SABABU YA KUCHIMBA MWANANDANI ILIKUWA NI MBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 176

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 5 днів тому +1

    Mwanadamu aliumbwa kwa muhujiza na atafufuliwa kwa muhujiza,acheni mawazo dhaifu,tunaamini kuna Mungu baada ya kuona kazi zake

  • @Nengwa-r6p
    @Nengwa-r6p 12 днів тому +11

    sasa wachokonozi watu inabidi wazikwe wasichomwe...nikiwanukuu "maisha ni mjongeo, baada ya kufa tunabadilika in to other form,,mifupa yetu tukishazikwa inaleta madini na mafuta,,habari za uyoga pia🤗🤗🤗"

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 12 днів тому +8

    Eti mbwa anatoka hola maana anachimba kwenda chini anapishana na mzigo uko pembeni😂😂😂

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 19 годин тому

    Kwel kabisa

  • @princekassimtz
    @princekassimtz 11 днів тому +2

    Daah 😂 😂 sawa bhan

  • @ThomasEmmanuel-lm3uh
    @ThomasEmmanuel-lm3uh 11 днів тому +2

    Ety Fire 🔥🔥 Baby 😂😂😂😂

  • @VillaTemu-k4p
    @VillaTemu-k4p 12 днів тому +4

    Nyie wasenge mko very

  • @nicasnerey9933
    @nicasnerey9933 9 днів тому

    Naomba kujiunga na wachokonozi duhhh mpaka naota naongea na wachokonozi. Napenda sana mila na desturi zetu zirudi

  • @TrigeniusDesign
    @TrigeniusDesign 11 днів тому +4

    Naomba wachokonozi tuzungumzie ndoto na ukweli mzima juu ya ndoto kuhusianisha na ulimwengu

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 10 днів тому +1

    Mi nmefanya kazi arabuni kwenye jangwa huko pana mbwa na mbwa mwitu gozi 😂😂😂

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 11 днів тому +2

    Bangi tamu sana

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 12 днів тому +4

    Hahaha 😂 kulipuka Kam pepkon

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 12 днів тому +3

    Nawakubali sana 😂😂😂

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 11 днів тому +6

    Mtyme gani ndiyo aliliwa na umbwa. Nyie laaana ya Allah iwaahukie popote mlipo 🤲

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 11 днів тому +1

      Mfia dini😂😂😂 huna hoja

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 11 днів тому +1

      allah ndio nin

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 11 днів тому

      😂😂😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 11 днів тому

      Hawa ndo Miongoni mwa Viumbe wa Ajabu waliotabiliwa watajitokeza Siku za Mwisho wa Dunia.
      Wafuasi wa Masih Dadjjal
      Wanataka Watu tuishi Kama Wanyama (Mzazi na Mtoto wake Kufanya Mapenzi Kwa Wachokonozi Haina Shida ni Matambiko yao) Wanataka hata Ushoga na Usagaji uendelee Maana wao huishi Kwa Kujiamulia watakavyo/Kwa Kumtii Shaiytwan/Ibilisi.
      Hawahitaji Kujuwa Historia ya Umbwaji/hawaamini Umbwaji Wala Uwepo wa Muumba.
      Waandishi wa Habari wajikite kwenda Kufanya lnterview na Wazazi/Walezi na Ndugu na Jamaa wa Karibu na Wachokonozi bilashaka Watapata Mengi Juu ya Historia zao (Mimba zao, Kuzaliwa kwao, Makuzi na Malezi-Tabia zao nk ktk Maisha yao) itasaidia Kugunduwa na Kujifunza Mengi.

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu 12 днів тому +4

    Watu wa dini tunahasira🥺🥺🥺🥺

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 12 днів тому +3

    Pamoja sana wazee tupo pamoja

  • @BiteMarenge
    @BiteMarenge 10 днів тому

    😂😂😂😂😂daaah hatarii sana

  • @asinallyKhamis-g7y
    @asinallyKhamis-g7y 12 днів тому +2

    mmmmh allah atusamehee

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 12 днів тому +4

    Nawaelewa sana wahindi

  • @GeorgeGegetu
    @GeorgeGegetu 12 днів тому +4

    Etii kaburi lina master bedroom😂😂😂😂

  • @LeonardFrancis-hk9ku
    @LeonardFrancis-hk9ku 12 днів тому +2

    Leo mmetia comedy nimecheka aisee😂 msichoke kutufumbuwa macho

  • @mwambenetz9195
    @mwambenetz9195 12 днів тому +5

    Makini

  • @prosperitymaarifa3324
    @prosperitymaarifa3324 11 днів тому +1

    Nyie wachokonoz mungu anawaona,,

  • @stentatv
    @stentatv 11 днів тому +1

    Leo nimecheka sana asee😂😂😂😂😂

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 11 днів тому +1

    Mbangi tamu sanaa

  • @muddynation1391
    @muddynation1391 11 днів тому +1

    Ni Fire beibeeee!!! Hahahahaaaa nmecheka mwenyewe hapa kudadek

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 11 днів тому +2

    8:50 aliyesikia nani? 😂

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 12 днів тому +3

    Natumesubiri sana 😂

  • @maukazalex3526
    @maukazalex3526 10 днів тому

    Ninyi jamaaa bhana 😂😂😂😂😂😂

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 12 днів тому +1

    Eti kama ye mwenyewe ni chap siku tatu tu kang'oa zake kapita hivi na huu mwili wako mjomba utatoboa Kwenye tiles!!! Pua inalipuka kama popcorn nimecheka kibwege yaani😂😂😂😂😂

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 12 днів тому +4

    dah kila kitu ninachokisia hapa nikigen kwangu duu😮

    • @abdallahkigome8538
      @abdallahkigome8538 11 днів тому +1

      Mbona ipo hata ukienda maeneo ya kusini wao mwanandani wao wanachimba kwenda mbavuni mwa Kuta za kabuli lengo likiwa ni kukwepa fisi na wanyama Wala mizoga wasije mzoga

  • @JumaKipingu-h4z
    @JumaKipingu-h4z 12 днів тому +2

    I'm here

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 10 днів тому

    😂😂😂 waje mashe wabishee

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 12 днів тому +3

    😂😂😂 lakini mimi nime sikiyaka kama nguruwe ndiyo ilikula kichwa cha mtume !!😂😂 njo kwamana Hawali nguruwe kweli au uyongo😢😅😅?

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 12 днів тому +2

      Endelea kusikia bila kusoma

    • @mohamedally121
      @mohamedally121 12 днів тому +2

      Watz sio watu wanaopenda kusoma, nakusihi usiwe mtu wa kusikia sikia, somaaa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 11 днів тому +1

      Ww chizi baba yako ndiyo aliliwa na nguruwe

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 11 днів тому +1

      Alafuu ikawaje meku😂😂😂

    • @YalucLileZairois1643
      @YalucLileZairois1643 11 днів тому

      @@abdulomari4932 😀😀unacho kisoma umeindika wewe wala wame kuandikiya mitume ??🤔🤔

  • @GameChumaTz
    @GameChumaTz 11 днів тому +2

    Wachokonozi Manaeleweka vzuri❤

  • @mussamtega9050
    @mussamtega9050 11 днів тому

    Fire baby 😂😂😂😂

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 12 днів тому +1

    Absolutely 💯💯💯💯💯

  • @GeorgeMayunga
    @GeorgeMayunga 12 днів тому +3

    Ndiyomaana waisilam wanachukia mbwa

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 12 днів тому +4

    Wanangu wa faida aooo mlipotea nikapata wasiwasi dah pa1

  • @Shabanikhafanikhafani
    @Shabanikhafanikhafani 12 днів тому +2

    Mbakaribia kufa nyie

  • @jacobsanga1316
    @jacobsanga1316 12 днів тому +1

    fact brother.

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 12 днів тому +1

    Hata mimi natamani kupigwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Nisingetamani mwili wangu uagwe hadharani.
    Ningependekeza tu familia ihusike kuaga

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 12 днів тому +1

    Nawapata kabisa kabisa

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 12 днів тому +1

    Wachonoziii 😂😂😂

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 11 днів тому +1

    Et bc waendele😂😂 jmn nyie mm nawaelewa sana .. pongezi kwenu 👏👏

  • @PauloMacha-q1v
    @PauloMacha-q1v 12 днів тому +1

    Mungu awarehemu.

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 11 днів тому +2

    Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
    Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
    Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
    1cor 2:14-16

  • @karimmadege5187
    @karimmadege5187 11 днів тому +3

    TENA PUA YA MMBWA NI NAJISI,MMBWA AKIKURAMBA AU KUGUSA PUA YAKE UNATAKIWA UJISAFISHE MARA SABA./UDHU MARA SABA😁😁.....DAAAAH ,ILA CHA KUSHANGAZA MMBWA UNARUHUSIWA KUMFUGA KWA AJILI YA KUWINDIA ,CHA KUSHANGAZA AKIKAMATA MNYAMA ILE NYAMA HAIWI NAJISI,,,,,,akili mtu wanguu

    • @gelaldlivifile9391
      @gelaldlivifile9391 11 днів тому +1

      Kaka mimi nimechukua hili ila nimependa namna ulivyo dadavuaa

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 12 днів тому +1

    Sabuni ya ubongo 🧠🧠🙌🙌😂🤣🤣

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 11 днів тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣nyie nyie

  • @JustineMochama-cb5jl
    @JustineMochama-cb5jl 7 днів тому

    Ndio maana wakasema kichapo cha mbwa msikitini 😅😅

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 11 днів тому

    3:34-35 mtu AKIFA NI KUPIGWA FIRE (Kuchomwa moto)
    Kesho watu hao hao wanakwambia HAKUNA KUFA😂

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 11 днів тому +3

    Uislamu Usifananishe na Imaan/Dini nyengine 🙌
    Kwani hata akioshwa Maiti/Mfu hataoza ?!
    Usiongee/Msiongee Kwa Hisia/Potofu.🙌
    Kwani Kwenye Nyumba ya lbada/Misikitini ni Mahala pa Kuzikwa Wafu wa Kiislamu?!
    Uislamu ni Usafi/Nadhifu
    Eleweni Maana ya Utu (Mtu/BinAdam) Si sawa na Mnyama.

  • @jacobsanga1316
    @jacobsanga1316 12 днів тому +3

    leo nimekuwawa kwanza kuangalia wajuba

  • @ArgentinaEduardoEduardo
    @ArgentinaEduardoEduardo 5 днів тому

    Duh😢😢😢

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 12 днів тому +1

    𝕄𝕡𝕠 𝕤𝕒𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 🎉🎉

  • @Manunhya
    @Manunhya 12 днів тому +2

    Leo nimechoka

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 12 днів тому +1

    Na ndo maana❤ hawali nguruwe

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 12 днів тому +2

    Hahaha 😂😂😂😂😂

  • @OmaryWaziri
    @OmaryWaziri 11 днів тому +3

    Haujitambui

  • @abdulomari4932
    @abdulomari4932 12 днів тому +2

    Kama baba,au mamayako yupo hai,akifa mchome

  • @kakuzekakuze7564
    @kakuzekakuze7564 11 днів тому +1

    unyama😂😂😂

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u 11 днів тому +1

    kwa Akili yako unahisi tutakufata ww😂

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 11 днів тому +2

    Hii story ya mwana ndani nimesikia mpaka nimeogopa 😮

    • @abdallahkigome8538
      @abdallahkigome8538 11 днів тому

      Udhulia mazishi ya watu wa kusini asa yale yenye fisi wengi ndio Utaelewa wanachikiongea

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 10 днів тому

    😂😂😂 show game wanaangaliana nani hajaliaa

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 11 днів тому +1

    Acha bangi

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 11 днів тому +1

    Nguruwe poli ndio walikua wanachimba sana ndio maana Waislam nguruwe alamu

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 12 днів тому +1

    ❤❤❤sana

  • @NoIe-zq7jo
    @NoIe-zq7jo 9 днів тому

    Bangi nayo mboga

  • @kayzeepackage1702
    @kayzeepackage1702 11 днів тому +1

    Vilaza ili waelewe dini ziiwatapike maana wamezoea kuaminishwa na hawajawai eleweshwa wakaelewa

  • @schigangermayala7706
    @schigangermayala7706 12 днів тому +2

    Bifu la mbwa na waislam😂😂😂..ni hatari.

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 12 днів тому +2

    Kwahyo nyie mnajuwa kila kitu kwakweli hajui kitu ni mawakala wa ibilisi

    • @Mwachuomo
      @Mwachuomo 12 днів тому +1

      Ibilisi ndio ki2 gan

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 11 днів тому

      ​@@Mwachuomokatika mataifa ya wenzetu huko nje kuna vyuo vikuu vinafundisha mambo ya nguvu za Giza na ushetani na wanatoa degree KABISA basi mchokonozi huenda kasoma hayo mambo 🙌maana Kwa makala yake iliyopita akizungumza kuhusu Siri za walimwengu kuhusu wachawi na waganga akasema mchawi ni MTU mwenye Siri lakini hajafuzu mafunzo , hao huishia kuwa walogi😂 na maisha yao huwa magumu ya kuhangaika lakini wale wanaofaulu ni waganga wenye uwezo wa kuponya🤣🙌 nilikubali hiyo HOJA

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 11 днів тому +1

      Katika nchi za wenzetu wanafundisha kozi za nguvu za Giza na wanatoa degree KABISA basi mchokonozi huenda kasoma hayo mambo 😂

  • @TrigeniusDesign
    @TrigeniusDesign 11 днів тому +1

    Naomba wachokonozi tuzungumzie maswaala mazima ya ndoto na tafsiri za ndoto

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 12 днів тому +4

    Akili ya binabamu ina kikomo katika uelewa, nadikitika ninyi mara nyingi huwa mnaelea tu kwenye limit ya akili yenu, siwalaumu kwakuwa akili zenu zimeishia hapo

  • @innocentzabroni6
    @innocentzabroni6 11 днів тому

    Nashauri viongizi waa Africa wapewe ngua wanazo acha maraisi wa ulaya Ili .......

  • @maukazalex3526
    @maukazalex3526 10 днів тому

    Nilisikia wanasema kuwa wanazika ili baada ya miaka elfu moja wapate mafuta ya petrol

  • @abdallahkigome8538
    @abdallahkigome8538 11 днів тому +1

    Kuna baadhi ya maeneo hapa Tanzania uo mwanandani wanauchimba pembeni mwa ukuta wa kabuli na maiti awekwa kama kuku anavyowekwa kwenye oven Ili kukwepa fisi na wanyama Wala mizoga wasije wakafukua na kula mzoga

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 11 днів тому

    Jose wewe nimecheka saana Mimi Leo ety mbwa asimle mtumie jamani nimecheka Leo Jose bakiza maneno ya akiba

  • @jacksonseleman4292
    @jacksonseleman4292 12 днів тому +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 12 днів тому +2

    Ungekuwa na. Concept za marifa ungekuwa wa maana Sana ila kupambana na Imani umechemka tuwambie ugunduzi na marifa ila nyie ni dini tu mmmm tupo wazee

  • @omarydololo1717
    @omarydololo1717 2 дні тому

    Sababu hakuna wanachojenga

  • @Shabanikhafanikhafani
    @Shabanikhafanikhafani 12 днів тому +2

    Nyie mbakaribia kufa hamna mda mtakufa

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 12 днів тому +5

    Zamani gani acha uwongo ww jamaaa et zamani hawakuwa na nyezo za kuchimba uwongo mkubwaa

  • @feizalmas
    @feizalmas 8 днів тому

    Hawa mataira wasisililizwe

  • @OsamaLemky
    @OsamaLemky 9 днів тому

    Nyinyi hamueleki mara hakuna kitu kinaitwa kifo mara mtu akifa apigwe fire mana mmeanza kuchosha kuwasikiliza

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 11 днів тому

    Kwa waisilamu nakuunga mkono mtume wao aliliwa na mbwa

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 8 днів тому

    MUNGU awaokoe tu...

  • @footbool-wk9ux
    @footbool-wk9ux 11 днів тому +1

    😅😅❤❤

  • @HusseinChumalee
    @HusseinChumalee 10 днів тому

    Kumawewe

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 11 днів тому

    Mwisiliamu na mbwa hawapatani kabisa

  • @omarydololo1717
    @omarydololo1717 2 дні тому

    Wachokonozi ni vichaa kama vichaa wengine

  • @mohammedsalim3315
    @mohammedsalim3315 11 днів тому

    Du kabla ya kujirikodi Bangi kwanza 😢

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 12 днів тому +4

    Et mbwa kutoingia msikitini ndio sababu ya kuwa alikuwa anafukua maiti,daaah leo nimewaona ninyi kumbe ni vilaza, kwahyo hata nguruwe pia alikuwa anafukua makaburi?? Maana sio mbwa tu ambae hapaswi kuingia mskitini,

  • @barakasimon2075
    @barakasimon2075 6 днів тому

    Mnafanya ziaka xana na dini za watu

  • @TitusBangu
    @TitusBangu 12 днів тому +2

    Duu

  • @Hosealilmayo
    @Hosealilmayo 12 днів тому +1

    Wasomi wanao kuelewa wanakaa kimy hawawez reply kwasababu upo ktk fact ila vilaza watakuona muongo unaponda dini zao 😂😂😂

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 12 днів тому +2

      vilaza wote comments zao zipo kwenye negativity tupu

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 12 днів тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 🤣😂🤣

  • @Mabokitz
    @Mabokitz 12 днів тому +1

    MLIVOKUA KIMYA NILIANZA KUOGOPA NIKASEMA WALIMU WETU WAMEENDA WAPI TENA?

  • @OmaryWaziri
    @OmaryWaziri 11 днів тому +1

    Unahoja,toahoja.usilopoketu

  • @recapsultan24hr
    @recapsultan24hr 12 днів тому +1

    🎉