Alhamdulillah nimejifunza kitu kutoka kwa shekh wetu, yaa Allah nipe subra na imani yaa rabbi, nijaalie riski ya kheri Allah na uniepushe na mithiani ninayoipitia ya Allah.
Alhamdulilah nimepata kitu nakuomba Allah unipe subra kwa mtihani ulio nifika na nakuomba unisamehe kwa kukata tamaa kwangu yarabil amiin inshaallah 😓😓😓😓
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR الحمد لله دائما وابدا ❤الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤ Mashaallah Tabarak Allah,Shukran Sheik Allah Akuhifadhi hapa dunian n kesho akhera...Atujalie wenye kusikiliz mambo y Kheir n tuwe wenye kuyafat kwa kukat radhi zake Allah ☝Atukutanishe sote peponi kwa rehma zake inshaallah Atujalie mwisho mwema wenye kutenda mema inshaallah 🤲❤❤
Machallah nawomba mawayihha yakuhusu iyi corona kuhusu kufunga miskitii yamaka Na madina mana Mimi kama mwislam ime nikela sanaa a Tena sanaa muyiwongeye kwaki alabuu tuwape awa warabu WA Saudi Arabian tafathari murususaidie mana awa labda hawaskii
Ninasema tena mawa'da yasiwe ya kuwagawanya wa Islamu li ajli yakhtilafu ndogo, Uisllamu kuwa na alwahda ni muhimu kama muna hikma na busara, wa Islamu wame pata shida nyingi li ajli ya mihadara za kichuki, zime sababisha hadi muislamu anamwona muislamu menzake hana ma'ana, hawapendani wana chukiana wana umizana eti hiyi ni bid'a hiyi ni shirki hizo poropaganda zime pangwa na mayahudi li ajli wa'islamu wasiwe alwahdatulislamiya. mayahudi ni madui wakuba wana fanya kila njama za kuwagawanya waislamu wasiwe na umoja.
MashaaAllah
Mungu akujaze kila la kheri shekh wetu na ummah wa mtume wetu Mohammed. Shukraan shekh kishki.
qaw1
Mashallah tabarakkallah hakika tunaokata tamaaa ni wengi hila allah tujaze moto type imani kuwahamini kuwa allah ni mbora zahidi
Alhamdulillah nimejifunza kitu kutoka kwa shekh wetu, yaa Allah nipe subra na imani yaa rabbi, nijaalie riski ya kheri Allah na uniepushe na mithiani ninayoipitia ya Allah.
Ameen
Mashaallah Shukran shekhe allah akuzidishie umri uzid kutuelimisha
Alhamdulilah nimepata kitu nakuomba Allah unipe subra kwa mtihani ulio nifika na nakuomba unisamehe kwa kukata tamaa kwangu yarabil amiin inshaallah 😓😓😓😓
Amiin amiin Yarab'allamin
Amiin
Ameen InshaAllah
Ameeen
Mwenyezimungu atusamehe madhambi yetu yote pamoja na wazazi wetu na ndugu zetu na waislamu wote Ameen
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR الحمد لله دائما وابدا ❤الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤ Mashaallah Tabarak Allah,Shukran Sheik Allah Akuhifadhi hapa dunian n kesho akhera...Atujalie wenye kusikiliz mambo y Kheir n tuwe wenye kuyafat kwa kukat radhi zake Allah ☝Atukutanishe sote peponi kwa rehma zake inshaallah Atujalie mwisho mwema wenye kutenda mema inshaallah 🤲❤❤
Sheikh mashaallah tafadhali record quran na sauti yako ili tupate sakina kutokana na kalam ya mwenyezi mungu kupitia ulimi wako inshaallah..
Yah yaniii ni sahihi kabbis na nimaomb ya weng wallah sheikh twapend vile usomavy Qur'an
Maa shaa Allah sheikh wetu.....Allah akuzidishie umri uwe kutukumbusha zaidi n zaidi....
Takbiriii ewe mwenyezi mungu naomba unipe subra ktk maisha yang yote amiini
Mashaa Allah sheikh kishki Allah akupe afya na mwisho mwema in shaa Allah
Maashallah nakupenda kwa ajil ya allah
Mashallh
Shuskrani sheikh, Allah yupo mamoja na waliho subiri, tusiwe miongoni mwa waliokata tamaha
Masha allah, sub' haana allah shekh, wetu kwel, Allah, atujaalie tisikate tamaa na rehma zake pia allah, azidi kukuongoza in shaallah 👏🤲🙏🔥
Jazakallah kheir Shk wetu...Allah akupe kila hitaji lako
ALLAH mpe UMRI sheikh kishki,atangaze dini YAKO
Masha Allah nasi YAALLAH tuongoze katika mema Amiin YARRABY
Amiin
Allah akuzidishie umri mrefu uzidikutupatia wasia
Masha Allah may Allah belles you ustaduna
naomba namba
Mashaallah 😚 🌸 Allah akupe umri mrefu utuzidi kutuma elimu
Allah akuzidishie siha iliyo njema
Mashaallah jazakallah kheri sheikh nurdin
Mashaaallah tabarakallah shukrani sana shekh
Mwenyezi mungu anipe rahma na sheikh wetu pamoja na wale wamefuata nidi ya mtume(s.a.w).
Maaashanllah shekhe wetu mungu akuongoze firdunia waliakheray shekhe
Allah akulindee
Machallah nawomba mawayihha yakuhusu iyi corona kuhusu kufunga miskitii yamaka Na madina mana Mimi kama mwislam ime nikela sanaa a Tena sanaa muyiwongeye kwaki alabuu tuwape awa warabu WA Saudi Arabian tafathari murususaidie mana awa labda hawaskii
Jaza khallahou kraira🕋
Mashaallah. Mungu akulipe kheir. nasi atuongoze
Mash'Allah kila la kheri liwe juu Yako sheikh kishki na kundi lako
Man'sha Allah tabarka Allah Nina kupendeni kwa Ajili YA ALLAH Subhanna'Allahu watAa'Allah ❣ 💕
Asalam aleikum warahma tullahi wabarakatu vipi kushikana na kushare vitu na mtu aliyeritadi yafaaa
Asalam aleikum warahma tullahi wabarakatu....niko na swali jee kushikana na mtu aloritadhii yaruhusikaa
Jazakallahu kheir, Ameeen ya Rabbi
Allah akupe nguvu za kutuelimisha
MashaAllah shik kishko
Ws wr wb mashaa Allah mashaa Allahu
Napenda mawaidha yako sana
Subhanallah aaallahwkbar
Mashallah
Mashaallah
MAA SHAA ALLAH
Mashaallah shukran
Alkahu akbar
Maashaallah
Allah Akbar
Inshallah
SubhanaAllah
MashaAllah
alhamdulillah
Mashaallah 🛐
Masha Allah
Mashaallah sheilkh wangu ... Nimetafuta number yako sana nakuomba unitumie ndugu yangu...
Ma shaa Allah
Mashaallah.
Maashaallaah
Subhanallah😭😭😭
Mawaidha mazurii mpk raha jmn
Masha Allah
Ninasema tena mawa'da yasiwe ya kuwagawanya wa Islamu li ajli yakhtilafu ndogo, Uisllamu kuwa na alwahda ni muhimu kama muna hikma na busara, wa Islamu wame pata shida nyingi li ajli ya mihadara za kichuki, zime sababisha hadi muislamu anamwona muislamu menzake hana ma'ana, hawapendani wana chukiana wana umizana eti hiyi ni bid'a hiyi ni shirki hizo poropaganda zime pangwa na mayahudi li ajli wa'islamu wasiwe alwahdatulislamiya. mayahudi ni madui wakuba wana fanya kila njama za kuwagawanya waislamu wasiwe na umoja.
Mung akuzidishie she wetu ameen
MASHAALLAH
MashaAllah
Mashallah
Masha Allah
MashaaAllah