Kifo ni tukio la kiasili ni tukio ambalo nishati inaacha mwili. Mwili umepatikana na kujengwa hapa duniani kwanzia reproductive cells (Yai na Mbegu) . Umeundwa na maji, vyakula na microorganisms kama bacteria n.k ndio maana baadae ya kufa Hivi vidudu huozesha mwili (Decaying) Lakini nishati haifi ila ina badilisha tu form kwahiyo ile nishati inayo acha mwili ambayo watu wa dini huita roho haifi ila inarudi kwenye chanzo...Ambacho hiki chanzo watu wa dini wanaita Mungu. Nikama bulb inawaka halafu upasue itazima lakini ile nishati inarudi kwenye source haifi. Bulb ndio mwili na mwanga ndio nishati.
@@ligosihaule5862 Basi kwa uelewa wako, unaona ulichokieleza upo sahihi kabisa!! Eti Decaying!! Na mfano wako wa Bulb na Nishati😂😂! Hebu tuelezee kidogo namna Binadamu wa kwanza alivyopatikana kwa kuhusisha namna cells, microorganisms and so false, vilivyo form a woman ,then come to how it formed a women, then tell us when did this formation end and why? Maana unachotueleza wewe ndio zile habari za kati ya Yai na kuku, kipi kilianza. Najua majibu yako yataishia kuiachia nature 😂😂 Kaka Haule I respect that umeenda shule but sio katika uchambuzi huu ulioutoa
Mi pia nimewahi kwenda zanzibar, nilitembelea pango fulani hivi maarufu mle chini ni kama ghorofa ya chini kuna mifupa ya binadamu wa kale na mifupa ya mtu huyu ipo mle ndani na ukienda unaweza kutambikia unawasha mpaka na udi na ubani 😂😂🎉
Mada zenu ni nzuri sana, tena mno,,,! Ila ushauri wangu zungumzeni kiswahili fasaha kama ni kiingereza basi zungumzeni mwanzo mwisho,,,! Lakin hiv mnavyozungumza mnaonekana kama na nyie n mafala,,,!
Kweli kabsa kuchimba na kufukia miili cyo, kuprint t-shert mtu kafa cyo ilibidi tuchome tu inakua fresh lakn kwenye kulia hapo mmepuyanga maana upendo na memorys ndo husababisha mtu machozi kumtoka mtu na inategemea nani analia, mfano mtoto, mama, baba, hue inatokea
Yani hawa wakitangulia kufa tusikie wamezikwaje na familiazao watapatatabu hawa Muda simlefu. Mungu mkubwa anasubra litawapata lakuwapata hawa puunzi na Afya zinawadanganya nandiyomaana wabamkataa alowaumba
Wachokonozi me nawaelewa Sanaa na mnazungumzia Sana kuusu kumiliki utamadun na nyie wa tz kuna mda mnaongea rugha ya kiingereza apo imekaaje kwaupeo wa juu wa uelewa nifafanulie ndugu jomri
@@KhalidKatumboo Kaka hawa jamaa shule imewachanganya sana, wafuatilie sana wao wanazungumza zaidi kile walichosoma na wakakiamini, wanadhani wamemaliza, bado hawajasoma, watakuja kuelewa tofauti kadri watakavyoendelea kusoma, ndio asili ya Elimu, unavyosoma zaidi, ndivyo unavyogundua ulikuwa hujui zaidi. Wana preach uasili na muda wote wanatumia kiingereza, binafsi huwa siwaelewi kabisa Wanachanganya sana ukiwafikiria kwa kina
Jomri....ulisema hakun nen uchawi lkn kwny bango lako nyuma..limeandikwa Kua na maarifa bila kuwapa wengn ni uchawi...sijaelew apo kwny Uchawi naona lingekaa neno Siri ingependeza
Yani Ngoma ikivuma sana hupasuka yani hapa katudanganya sana ukimwangalia huyo jamaa anaonekana ana hasira sana na watu weuepe Hilo hata Mimi siwapendi wazungu namanisha yeye mwenyewe ana huzuni pia na hasira kwa Yale walotufanyia hawa mabeberu kwa maana hy huyo anaweza Lia kwakuwa anajisikia vby kwasababu walotufanyia mabaya na Bado wanaendelea
Kabila la waazabe wao akifarki mtu hawaziki wanatupa sehemu za mapango na mwili huo kuliwa na wanyama kama fisi, na hiyo ni kweli make waliwah kuojiwa craud fm
Ni tamaduni zao hizo hawa jamaa wanawaamsha wa-Afrika wanapotea Kwa kuacha vyao na kuenzi vya watesi wa Afrika kifikra Kwahiyo kama wazungu nao wanalia waache walie ni utamaduni wao. Sisi tunatetea vya kwetu!.
Nawakumbusha swali langu tena, munaelewa vp kuusu ndoto wachokonozi, je! Ni uhalisia kwa yale tunayoyaota ndio yanayotutokea kwenye uhalisia wa maisha yetu?
Ndo maana Mimi nawapinga ,kama dini ndo cha nzo cha watu kulia msibani ,mbona wanyama pia wanahuzunika kifo kikitokea miongoni mwao,?Twiga mmoja kwenyekundi LA twiga akiliwa na simba waliobaki wanahuzunika ,je wanyama pia walipewa utamaduni huo na dini? Acheni upotoshaji,
Mngeongelea kuhusu utamaduni wa baadhi ya watu wa karibu au mabikra kuzikwa na chifu au mtawala kama kumsindikiza akiwa amekufa.Vp ule utamaduni ni mzuri au mbaya?
Kifo ni tukio la kiasili ni tukio ambalo nishati inaacha mwili. Mwili umepatikana na kujengwa hapa duniani kwanzia reproductive cells (Yai na Mbegu) . Umeundwa na maji, vyakula na microorganisms kama bacteria n.k ndio maana baadae ya kufa Hivi vidudu huozesha mwili (Decaying)
Lakini nishati haifi ila ina badilisha tu form kwahiyo ile nishati inayo acha mwili ambayo watu wa dini huita roho haifi ila inarudi kwenye chanzo...Ambacho hiki chanzo watu wa dini wanaita Mungu.
Nikama bulb inawaka halafu upasue itazima lakini ile nishati inarudi kwenye source haifi. Bulb ndio mwili na mwanga ndio nishati.
@@ligosihaule5862
Basi kwa uelewa wako, unaona ulichokieleza upo sahihi kabisa!! Eti Decaying!! Na mfano wako wa Bulb na Nishati😂😂!
Hebu tuelezee kidogo namna Binadamu wa kwanza alivyopatikana kwa kuhusisha namna cells, microorganisms and so false, vilivyo form a woman ,then come to how it formed a women, then tell us when did this formation end and why?
Maana unachotueleza wewe ndio zile habari za kati ya Yai na kuku, kipi kilianza.
Najua majibu yako yataishia kuiachia nature 😂😂
Kaka Haule I respect that umeenda shule but sio katika uchambuzi huu ulioutoa
Mi pia nimewahi kwenda zanzibar, nilitembelea pango fulani hivi maarufu mle chini ni kama ghorofa ya chini kuna mifupa ya binadamu wa kale na mifupa ya mtu huyu ipo mle ndani na ukienda unaweza kutambikia unawasha mpaka na udi na ubani 😂😂🎉
Tunapata somo uku tunachekaa wachokonoz Kwa ubunifu Tu mko vizurii,
Wahazabe hawaziki pia ni kulekeza mapangoni. Na hawalii msibani🤩🤩🤩
Kaburi la babu mzaa babu yangu mzaa baba yangu lipo kijijini ni kubwa hiro
Kama ilipita zaidi ya miaka 200 halipo
Nipe elimu ww mwelevu
😂😂
Natamani sana muongeleee BANGI kwa ujumla wake na inanafasi gani katika ulimwengu. Asante
Mwamba amebukua huyu mpaka raha
Hajamaa kembamba kazi yake ni kumchochea mwenzake au ndo kachokonozi halis😂😂
Elimu nzuri sana kutoka kwa jomri
Kuna maelezo hapo ukutani
"kuwa na maarifa bila kuwapa wenzako ni uchawi"
Ikiwa umeyaona hayo maneno huu mwaka unaenda kuwa wa mafanikio kwako.
😂😂😂😂jamaa ww ukienda kwa watu una scan ndoni kote asee😂😂
😂😂😂mukaona muweke harmonize Ako naliya 😢😢🤔
Hey. Mungu anawaona kuweni na hofu ya Mungu mtatoa maneno hayo kwa hukumu
Mada zenu ni nzuri sana, tena mno,,,!
Ila ushauri wangu zungumzeni kiswahili fasaha kama ni kiingereza basi zungumzeni mwanzo mwisho,,,!
Lakin hiv mnavyozungumza mnaonekana kama na nyie n mafala,,,!
Dah❤
❤❤❤❤ brothers
Daah! Mtu ni mihogo😂
We muulizaji,muache Jose aongee,ukianza kutiririka unakatisha katisha,hapo unaboa sana
Akili nyingi..nawapenda
Nmefurai kumuona konde mjeshi😅😅
Nimependa apoo vibarua wa kusafisha jengooo🤣🤣🤣😆😆
Nakubari
Kweli kabsa kuchimba na kufukia miili cyo, kuprint t-shert mtu kafa cyo ilibidi tuchome tu inakua fresh lakn kwenye kulia hapo mmepuyanga maana upendo na memorys ndo husababisha mtu machozi kumtoka mtu na inategemea nani analia, mfano mtoto, mama, baba, hue inatokea
Kwahiyo Mchokonozi ukifa tukutupe pale Mkomazi fisi na simba wafaulishe mzoga
😂😂😂😂
Yani hawa wakitangulia kufa tusikie wamezikwaje na familiazao watapatatabu hawa Muda simlefu. Mungu mkubwa anasubra litawapata lakuwapata hawa puunzi na Afya zinawadanganya nandiyomaana wabamkataa alowaumba
Eeehh! Kama ni Ayo Kazi iko ako
Tuliopata ujumbe pale ukutani tuchokonoe hapa 👏👏👏
Walikuwa wakihama mji na kutafuta sehemu nyingine hapo mpo Sawa kulikuwa hakuna makabuli
🎉
Kuna kitabu hapo nyuma
Ya
Joseph mrindoko
Kinasema
Kuwa na maarifa bila kuwapa wengine ni
Uchawi
Kila kabila lilikua na tamaduni zake. Kuna makabila hadi leo hawalii MTU akifa. Kulia msibani hakukuletwa na mzungu kwenye dini
Sawa kabisa
Wachokonozi hii season mmebugi
Kama umetazama na kusikiliza mpaka kugundua hili bhasi shughuli zinaenda vizuri.
Mimi nimeweka bajeti kabisa siku nikifa waweke sherehe wafrahi
Hakuna kulia
Huo ni ufwara
Wachokonozi me nawaelewa Sanaa na mnazungumzia Sana kuusu kumiliki utamadun na nyie wa tz kuna mda mnaongea rugha ya kiingereza apo imekaaje kwaupeo wa juu wa uelewa nifafanulie ndugu jomri
@@KhalidKatumboo
Kaka hawa jamaa shule imewachanganya sana, wafuatilie sana wao wanazungumza zaidi kile walichosoma na wakakiamini, wanadhani wamemaliza, bado hawajasoma, watakuja kuelewa tofauti kadri watakavyoendelea kusoma, ndio asili ya Elimu, unavyosoma zaidi, ndivyo unavyogundua ulikuwa hujui zaidi.
Wana preach uasili na muda wote wanatumia kiingereza, binafsi huwa siwaelewi kabisa
Wanachanganya sana ukiwafikiria kwa kina
Tanzania big talk .. naomba nijue ni semina au Nini ..?
Sasa Wangeuzaje Majeneza kama wasingetufundisha kuzika
Anzisha lolote ama chochote hapa duniani huwezi koswa wa kufanana na we,
Commentator namba moja❤
Fact sionagi sabab ya makaburi ni uhalibifu wa mazingira tu
Kwahyo kama makaburi ni uharibifu wee ukifa tukufanyaje ili tuiushe uchafu wako
@@Majuraibrahimu mnichome moto
Jomri....ulisema hakun nen uchawi lkn kwny bango lako nyuma..limeandikwa Kua na maarifa bila kuwapa wengn ni uchawi...sijaelew apo kwny Uchawi naona lingekaa neno Siri ingependeza
@@OmariMselem-j3w matumizi mabovu ya ujuzi wa siri ni uchawi.
Je mtu akijitoa uhai mwenyew hapo inakuwajee🤔🤔🤔🤔
Eti mtu ni kiazi😂
Muko sawa kabisa
True😊
Wachokonooooozi❤❤❤❤
Yani Ngoma ikivuma sana hupasuka yani hapa katudanganya sana ukimwangalia huyo jamaa anaonekana ana hasira sana na watu weuepe Hilo hata Mimi siwapendi wazungu namanisha yeye mwenyewe ana huzuni pia na hasira kwa Yale walotufanyia hawa mabeberu kwa maana hy huyo anaweza Lia kwakuwa anajisikia vby kwasababu walotufanyia mabaya na Bado wanaendelea
Kwamala yakwanza mmeongea pumba sana.
Huna lolote unalolijua then unamtukana mwenzako pumba, pumbavu utakuwa ww usiejielewa
Hata akiwa wanazimia haelekei kaburin anaelekea nyuma ili adakwe kweli ni wahuni wanaojiliza
Ktk swala la kulia hapo linahitaji uelewa zaidi kwakuwa ndani ya huzuni Kuna upendo ndy maana mtu analia na kulia ni mhimu hapo umetupiga
Wehu hawa wanawapiga mambo mengi sana, kwenye kuchoma miili na kutohifadhi makaburi, naunga mkono
Kabila la waazabe wao akifarki mtu hawaziki wanatupa sehemu za mapango na mwili huo kuliwa na wanyama kama fisi, na hiyo ni kweli make waliwah kuojiwa craud fm
Mmm mbona hili bara ambapo Mimi nipo watu weupe wanalia sio hao tu hata bara la ulaya wanalia sio Africa tu
Ni tamaduni zao hizo hawa jamaa wanawaamsha wa-Afrika wanapotea Kwa kuacha vyao na kuenzi vya watesi wa Afrika kifikra Kwahiyo kama wazungu nao wanalia waache walie ni utamaduni wao. Sisi tunatetea vya kwetu!.
Sometimes mpo real but sometimes mnafel
Lkn juz hapa kuna mwana mke alilia msiba mzima kisa mmewe kufark gafla
Kaka mmea wa uyoga una asili gani hadi unasema utoweke duniani ?
Huo ndio ushirikina wenyewe huo.
Haraf bro kingne vifo vya vijana nitofauti na vya wazee tumejengewa hilo
Nawakumbusha swali langu tena, munaelewa vp kuusu ndoto wachokonozi, je! Ni uhalisia kwa yale tunayoyaota ndio yanayotutokea kwenye uhalisia wa maisha yetu?
Huyu mwamba apewe vipindi TBC na chaneli zingine ata leta msaada mkubwa kwa jamii
Facts and logic
Sasa hapa leo nimejua ulimwengu ndio umba mtu 90%na Baba na mama Kwa 10%
Jinga kweli wewe
Nipe elimu mwelevu
@@HarryHerman-i9e
Umezipataje hizo percentages? Mbona unachukulia vitu kirahisi hivyo?
Hebu tufanyie hizo calculations tuone unavyoipata hiyo 90.
Ndo maana Mimi nawapinga ,kama dini ndo cha nzo cha watu kulia msibani ,mbona wanyama pia wanahuzunika kifo kikitokea miongoni mwao,?Twiga mmoja kwenyekundi LA twiga akiliwa na simba waliobaki wanahuzunika ,je wanyama pia walipewa utamaduni huo na dini? Acheni upotoshaji,
Kuuzunika ni tofauti na kulia
✍️✍️
Nawa kubari sana
Wajaluo Hawaii wanalewa na kucheza mziki
Wanalia bhna
Mngeongelea kuhusu utamaduni wa baadhi ya watu wa karibu au mabikra kuzikwa na chifu au mtawala kama kumsindikiza akiwa amekufa.Vp ule utamaduni ni mzuri au mbaya?
Kama kifo ni tokeo la Dhambi kwa binadamu, Je...wanyama walifanya thambi gani?
Imeandikwa chochote chenye mwili lazima kipitie mauti
Magaidi nyie. Mnarohombaya. Sana. Mkifanyie mkatupwe polia au mchomwe moto tuwaone mnateketea. Wajinga nyie
😅
wemjinga utawapoteza wajinga wenzio Luna clip unasema aluna mungu alfu apo unasema mungu hakuumba mwanadam iliafe elimuyako niujingamtupu
🫡🫡🫡