Usajili na Uhamisho Toleo la 8: Dan Bentley, Calafiori na Kiungo wa Arsenal asajiliwa Brighton

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 Місяць тому +1

    kazi nzuri kwa lugha tunayo ipenda❤

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  Місяць тому

      Sshukran sana Richard, natumai tutaendelea kuwa pamoja.

  • @user-ko6dd9yj2i
    @user-ko6dd9yj2i Місяць тому +1

    Kazi nzurii vipi sesco

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  Місяць тому

      Benjamin Šeško amepewa mkataba mpya na RB Leipzig kwa hiyo hawezi kutoka msimu huu. Arsenal kwa sasa inamfuatilia Ricardo Calafiori. Kama watakubaliana matumaini yangu ni wiki hii atatangazwa.

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Місяць тому +1

    Asante sana brother allah s w akupe afya njema na swiha mzuri siku njema kazi mzuri

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  Місяць тому

      Amin, na wewe kaka, tuendelee kuwa pamoja.

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 Місяць тому +2

    Asante sana kwa taarifa muhimu kwa klabu yetu Arsenal,
    We are Arsenal forever
    We are gunners forever"

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  Місяць тому +1

      Shukran na wewe Khalid kwa kutufuatilia. Tuko pamoja. Once you are a Gooner you will always be a Gooner.

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 Місяць тому

      @@GanazMedia
      Tuko pamoja ila naomba kama itawezekana pia tuongelee mapungufu ya timu yetu na nin tungeomba kifanyike ili tuweze kuwa bora zaidi