Pendekezo la Kuondoa VAR Lapelekwa Premier League

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 3

  • @swahilimedianetwork
    @swahilimedianetwork 5 місяців тому +1

    Technology IPO vizuri mno lakini watendaji wake bado wanapata shida sana kwenye kutumia kutoa maamuzi. Nafikiri sasa ifike wakati hawa waamuzi wa Ulaya wajifunze kwa waamuzi wa Africa kwani walionyesha kiwango cha juu kabisa pale Afcon

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  5 місяців тому

      Ni kweli kabisa lakini pia waamuzi wa Ulaya pamoja na yote huwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana, kiasi cha kufika kufanya kazi kwa uoga. Hii ni kutokana na presha kubwa ya media na adhabu kali. Kwa mfano kosa moja tu basi muamuzi kafungiwa au kashushwa daraja.
      VAR haiwezi kuwa perfect lakini lazima ifanyiwe marekwbiaho kuongeza ufanisi

  • @zidiczaid1509
    @zidiczaid1509 4 місяці тому +1

    VAR Iwachwe ila waamuzi watende haki