Jamani huu wimbo unanikumbusha 2002 nilikua nimajiriwa Mbagara kwa mwanajeshi mmoja kukatia majani ya ng'ombe, basi nilikua nikienda kukata majani naenda na karedio kangu nikiwa nimetune wapo radio fm. Nakumbuka huu wimbo ulikua unapendwa kupigwa. Nikiusikia nakumbuka kichapo nilichikua nachezea enzi hizo kwa mjeda yule mpaka nikatoroka. Kweli nakila sababu kumshukuru Mungu kwani badae nilisoma kupitia Memkwa mpaka chuo kikuu. Kwasasa nimejiriwa serikalini.
I miss you dad Mr Johnson Malisa Nimeusikia Huu Wimbo nikakumbuka Tulivyokuwa tunaishi Dar na Kusali Msasani nikiwa Mdogo na Akiwa Kama Fundi Mitambo wa Hii Kwaya. Any way aendelee Kupumzika kwa Amani Ila Nashukuru Mungu baba Mdogo Godson anamuwakilisha Vyema
Da huu wimbo kwa Mara ya kwanza kuusikia 2002 dada yangu akiwa amezimia kwa masaa sita akiwa amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya kujifungua hospital ya Tumbi Kibaha kwa kweli Mungu awainue tu
Ukiusikiliza huu mwimbo vizuri kabisa utajua kuwa uwe nacho au usiwe nacho, you have to give thanks to the Lord all the time kwani alipotutoa ni mbali...uhai tu ni mali ya kutosha ! Glory to God
Bi Mkubwa used to sing this back in the days ....akiwa na kazi zake mbalimbali home...am all grown now...niko na mji wangu...bring the best of memories ...tunamshukuru Mwenyezi kwa zawadi ya Uhai na afya njema ya ninaowapenda ...mwenyezi awabariki nanyi pia❤😊
Mbarikiwe Sanaaaa Sanaaaa Wimbo Huu Ninaupenda Sana Kila Siku Nauonaga Mpya Kwenye Manisha Yangu Zaburi Ya20 Ikae Pamoja Nanyi Kkkt Temboni Sina Cha Kuwalipa Mungu Atawalipa Baadae Ya Manisha Haya Ya Damu Na Nyama Mbarikiwe.
Haleluyaaa Hakika baba sina chakukulipa uliko nitoa ni mbaliii hata hapa nilipo ni kwa uwezo wako na huko niendako utanifikisha salama MUNGU awabariki sana...
huu wimbo wa zaman niko std seven nakaribia kipaimara, ukipigwa kanisa kubwa natoroka sundayskul nlikua naucheza kule church gorofan aisee mbarikiwe mmekua watu wazima kwel tunazeeka
Naomba kujua jina kamili la huyo muimbaji kiongozi katika huu wimbo. For sure ameitendea haki sauti yake kwenye huu wimbo. Pia mbona simuoni katika videos nyingine za kwaya hii?
DA! NIME SIKITISHWA SANA NA KAULI YA NDUGU MMOJA HUMU NDANI KWAMBA ETI!! WIMBO URUDIWE KUPIGWA VYOMBO UPYA!! JAZZ LILILO JAA UPAKO WOTE HUU MPAKA SHETWANI KAJI KUNYATA! HALAFU ETI URUDIWE! HAPANA!!!! MI NAPINGA!! NAKUKU KATALIA KABISA!!! NA WANA KWAYA MKI MSIKILIZA HUYO , NITA ANDAMANA! MPAKA KWA FATHER RUPIA, NA KILEO NA KATO, NAOMBA MSIKUBALI KUBADILI LAFUDHI YA WIMBO HUU IWE KI MUZIKI AU VOCAL.!! HAMTA KAA MPATE TENA! LAFUDHI NZURI KAMA HII!! ILIYO YA KIPEKEE PANDE ZOTE KI MUSIC NA VOCAL!!!.MIMI NI SHUHUDA WA WIMBO HUU! MLI RECORD KWENYE STUDIO YETU! PILI, MLITUMIA GUITAR LANGU JEUPE LA IBANEZ NA GUITAR EFFECT YANGU NA BASS FENDER YANGU NYEUSI!! AA!! WAPI!! HAPARUDIWI KITU HAPA!!!!!!
Jamani huu wimbo unanikumbusha 2002 nilikua nimajiriwa Mbagara kwa mwanajeshi mmoja kukatia majani ya ng'ombe, basi nilikua nikienda kukata majani naenda na karedio kangu nikiwa nimetune wapo radio fm.
Nakumbuka huu wimbo ulikua unapendwa kupigwa.
Nikiusikia nakumbuka kichapo nilichikua nachezea enzi hizo kwa mjeda yule mpaka nikatoroka.
Kweli nakila sababu kumshukuru Mungu kwani badae nilisoma kupitia Memkwa mpaka chuo kikuu.
Kwasasa nimejiriwa serikalini.
Mungu ni mwaminifu kwa wamtumainio.
Duuuuuu
Watumishi wanaimba jamaaaan wabarikiwe
Hakika nimependa ushuhuda wako na una kila sababu ya kumshukur mungu amekutoa mbali sana
Shukrani ni kwa Mungu mwenyewe,kwa kuonyesha njia sahihi yenye mafanikio.
I miss you dad Mr Johnson Malisa Nimeusikia Huu Wimbo nikakumbuka Tulivyokuwa tunaishi Dar na Kusali Msasani nikiwa Mdogo na Akiwa Kama Fundi Mitambo wa Hii Kwaya. Any way aendelee Kupumzika kwa Amani Ila Nashukuru Mungu baba Mdogo Godson anamuwakilisha Vyema
Da huu wimbo kwa Mara ya kwanza kuusikia 2002 dada yangu akiwa amezimia kwa masaa sita akiwa amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya kujifungua hospital ya Tumbi Kibaha kwa kweli Mungu awainue tu
Ukiusikiliza huu mwimbo vizuri kabisa utajua kuwa uwe nacho au usiwe nacho, you have to give thanks to the Lord all the time kwani alipotutoa ni mbali...uhai tu ni mali ya kutosha ! Glory to God
Wangapi wanaendelea kuusikiliza wimbo huu mwaka 2020, yaani naupenda sana huu wimbo na naendele kuusikiliza toka zamani mpaka leo hii.
Kila siku lazima niusikilize ndiyo nilale.
Sasa tunausikilisa 2023😆😆
Wimbo unakufanya usahau yote.. Ujione umeanza upya na Mungu
Uimbaji mzuri nakumbuka wakati Fulani nikiishi TZ,God bless you
R.I.P Pof.H. Kairuki kweli vizuri havidumu
2002 kipenzi changu ananyonya uzazi nilikula na hii nyimbo daa raha sana sana.
huu wimbo huwa napenda kuuimba hadi sasa hasa nikiwa bize na shughuli zangu kumbe ndio nyie ulioimba daaah mungu awabariki
Huu wimbo umenifanya nitoe machozi umenikumbusha kipindi cha nyuma marehem mama yng alipenda kuimba mbarikiwe sana mungu azidi kuwapigania
Yan hata mm namkumbuka mama yangu kwa huu wimbo. Wapumzike kwa amani jmn.😢
Kila nikiusikia huu Wimbo namkumbuka marehemu mama yangu. Daah alikuwa anaupenda sana.
May She Continue Resting In Peace....She showed you a way...follow it for the rest of your life
Hakika nakushuru Mungu umenitoa mbali na Sina cha kukulipa
Nakusukuru Munguuuuuuuu...
Kweli yatupasa tumshukuru mungu maana atuna cha kumlipa. Ninabarikiwa sanaa na hizi nyimbo.
Bi Mkubwa used to sing this back in the days ....akiwa na kazi zake mbalimbali home...am all grown now...niko na mji wangu...bring the best of memories ...tunamshukuru Mwenyezi kwa zawadi ya Uhai na afya njema ya ninaowapenda ...mwenyezi awabariki nanyi pia❤😊
Inasemekana ni utunzi wa prof hubert kairuki...Good song!
Hadi leo nipo hai asante Mungu 2024
Nakumbuka miaka ya zaman 2002 nilikuwa na ndugu zangu ambao kwa sasa ni marehemu Mungu awapumzishe kwa amani, Amina
Huu wimbo nimekumbuka mbali wakati wa mashindano ya kwaya ya dayosisi ya mashariki Na pwani
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana miaka ya 2007 nikiwa ndo nimemaliza primary ni story ndefu
Kwani huu wimbo huu wa mwaka gani??
Wimbo mzuri sana, unanibariki sana huu.....Namshukuru Mungu kwa kuwatumia watumishi wake kutufikishia huu ujumbe..🙏🏾
Nabarikiwa sana
Umenigusa mno na umegusa maisha yangu,Ni wimbo was zaman kidogo Lkn hauchi kipindi hicho nilikuwa s.msingi.
Surely old is gold this song was my favorite song I used to go to farm with my redio cassette and enjoy myself listening to this song:
Uhuu wimbo ni WA Roho mtakatifu, unaimba ndani kabisa.
Nice song good blessing the are group
2024 anyone😍
Amazing, 2022
Jaman nlikuwa la kwanza kipindi hichoo
Ah msasani mpo vizuri jmn mungu awatie nguvu muende viwango vingine
Tumshukuru mungu kwa Kila Jambo huu wimbo ukizama sana k wenye I Mani Italia,
Mwacheni Mungu aitwe Mungu tuu. Mungu awabariki sana kazi njema.
Safi Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri
Moja ya kazi ya INJILI ambazo hazitakwisha Utamu wake
Nimebarikiwa Sana
Nawapenda sana!
Nakushukuru Mungu Hakika umenitoa mbali kwenye shimo la dhambi sasa nafurahia ndani a nyumba yako. Baba Mungu mimi sina cha kukulipa.
Mbarikiwe
Sanaaaa
Sanaaaa
Wimbo
Huu
Ninaupenda
Sana
Kila
Siku
Nauonaga
Mpya
Kwenye
Manisha
Yangu
Zaburi
Ya20
Ikae
Pamoja
Nanyi
Kkkt
Temboni
Sina
Cha
Kuwalipa
Mungu
Atawalipa
Baadae
Ya
Manisha
Haya
Ya
Damu
Na
Nyama
Mbarikiwe.
Nakumbuka enzi hizo kwenye radio cassette tape nikiwa nyumbani kwa mzee mayani tukiwa na hayati mpendwa wetu Kristian kauzen.
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana marehemu baba yangu akiwaa miongoni mwa waimbaji hawa na aliupenda sana huu wimbo😢😢😢
Nabarikiwa sana nikisikiliza huu wimbo
Hii nyimbo imewatoa mbali daima iwe juu
Pia namkumbuka marehemu dadayangu fulani na alifariki alikuwa anaupenda
Mungu awazidishie
Kila mara nikiusikia Wimbo huu nabarikiwa kwa viwango vya juu. Mbarikiwe waimbaji na mtunzi pia.
2023 Hakika ni Kwa neema na Rehema tu za Mungu
Nilikua natoka kibangu hadi tabata kwa miguu Mungu amenitoa mbali sana
Haleluyaaa Hakika baba sina chakukulipa uliko nitoa ni mbaliii hata hapa nilipo ni kwa uwezo wako na huko niendako utanifikisha salama MUNGU awabariki sana...
Yaaani huu wimbo jamani umenikumbusha mbali Mimi khaa umenibariki sana
Hongereni kwa wimbo mzuri
Mungu ametutoa mbali, mbali sana,
Old is Gold 2023 Dec forever my best song
Duuh umenikumbusha mama yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wimbo mzuri ❤🎉
Hapa nimemkumbuka shoo kweli jamani sijui yupo wapi siku hizi.
huu wimbo wa zaman niko std seven nakaribia kipaimara, ukipigwa kanisa kubwa natoroka sundayskul nlikua naucheza kule church gorofan aisee mbarikiwe mmekua watu wazima kwel tunazeeka
This Particular Song Carries so many memories in my heart and my childhood back o 2005
Ninaupenda sana huu wimbo
Mungu wa mbinguni awabariki waimbaji hawa
Naombeni jina la albam ya wimbo huu
So many years.
Mungu wewe ni mwema🙏🏼
Mungu awabariki kuuweka kwenye kumbukumbu..
Dah kitambo sana nikiwa tandika mwaka 2000
mungu awabaliki sana
2021 still watching..
Sifa na utukufu ni kwa Mungu.
Pangez kwenu
Nice song...❤❤
Mungu wangu wambingun awabariki jmn
2023 here
Kweli hatuna Cha kukulipa baba
Missing you guys😢😢
Nawaelewa Sana
Naomba kujua jina kamili la huyo muimbaji kiongozi katika huu wimbo.
For sure ameitendea haki sauti yake kwenye huu wimbo.
Pia mbona simuoni katika videos nyingine za kwaya hii?
Hakika mungu no mwema,
Yaani ni kama umerekodiwa juzi tu.... Kumbe wakitambo sanaaaa
naipenda sana hiii nyimbo
Jamaaani wimbo unahisia sana
Mungu ninariki
🔥🔥🔥🔥🔥
Asnteeee yesu
yaaan so amaizing hii nyimbo
Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumlipa mungu
🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Yaaan mwimbo huu unanibariki
Mbarikiwee 🤗👏
Good song
Nakushukuru Mungu kunifikisha mwaka 2021, Kama si Bwana aliekuwa pamoja nami Israeli na aseme sasa
Amen, ni kwa neema tu, wala hatukustahili mimi na wewe.
Wametulia. Halafu wanauhakika na wanacho kifanya
❤❤❤❤❤
A song of hope
Amazing
Msiba wa mkapa ndio umenileta hapa
DA! NIME SIKITISHWA SANA NA KAULI YA NDUGU MMOJA HUMU NDANI KWAMBA ETI!! WIMBO URUDIWE KUPIGWA VYOMBO UPYA!! JAZZ LILILO JAA UPAKO WOTE HUU MPAKA SHETWANI KAJI KUNYATA! HALAFU ETI URUDIWE! HAPANA!!!! MI NAPINGA!! NAKUKU KATALIA KABISA!!! NA WANA KWAYA MKI MSIKILIZA HUYO , NITA ANDAMANA! MPAKA KWA FATHER RUPIA, NA KILEO NA KATO, NAOMBA MSIKUBALI KUBADILI LAFUDHI YA WIMBO HUU IWE KI MUZIKI AU VOCAL.!! HAMTA KAA MPATE TENA! LAFUDHI NZURI KAMA HII!! ILIYO YA KIPEKEE PANDE ZOTE KI MUSIC NA VOCAL!!!.MIMI NI SHUHUDA WA WIMBO HUU! MLI RECORD KWENYE STUDIO YETU! PILI, MLITUMIA GUITAR LANGU JEUPE LA IBANEZ NA GUITAR EFFECT YANGU NA BASS FENDER YANGU NYEUSI!! AA!! WAPI!! HAPARUDIWI KITU HAPA!!!!!!
Mungu awabariki tu! Inanikumbusha mbali nilikua masaki 1999 untill 2000
Walirekod mwaka gani maana Mimi nakumbuka mwaka 2001 nilikuwaga dar kisukurujuu redion walikuwa wanaurusha kila siku
Mbarikiwe
Hi
A a a a a a hhh lazima ujione uso kwa uso na Baba wa Mbingu na nchi
2023
ua-cam.com/video/1jZwqOi9bvw/v-deo.html
Kwa nyimbo nzuri za KKKT zilizoimbwa kwa ujuzi na ustadi wa hali ya juu
L i