KUZAA WATOTO BILA FALSAFA NI UZINZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 151

  • @mariophilipo8313
    @mariophilipo8313 2 дні тому

    Yeah nzuri n vle nmebahatika kuwaskiliza nkiwa bado sina familia

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r Місяць тому +10

    Uko sawa kabisa,maana watu tumefanywa mateka kabisaa,elimu hii ni muhimu sana ingetengenezewa namna na kuwekwa kwenye mtaala wa elimu ili tulijenge taifa letu kwa kasi ili tupate maendeleo,yaani tunapuyanga ovyo tu.Endeleeni kutuelimisha asanteni sana.

    • @RehemaMahamudu-x4g
      @RehemaMahamudu-x4g 23 дні тому

      Usimuunge mkono tu jua jamaa anatutukana kisomi atakiwi kufikisha ujumbe kwa kuzarau na kutukana kua makin

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 23 дні тому +3

    Kubali ulizaliwa na wazinzi,tengeneza falsafa yako 😂😂😂

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 Місяць тому +5

    Nawakubali Sana walimu wa ukweli wa walimwengu sisi, pia napenda kuwapa taarifa ya kwamba mpaka sasa mna wafuasi wengi sana katika dunia hii nikiwemo mimi. ❤

  • @yesseikungu7828
    @yesseikungu7828 22 дні тому +1

    Mimi nilishawahi kumwambia baba angu kua Yeye ndio anakwamisha maendeleo home, Daaah kuna vitu alinikera. Ilikua noma Sana.

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 Місяць тому +5

    Akili ndio hutawala watu wengi duniani
    Huwezi kuwa kinyume na Anaekutawala ukabaki salama. Wenye akili hutawala viongozi wenye kundi la watu

  • @yesseikungu7828
    @yesseikungu7828 22 дні тому +2

    Sio sifa tu, pia ni umasikini, tafuta tajiri mwenye alama kwenye uso nikupe pesa ila nenda uswahilini huko kwa masikini ujionee hizo sijida.

  • @noelsoko106
    @noelsoko106 Місяць тому +1

    "We ni fala wa familia"😂😂😂

  • @spayoDigital
    @spayoDigital Місяць тому +1

    Oyeeeah safi sana

  • @nelsontemba-zc4zt
    @nelsontemba-zc4zt Місяць тому +1

    Kama uwongo kumbe ni kweli. 😂😂😂😂😂

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 23 дні тому +1

    Msidanganye watu 😂😂😂shenz kabisa hiyo Elimu mmeitoa kuzimu

    • @MsangoDiesel
      @MsangoDiesel 22 дні тому

      @@prophetjoelymairaministrie1778 kama wanadanganya usifwatilie

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani Місяць тому +4

    ❤kazi nzuri sana

    • @schigangermayala7706
      @schigangermayala7706 Місяць тому +3

      @@BarnabasFabiani niliona utapeli kuna mchungaji nikamwambia mm kwenda kanisani labda wanilipe

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani Місяць тому +1

      @@schigangermayala7706 safi

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 Місяць тому +1

      😂😂😂hunishindi mim nina miaka18 sijaenda kanisan alafu poa maisha yanasonga vizur tyu😂😂​@@schigangermayala7706

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 23 дні тому +1

    Nyie wenyewe Mafara hicho kijielmu chenu cha kuokota nacho ni falisafa yenu mbona ni falisafa ya wazungu

  • @Kelvin-sd9gb
    @Kelvin-sd9gb 26 днів тому +1

    Nawaelewa sana

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 Місяць тому +1

    Unaongea juu sana chief

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +2

    UGOMVI WANGU MIMI NA WEWE NI KUKATAA MUNGU HAYUPO
    KWANI KUNA JAMBO HUELEWI
    Ukishamkataa Mungu ni yeye huachilia roho ovu ikudanganye zaidi
    Ukitaka kuprove kama Mungu yupo ni lazima uamini kuwa yupo
    Mfikirie katika uchanya
    Anza kuishi kama Bwana Yesu kristo alivyoagiza utamuona
    2 Wathesalonike 2 : 10
    Kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa. Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo.
    Hiyo kweli ndiyo YESU
    Rum 1:28
    Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

    • @gogarddesigner2833
      @gogarddesigner2833 Місяць тому

      Hakatai ila Inahitaji akili kumuelewa tu!
      Kwanza anaamini kuna chanzo cha maisha, yeye anasema ulimwengu kwake anamaanisha Mungu kwa uelekeo wako

    • @OswardSanga-ep5js
      @OswardSanga-ep5js 29 днів тому

      Huyu jamaa nimjinga nae kwakusema Mungu hayupo

    • @kwamemayala
      @kwamemayala 27 днів тому

      Wewe ulishamuona huyo Mungu

    • @Kingdomtv-v3m
      @Kingdomtv-v3m 17 днів тому

      Bado unatoa ushahid wa bible jaman we si ukubali tu yaishe

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 24 дні тому +1

    Hapo ulipo sema machafuko mbeleni Ni kweli vijana hawataki hujishugulisha kazi na maarifa na kitu michezo ya kubatisha ndio italeta baraha huu ni mtego wa mbeleni

  • @mussamtega9050
    @mussamtega9050 Місяць тому +1

    😂😂😂😂 ngoja nicheke na leo

  • @rajabuhamisi3340
    @rajabuhamisi3340 Місяць тому +3

    Nawaelewa sana hawa jamaa

  • @NurdinSindano
    @NurdinSindano 25 днів тому +1

    Yaan mmenifungua Mambo mengi niliyokuwa nafamham kidogo kabla sjayajua nikawa naogopa na watu wananiambia nimepagawa nawa ambia Dini sio za kwetu kwa mujibu wa history. Wananiponda ikabidi niingie huko ili niwe pamoja nao lakin tangia nimewafaham naona sasa msimamo wangu unakuwa dhabiti

  • @RehemaMahamudu-x4g
    @RehemaMahamudu-x4g 23 дні тому +1

    Jamaa anatukana na kudhara kisomi ukiwa mjinga utamsifu kwer ana elimisha lkn sio kwa kudharau na kutuka watu kuen makin atupe elimu kistarabu tutamuelewa

    • @AfrikaMontas
      @AfrikaMontas 4 дні тому

      We una makasiriko,na hujui ma2si ni nin naona😂

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Місяць тому +1

    Kweli kbisa💯👌

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 Місяць тому +1

    Akili kubwa sana

  • @kinungejulius4124
    @kinungejulius4124 Місяць тому +1

    Safi Sana ma bro❤

  • @saimonchiyongo
    @saimonchiyongo Місяць тому +1

    Nawakubali sana, nahitaji icho kitabu nipo moro apa!

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 29 днів тому +1

    Huu ni ukweli unaouma..." Wengi watauchukia hila ndio ukweli wenyewe..." Wengi tunakua ndani ya minyonyoro kitu ambacho si sahihi kabisa

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 Місяць тому +1

    Hakika kabisa❤❤

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Місяць тому +1

    Akili kubwa sana 🧠

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 Місяць тому +2

    Watu wameshajua mungu hayupo sasa wanajiuliza mwanzo wetu ni nini? Wasaidie coz mim najua chanzo changu sio mungu

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +1

    HAMUWEZI KUUJUA UKWELI MPAKA MTENGENEZE MAHUSIANO MAZURI NA KWELI MWENYEWE
    Kuna mambo kweli mnaelimisha Lakini mkikataa Mungu hayupo ndio mnakosea
    YESU ndio KWELI
    Okokeni mumpokee awe Bwana na Mwokozi wa maisha yetu mtakuwa wahubiri wazuri.
    Yohana 14:6
    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 Місяць тому +1

    Awakening 💫

  • @GotfridJosephat
    @GotfridJosephat 27 днів тому +1

    Kuna vya kujifunza vingi hapo wataalam.... Imechukuliwa Kwa umakini

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s Місяць тому +2

    Nawapata sana

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola Місяць тому +2

    Nikweli wazee nawaelewa

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 Місяць тому +5

    Nimekuwa bila baba ila baada ya kufahamiana nae akaniambia niachane na AICT kisha niwe msabato😁🙌 akanipa lesson, kitabu cha nyimbo za kirsto na biblia, sasa najiuliza alishindwa kunipa malezi kama baba ila anaamini kunipa Dini ndio atakuwa baba bora, aibu!!

    • @WTC492
      @WTC492 Місяць тому

      Changamoto ni kuwa Elimu inayohusiana na Mungu au dini watu wengi hawataki kufuatilia wenyewe. Wanaishia kusikiliza kwa jirani. Huwezi kuujua ukweli mpaka ujulikane na huyo KWELI
      Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

    • @ezekielshija9251
      @ezekielshija9251 29 днів тому

      Bulaya msamehe bure baba yako. Wazungu walituharibu. Hata mimi nilitoka AICT na kuwa Mu SDA
      .lakini sikuishia hapo mpaka nilipogundua biblia imeharibu historia na ufahamu wa Mungu.Mungu wa Biblia sio muumbaji wetu. Endelea kujifunza uwe huru

  • @amanikafonogo9695
    @amanikafonogo9695 3 дні тому

    Una vitu vingi vizur vyakuongea lakin nikukusikiliza sioni mwelekeo, uchambuzi WAkina kuhusu mada baada ya mada na nn haswa Sisi Watazamaji untaka tujifunze

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 Місяць тому +2

    Sabuni ya ubongo 🧠🙌

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi Місяць тому +2

    Ila nyinyi munanipaga laahaaa maana mukosawa koliko wote

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Місяць тому +1

    Nimecheka leo jamani eti wakamuliwe mavi jose mmmmm

  • @bensonmtigo8078
    @bensonmtigo8078 Місяць тому +1

    Bora miaka minne ya sekondari nijifunzaga mamb ya ulimwengu ningekuwa mbaali😅😅

  • @albinoentreprises2176
    @albinoentreprises2176 Місяць тому +1

    umeongea mambo ya msingi sana

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 Місяць тому +1

    Kenya tunawapata loud and clear ❤❤❤❤

  • @AmosiTimoteo
    @AmosiTimoteo Місяць тому +1

    Kitabu kinapatikanaje kaka

  • @filberthmsuya1764
    @filberthmsuya1764 Місяць тому +2

    Soft copy napata kwa bei gani?

  • @Alidrc
    @Alidrc 29 днів тому +1

    15:20

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 Місяць тому +2

    Nini maana ya falsafa ndugu zangu siwezenu niwa zaïrois ( RDC) kiswahili kwitu ni chiamajichiamaji😂😂😂.

  • @ChifuiJuma
    @ChifuiJuma Місяць тому +1

    Logic safy

  • @angelousnyisalya
    @angelousnyisalya Місяць тому +1

    ❤❤❤❤

  • @NurdinSindano
    @NurdinSindano 25 днів тому +1

    Kaka kitabu shingapi hicho

  • @FikiriniAdam-uk7cc
    @FikiriniAdam-uk7cc Місяць тому +1

    Nyambaaaaaafuuuuuuu

  • @DdjTigger
    @DdjTigger Місяць тому +8

    Machafuko yamesha anza kwa sisi wenye upeo mkubwa

  • @schigangermayala7706
    @schigangermayala7706 Місяць тому +1

    Mm nilianza uchunguzi wa dini nikiwa la sita ...mpaka namaliza chuo sina dini tena..

  • @mariophilipo8313
    @mariophilipo8313 2 дні тому

    Na pia ni vitu nlikuwa na judge toka nmemaliza tu primary

  • @c.r.mtechnology2322
    @c.r.mtechnology2322 22 дні тому +1

    Labda Hawa jamaa hawajui nn maana ya uislam

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +1

    Nyinyi Wachokonozi
    Kuna mambo mnaelewa
    Lakini bado mna uelewa mdogo sana kwenye Elimu ya Ufalme wa Mungu
    Okokeni mumfuate Bwana Yesu
    Mungu yupo sisi sote tunatoka kwake na tutarudi kwake
    Hata nyingi hapo mnachoongea mnarejea bado vitabu mbalimbali

    • @TryphonRabson
      @TryphonRabson Місяць тому +1

      We ni fala usharishwa ujinga vitabu unavyisema waliandika watu

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 Місяць тому

      Yaaan wewe ni BIG FALAAAAAAAA
      Yaani FALAAAAAAA INTERNATIONAL 😂😂😂

    • @kilimaentertainment1687
      @kilimaentertainment1687 Місяць тому

      Mbali na ufalme wapi pengine hawako sawa

    • @IsayaJoseph-v3s
      @IsayaJoseph-v3s Місяць тому

      Ww ukiokoka inatosha wachokonozi hatuna mpango na ujinga uwoo

    • @valentinernestkavishe7297
      @valentinernestkavishe7297 Місяць тому

      Huu ni uvivu wa kutafuta chanzo cha binadam na mwisho wa binadam

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 Місяць тому +1

    Kitabu cha teknolojia ya mapenzi nakipataje?

  • @FrateryOrauya
    @FrateryOrauya 17 годин тому

    Nahitaji vitabu nitapataje mkuu

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s Місяць тому +1

    Ukamuliwe mavi duuh. Mavi hata uyakamue vipi hayaushi tumboni mfano mzuri nenda machinjion utumbo unaoshwa na maji mengi ila mavi hayaishi. Waislam wanajidanganya tu wanazikwa na mimavi tumboni. izi imani za ovyo sana. Siamini dini yoyote

  • @DaddisoPro-s9w
    @DaddisoPro-s9w Місяць тому +1

    Nimechelewa leo lakin nimefka

  • @InnocentMalezi-m6j
    @InnocentMalezi-m6j Місяць тому +1

    Ninashida na no za wachoko nozi naombeni mnisaidie jmn

    • @Aviero_07
      @Aviero_07 Місяць тому

      Nenda Instagram kwenye page yao wameweka.

  • @kinungejulius4124
    @kinungejulius4124 Місяць тому +1

    Kunakitu mmeniongezea hapo.

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +1

    Kama ambavyo Baba yako au mama yako anavyokujua na wewe hujijui
    Ulitungwa mimba siku gani
    Utoto wako ulikuwaje?
    Kadhalika binadamu Hatuwezi kumuelewa Mungu 100%

    • @JustinKochecha
      @JustinKochecha 29 днів тому

      Unapend kututish ww kuma la mamasko

    • @nyokonyoko7990
      @nyokonyoko7990 20 днів тому

      Wew chizi vitu vyote asilimia 98 unvyotumia ni matokeo ya watu kufikiria nje vifungo vya dini una type utumbo hapa mwenzako aliumiza kichwa na kutoka kwenye mfumo wa kipuuzi kifupi kwasababu kitu hakujiui haimaanishi akitakuja kujulikana kuw mtafiti

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani Місяць тому +3

    Naomba kujua bei ya kitabu tafadhali

  • @fredygerald3549
    @fredygerald3549 Місяць тому +1

    Kama huna D mbili huwezi elewa

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +1

    WE MLINDOKO BADO SANA HUJAJUA VITU VINGI
    Sisi tulioumbwa na Mungu tunasema yupo
    Wewe si unajimudu wewe umetoka wapi? Umejiumba?
    Unaweza kuzuia kifo?
    Ulishindwaje kuzuia usizaliwe kama Baba yako alifanya uzinzi?
    Kama unatupenda tunaokusikiliza
    Tusaidie Tusife au kuugua!

  • @BillySmart-n3y
    @BillySmart-n3y Місяць тому +1

    WACHOKONOZI Tunafaidika sanaaa na Elimu KUBWA hii, tunaelimika sanaaaaa ndugu zangu 🌍💯✍️✅ #falsafa #uzinzi #wachokonozi....
    1. Kwanini hamuitwi kufanya interview kwenye #sns #wasafifm #millardayo ect....

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  Місяць тому +1

      Hatuitwi kwa sababu tunasema ukweli na uhalisia wa mambo.

  • @Lolekulaizer-b9t
    @Lolekulaizer-b9t Місяць тому +1

    Mimi nahitaji kitabu Niko Mwanza, nitakipataje?

  • @ahmedsabu7660
    @ahmedsabu7660 Місяць тому +2

    😁

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +1

    Inalillahi wainnailahi rajuun. Allah ww ndie muukumu wa haki juu ya hawawa2 niww umewaleta Dunia na nini utawauwa tunaomba utuonyeshe.mwisho wao lnshaallah🤲

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani Місяць тому +2

      Acha umbea aliye kuambia kuna huku nani una hukum vip kitu kisicho onekana tumia akili

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +1

      @BarnabasFabiani Ww mwenyewe umejikut wazaziwako umewakuta kilakitu umekikuta na kifo kitakukuta na hukumu pia utaikuta. Inshaallah usisumbuke Allah pia utamkuta iyosiku. Na kama unajiweza mwenyewe hakuna mungu kwajinsi unavyo jidanganya. Kataa kufa. Ndiyonitajua ww umejileta

    • @IsayaJoseph-v3s
      @IsayaJoseph-v3s Місяць тому +2

      Duh ww akiri hauna na Allah wako wapumbavu wote. Unafundishwa uhalisia wako unaleta mambo ya dini yako

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani Місяць тому +2

      Kufa wana kufa wajiinga kama nyìe mimi nina ishi milele kama hutaki kajichue ulale

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +1

      @BarnabasFabiani jitangaze watuwakujua ili tuone kama utakufa. Asubutu kufa laazima na ujuiutakufa na nini. We usimchezee Mungu atakuchoma moto. Mungu anaweza kukujalibu kidogotu akakupa malazi. Utajuta ww

  • @KaskileMulete-eu7td
    @KaskileMulete-eu7td Місяць тому +1

    Kumbe kunamengi ya kujifunza apa

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 Місяць тому +1

    Naomba mawasiliano namna ya kupata vitabu vyako iwe Dar au Arusha. Please

  • @issasalum1546
    @issasalum1546 Місяць тому +1

    Mtu yoyote mwenye upeo mdogo wa uelewa hawazi kuwaelewa

  • @WTC492
    @WTC492 Місяць тому +2

    Nyinyi mnakosoa na kujiona mna akili sana
    Lakini hao mnaowakosoa ndio wamewazaa na kuwalea mpaka Leo mnapata nguvu ya kuwapinga
    Mtapoteza watu wengi sababu mnajiweka final say kwa kuwafungia watu kwenye uelewa wenu finyu
    Dunia hii Ina watu billion saba
    Karibia asilimia 100 wanaamini Mungu yupo
    Nyinyi watu wawili ndio mseme hayupo

    • @TryphonRabson
      @TryphonRabson Місяць тому +1

      Ww tushakuweka kwenye kundi la wajinga tayari maana akili yako iko chini sana hauwezi kuelewa mambo makubwa

    • @O.rooque
      @O.rooque Місяць тому +1

      Kila mtu ana Mungu wake haijalishi ni Kwa wema au ubaya.... Mungu wangu akiwa mbaya Bado tamuita Mungu akiwa mziri pia tamuita Ivo Ivo Mungu... Mi najua Kila mtu ana Mungu wa ufahamu wake ila ukweli unapozidiwa na uhalisia ndio ushetani unaanza lkn mtu ata-term kama Mungu

    • @IsayaJoseph-v3s
      @IsayaJoseph-v3s Місяць тому +1

      Ww hujui kuhesabu hao sio wawili rudi shule utapata jibu wapo wangapi

    • @WTC492
      @WTC492 Місяць тому +1

      ​@@TryphonRabson Kichwa chako ulipozaliwa hakikuwa na kitu. Umelelewa shuleni na kwenye dini ulipoelewa ndio umekuwa mkosoaji. Wewe mwenyewe mtoto wa Zinaa Kumbe asa ukweli umeujuaje.

    • @WTC492
      @WTC492 Місяць тому +1

      ​@@TryphonRabson Kichwa chako ulipozaliwa hakikuwa na kitu. Umelelewa shuleni na kwenye dini ulipoelewa ndio umekuwa mkosoaji. Wewe mwenyewe mtoto wa Zinaa Kumbe asa ukweli umeujuaje.

  • @MathaMsumi-l1b
    @MathaMsumi-l1b Місяць тому +1

    Deni usenge

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 Місяць тому +1

    Mnafundisha vitu vyakawaida sana tunavyoishi navyo Kila leo

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  Місяць тому +2

      @@saimonmizingo7485 sisi hatufundishi tunapiga story.

    • @saimonmizingo7485
      @saimonmizingo7485 12 годин тому

      @wachokonozi_ Aaa lakn story zenu zinamvuto maana zinachumvi kiasi na viungo visivyozoeleka