CHUMAULETE, MISUKULE, MAJINI NI VITU VIPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 125

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 4 дні тому

    Swali langu WACHOKONOZI ❤ ule msalaba umegezwa chini wanamaanisha Nini Kuna michezo inageuza

  • @JosephSanga-l2e
    @JosephSanga-l2e 6 днів тому +2

    Teyari wamemkubari Yesu kuwa kitu cha thamani iko siku mtaelewa tu hawa ni watu wa namna gani ingia toka pasua kichwa Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha ya kila mtu na wao pia bado saatu ya kuĵua kweli ya Mungu tu maadam wameamini kristo ni kitu cha thamani na waliompokea wamepokea kitu cha thamani

    • @kingsolomoni-xp3dv
      @kingsolomoni-xp3dv 5 днів тому +1

      Hujawahi kujiuliza kwann neno bwana lilianza kuonekana kwenye biblia mwanzo 2 na sio mwanzo 1

    • @bongatv25
      @bongatv25 4 дні тому

      Kakojoe kalale

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 8 днів тому +3

    Wenyeakili kubwa ndio tunawaelewa ❤❤

  • @bazzohtv9488
    @bazzohtv9488 8 днів тому +2

    Mwili wa bina damu ni tool box ni wew tu kuchagua spana sahii.

  • @daudibrandMakeseni
    @daudibrandMakeseni 5 днів тому +1

    Ivi wachokonozi ndiyo mashila wadu au

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila 8 днів тому +4

    Yap!!! Wachokonozi. Miambaaaaaaaaaaa!!! Mambo yamusingi hayo !!!!!!

  • @farajaseleman4241
    @farajaseleman4241 7 днів тому +1

    Tractor mpaka ijikokote na jet ni shwaaaah😂😂😂😂😂😂😂

  • @ahmedsabu7660
    @ahmedsabu7660 8 днів тому +2

    Happy biryhday kaka

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 8 днів тому +1

    ❤❤❤napata elimu kubwa na nzuri sasa mnieleimishe Kuhusu namna ya kujikinga na Hawa walioondoka bila kutengeneza vizuri steji zao maana wanasumbua Sana mwisho wa siku ndo MTU utazunguka kila mahala usaidije lakin wapi

  • @RASHINDIKAPAMA
    @RASHINDIKAPAMA 7 днів тому +1

    Naelewa sana. Nahitaji vitabu vyenu navipataje??

  • @gasparkizali1073
    @gasparkizali1073 2 дні тому

    Waafrika amkeni 😊

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 8 днів тому +1

    Jet ni shwaaaa😂😂 mtu kasepa

  • @JosephSanga-l2e
    @JosephSanga-l2e 6 днів тому +1

    Mungu ni nani kwKo kwenu

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 днів тому +1

    Mngekuwa wahuni mngesema watu waje wachukue tiba kwenu
    kama ambavo mashehe huja misikitini nakuanza kutuogopesha kuhusu majini ,wachawi .
    mwisho husema wanadawa zakuzuiya hao wachawi
    au husema anauwezo wa kusoma dua kuzuiya na hapo ndio watu hutapeliwa

  • @KaskileMulete-eu7td
    @KaskileMulete-eu7td 8 днів тому +1

    Ipo Siku nitakuja kuwaona moja Kwa Moja nasi tuseme USO kwa USO

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 8 днів тому +2

    Human is MENU🙌🏽endelea kufungua fıkra za kipotovu kwa faida ya Taifa …Tuishi kichokonozi hamna namna elimu nje ya syllabus za shule

  • @FeristerDaud
    @FeristerDaud 7 днів тому +1

    Nitakipataje hicho kitabu Cha karibu duniani

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 8 днів тому +1

    Darasa huru kwangu ni energy inakuw juu

  • @TrifonKyadulaga
    @TrifonKyadulaga 7 днів тому +1

    Nakipataje kitabu cha karibu duniani

  • @BarakaYusuph24
    @BarakaYusuph24 8 днів тому +1

    Nakukubali sana broo
    Nawezaje kupata kitabu kaka

  • @SungaDaudi
    @SungaDaudi 7 днів тому +1

    Hicho kitabu shi ngapi

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 7 днів тому +1

    Niaje najua mnasomaga comment naomba mjaribu kuzungumzia ile Barua ya Mfalme Leopard wa pili wa Ubelgiji kwa wakoloni wa kimishenari ili wafikishe habari kwa Watumwa huko Congo mwaka 1883. #LETTER_FROM_KING_LEOPORD_II

  • @DonJ-z3s
    @DonJ-z3s 8 днів тому +1

    Kaka vitabu vyako napataje hapa dar

  • @MariaMathew-l7z
    @MariaMathew-l7z 5 днів тому +1

    Napendezwa na elimu yenu naomba nijue namna ya kumkaribisha mtoto duniani, kama kuna kitabu naomb nijibu

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 днів тому +1

    Mm nawakubali nyie mnafundisha ili hayo mafundisho ndio yakawe tiba

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 8 днів тому +1

    Nawapata wazee pamoja sana

  • @CHRISTIANTHADEI
    @CHRISTIANTHADEI 8 днів тому +1

    Elimu nzuri, hongereni kwa kutoa maarifa haya, vitu vingi katika ulimwengu huu havipo kama jinsi watu wanaviona na jinsi vinavyoelezewa, natamani siku moja mkatoa elimu ya ukweli uliojificha kuhusu HIV, AIDS

    • @Digoranking-u3x
      @Digoranking-u3x 3 дні тому

      Unaweza kujifunza zaidi pia kupitia hii channel JADI YETU

  • @ulimwengumaulid7397
    @ulimwengumaulid7397 8 днів тому +3

    Dah😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kumamake nyie nyie nyiee wachokonozi ni waongo kisenge,

    • @bakarindemanga2318
      @bakarindemanga2318 8 днів тому

      Jiheshimu tafadhali. huelewi ondoka humu.

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 8 днів тому

      @bakarindemanga2318 kichwa maji wew huna unalojua unatetea usenge

    • @noelsoko106
      @noelsoko106 7 днів тому

      We choko unawatukana wachokonozi alafu kila episode yao unaangalia😂😂😂

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 7 днів тому

      @@noelsoko106 wanakutomba hao wachokonozi au sasa waongee ujinga na uongo tuufumbie macho sio, na sis tunasema kwa nguvu hiyo hiyo wanayotumia,halafu na wew kausha usisome kila comment yangu😀😀😀😀

    • @noelsoko106
      @noelsoko106 7 днів тому

      ​@@ulimwengumaulid7397Sio kosa lako me najua msenge mwenzio Mtume Muhamad na babaake ndo wamekutuma kutukana ovyo

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 9 днів тому +3

    ❤❤ wachokonozi always

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 8 днів тому +1

    Ila wachonoz 😂😂

  • @AmiarBoaz
    @AmiarBoaz 8 днів тому +1

    Kaka Joseph nawezaje kupata kitabu hicho

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 8 днів тому +1

    ❤❤❤❤ Brothers

  • @SILIVERYSixbeth-s3x
    @SILIVERYSixbeth-s3x 9 днів тому +3

    Elimu kila siku❤

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 8 днів тому +1

    Kubwa Lao linazungusha shingo kwanza kabla alijaaza kuchambua mambo

  • @kaozyahighschool8436
    @kaozyahighschool8436 8 днів тому +1

    Vitabu vyenu navipataje na vinauzwa bei Gani?

  • @piusmbwana3329
    @piusmbwana3329 9 днів тому +2

    Hebu zungumzieni moto ule maana wafia dini washaanza kusema mungu utafikili marekani pekee ndo kuna waovu

    • @erickdandulee3461
      @erickdandulee3461 9 днів тому +4

      Ule moto wamechoma wenyew u s a wanaproject ya new califonia forever

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 9 днів тому

      ​@@erickdandulee3461si kweli Califonia ni Jimbo kubwa sana LA ni kieneo tu kama Dsm pale kuna shida ya upepo mara nyingi

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 9 днів тому

      Kama vile lile soko lilivyochomwa ili lijengwe soko la kisasa zaidi😊​@@erickdandulee3461

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 9 днів тому

      ​@@erickdandulee3461hakuna project ya kuunguza MALI na kuharibu Kwa ardhi kubwa KIASI kile ikiwemo kufa WATU, huo ni Moto wa adhabu ya UKUU wa ASILI baada ya kufanyia wengine UOVU mkubwa, watadanganya Kwa propaganda nyingi lakini ni pigo kwao

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 8 днів тому +1

    Nawapata vizuri

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 9 днів тому +1

    Kitambo sija wangalia Hawa mbwaa 😂😂 sema kiaina Wana ukweli wao

  • @kimogajr
    @kimogajr 8 днів тому +1

    Kabalo Mchokonozi 😅😅😅

  • @mrmindboom2058
    @mrmindboom2058 8 днів тому +1

    Wazee wa chakra

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 8 днів тому +1

    Pamoja san

  • @MaarifaZaidimz
    @MaarifaZaidimz 8 днів тому +1

    Napataje vitabu vyenu

  • @dyangwe
    @dyangwe 8 днів тому +1

    Bro,. Hivyo vitabu vyako vinapatikana wapi?

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 8 днів тому +1

    𝙽𝚊𝚠𝚊𝚔𝚞𝚋𝚊𝚕𝚒𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚌𝚑𝚘𝚔𝚘𝚗𝚘𝚣𝚒

  • @KalengaKassim
    @KalengaKassim 7 днів тому +1

    Ujanja ujanja TU

  • @JumaMpogo-v3o
    @JumaMpogo-v3o 9 днів тому +1

    Milindoko nahitaji vitabu vyako ndugu yangu

  • @AllyAbubakary-m1y
    @AllyAbubakary-m1y 2 дні тому +1

    Nahitaji kuji connect na universe nifanyaje

  • @joely58
    @joely58 6 днів тому +1

    Mmm

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 9 днів тому +1

    Wakumi na tano kutoka kenya wachokonozi❤❤❤❤❤

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 8 днів тому +1

    Mungu tena??

  • @MadekeSerge
    @MadekeSerge 9 днів тому +3

    Ivi munamipango gan dunian

  • @titusjuma3852
    @titusjuma3852 9 днів тому +1

    More love from Kenya ❤❤❤❤

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 8 днів тому +1

    🎉🎉

  • @BarakaYusuph24
    @BarakaYusuph24 8 днів тому +1

    Lakini pia niko na kitabu kimoja kiitwacho ‘’lost in paradise’’ the mosonic book, nacho pia kimebainisha mambo mengi sana ya malimwengu📐

  • @octaaalyiii9539
    @octaaalyiii9539 9 днів тому +1

    Mzee unatakiwa uwe na softcopy ya vitabu vyako, ishu ndogo unatakiwa ubadilike ni matamshi yako tu, 7bu kuna wasiopenda kuhisi walichofikiri ni upumbavu, hiyo tu Mangiii ila kila kitu unaelezea fresh na unaeleweka kinoma

  • @ludotheplanet7475
    @ludotheplanet7475 8 днів тому +1

    Tanzania saiv imechangamka

  • @BillySmart-n3y
    @BillySmart-n3y 9 днів тому +3

    WACHOKONOZI hawajawai koseamaelezo, GARDEN EDEN 😂😂😂 ETI IPO IRAQ.... KUMBE NI PLEASURE AU FURAHA kama sisi wachokonozi tulivyo nafuraha 🌍✅👍💯

  • @AcleyFaustini
    @AcleyFaustini 8 днів тому +1

    Inakuwaje mtu anakufa unamuona tena kwenye ndoto hii inakuwaje

  • @MkonoZacharia
    @MkonoZacharia 8 днів тому +1

    Iko sawa

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 днів тому +1

    Viongozi wa dini ni Wanafiki wana tufundisha matatizo wanasema wao ndio wenye suluhisho

  • @EliasOrgWanda
    @EliasOrgWanda 9 днів тому +1

    Mkuu nakubali sanaa

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 9 днів тому +1

    Hivyo vitabu tunavipataje wazee

  • @AmourSalum-k8j
    @AmourSalum-k8j 8 днів тому +1

    Icho kitabu mnauzaje?

  • @marykisara6692
    @marykisara6692 9 днів тому +1

    Niko apa tayari😊

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 9 днів тому +1

    Nawapata kiusahii 🎉

  • @kakuzekakuze7564
    @kakuzekakuze7564 8 днів тому +1

    unyama😂😂

  • @jacksonseleman4292
    @jacksonseleman4292 8 днів тому +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @JuresseMusavuli
    @JuresseMusavuli 8 днів тому +1

    Vitambu vipo wapi

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 9 днів тому +1

    Nawapata

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 9 днів тому +2

    Nani kaweka jibu swali we kikofia

  • @alexgomaileke
    @alexgomaileke 8 днів тому +1

    Heshima kwenu wakuu, Naitaj Copy ntapataje iz books

  • @justinealex7532
    @justinealex7532 7 днів тому +1

    Nipo kahama naomba kununua hicho kitabu chako kaka kinanifikiaje

  • @Mwamba67
    @Mwamba67 8 днів тому +1

    Kwenye vitabu hapo nahitaji maelekezo,,,!

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 9 днів тому +1

    Wakwanza

  • @BenjaminKayaya
    @BenjaminKayaya 9 днів тому +1

    naam tupo pamoja

  • @UU_ONLINETV
    @UU_ONLINETV 9 днів тому +1

    Brother mrindoko tuambie vitabu tunavipataje

  • @Blessing_uk
    @Blessing_uk 8 днів тому +1

    Sasa tufnyeje ili tuipate hyo amon

  • @philipodeus-pk4iw
    @philipodeus-pk4iw 8 днів тому +2

    hao ni wapumbavu tuu kama wapumbavu wengne kw sbb walizaliwa na kutawazwa kama kawaida ya binadamu na hiyo elimu wanayosema na wenyewe wamepewa na kuiamin ko Sion kosa Mimi kuamin Biblia ya kwmba Yuko MUNGU mbinguni Aliyeumba vyote kw hiyo na wenyewe kw elimu Yao hiyo n elimu dhaifu

  • @honestkiwia2264
    @honestkiwia2264 8 днів тому +1

    Uwaga sichokagi kuwasikiliza ni download videos nikacoveti kuwa audio uwa nazirudia Kama nasikizia nyimbo nikiwa nafanya Mambo yangu Kuna siku nituma iyo 50k nichukue Kitabu kimoja ase Alo Maarfa nimatamu sana

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 9 днів тому +1

    Nahitaji kitabu mkuuu

  • @onanixon8835
    @onanixon8835 9 днів тому +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏✅

  • @ulimwengumaulid7397
    @ulimwengumaulid7397 8 днів тому +2

    Jibu swali nani kaziweka hizo sheria 55 za asili???? Hofu ndo nini, hofu zipo kwenye dini huko hakuna hofu taja hapo acha ukanjanja wew mzee wa upeo wa juu wa mchongo

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 9 днів тому +3

    Ibilisi yupo kazin

  • @GdarSon
    @GdarSon 9 днів тому +1

    Wazee minaitaji vitabu vyenu vyote nipeni muongozo navipataje?

  • @barakasimon2075
    @barakasimon2075 6 днів тому +1

    Sasa waku mbona mnaongea vitu ambavyo dini zimeshazungumzia alafu tena kuna muda mnazitukana hizo dini

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 9 днів тому +1

    🤔✍️✍️🙏

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 9 днів тому +1

    Mrindoko Tusaidie kitabu bac mbona kama na buruza mkia hivi

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  9 днів тому +1

      @@robertsongola6034 0785346032 WhatsApp

  • @SimonShoo-m4b
    @SimonShoo-m4b 9 днів тому +1

    Sema nn wachokonozi andaeni midahalo kila mkoa na kulingana na content zenu ekeni viiingilio ata elfu. 20 lakini jibu na wekeni mambo hazarani msiseme usimpe mbwa vilivyo vikuu

    • @josephandrew3444
      @josephandrew3444 9 днів тому +1

      Acha uoga wewe kasome biblia yako alie SEMA Hilo neno usiwape mbwa vilivyo vitakatifu ukishajua kaka kwakutulia.

    • @agustinohizza1395
      @agustinohizza1395 8 днів тому

      Yeye hamini kwenye biblia katoa wapi hili

    • @josephandrew3444
      @josephandrew3444 8 днів тому

      @@agustinohizza1395 Kuna muda Ili umueleweshe fala lazima uingie nae kwenye tope lake Ili aelewe.

  • @AkaroNdungu
    @AkaroNdungu 9 днів тому +1

    Usiwape mbwa vilivyovitakatifu sijui hao mbwa wako wapi🤔🤔

    • @josephandrew3444
      @josephandrew3444 9 днів тому

      @@AkaroNdungu kamuulize yesu kristo aliwaambia wanafunzi wake wake alimaanisha nn tatizo mmezoe akusomewa kwendatu mbinguni ila hamjui chochote hata kutafakali maanazake.

  • @facebmzeewakimba1546
    @facebmzeewakimba1546 9 днів тому +1

    Akiisha vaa sula sijui kiyoo alafu ndio iweje??

  • @SafinaHebron
    @SafinaHebron 9 днів тому +1

    Nahitaji vitabu napataje

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 9 днів тому +1

    Kuna askofu aurian ngonyani aliwahi kusema katika nchi za wenzetu huko nje kuna vyuo vikuu vinafundisha mambo ya NGUVU za ASILI ikiwemo kile kinachoitwa nguvu za Giza na wanatoa degree KABISA unahitimu , sasa je wewe bwana MLINDOKO ulisoma vyuo hivyo?🤷🏻

  • @amkadunia
    @amkadunia 7 днів тому +1

    Wajinga wanapo jiona Wajuvi

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 8 днів тому +1

    ua-cam.com/video/xf_Z-ZespCU/v-deo.htmlsi=zHEUgNPQGWAUO9p_

  • @CHRISTIANTHADEI
    @CHRISTIANTHADEI 8 днів тому +1

    Elimu nzuri, hongereni kwa kutoa maarifa haya, vitu vingi katika ulimwengu huu havipo kama jinsi watu wanaviona na jinsi vinavyoelezewa, natamani siku moja mkatoa elimu ya ukweli uliojificha kuhusu HIV, AIDS

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 8 днів тому +1

    🎉🎉

  • @AcleyFaustini
    @AcleyFaustini 8 днів тому +1

    Nawapata

  • @BarakaYusuph24
    @BarakaYusuph24 8 днів тому +1

    Lakini pia niko na kitabu kimoja kiitwacho ‘’lost in paradise’’ the mosonic book, nacho pia kimebainisha mambo mengi sana ya malimwengu📐