Jana nimepita shule moja ipo karagwe, inaitwa Rwambaiz aiseee nilichokiona ni aibu tupu, maharage na ugari niliouona pale ni mbaya kuliko ule wa magereza, aiseee nimehuzunika sana…
Wazungu hawataacha kutuburuza kwa maana wao wanatuuzia Lugha yao sisi wakija tunawashobokea tunawafundisha bure. Matokeo wanapewa kwenye bahasha wakafungulie nyumbani hapo kila mtoto hatavuka ktk nafasi ya 5. Jaribu siku uombe matokeo yanayoenda wizarani uone mwanao anavyoburuzwa na watoto wetu wanaosoma kidumu na mfagio
Mimi huwa nashaangaa mtoto ana miaka mitatu eti ameshaanza shule ya awali prepo 1na 2 sijui na 3 mimi nilishasema hayo ni matumizi mabaya ya PESA mtoto wangu atasoma chekechea akiwa na miaka 6 mwaka wa 7 aende shule ya msingi
@@paschalcharles3617 nimekuwa kujua Hilo badae na shida nyingine kukosa mwenza aliye sahihi mmoja nimenyoa mwingine ngoja aendelee mwakani arudi kayumba, kabisa kumpeleka watoto private no ujinga
haka ka jamaa kanako muhoji mchokonozi ni kanafiki sana we kuamakini kaangalie tu macho yake, kuna muda kanajifanya kama kanamuuliza swali ambalo lina pinga mawazo ya mchokonozi kumbe kapo pamojanae alafu kana itikia tu, eti mhhh mhhh mhhh.🤣🤣🤣
Wachokonozi mkojuu kileleni ata uku kenya tunawapata vzuri sana
Jana nimepita shule moja ipo karagwe, inaitwa Rwambaiz aiseee nilichokiona ni aibu tupu, maharage na ugari niliouona pale ni mbaya kuliko ule wa magereza, aiseee nimehuzunika sana…
Nawafungua sana makufuli vichwani....nazidi kukuza famialia ya wachokonozi....apa MS
Privet school zinafundisha watoto ku kalili maneno ya kingereza na sio wasomi
Kutoka Nairobi, Niko Ndani Ni kuchokonoa maswala tata
Sikiliza na uelewe usisikieetu. Binafsi nawaelewa sana wachokonozi
Oyaee oya oyaaae hii imekaa good Dah nimewaerewa kinyama
Mitano tena wachokonozi
LINUSI NDIO MCHOKONOZI 😂😂
Ni wachokonozi pekee wanao nifanya nije UA-cam kupata madini kwa ajiri yangu na jamii yangu, shukran sana kwa kutupa uelewa
Hata mm
MB haziendi bure aaiissee 💪
Umeliona hili eeee, Mimi NIMEONA kitambo, hamna Cha maana private zaidi ya LUGHA ya kiingereza ila content yote ni vile vile na serikali
🔥🔥👌
Wakwanza leooooo😂😂
Au cio
Mrindoko atakupa soda
nmekuja nahuku😂😂😂😂
Wazungu hawataacha kutuburuza kwa maana wao wanatuuzia Lugha yao sisi wakija tunawashobokea tunawafundisha bure. Matokeo wanapewa kwenye bahasha wakafungulie nyumbani hapo kila mtoto hatavuka ktk nafasi ya 5. Jaribu siku uombe matokeo yanayoenda wizarani uone mwanao anavyoburuzwa na watoto wetu wanaosoma kidumu na mfagio
ati wakitoka huko waishi maisha private kitaa pia😂😂😂❤❤❤❤❤254
Wasema kweli
Mimi huwa nashaangaa mtoto ana miaka mitatu eti ameshaanza shule ya awali prepo 1na 2 sijui na 3 mimi nilishasema hayo ni matumizi mabaya ya PESA mtoto wangu atasoma chekechea akiwa na miaka 6 mwaka wa 7 aende shule ya msingi
wachokonooozi ninyi niwataalamu wamambo kweli
Nipesa tu private na majengo nilishawaikufikiria hili kwann private azifunzi mpira, music,ufindi mbalimbali hakuna nafrai kujazia maarifa toka kwenu
❤❤ always
Ila wazazi et shule flan ina faulisha chaajabu mtaara 1
Nawapata wazee
Asanteni kwakuendelea kutoa huo ukweli mchungu 😂
LKn mlisema hmtak wafuas ila mm niko na ninyi
Mm mwanangu ana miaka ni 4 chekechekea teyale hapend shule 😂😂
Kbs yaan ila tunawafos tu
Classmate wangu aliye kuwa mwalimu wa private school alinambia hichi kitu kwamba private school wanafunzi wanatengenezwa tu wala hakuna elimi
😂😂😂punguzeni sauti ndo tushawapeleka hatuna namna
Unachofanya wewe ni matumizi mabaya ya PESA TU mtaala ni ule ule Bora ungempeleka sandekayumba tu😂
@@paschalcharles3617 nimekuwa kujua Hilo badae na shida nyingine kukosa mwenza aliye sahihi mmoja nimenyoa mwingine ngoja aendelee mwakani arudi kayumba, kabisa kumpeleka watoto private no ujinga
Mtanifundisha utune mbwa nyie 😂😂
💪💪💪💪💯
Nikweli kuhusu mtawala waelim yenyemajukum wakuubadilisha ni wananchi sirikali haitokaiweze kwasababu sikaliyetu inawaenzi wakoloniwao
👍👍👍👍
duuh bila nyie tusingejuah dini na elimu vinatungiza kwenye mifimo ya watu
Kweli watoto hawapendi kwenda shule, hayo maamuzi tunaita " normative decision"
watatu leo
Utapewa bando na mrindoko
Ni kweli kila unachowekeza kinatakiwa kikuzalishie apa ndio narudi kwenye mawazo ya yule mzee kishimba anayotoaga bungeni asee mko sahihi
Sio Kila kitu una sapoti fikiri kwanza je kama mtoto ana umri mdogo utampa kaz gan
@IsakoKino mzee wewe undoka kwenye hio akili ya kimaskini ulionayo dunia iko mbali sana kiasi kwamba ww ni toleo la mwisho
mdogo wangu analipiwa kwa mwaka m7.6 , ye Ameomba Ada ya mwaka mmoja aanze biashara wasimlipie miaka miwili hii ipo sawa?
✅✅✅✅✅
haka ka jamaa kanako muhoji mchokonozi ni kanafiki sana we kuamakini kaangalie tu macho yake, kuna muda kanajifanya kama kanamuuliza swali ambalo lina pinga mawazo ya mchokonozi kumbe kapo pamojanae alafu kana itikia tu, eti mhhh mhhh mhhh.🤣🤣🤣
Kananogesha uchokonozi!
Leo sjawaelewa kwakwel
Dah leo nimechelewa dakika 10
Kesho uwahi mrindoko atakupa bando la wiki
😂😂
Magufuli wetu
Nikweli watoto hawapindi shule
Gombea ulaisi ubadirishe mitazamo yawatu
Joseph mrindoko natamani ugombee URAIS
Mpe urais
Ameshakwambia hataki dini Sasa Kuna serikali bila dini
Alafu awe.Rais wa familiayenu😂
Mimi ninaendaga shule Kwa sababu ya demu Wangu na marafika zangu na kucheza mpira Ila siendagi shule Kwa sababu ya Kusoma naishi marekani
Kwa nini sasa
@Catherine-mh8sw kwa sababu ya my future wife 😂😂
@MuganwaPatrick-jy3fx yani nimecheka mie. Kusoma hutaki unafata demu na mpira tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@MuganwaPatrick-jy3fx Marekani sehemu gani unakaa
Tuliopeleka watoto tupo wengi,Hadi Baba zenu😂😂😂!!!
Sio kosa kupeleka ila isiwe kwa mkumbo ndio kinacho zungumzwa
Ni kweli wengine mikumbo
Mm nimekataa wangu yupo serikali ila ukimleta wako wa private anagaragazwa mavumbini.
@@mwasoprince3459 kweli eee!
Naona wachokonozi wanaongea kuipamba serikali hamna cha maana walichoongea stupid shenzi kabisa😂😂
Wewe mbona ulisomeshwa ikizu unamaanisha wazazi wako walikuwa wajinga kukusonesha huko ikizu?.
Kwani wazazi hawawez kuwa wajinga? Maana hata wewe ulivyo mjinga unaweza kuzaa kesho, unadhani ukizaa ujinga unaisha?
𝕍𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕜𝕒𝕜𝕒✅
Hawa jamaa ni wajinga
Kama niwajinga wewe utakuwa nani? 😂😂