Mashalah mashalah mashalah..umejibu vizur ostaz wng ... mashalah hakika uislam ni dini nzuri sana haijaacha kitu...vyooote vimeelezewa kwenye Quran..majibu yote yapo umo.. mashalah
Simulizi Zone. Tunashukuru sana kwa kuja na mambo kama haya ya kiimani. Mwenyezi Mungu Akusimamie uendelee hivyo hivyo usichoke mpaka tufike peponi. Amen
Umeeleza vzur mwanzon lakn unachanganya. Nafsi ni mwili na ndio unaleta matamanio Roho ni pumzi ama uhai Akili ikizidiwa na tamaa za mwili ndio mke au mume wa mtu anabebwa. Roho(pumzi/uhai) ikiktoka nafsi(mwili) hauna jipya au hauna kazi.
Muulize Yesu mwenyewe uone Kama anajua chochote, Hajui hata siku ya mwisho nisaangapi na mwaka gani na Siku gani. Muulize akupe majibu kama unaroho mtakatifu au yeye.
Kaka usidanganywe na hao comedians hakuna muislamu anajuwa mambo ya kiroho hata siku moja , maana muddy mwenyew hajui chochote nna hata alllaha wao hajui chochote zaidi ya lugha moja ndo watajua mambo ya kiroho ? 😂 ujuaji mwingi 😂
@@Benjathekingofficialtv Kama YESU anajua mambo ya kiroho muulize kiama au siku ya mwisho ni lini na itakuwa saangapi na siku ngani, Akijibu hilo mimi nitakuwa mkristo kama wewe ulivyo.
Wallahi shehe wangu leo umetoa darsa kubwa, hili akina ndacha hawafiki level hii...mashallah uislamu ni raha sana
Mashalah mashalah mashalah..umejibu vizur ostaz wng ... mashalah hakika uislam ni dini nzuri sana haijaacha kitu...vyooote vimeelezewa kwenye Quran..majibu yote yapo umo.. mashalah
Simulizi Zone. Tunashukuru sana kwa kuja na mambo kama haya ya kiimani. Mwenyezi Mungu Akusimamie uendelee hivyo hivyo usichoke mpaka tufike peponi. Amen
Umetisha sana shek wangu unajua sana mashaalha
Anafundisha vizuri .Nimeelewa vizuri sana...👏👏👏
Mashaallah sheikh allah akubariki kwa elimu ulonayo na fasaha ya lugha mashaallah
Sheikh yuko vizuri 💯🔥🔥🔥🔥🔥
Insha allah shh nimekuelewa sana
Mashaallah
masha-Allah
Good speech
Umeeleza vzur mwanzon lakn unachanganya.
Nafsi ni mwili na ndio unaleta matamanio
Roho ni pumzi ama uhai
Akili ikizidiwa na tamaa za mwili ndio mke au mume wa mtu anabebwa.
Roho(pumzi/uhai) ikiktoka nafsi(mwili) hauna jipya au hauna kazi.
Elimu hii kwa wachungaji zero % hauipati
Bwana simulizi najuwa kesho yake utamtafta ndacha nitapenda..tumskie na yeye atafika darja hii ya elimu au laa
aaahh kwani jeuri hiyo
Mwanafunzi wa Allah tulia. Shekhe anafundisha na akili zake manenya roho waislamu hamna😂😂
@@moshantoj sawa mwanafunzi wa ndacha tutamsikia na yeye
Nafsi ni mwili,,mbona iyo iyo quran inaileweka kuwa nafsi ni mwili shekhe.
Umeeleza vzur lakn ukwama padogo,,sio mchanganyiko.
Yan huyu ostadh nmemkubali katoa bonge moja la darasa hlf amenikunguzua vng na nmeirudia kuingalia mara 3
Tangu lini muislamu akajua mambo ya roho?...wakat hata muhamadi alikili kuw hayajui mambo ya roho?
Unajua sana ndomana haujui;
Huna unachokijua bana...tulia upate dawa