Usajili Ligi Kuu ya England: Timu zinazohitaji kusajili kabla ya Mwezi Kumalizika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • Usajili Ligi Kuu ya England: Timu zinazohitaji kusajili kabla ya Mwezi KumaliIka.
    00:00 Utangulizi
    01:00 Tunachokizungumzia
    02:10 Chelsea Inachunguzwa
    03:25 Aston Villa inajiokoa kukawa alama
    06:12 Everton hatarini kukatwa alama mara ya 3
    06:53 LCFC inakabiliwa na makosa 2
    08:56 Newcastle lazima iuze kuepuka kukwata alama
    10:04 N Forest Hatarini kukatwa alama tena
    11:05 Hitimisho
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 10

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 12 днів тому +1

    arsenal wauze wachezaji wanunuwe wachezaji tupate kiungo mkabaji mshambuliaji mzuri awezaye kufunga magool zaidi 25 na winga wa kulia

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  12 днів тому

      Nakubaliana na wewe, Arsenal inahitaji kuuza angalau wachezaji 5 na kununua kwenye nafasi ulizozitaja.

  • @Abdully08hamid
    @Abdully08hamid 11 днів тому +1

    Hivi Chelsea inatatizo gani

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 11 днів тому +1

      Chelsea inataka kumsajili Nani na nani

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  11 днів тому

      Fafanua swali lak, ina tatizogani katika misingi ipi?

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 11 днів тому

      Okeee yani nkusudia katika usajili ina tatizo Gan mpka ikawa inashindwa kusaji labda imewekew vikwazo au vipiii

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  11 днів тому

      Hapana hakuna vikwazo, Chelsea inakabiliwa tayari lakini mpaka sasa inaelekea Chelsea imedhamiria Kusajili watoto kwanza. Hivi tunavyoongea Marc Guiu ktuks Barcelona atafanyiwa medical kujiunga na Chelsea

    • @Abdully08hamid
      @Abdully08hamid 11 днів тому +1

      Asante kaka