NI NANI AMBAE HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI? SHEIKH KISHK.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @ahmedamin6043
    @ahmedamin6043 3 роки тому +2

    Mashaallah our sheikh we love you so much...may ALLAH bless you and guide you

  • @afric01
    @afric01 3 роки тому

    Aslm alkm ww..... Masha Allah. Shukran sana Sheikh Nurdin. Allah atusameh madhambi yetu Kila muislam. Jazakallah kheir 🙏

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 роки тому +2

    Masha Allah Sheikh wetu
    #NURDEENKISHK
    Allah akuhifadhi

  • @musausain7342
    @musausain7342 3 роки тому

    Alhamdulillahi nilipata bahati ya kua kati ya walohudhuria muhadhara

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +1

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh maasha ALLAH tabaraka ALLAH sheikh wetu #nurdeenkishki MWENYEZI MUNGU akuhifadh na kila sharri akupe akuzidishie ilmu nasi tufaidike atuongoze tuwe wenye kutenda mema hakuna mkamilifu sote tuna mapugufu na atujaalie mwisho mwema Amiin ya Rabb 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @najmasailan1071
    @najmasailan1071 3 роки тому +2

    Asalam alykum warahmatullah wabarakatuh Alhamdullilah. Maa Shaa Allah karibu Kenya Sheikh. Utukumbuke nasi huku MOMBASA. Tupate Daawa Allah akujaalie afya umri na ilmu yenye manufaa kwako na kwetu Amin

    • @halimaramadhan2975
      @halimaramadhan2975 3 роки тому

      Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh..Amiin

    • @amenaallahawazidishieumrin6235
      @amenaallahawazidishieumrin6235 3 роки тому

      Shukran jazaka ALLAH khery Mola akuhifadh akupe afya njema na umri mrefu uzidi kutufundisha mengi na kutuombea dhua ALLAH AKULIPE MEMA DUNIAN NA AKHERA AKULINDE NA HASAD NA KHAN AJALIE DAWA YAKO IFANYE KAZ KWENYE MOYO ALLLAH AKUJALIE PEPO YA FRIDOUS KESHO AKHERA INSHALLAH

    • @zainabmaulidi9846
      @zainabmaulidi9846 3 роки тому +1

      Allahumma Amiiin

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 роки тому

    Tunakupenda kwaajli ya Allah

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 роки тому

    Mashaallah shekhe wetu

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +1

    الله اكبر الله اكبر الله اكبر الله لا حول ولا قوة الا بالله العلي العظيم الله يحفظك ويسعدك شيخنا

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 3 роки тому +1

    Amiin Thumma amiin Baraka llahu fik sheikh kishk

  • @alhashimy2625
    @alhashimy2625 3 роки тому

    Allah akuweke sheikh wetu Kishk🤲

  • @abubakarsadiq8179
    @abubakarsadiq8179 3 роки тому +2

    MASHA ALLAH Sheick wetu noordin kishki simba wa mawaidha nakupata vururi sana nikiwa Naivasha,ummy abubakar sadiq

  • @muwayimuslim1553
    @muwayimuslim1553 3 роки тому +1

    Namu sheikh kishik karibu Kenya.

  • @fettyissa7144
    @fettyissa7144 2 роки тому

    Maashallah Amin dhumma amiin

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 3 роки тому

    Ameen

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 3 роки тому +1

    Amiin