Zungumza Na Ganaz Media: Je Arsenal itachukua Ubingwa 2024/25

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @FarhaMud-cp3ng
    @FarhaMud-cp3ng 3 місяці тому +1

    Naikubali Ganaz midia tunahitaji muendelee kutuletea hizi burdani za Arsenal

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  3 місяці тому

      Shukran sana Farhad, pamoja sana.

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 3 місяці тому +1

    kwa uwezo wa allah s w kila kitu kinawezekana arsenal wakisajili wachezaji 4 tu ubingwa tayari

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  3 місяці тому

      Usajili itakuwa ni sehemu.muhimu ya mafanikio ya Arsenal mwakani. Naamini makombe yanakuja.

  • @SalehMustafa-c7l
    @SalehMustafa-c7l 3 місяці тому +1

    Mm naamian Arsenal team inaweza kuchukua ubingwa kwani msimu uliopita ni uzembe mdogo waliofanya wakose ubingwa

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  3 місяці тому

      Nakubaliana na wewe kabisa Arsenal ipo tayari kugombania ubingwa. Team ikiimarishwa kwnwye usajili naamini tunaweza.