Ukombozi Choir
Ukombozi Choir
  • 35
  • 1 782 314

Відео

LIVE IBADANI: Vuguvugu
Переглядів 168Місяць тому
#choir #injili #injili #gospelmusic #kkktmbezibeach #msasani #live
Jipe Moyo: Mungu ameweka mlango wa kutokea katika kila Jaribu
Переглядів 191Місяць тому
#gospelmusic #injili #ukombozi #choir #msasani #kkktmbezibeach #kkktmsasani #kkkt_hq #live
Ziara ya Uinjilisti Katika Usharika wa Mlimba Dayosisi ya Ulanga Kilombero
Переглядів 2272 місяці тому
19 July, 2024 #gospelmusic #dmp #music #worshipmusic #injili #kkktmbezibeach #kkktmsasani #msasanikkkt #kkkt
Utafuteni Kwanza Ufalme wa Mungu - Kwaya ya Ukombozi ikiimba LIVE ibadani
Переглядів 2173 місяці тому
Hii ni sehemu ya wimbo uitwao Pesa, ambao ni moja ya nyimbo mpya zinazoandaliwa na Kwaya ya Ukombozi #gospelmusic #dmp #worshipmusic #injili #choir #kkktmbezibeach
Sambamba na Yesu
Переглядів 2813 місяці тому
Ukiwa samabamba na Yesu, siku zote una amani; tena mwenye furaha
Kwaya ya Ukombozi Nina Haja Nawe
Переглядів 3923 місяці тому
Hakika nina haja nawe Bwana Yesu. Kaa nami. Yesu nakuhitaji, vivyo kila saa. Niwezeshe Mwokozi, nakujia. #gospelmusic #choir #kkktkariakoopraiseteam #kkktmbezibeach #injili #dmp
Sikukuu ya Uimbaji - Kantate Domino 2024 Katika Usharika wa Msasani
Переглядів 4375 місяців тому
Katika kusherehekea sikukuu ya Uimbaji, vikundi vifuatavyo vilishiriki katika kumsifu Mungu: 1. Wamaasai 2. Wasambaa 3. Kwaya ya Uinjilisti 4. Kwaya ya Ukombozi 5. Washarika wote 6. Kwaya Kuu 7. Baraza la Wazee 8. Wapare 9. Wachaga 10. Kwaya ya Vijana 11. Muimbaji binafsi kutoka Malawi 12. Wanyakyusa 13. Wahaya 14. Kwaya ya Watumishi 15. Watu wa Njombe
Ukombozi Kuteswa Yesu
Переглядів 3286 місяців тому
Ee Mungu kwa mateso ya Kristo, Bwana wetu, umetuachilia adhabu ya mauti tuliyoirithi kwa dhambi ya asili; twakuomba, tufananishwe na mfano wake: Ili kama vile tulivyoumbwa wenye mwili wa udongo, kadhalika kwa kutakaswa tuichukue sura ya neema ya mbinguni, kwa Yeye Kristo, Mwana wako na Bwana wetu. AMEN
LIVE PERFORMANCE: Njoo Kwa Yesu Utapumzika
Переглядів 1956 місяців тому
LIVE PERFORMANCE: Njoo Kwa Yesu Utapumzika
Rehema za Bwana Yesu - LIVE PERFOMANCE
Переглядів 1657 місяців тому
Rehema za Bwana Yesu - LIVE PERFOMANCE
Unibariki Kwaya ya Ukombozi
Переглядів 1147 місяців тому
Unibariki Kwaya ya Ukombozi
Bwana ni Nuru na Ngome Yangu
Переглядів 1,9 тис.7 місяців тому
Jiunge na Chaneli Hii kupata nyimbo zenye kumsifu Mungu wetu
Usifiwe UKOMBOZI CHOIR KKKT MSASANI
Переглядів 1,3 тис.8 місяців тому
Usifiwe Mungu Juu Mbinguni. Usifiwe duniani. Karibuni tumsifu Mungu pamoja kupitia wimbo huu ambao ni sehemu ya nyimbo za Kwaya ya Ukombozi, Usharikia wa Msasani, DMP - KKKT
Zab.30:11; "Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha." - NIPITISHE
Переглядів 8738 місяців тому
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 @elcthq8087 @AICTChangombeChoir_ @mamajusichoirmoshi5620 @kkktmsasaniparish
Wimbo Unibariki ukiimbwa Mubashara Ibadani 01 Jan. 2024: Mw. 32:26 - 28
Переглядів 4789 місяців тому
Wimbo Unibariki ukiimbwa Mubashara Ibadani 01 Jan. 2024: Mw. 32:26 - 28
Sehemu ya Ibada ya Shukrani ya Pekee ya Rita Azizi Tarehe 31 Disemba 2023: ZAB. 100
Переглядів 1919 місяців тому
Sehemu ya Ibada ya Shukrani ya Pekee ya Rita Azizi Tarehe 31 Disemba 2023: ZAB. 100
Nyimbo za Krismasi
Переглядів 3249 місяців тому
Nyimbo za Krismasi
LIVE PERFORMANCE Furahini Katika Bwana
Переглядів 2459 місяців тому
LIVE PERFORMANCE Furahini Katika Bwana
Kubariki Vyombo vya Muziki kwa Ajili ya Kwaya
Переглядів 8410 місяців тому
Kubariki Vyombo vya Muziki kwa Ajili ya Kwaya
Wimbo Mikate Mitano katika ibada - Siku ya Bwana ya Pili katika Maajilio
Переглядів 26110 місяців тому
Wimbo Mikate Mitano katika ibada - Siku ya Bwana ya Pili katika Maajilio
Yesu ni Mwamba
Переглядів 46510 місяців тому
Yesu ni Mwamba
MAKANWA YA SIMBA - KWAYA YA UKOMBOZI MSASANI
Переглядів 2,4 тис.Рік тому
MAKANWA YA SIMBA - KWAYA YA UKOMBOZI MSASANI
Zakayo - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Переглядів 21 тис.2 роки тому
Zakayo - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Si wa Jana - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Переглядів 10 тис.2 роки тому
Si wa Jana - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Ametenda Maajabu LIVE - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Ametenda Maajabu LIVE - Kwaya ya Ukombozi Msasani
Tengeneza Leo - Ukombozi Choir Msasani
Переглядів 23 тис.4 роки тому
Tengeneza Leo - Ukombozi Choir Msasani
Yahwe - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
Переглядів 30 тис.4 роки тому
Yahwe - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
Nashindwa Kuelezea - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
Переглядів 33 тис.4 роки тому
Nashindwa Kuelezea - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
Makapi - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
Переглядів 84 тис.4 роки тому
Makapi - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani

КОМЕНТАРІ