Sakata la Video ya Ubaguzi wa Rangi la Enzo Fernandez

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @abdirahmanduke1373
    @abdirahmanduke1373 2 місяці тому +3

    Mimi ni shabiki ya Chelsea lkn haya maneno yamenifanya nimchukue na kwa ujumla woote Argentina nawachukia....🙌

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Kwenye ubaguzi hatutakiwi kuwa na timu. Nakuheshimu sana kwa msimamo wako.

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 2 місяці тому +2

    inauma sana ila binaadamu wote ni sawa haijalishi rangi wala kabila wala dini

  • @ishumaelmlamie6270
    @ishumaelmlamie6270 2 місяці тому +1

    Argentina wabaguzi Sana,nenda nchini kwao uone watu weusi kiasi gani,zaidi soma historia ya hii nchi kwny ubaguzi

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 2 місяці тому +1

    Hamna watu nawachukiya kama maergintina

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Wa-ajentina wana matatizo sana, inqchangiwa zaidi na taifa lao kuwa halina 2atu weusi hivyo wote huungana katika maduala kama haya. Vhama cha soka cha aAjentina kimeshundwa hata kukemea jambo hili

  • @mdmichael3349
    @mdmichael3349 2 місяці тому +2

    Hapo hakuna ubaguzi bro huo ni ukweli kwani hao wakina mbappe asili yao ni wapi?

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Kwa hiyo na wewe unadhani Mbappe kwa sababu ni mweusi basi hawezi kuwa ni Mfaransa? Mfaransa ni Mzungu tu?

  • @wasokyeyangya7757
    @wasokyeyangya7757 2 місяці тому +2

    Ufanye kusudi ili uombe msamaa?

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Hawa ni watu wa ajabu sana.

  • @ishumaelmlamie6270
    @ishumaelmlamie6270 2 місяці тому +1

    6:22

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 2 місяці тому +1

    Awawezi kuwapenda watu weusi kwani istria yanchi hiyo ilikuwa ni yawatu weusi nn kilifanyika mpaka leo wapo wao? Fatilia utawajua hao jamaa alivyo na roho mbaya na watu weusi

  • @saidmwakugomba3623
    @saidmwakugomba3623 2 місяці тому +1

    Kwanini lkini siku zooote ukweli unaumaaa

  • @mdmichael3349
    @mdmichael3349 2 місяці тому +1

    Enzo hapo kafanya kebei mbona ufaransa wali mkebi messi walipo chukua kombe la dunia 2018
    au messi ni mweupe angekuwa mweusi ungesema ni ubaguzi

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Wa kwanza kuita alichokifanya Enzo ubaguzi ni wachezaji wenzake wa Chelsea, akika Fofana na Badiashile, halafu kikafuata chama cha soka cha Ufaransa, halafu ikaingia FIFA kisha liakaingia shirika linaloshughulika na masuala ya ubaguzi (Kick It Out). Kisha mwenyewe Enzo kakiri kosa na kaomba msamaha, sasa kwa nini wewe huoni kama ni ubaguzi?

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 2 місяці тому

    Hakuna ubaguzi hapo timu ya ufaransa Ina weusi timu mzima wote waafrika kwanini wasicheze wenyewe wazungu

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Je na wewe unaamini kwamba watu weusi hawana haki ya kuwa Wafaransa? Kwani utaifa una rangi? Tanzania nimeona watu wenye asili ya abarq Hindi na Hata Bara Arabu na wote wana haki sawa kwenye nchi. Kwa nini unadhani mweusi hana haki Ufaransa?

  • @mokwaxymokwaxy-fc8lx
    @mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 місяці тому

    ni nimweusi

  • @mokwaxymokwaxy-fc8lx
    @mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 місяці тому +1

    ila nimeona mchezaji WA Chelsea Nicolas Jackson amemtetea enzo

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  2 місяці тому

      Alichofanya Jackson ni kujaribu kuleta amani. Lakini wengi wanamuona kama msaliti wa watu weusi. Binafsi nadhani Jackson amekosea