Aslahm alaykum shekhe mimi nikijana wakiisilamu nimwanafunzi kutoka madrasa tul munawara mombasa kenya mama yangu alikufa allah amrehmu baba kaowa mke mwengine lakini akawa mim anipeleki vizuri sasa anishulikii kwa jambo lolote lakini kwa ndunguzangu wote tatizo lolote yuko mbele na hata matatizo yawatu wengine yuko mbele na kwa kila kitu lakini kwangu hata nikijitahidi kumfanyia wema kiasi gani kisha atakaa na watu wengine anisengenye na mm ndio mtoto mkubwa wa kiume sasa kwa matukio anayo nipiga sasa imefikia mahali mimi ni niwe nae karibu lakini kila nikikumbuka yale anayo nipitishia navunjika moyo kwakweli je huyu nifanye nn sheke kwahili maana nimepata maradhi pia kwahili shekhe😭😭😭
Allahu Akbar
ALLAH akuhifadhi shkh kishiki❤❤❤❤
From Kenya 🇰🇪
ALLAH awahifadhi baba zetu walio hai na awarehemu na kuwaingiza peponi baba zetu waliofariki.
Allah akukutanishe na bwana mtume Muhammad s,w,s sheikh nurdini kishki
Allah awahifazi baba zetu na awape mwisho mwema
Maaxhallah...
Sh, Abou mahir Fadhakkir tv Allah aipe nguv....
Aslahm alaykum shekhe mimi nikijana wakiisilamu nimwanafunzi kutoka madrasa tul munawara mombasa kenya mama yangu alikufa allah amrehmu baba kaowa mke mwengine lakini akawa mim anipeleki vizuri sasa anishulikii kwa jambo lolote lakini kwa ndunguzangu wote tatizo lolote yuko mbele na hata matatizo yawatu wengine yuko mbele na kwa kila kitu lakini kwangu hata nikijitahidi kumfanyia wema kiasi gani kisha atakaa na watu wengine anisengenye na mm ndio mtoto mkubwa wa kiume sasa kwa matukio anayo nipiga sasa imefikia mahali mimi ni niwe nae karibu lakini kila nikikumbuka yale anayo nipitishia navunjika moyo kwakweli je huyu nifanye nn sheke kwahili maana nimepata maradhi pia kwahili shekhe😭😭😭
Allah akbar
subuhana llah
Naomba number za kishk plz
ALLAH akuhifadhi shkh kishiki❤❤❤❤
Allah akbar
Naomba number za kishk plz
Naomba number za kishk plz