Ni Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu...sio Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu roho mtakatifu. Wafuasi wa kristo tu ndio wanaelewa Utatu mtakatifu. Mungu ni mmoja aliye jifunu kwa wanaadam kwa Utatu wake.
Daniel Mwankemwa bahati mbaya sijui kama kaenda bible school au nimapokeo ya dhehebu yake mimi siyo msabato lakini najua Imani ya Nikea ndio msingi wa kuja kwa hili fundisho la utatu unaowafanya miungu kuwa watatu. Fundisho hili la IMANI hii ya Mungu baba,Mungu baba,na Mungu ,Roho mtakatifu lilipelekea mvutano mkubwa sana karne ya pili huko mji wa Nikea. wengine wakisema Mungu ni mmoja na kundi lingine likisema Mungu ni nafsi tatu watu walipigana wakauana sana mwisho wakaona watamalizana wakaa chini wakakubaliana IMANI hii ya Mungu watatu ndani ya Mungu mmoja sasa tunapoteza muda kubishana bure. Mfano unaoutoa wa ubatizo wapi Yesu kasema mkabatize kwa jina la Mungu baba, Mungu mwana,na Mungu Roho mtakatifu. Utata uko hapo.
Yohana 14:23 Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake. Wanaona Kaa ndani ni baba na mwanaye kupitia roho wao
@@hythamhashiem4458 kumbe unajua kuwa kuna mambo mengine ni ya watu binafsi sio ya dini basi ni vivyo hivyo hata katika ukristo watu wanakuwa na hoja zao binafsi
Mwalimu, Yesu ametajwa katika Mathayo 28:19 kwa sababu aliyoitoa mwenyewe mstari wa 18. Anashiriki kazi pamoja na Mungu (Baba) kwa kuwa amepewa mamlaka ya kufanya hivyo. Baada ya kumaliza mstari wa 18, mstari wa 19 kaanza na maneno "kwa hiyo basi...," Je, maneno haya yana maana gani?
Mungu ni moja tu yesu si Mungu ni mtume kama wengine tu acheni kulewalewa yesu atakuwaje na wakati alikua tumbo ya mama nani alikua anashikilia anga mm ni mkiristo lkn sikubaligi ujinga ya kusema yesu hiyo km yesu ni Mungu bona alikua anaomba na yy
John 1:18 [18]No man hath seen God at any time; the only begotten Son, which is in the bosom of the Father, he hath declared him. Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji
Mwankemwa kdogo upo sahihi, ni kweli kuna baba, mwana na roho mtakatifu lkn unakosea kusema Mungu mmoj ana nafs tatu. Ukweli upo hivi, Mungu ana Mwana napia ana Roho wake hao watatu ni nafsi zinazojitegemea ambazo zote zina asili moja ya Uungu. Yohana 1:" Naye Neno alikuwa kwa Mungu Naye alikuw Mungu."..
Huwezi kuweka Liter 5 ya maji kwenye chupa ya liter 1.Mungu sifa yake ni Mwanzo na mwisho. Na ukisoma wakolosai 2:9 utaona kwamba utimilifu wote wa Mungu ulikuwa ndani ya Kristo kwa jinsi ya Kimwili.....Yesu ni Mungu
1 Yohana 2:18-19 [18]Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. [19]Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Ni rahisi sana kushawishika kuwa fundisho la Trinity ni la kibiblia, lakini la hasha, ni fundisho la mapokeo tu halina misingi ya biblia. Biblia iko wazi sana-fundisho sahihi huongoza kwenye Imani sahihi, fundisho putovu huongoza kwenye Imani potofu!
Mbona hakusoma hapa: 1 Yohana 1:3 [3]hilo tuliloliona na kulisikia, twawahubiri na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo. That which we have seen and heard declare we unto you, that ye also may have fellowship with us: and truly our fellowship is with the Father, and with his Son Jesus Christ.
Huyu Mwakemwa amechanganyiwa na kipofu katika kufafanua ukweli wa Mungu. Ni mwepesi sana kwenye uelewa wa Mungu. Ukweli hakuna mungu baba mungu mwana mungu roho mtakatifu. Hili ni fundisho la KISHETANI. Lilianzia kwenye mkutano na Nisea mwaka wa 300 kilichokalishwa na mfalme wa kirumi mpagani ambaye ni muamini wa miungu watatu wa kirumi. Imani ya utatu ni upagani na ushetani.
Na katka Bible nzoma hamna mahali yesu aliweza kujiita mungu au mwana wa mungu Ila alijiita mwana Adam sio mwana wa Mungu tafadhali soma hio Bible vizuri ati kwasababu ya fungu kumi la mungu vyenye munadanganya wakristo mukisema nyinyi ni manabii ikiwa manabii huchaguliwa na mungu ikiwa manabii hawata zaliwa tena wa kuchaguliwa na mungu tena acheni ukufuru tafadhali
Wacha kuongea uongo...kwa bibilia hakuna utatu kabisa...hakuna mungu roho ama mungu mwana .,kuna Mungu .kuna mwana wa mungu diye yesu...na kuna roho wa Mungu...wacha kugeuza madiko...bona utetee uongo hivo
@@samuelmuiruriMwaura husomi maandiko Biblia inasema 1 Yohana 2:18-19 [18]Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. [19]Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Kama Imani yako inakufundusha hivo sawa lkn wengne waheshim wanaoamin hvo,,,kasome yohana Moja kuanzia mstar wa kwanza,,,pia pale mungu anasema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu alikuwa anasema na nan,,,mtu kama baba,,,mungu kama mwana katika Hali ya uanadamu na mwisho roho
😮sasa huyu msabato hajui hata kiswahili eti madiko. Madiko ndio nini? Kama hujaona Utatu Mtakatifu kwenye Maandiko siyo kwa sababu haupo kwenye Maandiko bali kwa sababu wewe ni kipofu una macho lakini huoni. Msikilize vizuri mwl Danieli akufungue macho
Kwa nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa biblia kwa NDACHA na huyu Mwamkwema Kuwa MUNGU ni / = ROHO Na MUNGU ni CHANZO,/SOURCE , na kama MUNGU ni ROHO maanayeke ni OMNIPRESENT (kila sehemu kwa kila wakati) MUNGU ndo kaumba kilakitu , Ila kaumbaje umbaje , ndani yake ndo kuna power ya kuumba , ambayo hiyo power ndo NENO ndani ya MUNGU na huyo neno ni YESU( kafunua kwenye Yohana 1, ). Na huyo huyo MUNGU pia ni ROHO, abayi hiyo ROHO/ MUNGU ikija duniani kwa uwezo wake kwa kila mtu ndo tunaita ROHO MTAKATIFU , Na neno lilivyokuja duniani kwa kuuvaa mwili ndo likaitwa lile neno ndo YESU,
nakwenda kwa baba yangu nanyi ni baba yenu nakwenda Kwa Mungu wangu nanyi ni Mungu wenu ndugu zetu mnachanganya mahusiano ya Yesu na Mungu kiutwa mwana haina mana kuwa huyo ni mtoto wa Mungu na ukimanisha ivyo inabidi ukubali mariamu alikuwa mke wa Mungu ambacho nikufuru kubwa ata cc ni wana wa Mungu lkn sio Mungu je nafasi ya Yesu na Mungu ni ipi ? jibu ni Mtume/nabii basi iyo mwana mwana ni ktk kutoposha watu wasiujue ukweli Mana Adamu baba yetu naye ni mwana wa Mungu tena hana baba wala mama bora Yesu ana mama kwaiyo tusichanganye ndugu zetu
Daniel afahamu kwamba utatu ulipigiwa upato wakati wa constantino,na fundisho hilo likaenea kote duniani wakati huo,lakini hapo nyuma kabla ya fundisho hilo Wakristo hakuamini utatu
Afadhali mtofautiane kwa mambo mengine lakini sio kwa mnacho abudu.wakristo mna tatizo, yani mnatofaautiana kwa mungu, mitume, kitabu chenyewe mnachokifuata.
Hilo andiko la wakolinto Sasa Kuna utatu hapo kweli hapo Kuna neema ya bwana wetu yesu na pendo la Mungu na ushirika wa roho mtakatifu Hapo Kuna yesu na Kuna Mungu wako na ushirika wa roho mtakatifu tusome tuelewe mwalimu Danieli hapo hakuna utatu
Katika kitabu Cha mwanzo uumbaji mungu anapotaka kuumba mtu anasema "NATUFANYE Mtu kwa mfano wetu" Wenye akili watajua hapo kuwa utatu upo tangu mwanzo
Wanafunzi wa yesu waliuwawa kwa Sababu ya neno la mungu akiwemo mathayo, yani mathayo aliuwawa lakini injili yake ibaki mpaka sasa "you are sick my friend"
Za kichwa ndg zanguni hapo za kiiiiichwa ! Daniel mwenyewe ukimuangalia jinsi ya sura yke tu ilivyo unagundua kua anajibu mambo aciyokua na uhakika nayo wala yakini nayo
Jesus was not Christian and didn’t go to church.The Greeks/Romans pagan/uncircumsized started to worship the Jewish Carpenter and made him God or son of God and forgot Eloi/Eloha/Allah.
Mwenyezi Mungu Aweke huruma yake nakuturehemu sisi tusiojua kweli. Maana fumbo hili ni kubwa sana kwetu. Si waislam wala wakristo hakuna aliyemkamilifu kwa ninavyosikia hoja zao. Ila tusimame katika Mwenyezi Mungu tu. Maana inapotokea mitume wawili wa Allah wanatofautiana katika mfundisho yao basi unajua kunakitu hapo kimefumbwa either na sisi wanadam au Allah mwenyewe na Yeye ndio atakaye tunusuru kwa jitiada zetu kumtafuta Yeye
@@partnersah8802 Hakuna fumbo lolote apo kwenye uislamu. Maana kiislamu 1. Mungu ni mmoja (Allah) 2. Kuna aliyetumwa ambao wanaingia mitume wote kuanzia Adam hadi mtume wa mwisho Muhammad (S.A.W) kiislamu ni Mitume tu. Japo kuna lugha zingine zimewachanganya watu wakaitwa wana wa Mungu 3. Kuna Malaika ambae aliwaletea Mitume wote habari njema kutoka kwake anaitwa Jibril(Gabriel). Na huyu ndo huwa anaitwa ROHO MTAKATIFU na haifai kumwita Mungu Kwa hiyo Muumbaji ni mmoja Malaika ameumbwa na Mitume wameumbwa. Bali Mungu pekee yeye sio kiumbe bali ni muumbaji. Na sasa ukimuuliza Mkristo Yesu ni kiumbe au sio kiumbe atababaika haswa Kwa hiyo usiusingizie uislamu wala waislamu sisi jambo hili halituchanganyi kabisa Wacha liwachanganye wao wakristo.
@@MWALIMUCHAKATV Soma Yohana 14 : 6 - 30, nipo tayari kujadiliana na wewe zaidi kama kutakuwa kuna sehemu nimekosea unaweza kunirekebisha nipo tayari kujifunza
Mwankemwa wewe umepotea. Yesu hajahubiri utatu hata siku moja. Na hoja ya utatu imeletwa na Mfalme Constantino katika karne ya 3. Nyie wakristo acheni kuweka maandiko yenu badala ya maneno sahihi ya Nabii Issa bun Mariam.
Mwl Daniel heko sawa!,ana heleweka anafafanua vizuri !,Mwenyezi Mungu amzidishie na abarikiwe!.
Pastor Daniel ogopa mungu uache kudanganya watu kesho utasimama mbele ya Mungu
Jamani poleni sana kwa kujifanya kutokuelewa,Mwalimu DANIEL anaeleza kwamba Mungu ni Roho katika utemdaji kazi
Ni kweli mwalimu Daniel Mwankemwa yuuko sahihi sawa sana mandungu zangu katika imani ya kikristo yesu bwana wetu mkombozi wetu
Jamani,mch DANIEL MWANKEMWA yupo sahii,
Hongera mtumishi wa Bwana, Mwenyezi Mungu akubariki.
Daniel mwakema mwongo sana ww hucikizi hoja nishabiki tu
Mwalimu Mungu akubariki sana kwa mafundisho unayotoa,
Mwalimu faniel Mungu akubariki sana Kwa mafundisho mazuri
Naomba kuuliza swali yesu anaitwa mungu kwasababu amezaliwa na mungu na roho mtakatifu katoka wapi ilina yeye awe mungu
Mungu ni jina la cheo jina la Mungu ni Yesu na Baba, Mwana, Roho ni nafsi tatu za Mungu
Yesu ndilo jina la Mungu Mmoja mwenye nafsi tatu
Yes aliimbwa na mungu Hana uwezo wa kuumba kama vyenye mungu aumbavyo
Mungu anasamehe, yesu anasamehe ila Roho wewe hainaga msalia mtume
Roho zote zimetoka kwa mungu hata roho ya yesu
inamaana hata mnachokiabudia hamkijui duuuh, karibuni kwenye uislam mungu ni mmoja tu
Uislam ndiyo majanga matupu, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi😂
Majini hayawatoshi?
Wow Mimi nawasikiliza tu Ila nabaki Kwa Ile ya bibilia 17:3 john
Tunasubiri Mdahalo wa DANIEL Vs NDACHA ❤ .. (Mtualike Waislamu tuje tushuhudie)
Ni Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu...sio Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu roho mtakatifu.
Wafuasi wa kristo tu ndio wanaelewa Utatu mtakatifu. Mungu ni mmoja aliye jifunu kwa wanaadam kwa Utatu wake.
Daniel Mwankemwa bahati mbaya sijui kama kaenda bible school au nimapokeo ya dhehebu yake mimi siyo msabato lakini najua Imani ya Nikea ndio msingi wa kuja kwa hili fundisho la utatu unaowafanya miungu kuwa watatu. Fundisho hili la IMANI hii ya Mungu baba,Mungu baba,na Mungu ,Roho mtakatifu lilipelekea mvutano mkubwa sana karne ya pili huko mji wa Nikea. wengine wakisema Mungu ni mmoja na kundi lingine likisema Mungu ni nafsi tatu watu walipigana wakauana sana mwisho wakaona watamalizana wakaa chini wakakubaliana IMANI hii ya Mungu watatu ndani ya Mungu mmoja sasa tunapoteza muda kubishana bure. Mfano unaoutoa wa ubatizo wapi Yesu kasema mkabatize kwa jina la Mungu baba, Mungu mwana,na Mungu Roho mtakatifu. Utata uko hapo.
Amewapa maandiko haya nawe toa andiko utufunze
Duuu! Aisee hii balaaa! Najivunia kua muislamu
WWE umepotea kabisa
Yohana 14:23
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Wanaona Kaa ndani ni baba na mwanaye kupitia roho wao
@@mwanafbii7 umeongea vyema.
Aiseeee.........! Bora Uislamu
Hata uislamu nao una skendo ya ufugaj majini
@@DodomaTanzania-r5z nielekeze kidogo nielewa hapo sijaelewa
Hizi ni porojo hakuna mahali ilio sema hayo maneno (chuki zitawaua)
@@DodomaTanzania-r5z nielekeze kidogo nielewa hapo
@@hythamhashiem4458 kumbe unajua kuwa kuna mambo mengine ni ya watu binafsi sio ya dini basi ni vivyo hivyo hata katika ukristo watu wanakuwa na hoja zao binafsi
Mungu gani alikuwa anaingia chooni kama binadamu wengine
Baba Mwana Roho Mtakatifu ni Sura moja andiko linasema yumfanye MTU Kwa Sura yetu na Kwa mfano wetu
Kisha twambie manabii hata watano kwenye karibu zao zipo kama ukristo ni dini ya Mungu
Mwalimu, Yesu ametajwa katika Mathayo 28:19 kwa sababu aliyoitoa mwenyewe mstari wa 18. Anashiriki kazi pamoja na Mungu (Baba) kwa kuwa amepewa mamlaka ya kufanya hivyo.
Baada ya kumaliza mstari wa 18, mstari wa 19 kaanza na maneno "kwa hiyo basi...," Je, maneno haya yana maana gani?
Mungu ni moja tu yesu si Mungu ni mtume kama wengine tu acheni kulewalewa yesu atakuwaje na wakati alikua tumbo ya mama nani alikua anashikilia anga mm ni mkiristo lkn sikubaligi ujinga ya kusema yesu hiyo km yesu ni Mungu bona alikua anaomba na yy
Okay sawa Baba ni Mungu Mwana ni Yesu je Roho mtakatifu anautwa nani?
John 1:18
[18]No man hath seen God at any time; the only begotten Son, which is in the bosom of the Father, he hath declared him.
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji
Haya masomo sio rahisi kwa waislamu, vile iko ngumu kwa wasielewa
Danieli ni mwongo. Afualitile vizuri kuingizwa kwa utatu kwenye mkutano wa nikea mwaka 325 AD. ASITUMIE POLOJO. SOMA MAANDIKO NA HISTORIA.
Mwankemwa kdogo upo sahihi, ni kweli kuna baba, mwana na roho mtakatifu lkn unakosea kusema Mungu mmoj ana nafs tatu. Ukweli upo hivi, Mungu ana Mwana napia ana Roho wake hao watatu ni nafsi zinazojitegemea ambazo zote zina asili moja ya Uungu. Yohana 1:" Naye Neno alikuwa kwa Mungu Naye alikuw Mungu."..
Ww ndio kimeo kabisaaaaaa
Kuutetea utatu mtakatifu kimaandiko si mtihan mdogo ...😊
Hilo si fundisho la kibiblia ndio maana hoja ni za kuungaunga
Huwezi kuweka Liter 5 ya maji kwenye chupa ya liter 1.Mungu sifa yake ni Mwanzo na mwisho.
Na ukisoma wakolosai 2:9 utaona kwamba utimilifu wote wa Mungu ulikuwa ndani ya Kristo kwa jinsi ya Kimwili.....Yesu ni Mungu
😂😅nipo nasikiliza huku nakunywa chai SEMa muulizaji yupo makini sana nimemkubali san😊
Hii ni imani ya kuungauga. Kama " walimu wenyewe" hawaielewi, je wanafunzi!!" Huu ni msiba.
Mtume wako amecopy hii dini😂😂😂😊
Huyo mchungaji hajui chochote
Wakristo hawajielewi kabisaaaaa😢😢
Daniel anajichanganya hatari anaongea uongo waziwazi. Daniel ni mweupe pepepeee. Yaani ukimwangalia usoni unaona uongo mtupu.
Usiseme jumla jumla, tufafanulie anajichanganya wapi, onyesha
Hata Simulizi Zone amempita Mwl Dan asema vizuri Roho w Mungu ni Mungu 😂😂
Col2:2 wengi wajamjuwa Kristo wakimjuwa Kristo watamjuwa Mungu..Jhn17:3 Mengine kando hayo ni Tumbo tu Yuda3-4
1 Yohana 2:18-19
[18]Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho.
[19]Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Ni rahisi sana kushawishika kuwa fundisho la Trinity ni la kibiblia, lakini la hasha, ni fundisho la mapokeo tu halina misingi ya biblia. Biblia iko wazi sana-fundisho sahihi huongoza kwenye Imani sahihi, fundisho putovu huongoza kwenye Imani potofu!
Mbona hakusoma hapa: 1 Yohana 1:3
[3]hilo tuliloliona na kulisikia, twawahubiri na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.
That which we have seen and heard declare we unto you, that ye also may have fellowship with us: and truly our fellowship is with the Father, and with his Son Jesus Christ.
Mwl Hata wamchanganya Simulizi wako watatu na wote watatu wanafanya kazi pamoja Aje Rev5:3
following
😮😅 wakristo Raha sana 😂yn kumbe hata waalim wao hawajui kuhusu utatu
Huyu mtu anamaneno mengi ila hana lolote anafundisha watu. Hata utatu haelewi ni nini? Walimu kama hawa wanastahili viboko
Mchungaji Daniel anajichanganya
Huyu Mwakemwa amechanganyiwa na kipofu katika kufafanua ukweli wa Mungu. Ni mwepesi sana kwenye uelewa wa Mungu. Ukweli hakuna mungu baba mungu mwana mungu roho mtakatifu. Hili ni fundisho la KISHETANI. Lilianzia kwenye mkutano na Nisea mwaka wa 300 kilichokalishwa na mfalme wa kirumi mpagani ambaye ni muamini wa miungu watatu wa kirumi. Imani ya utatu ni upagani na ushetani.
Hawa walio soma bible school wanamtatizo maana hawaelewi kitu
Ukisikiliza majibu yake tu unajua anababaisha
Daniel yuko sahihi kwa KIASI KIKUBWA ZAIDI KULIKO NDACHA
Na katka Bible nzoma hamna mahali yesu aliweza kujiita mungu au mwana wa mungu Ila alijiita mwana Adam sio mwana wa Mungu tafadhali soma hio Bible vizuri ati kwasababu ya fungu kumi la mungu vyenye munadanganya wakristo mukisema nyinyi ni manabii ikiwa manabii huchaguliwa na mungu ikiwa manabii hawata zaliwa tena wa kuchaguliwa na mungu tena acheni ukufuru tafadhali
Dini isio na makando kando ni uislam tu lakn hizo zingine zote hazina mpango Bali ni vituko tu
Mtajijua wenyewe mkukuruke tu ujanja ujanja tu
Wacha kuongea uongo...kwa bibilia hakuna utatu kabisa...hakuna mungu roho ama mungu mwana .,kuna Mungu .kuna mwana wa mungu diye yesu...na kuna roho wa Mungu...wacha kugeuza madiko...bona utetee uongo hivo
@@samuelmuiruriMwaura husomi maandiko Biblia inasema
1 Yohana 2:18-19
[18]Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho.
[19]Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Kama Imani yako inakufundusha hivo sawa lkn wengne waheshim wanaoamin hvo,,,kasome yohana Moja kuanzia mstar wa kwanza,,,pia pale mungu anasema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu alikuwa anasema na nan,,,mtu kama baba,,,mungu kama mwana katika Hali ya uanadamu na mwisho roho
😮sasa huyu msabato hajui hata kiswahili eti madiko. Madiko ndio nini? Kama hujaona Utatu Mtakatifu kwenye Maandiko siyo kwa sababu haupo kwenye Maandiko bali kwa sababu wewe ni kipofu una macho lakini huoni. Msikilize vizuri mwl Danieli akufungue macho
Kwa nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa biblia kwa NDACHA na huyu Mwamkwema
Kuwa MUNGU ni / = ROHO
Na MUNGU ni CHANZO,/SOURCE , na kama MUNGU ni ROHO maanayeke ni OMNIPRESENT (kila sehemu kwa kila wakati)
MUNGU ndo kaumba kilakitu ,
Ila kaumbaje umbaje , ndani yake ndo kuna power ya kuumba , ambayo hiyo power ndo NENO ndani ya MUNGU na huyo neno ni YESU( kafunua kwenye Yohana 1, ).
Na huyo huyo MUNGU pia ni ROHO, abayi hiyo ROHO/ MUNGU ikija duniani kwa uwezo wake kwa kila mtu ndo tunaita ROHO MTAKATIFU ,
Na neno lilivyokuja duniani kwa kuuvaa mwili ndo likaitwa lile neno ndo YESU,
Jesus of Nazareth lugha yake ya kiasili sio kiyunani duuuh umeongopea waumini😂😅
Yesu hakuongea kiyunani
Toa Nabii yeyote amezaliwa uzunguni kama wote sio Arabuni
Wewe bwana Daniel acha kudanganya au kuendelea kuwapoteza tafadhali
Huyu Ustadhi Daniel ni mtupu tupu ubishi tu
nakwenda kwa baba yangu nanyi ni baba yenu nakwenda Kwa Mungu wangu nanyi ni Mungu wenu ndugu zetu mnachanganya mahusiano ya Yesu na Mungu kiutwa mwana haina mana kuwa huyo ni mtoto wa Mungu na ukimanisha ivyo inabidi ukubali mariamu alikuwa mke wa Mungu ambacho nikufuru kubwa ata cc ni wana wa Mungu lkn sio Mungu je nafasi ya Yesu na Mungu ni ipi ? jibu ni Mtume/nabii basi iyo mwana mwana ni ktk kutoposha watu wasiujue ukweli Mana Adamu baba yetu naye ni mwana wa Mungu tena hana baba wala mama bora Yesu ana mama kwaiyo tusichanganye ndugu zetu
ndacha kasema kweli mwaka 325,ndio limeanzea kufundishwa yesu ameshasulubiwa
Daniel afahamu kwamba utatu ulipigiwa upato wakati wa constantino,na fundisho hilo likaenea kote duniani wakati huo,lakini hapo nyuma kabla ya fundisho hilo Wakristo hakuamini utatu
Daniel acha kuchanganya wenzako mungu ni mmoja tu kueni waislam mtakua na akili
Afadhali mtofautiane kwa mambo mengine lakini sio kwa mnacho abudu.wakristo mna tatizo, yani mnatofaautiana kwa mungu, mitume, kitabu chenyewe mnachokifuata.
Nyie wakisuni Hamadia mwaelewana kwa lipi
Hii dini hii wenyewe kwa wenyewe hawa elewani
Ndacha mpotoshaji lkn ww mwankemwa ndo kuzid wapoteza wenzio, yesu ni nabii hawez kuwa mungu
Ni nabii gn aliyekuwepo kabla ya uumbaji na tena akaumba?
waislamu aizee hawana akili kabisaaaaaa
@@favoritebrayo Allah akusameh na akutoe kwnye UKAFIRI
@@halidimgonza5945 mimi allah hawezi kunisaidia siku moja sanamu itanisaidia aje sasa😮💨😮💨
yaani huu pasta .. Eti mungu ni mmoja tu afu baadae eti ni wa tatu wanafanya kwa mda umoja tu ..
Translation ya "God side" ni "Upande wa Mungu" ila Mwankemwa ana translate kama "Mungu mwana" naona hapa kwamba huyu kanichanganya?
Ndachaa njoo uioneee hii jamaa 🤣🤣🤣
Hilo andiko la wakolinto Sasa Kuna utatu hapo kweli hapo Kuna neema ya bwana wetu yesu na pendo la Mungu na ushirika wa roho mtakatifu
Hapo Kuna yesu na Kuna Mungu wako na ushirika wa roho mtakatifu tusome tuelewe mwalimu Danieli hapo hakuna utatu
@@mwanafbii7 hapo anamaanisha kuna Baba,Yesu na Roho (3 separate )
Ikiwa muko na roho mtakatifu kwa nini mnaenda shule kusomea bibilia na roho mtakatifu ndie alisaidia kwa kuandikwa kwa bibilia
UBARIKIWE KWA ELIMU HII MWALIMU DANI, WACHACHE TUNAELEWA,WENGI HAWAELEWI
HUNAAKILI NDIO MAANA UWELEWI SOMENI ACHENI KUWASIKILIZA HAWA WACHUGAJI WANAWADANGANYA
Huyu jamaa ni mjinga na muongo sana ajui maandiko
Katika kitabu Cha mwanzo uumbaji mungu anapotaka kuumba mtu anasema "NATUFANYE Mtu kwa mfano wetu" Wenye akili watajua hapo kuwa utatu upo tangu mwanzo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa unangoja nini kafanye mdahalo na ndacha sasa
😂😂😂 yaani
Mambo ya Rohoo yaeleweke ki Rohoo sio kimwili
Sasa pendo la mungu kwa wanadamu nihipii Kama si yesu 😂😂😂
Wanafunzi wa yesu waliuwawa kwa Sababu ya neno la mungu akiwemo mathayo, yani mathayo aliuwawa lakini injili yake ibaki mpaka sasa "you are sick my friend"
anayesema fundisho la utatu ni la kishetani, amepotoka na pia ajue vizuri amefuata shetani mwenyewe
Huyu mwamkema hajielewi na anakiburi tu
Za kichwa ndg zanguni hapo za kiiiiichwa ! Daniel mwenyewe ukimuangalia jinsi ya sura yke tu ilivyo unagundua kua anajibu mambo aciyokua na uhakika nayo wala yakini nayo
Kila mmoja atetea tumbo lake
Fundisho la utatu ni uongo
na upagani
Paulo muongo 😅😅😅
He's Trying to blind people with Greek 😂😂😂
Jesus was not Christian and didn’t go to church.The Greeks/Romans pagan/uncircumsized started to worship the Jewish Carpenter and made him God or son of God and forgot Eloi/Eloha/Allah.
Mwulize je Roho mtakatifu anapaswa abudiwe?!
Ule moto ulio washukia wanafunzi wa bwana yesu ndio unasema ni roho mtakatifu, roho ni nuru shetani moto
Sio eti roho zote zimetoka kwa yesu ikiwa yeye mwenyewe akisema Hana uwezo wa kufanya neno mpaka uwezo kwa mungu halafu wewe umesomea na hio Bible
Mwalimu hapo anachanganya watu kabisa.
John 17:3....
1 Corinthians 8:6..
John 20:30--31
Mwenyezi Mungu Aweke huruma yake nakuturehemu sisi tusiojua kweli. Maana fumbo hili ni kubwa sana kwetu. Si waislam wala wakristo hakuna aliyemkamilifu kwa ninavyosikia hoja zao. Ila tusimame katika Mwenyezi Mungu tu. Maana inapotokea mitume wawili wa Allah wanatofautiana katika mfundisho yao basi unajua kunakitu hapo kimefumbwa either na sisi wanadam au Allah mwenyewe na Yeye ndio atakaye tunusuru kwa jitiada zetu kumtafuta Yeye
@@partnersah8802
Hakuna fumbo lolote apo kwenye uislamu.
Maana kiislamu
1. Mungu ni mmoja (Allah)
2. Kuna aliyetumwa ambao wanaingia mitume wote kuanzia Adam hadi mtume wa mwisho Muhammad (S.A.W) kiislamu ni Mitume tu. Japo kuna lugha zingine zimewachanganya watu wakaitwa wana wa Mungu
3. Kuna Malaika ambae aliwaletea Mitume wote habari njema kutoka kwake anaitwa Jibril(Gabriel). Na huyu ndo huwa anaitwa ROHO MTAKATIFU na haifai kumwita Mungu
Kwa hiyo Muumbaji ni mmoja Malaika ameumbwa na Mitume wameumbwa. Bali Mungu pekee yeye sio kiumbe bali ni muumbaji.
Na sasa ukimuuliza Mkristo Yesu ni kiumbe au sio kiumbe atababaika haswa
Kwa hiyo usiusingizie uislamu wala waislamu sisi jambo hili halituchanganyi kabisa
Wacha liwachanganye wao wakristo.
Mnafafanua kisicho fafanulika.
mfunze ndacha hana uelewa kabza na hili hongora
Maneno bila dalili
Mtangazaji anaposema Mwana ametoka ndani ya Baba. Ana maana gani na anapata wapi?
@@MWALIMUCHAKATV Soma Yohana 14 : 6 - 30, nipo tayari kujadiliana na wewe zaidi kama kutakuwa kuna sehemu nimekosea unaweza kunirekebisha nipo tayari kujifunza
Ndacha na daniel sasa mnafanya nini sasa kubishana waislamu wanatucheka
Waislamu na wasabato vichwa vyao sawa tu ila wasabato wana afadhali katika kiwango cha upumbavu😂
Ikiwa Bible zote hazilengi kama mahandiko na ndio sababu hamujui yesu akija ataingia kanisa gani
Mwankemwa wewe umepotea. Yesu hajahubiri utatu hata siku moja. Na hoja ya utatu imeletwa na Mfalme Constantino katika karne ya 3. Nyie wakristo acheni kuweka maandiko yenu badala ya maneno sahihi ya Nabii Issa bun Mariam.
Kwani ninyi kumuita Yesu Isa hilo jina mmelitoa wapi?
Kwani ninyi kumuita Yesu Isa hilo jina mmelitoa wapo?