Alhamdulillah Allah akueke shekh kishki miaka mingi yenye mafanikio kwako na kwetu tunakutegemea sana mungu akupe kilalakheri azidi kukuzidishia elimu tunakupenda sana
sheikh unatoa mawaidha mazuri Lakini ningekuomba ufanye sunna ya kuwalingania watu kwa kuwafuata mitaani kwa sababu watendaemaasi wengi wako mitaani sio msikitin
mashallah darsa nzuri yenye maneno mazuri lakini huyu mtu mwenye kusema takbir kila mara samahani mi naona anaharibu muda wa moyo kutafakari na kuzungatia darsa. kila kitu kina mda wake..darsa yataka makini...sio saa zile warudisha mawazo nyuma kuiangalia nafsi yako huyu naye anazinduka na tak tak tak takbir hata unasahau kama umeskia nini. takbir ni nzuri lakini kila kitu na muda wake. darsa inageuka kama ambaye ni mzaha tu. mimi hilo halikunifurahisha. lakini Sheikh amezungumzia jambo muhimu sana hasa saa hii watu wanauana wakisingizia dini. sijui kama hao alwaeda na boko haram na alshabaab na wanaouana syria wanazijua hizo aya. Allah atuongoze sote waislamu na atusamehe madhambi
Allaah atujaalie tuwe ni wenye kuskia mazuri yake na kuyafanyia kazi... Ili kuona nasheed zangu subscribe channel yangu tafaadhal ua-cam.com/video/fNngtVqLOCg/v-deo.html
Mashaallah allah akupe pepo shekh wetu wwe na ssi na jamiya islamiya
Shukraan Sana sheikh wetu jazakallah kher
Alhamdulillah Allah akueke shekh kishki miaka mingi yenye mafanikio kwako na kwetu tunakutegemea sana mungu akupe kilalakheri azidi kukuzidishia elimu tunakupenda sana
Fgjj Gbnko amiin yaa rabal Alamiin
Mashallah sheikh nurdin sheikh ningepnda kujia maana ya adui
Mawaidha ya Kishki yanajenga sana
Yamenisaidia sana japo mi siyo Muislam.
Allah amweke Sheikh huyu.
Mashaallah sheikh wetu tunakupenda kwaajili ya Allah wallah ninapokusikiliza uwa napata amani ya moyo
mungu akuzidishie sheikh wetu kishki kwa kutupa dawa
Masha,Allah nurdin kishki nimeyapenda mawaidha uko.
Mashaallah . JazakallAhu khair
I’m a Christian ✝️ but I enjoyed the message.
God bless brothers and sisters.
Mimi siyo muislam lkn nampenda sana uyu kaka mafundisho yake nayafuatilia sana yamenisaidia sana mungu aendelee kumtunza.
uyu dada sijui kaka ame sema anampenda huyu kaka lakini yeye sio muislamu ni sawa ila ni vizuri uki silimu dadangu
Inshallah
Agustino Mmassi Aamiyn yaa rabby
Agustino Mmassi amiin yaa rabb. Allah atakuongoza na wewe ktk haqi na atakuhifadhi in sha allah.
Augistino Mmassi, same here; Mimi siyo muislam lakini mafundisho ya huyu brother yanigusa moyoni. Naomba Mola ambariki na amlinde
Mashaa Allah Allah akupe umri mrefu sheikh Kishki napenda mawaidha yako Allah akuzidishie elmu uzidi kutuelimisha Inshaa Allah
Jaman mmh mm nampenda sheikh huyu Allah anihifadhie na wote masheikh wangu ktk iman
Mashaallah Sheikh ..Allah akupe Umri mrefu Uzidi kutuelimisha Ameen Rabbilalamin
Ma shaa.Allah Allah akujaze kheri sheikhe wetu kishki
mashaallah
Mashaallah, twamshukuru Allah kwa kupata mashekh wanaotufundisha na kutuongoza kwenye dini iliyobora na ya haki islamiya.
Takbiri ,Takbiri,Takbiri Ya Allah tunusuru jazakala sheik kishki
SubhanAllah wa Alhamdulilaah darsa zuri sana JazakaAllah kheyran
ALLAH AKUPE UMRI MERFU
Alhamdulillah Sheikh Nurudi Kishki kafika salama wa usalimi USA. tunamsubili Washington DC kwa kila la kheli
Mashallah mashallah
Mashallah mashallah aallah akuhifadhi
Najivuniya wislam wangu allah utuifazi
Mashaallah Allah akujalie kila lakher
Shukran jazillah my cheikh kwa ukumbusho
MASHAALLAH SHEIKH
Allah atujalie ni wenye kuskia na kuyafwata
Allaah akupe umuri mrfu
Sheikh fafanuwa vizuri jinsi baadhi yetu wanauwa watu kwa kisingiziyo cha jihad!
Takbiiir
maaashaa Allah sheikh wangu
Jazaka Allah khayr
Manshaallah shekhe
Mashaa Allah Barakallahu fiq
Kweli kabisa shekh kweli
manshaallah Allah ku hifathi
maashallah
Shukuran jaazaakallahu
Mashallah
JAZAKALLAH KHERY
Mashaallah shekh
Maa shaa Allah
Somalia Muslim 💯% the better holy Qur'an
Masha Allah
Manshaalla alla awapenguvu
mashaa allah
Subhannallah
sheikh unatoa mawaidha mazuri Lakini ningekuomba ufanye sunna ya kuwalingania watu kwa kuwafuata mitaani kwa sababu watendaemaasi wengi wako mitaani sio msikitin
Ata walio msikitini wanatokea mtaani.
Allahuakbar😢
Subhanallah tumuombe Allah Atunusuru kwa hilo la kuuwa au kumwaga damu
Mashallah tabarakallah
Nampenda sana uyu mtu
mashaallah
Allah akupe umri mrefu ili cc waislam tupate mafundisho yako
mashaallah
Asalam alaikum shekh Nurdin naomba yako ndugu yangu nina shida nataka kusomewa ruqiya shar"ya
❤️❤️❤️❤️❤️
Add to Somalia misk ya Raho
asalaam alaykum, msijikusanye kwenye miji mkuu kufanya daawa, kumbukeni vijijijini udhu awajui ni mini, miskiti ni makazi ya mbuzi
Nisaidie shekh muislam hatakiwi kuwa mwanajeshi au hakim kwasababu wanaofungwa wengine hawana hatiya?
Yusuf
Sheikh naomba utup tafsili ya aya ya 29 sira ya 9 pia tujulish hiyo haq ni gani ya nafsi kuuliwa ktk suratul israi
Assalam alaykum,shekhe Nurdin na atakayetoa mimba nae anadhambi gani yani hukumu yake?
Anaetoa mimba ni muuaji na Yamul Kiqama kesi yake ndio itakuwa yakwanza kusikizwa na kuhukumiwa!
mpango
mashallah darsa nzuri yenye maneno mazuri lakini huyu mtu mwenye kusema takbir kila mara samahani mi naona anaharibu muda wa moyo kutafakari na kuzungatia darsa. kila kitu kina mda wake..darsa yataka makini...sio saa zile warudisha mawazo nyuma kuiangalia nafsi yako huyu naye anazinduka na tak tak tak takbir hata unasahau kama umeskia nini. takbir ni nzuri lakini kila kitu na muda wake.
darsa inageuka kama ambaye ni mzaha tu. mimi hilo halikunifurahisha. lakini Sheikh amezungumzia jambo muhimu sana hasa saa hii watu wanauana wakisingizia dini. sijui kama hao alwaeda na boko haram na alshabaab na wanaouana syria wanazijua hizo aya. Allah atuongoze sote waislamu na atusamehe madhambi
Allaah atujaalie tuwe ni wenye kuskia mazuri yake na kuyafanyia kazi...
Ili kuona nasheed zangu subscribe channel yangu tafaadhal
ua-cam.com/video/fNngtVqLOCg/v-deo.html
Islam Raashed Allah atufamishe haki manakunakitu tunakipingahapo kwanza kumwagaje fafanuwa kishik
Maasha Allah
Mashallah
mashaAllah
MASHAALLAH
Mashallah
Mashallah
MashaALLAH
Mashallah
MashaALLAH