The songs, Iweni Safi, Songa, Kanisa la Efeso, Mwaka wa Bwana and Wastahili, are examples of a Choir that is rooted firmly in true worship. All honour and glory to the living God. Changombe and Neema, Mungu Yazidi kuwashika Mkono kama Yakobo. Hivi karibuni nitatembea Dar es Salaam, na Familia yangu, tufanye ibada pamoja na pia niweze kujuana na huyo mbarikiwa, ambaye uchena kiungo cha lead guitar, hata kijana mchezea Drums. Hapo wawili kwa hakika ufuatia sana Okinawa chao. Ni kwa uwezo wa Mungu tu. Wimbo wa iweni safi, umechezwa kwa ustadi mno. Watu tumweshimuni Mungu Mungu saana. AMEN.
bado naupenda sana wimbo huu ....still love and listening up
Endereen kulitangaza neno la bwana na npo na nyinyi Kwa kila sek kijima Moja woty tunaofatiriia hzi nyimbo tubarikiwe
Aic Changombe always on top
This is the choir that I always place on top..in my chart.
I love the way they conduct themselves ....I like soloist Lydia ...a nice one
Nimefurahi kumuona mdogo wangu mariam ngofilo anaendelea kumshindilia shetani
Nampenda Dada lidya 🥰🔥🔥
twende pamoja 2024 December 8🎤🎹🎷🎺🎸🎵🎶🎼🔊🔊🔊
Nawapenda sana watumishi
This song deserves a million views,what an inspiration
Mungu azidi kuwainua 🙏🙏
Great work Africah Entertainments. Mbarikiwe
Mariam dada yang nmefrahi kukuona unazidi kumshindiria shetan msumali ya moto ongera nitakuja kuwasalimia huko chang.ombe
Wimbo mzuri unanibariki Hadi kwenye mifupa
Rudia huu wimbo kushoot video na 1080p ni wimbo safi sana
The songs, Iweni Safi, Songa, Kanisa la Efeso, Mwaka wa Bwana and Wastahili, are examples of a Choir that is rooted firmly in true worship. All honour and glory to the living God. Changombe and Neema, Mungu Yazidi kuwashika Mkono kama Yakobo. Hivi karibuni nitatembea Dar es Salaam, na Familia yangu, tufanye ibada pamoja na pia niweze kujuana na huyo mbarikiwa, ambaye uchena kiungo cha lead guitar, hata kijana mchezea Drums. Hapo wawili kwa hakika ufuatia sana Okinawa chao.
Ni kwa uwezo wa Mungu tu. Wimbo wa iweni safi, umechezwa kwa ustadi mno. Watu tumweshimuni Mungu Mungu saana. AMEN.
My favorite song.... Thanks aic kyangombe.. penda nyinyi sana
My favourite song.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu bwana awatie nguvu kwa kazi nzuri mzidi kusonga mbele
Nabarikiwa Sana na. Nyimbo zenu zinabariki sana🔥🔥 mbarikiwe
Jamaan mpangilio huu balaa mpaka nikisikiliza huu wimbo na moyo unashangilia
Mbarikiwe xana
Jmn Mungu azidi kuwainua Nimewapenda bureee
Mnanibariki sana kwa uimbaji wenu mzuri.Mungu azidi kuwaimarisha zaidi na zaidi ktk utumishi wenu.
Laurencia Masalu kweli mungu mkuu
Bwana wa Majeshi awainue zaid
Mbarikiwe uimbaj mzr kwa kwel nawapenda sana
Be care ..wokovu umechakachuliwa...mnabakia Na kuimba kusiko na ROHO wa MUNGU
Barikiweni
🔥🔥🔥😍😍😍
Mungu azidi kuwahifadhi
Amen
you always mek me happy..... God bless u guys
watu hawa wananibariki Sana sana
U are doing well since day one I knew you
Ninakoshwa sana na kazi hii Mungu awabariki sana CVC.
So happy Kwa kweliii
Mnayaweza mambo yote katika yeye awatiaye nguvi
Barikiwa sana
Yesuuu daima milele na milele
Pokeeni sawa na haja zenu wote kwa jina la yesu
mungu, awatie nguvu muendelee kutangaza injili.
I like it
A very touching song..
Well balanced voices
tenmi
Amina Amina
👏👏👏👏👏
Wonderful choir keep on .
Haki mwanibariki sana sana
Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Thank You singers. You bless me more.
Always blessed by the choir.classic
nice song I like it
Amina
atutalegei kwa kweli japo tu watu wake
Dada nakupenda bure uko juu
May God bless you
Amen 🙏
good song
Mbarikiwe
mbarikiwe sana
Mariana Kaoneka ,good
Nabarukiwa San na hii kwaya
Barikiwa sana
Mbarikiwe uimbaj mzr kwa kwel nawapenda sana
ninawakubali sic changombe mbarikiwe
jesca phabian. mpo vizur watumishi was mungu
Nawakubari vitu vyenu safi nyimbo zilizoenda shule