тому
Uchambuzi wa Kitakwimu Man United v Arsenal

КОМЕНТАРІ

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 8 годин тому

    Hamna watu nawachukiya kama maergintina

    • @GanazMedia
      @GanazMedia Годину тому

      Wa-ajentina wana matatizo sana, inqchangiwa zaidi na taifa lao kuwa halina 2atu weusi hivyo wote huungana katika maduala kama haya. Vhama cha soka cha aAjentina kimeshundwa hata kukemea jambo hili

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 9 годин тому

    Hakuna ubaguzi hapo timu ya ufaransa Ina weusi timu mzima wote waafrika kwanini wasicheze wenyewe wazungu

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 17 годин тому

    shukuran sana kwa kazi mzuri allah s w akupe afya njema na swiha mzuri tupo 1 kazi mzuri brother

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 17 годин тому

      Ami ,shukran sana kaka.

  • @saidmwakugomba3623
    @saidmwakugomba3623 18 годин тому

    Kwanini lkini siku zooote ukweli unaumaaa

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 20 годин тому

    Arsenal kwa sasa inahitaji Striker hasa ukiacha Centre Back pia sehemu hii sio mbaya kama itafanyika hivyo maana mshambuliaji halisia kwa sasa hatuna "

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 17 годин тому

      Kweli kabisa. Lakini awe striker wa goli 30 kwa msimu, hawa ni taabu sana, kwa sababu hakuna wengi.

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 16 годин тому

      @@GanazMedia Ni kweli ila ukumbuke bado tunakabiliwa na kile kitu inaitwa finencial fair play

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 День тому

    Awawezi kuwapenda watu weusi kwani istria yanchi hiyo ilikuwa ni yawatu weusi nn kilifanyika mpaka leo wapo wao? Fatilia utawajua hao jamaa alivyo na roho mbaya na watu weusi

  • @mdmichael3349
    @mdmichael3349 День тому

    Enzo hapo kafanya kebei mbona ufaransa wali mkebi messi walipo chukua kombe la dunia 2018 au messi ni mweupe angekuwa mweusi ungesema ni ubaguzi

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 16 годин тому

      Wa kwanza kuita alichokifanya Enzo ubaguzi ni wachezaji wenzake wa Chelsea, akika Fofana na Badiashile, halafu kikafuata chama cha soka cha Ufaransa, halafu ikaingia FIFA kisha liakaingia shirika linaloshughulika na masuala ya ubaguzi (Kick It Out). Kisha mwenyewe Enzo kakiri kosa na kaomba msamaha, sasa kwa nini wewe huoni kama ni ubaguzi?

  • @mdmichael3349
    @mdmichael3349 День тому

    Hapo hakuna ubaguzi bro huo ni ukweli kwani hao wakina mbappe asili yao ni wapi?

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 16 годин тому

      Kwa hiyo na wewe unadhani Mbappe kwa sababu ni mweusi basi hawezi kuwa ni Mfaransa? Mfaransa ni Mzungu tu?

  • @ishumaelmlamie6270
    @ishumaelmlamie6270 День тому

    HABARI IKUFIKIE Mwaka 1778, yalitokea mauaji ya kimbari dhidi ya watu weusi nchini Argentina 🇦🇷… Weusi waliuawa maelfu kwa maelfu, wakabaki asilimia 30 nchi nzima… Ukawekwa mfumo maalum wa kuendelea kuwamaliza, lengo likiwa ni kuhakikisha hakuna mweusi hata mmoja Argentina 🇦🇷… Wakati wa vita ya uhuru dhidi ya mkoloni Spain 🇪🇸, weusi waliwekwa mstari wa mbele ili waanze kufa… Argentina 🇦🇷 ilipopata uhuru mwaka 1816, weusi walikuwa wamebaki asilimia 10, nchi nzima… Baada ya uhuru, Argentina 🇦🇷 iliingia vitani na majirani zake Uruguay 🇺🇾, Paraguay 🇵🇾 na Peru 🇵🇪… Weusi wachache waliobaki, wakawekwa mstari wa mbele na kuteketezwa sana… Wajane na mayatima weusi hawakulipwa fidia tofauti na wajane na mayatima wazungu waliolipwa baada ya kupoteza waume zao/ Baba zao, vitani… Mwaka 1852, ukaibuka ugonjwa wa homa ya manjano nchini Argentina 🇦🇷… Wazungu ambao wote walikuwa na bima za afya, walipewa matibabu bure… Weusi, masikini ambao hawakuwahi kupewa bima za afya, hawakupata matibabu na wengi walipoteza maisha… Idadi ya watu weusi ikabaki ndogo sana… Miaka ya 1900-1940, Waargentina 🇦🇷 wakafanya oparesheni yao ya mwisho ya kuhakikisha nchi yao inakuwa ni ya wazungu pekee, kwa kuwapokea wakimbizi kutoka Ulaya, wakati Bara la Ulaya likiwa katika vita kuu mbili za Dunia… Wakimbizi waliopokelewa ni wazungu pekee, wengi kutoka Ujerumani 🇩🇪 kwa Hitler waliokimbia kufikishwa mahakamani Ulaya… Hawa Wajerumani ambao asilia ni wabaguzi wa rangi, wakaendelea kufyeka weusi wachache sana waliokuwa wamebaki nchini Argentina 🇦🇷… Kwa sasa Argentina 🇦🇷 ndio nchi pekee isiyokuwa na watu weusi Amerika ya Kusini… Inasemekana weusi waliopo ni asilimia 0.5 ambao wengi ni wafanyakazi wa mabalozi mbali mbali kutoka Afrika, watalii kutoka Afrika na wahamiaji kutoka Afrika na mataifa jirani… Ufaransa 🇫🇷 haikushangazwa na kauli za kibaguzi zilizotolewa na wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 juzi, dhidi ya wachezaji wetu… Wachezaji hao hao wa timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷, wabaguzi wa rangi, wasiotaka hata kumuona mtu mweusi machoni mwao, ndio wachezaji wanaopendwa zaidi Barani Afrika, Bara la watu weusi 🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 🇧🇮 🇷🇼 🇨🇩 🇲🇼 🇲🇿 🇿🇲🇿🇦

  • @ishumaelmlamie6270
    @ishumaelmlamie6270 День тому

    6:22

  • @ishumaelmlamie6270
    @ishumaelmlamie6270 День тому

    Argentina wabaguzi Sana,nenda nchini kwao uone watu weusi kiasi gani,zaidi soma historia ya hii nchi kwny ubaguzi

  • @abdirahmanduke1373
    @abdirahmanduke1373 День тому

    Mimi ni shabiki ya Chelsea lkn haya maneno yamenifanya nimchukue na kwa ujumla woote Argentina nawachukia....🙌

    • @GanazMedia
      @GanazMedia Годину тому

      Kwenye ubaguzi hatutakiwi ku2a na timu. Nakuheshimu sana kwa msimamo wako.

  • @masilyaalain8798
    @masilyaalain8798 2 дні тому

    Zero tolerance for racism in this world

  • @CubeedCali
    @CubeedCali 2 дні тому

    Vp calafiori

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 2 дні тому

      Mungu akijaalia Tutamzungumzia Calafiori toleo lijalo. Kwa sasa bado hakuna makubaliano lakini mazungumzo hayakuvunjika.

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 2 дні тому

    Mi nikisikia tu habari za The Gunners nasikia damu inasisimka hatari asee , endelea kutupatia habar za Arsenal na Mungu akutangulie ufanye kazi yako kwa ubora zaidi

  • @mokwaxymokwaxy-fc8lx
    @mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 дні тому

    ni nimweusi

  • @mokwaxymokwaxy-fc8lx
    @mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 дні тому

    ila nimeona mchezaji WA Chelsea Nicolas Jackson amemtetea enzo

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 2 дні тому

      Alichofanya Jackson ni kujaribu kuleta amani. Lakini wengi wanamuona kama msaliti wa watu weusi. Binafsi nadhani Jackson amekosea

  • @PamelaEbei
    @PamelaEbei 2 дні тому

    Tupe habari mashabiki wa arsenal

  • @wasokyeyangya7757
    @wasokyeyangya7757 3 дні тому

    Ufanye kusudi ili uombe msamaa?

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 3 дні тому

      Hawa ni watu wa ajabu sana.

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 3 дні тому

    inauma sana ila binaadamu wote ni sawa haijalishi rangi wala kabila wala dini

  • @saidmohammed9832
    @saidmohammed9832 5 днів тому

    Kazi nzuri sana

  • @manirakizaibrahim5676
    @manirakizaibrahim5676 5 днів тому

    Bravo Tupo pamoja kila siku

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 5 днів тому

    kazi mzuri brother

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Shukran Msellem, tuendelee kuwa pamoja.

  • @athumanshaban
    @athumanshaban 5 днів тому

    Usichoke kaka endelea kutupa habari maana kama sisi washabiki wa Arsenal tuna furahi sana na tupo nyuma yako

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Ahsanate sana Athuman, tuko pamoja ndugu yangu. /nashukuru kwa kunipa moyo

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 5 днів тому

    Gunners forever Nashukuru sana kupata update za timu yangu pendwa Am the gunner forever

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Ahsante sana kaka, hii ni channel yetu sote.

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 5 днів тому

    asante sna mani mungu akulinde zaidi tupate taarifa za soka❤

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Pamoja sana kaka, mnanipa nguvu sana.

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 6 днів тому

    nani tumemsajili kwa saa hii

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Golikipa ana umri wa miaka 18 anaitwa anatoka Ajax anaitwa Tommy Setford. Anacheza England U21.

  • @FarhaMud-cp3ng
    @FarhaMud-cp3ng 7 днів тому

    Vp kuhusu chalii patino je kunauwezekano wakupatiwa nafasi ktk fastim marahii

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Tulijibu issue ya Charile Patino kwenye video hii. Charilie Patino tunadhani atauzwa kama kuna timu itajitokeza kumnunua. Hii have link ya video ya Charlie Patino ua-cam.com/video/rnqt7YZ1KO4/v-deo.htmlsi=IFCB_H4zvOHrTMKR

  • @user-ko6dd9yj2i
    @user-ko6dd9yj2i 7 днів тому

    Kazi nzurii vipi sesco

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 5 днів тому

      Benjamin Šeško amepewa mkataba mpya na RB Leipzig kwa hiyo hawezi kutoka msimu huu. Arsenal kwa sasa inamfuatilia Ricardo Calafiori. Kama watakubaliana matumaini yangu ni wiki hii atatangazwa.

  • @filbertivo1988
    @filbertivo1988 7 днів тому

    Arsenal timu yangu mdaa mwinginee inaboaa sanaaa

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 7 днів тому

    Arsenal bado wamekuwa madalali tu kazi njema kaka

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 7 днів тому

      Kuna kitu hapa naamini siku si nyingi utaraibu huu wa kuuza wachezaji wetu ambao nafasi zao kwa klabu ni ndogo sana hivyo acha tupate faida na kudhibiti matumizi hitajika Finencial-fair-play

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 7 днів тому

      @khalidmwakabuta5045 ni kweli sheria za sasa hivi za matumizi ni ngumu sana. Mwka jana timu kubwa kama Man United ilipigwa faini, na mwka huu tayari wamepata hasara ya poundi milion 74, h8vyo wako kwenye hatari ya kukatwa pointi sasa hivi. Ni muhimu sana kufanya mauzo kabla y kununua.

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 7 днів тому

      @@GanazMedia Ndio ukweli halisi tunapaswa kutambua na ndo maana wa kuuzwa wanaonekana wengi kuliko wa kununua

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 10 днів тому

    Asante sana shukuran sana kwa kazi mzuri allah s w akupe kila lenye kheri na ww

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 11 днів тому

    Asante sana kwa taarifa muhimu kwa klabu yetu Arsenal, We are Arsenal forever We are gunners forever"

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 11 днів тому

      Shukran na wewe Khalid kwa kutufuatilia. Tuko pamoja. Once you are a Gooner you will always be a Gooner.

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 10 днів тому

      @@GanazMedia Tuko pamoja ila naomba kama itawezekana pia tuongelee mapungufu ya timu yetu na nin tungeomba kifanyike ili tuweze kuwa bora zaidi

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 11 днів тому

    Asante sana brother allah s w akupe afya njema na swiha mzuri siku njema kazi mzuri

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 11 днів тому

      Amin, na wewe kaka, tuendelee kuwa pamoja.

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 11 днів тому

    kazi nzuri kwa lugha tunayo ipenda❤

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 11 днів тому

      Sshukran sana Richard, natumai tutaendelea kuwa pamoja.

  • @PauloFaustino-lz5hg
    @PauloFaustino-lz5hg 13 днів тому

    Good job

  • @robertlazaro9951
    @robertlazaro9951 13 днів тому

    Pamoja

  • @robertlazaro9951
    @robertlazaro9951 13 днів тому

    Ahsante nime furahii kuona tuna pata taa lifaza Arsenal kwa ruga ya kiswahili

  • @robertlazaro9951
    @robertlazaro9951 13 днів тому

    Karubu sana

  • @ilyasmremi100
    @ilyasmremi100 15 днів тому

    Are you a kenyan or TZ?

  • @abuuabuu274
    @abuuabuu274 15 днів тому

    Hallaa gooners..!!❤🤍

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 15 днів тому

    Wa kwanza leo nakuaminia bro 👍

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 15 днів тому

      Shukran kaka, pamoja sana.

  • @FarhaMud-cp3ng
    @FarhaMud-cp3ng 15 днів тому

    Naikubali Ganaz midia tunahitaji muendelee kutuletea hizi burdani za Arsenal

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 15 днів тому

      Shukran sana Farhad, pamoja sana.

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 17 днів тому

    arsenal❤❤

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 17 днів тому

    We are Gunners forever Tuko

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 17 днів тому

      Pamoja sana kaka

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 17 днів тому

      @@GanazMedia Kweli ndio naiona leo Utube chanel ya The Gunners ,hongereni sana maana tulikosa pa kupata tetesi au taarifa rasmi za Gunners

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 14 днів тому

      Ahukran Khalid, tuwe pamoja.

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 17 днів тому

    Wa tatu leo pamoja sana bro 👍

  • @barakajackson549
    @barakajackson549 17 днів тому

    Tupo pamoja kaka

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 17 днів тому

    asante sana brother kazi mzuri allah s w akupe afya njema

    • @GanazMedia
      @GanazMedia 17 днів тому

      Ahsante na wewe kwa kutupa nguvu. Shukran kwa dua pia. Amin. Na afya iwe kwetu sote.

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 18 днів тому

    Pamoja sana bro, Pro Santiago here 🙏

  • @OmarFakih-n2h
    @OmarFakih-n2h 19 днів тому

    Foad