Sheikh Nurdin Kishki FUNGUO KUMI ZA RIZKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 96

  • @zahraabdul7290
    @zahraabdul7290 2 роки тому +3

    MashaAllah...mawaidha mazuri sana Mwenyezi Mungu Akiziidishie ilm uzidi kutufaidisha. Uhibbuka liajlillah

  • @SamiraHassan-o3w
    @SamiraHassan-o3w 9 місяців тому +2

    MashAllah sheikh maisha mwema Allah 🏠

  • @hasniaa3575
    @hasniaa3575 3 роки тому +2

    Amini yalabi lalamina. Allah alijalie mume mwenye kuijua Dini YA Allah namutume wake Mohamadi

  • @rahmashukri9944
    @rahmashukri9944 6 років тому +13

    Nakupenda kwa ajili ya Allah,,,,mungu akuzidishie umri, afya na unachokitaka duniani na akhira

    • @shakilahamsin5743
      @shakilahamsin5743 5 років тому +2

      Nakupenda kwa ajili ya Allah,,,,mungu tuongoze ummaty Muhammad

    • @yussufmohamed5996
      @yussufmohamed5996 4 роки тому +1

      Masha allah shekh nurdin kishki allah akuzidishie umri ya kutangaza dini ya allah na mungu akuepushe mahasidi

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      @@shakilahamsin5743 ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*,

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*,

  • @joharykhery6808
    @joharykhery6808 5 років тому +4

    Mashaalah mungu anipe kizazi chenye kusimamisha bendera ya Lailah Illah Muhammad rasul Lilah kama wewe. Mungu akulipe zaid niombee

  • @husseinyhassany5696
    @husseinyhassany5696 5 років тому +6

    Mashallah sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya allah aza wajal

    • @alihamdanali6820
      @alihamdanali6820 4 роки тому

      Shekhe nurdin niombee dua tafadhal kwahisani yako mm ni mwanamke

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 років тому +2

    Masha Allah nakupenda sana sheikh kishki Allah akupe afya na umri mrefu in shaa Allah

  • @fatimadidadida9633
    @fatimadidadida9633 5 років тому +4

    Mashallah hatuna ya kukulipa ila nakuombea Allah usiku na Mchana akujaliye kheri dunia na kesho akhera 🙏🙏🙏nifanyieni ndua nipate mume mzuri Bali sio mzuri to akue anajua Allah mengine yatafwata inshallah

  • @RuqayaHamza
    @RuqayaHamza 7 місяців тому

    Namuomba tu allah anijalie niweze tu kutimiza ndondoyangu ya kujenga madurasa kijijin kwetu maan bd tupo nyuma upande wa madrsa ajali kazi ya mikono yangu na afya njema

  • @KajanackMwewa
    @KajanackMwewa 11 місяців тому

    ما شاء الله هذا عظيم، الله يعطينا فهم دينه آمين

  • @sewakilimila7839
    @sewakilimila7839 4 роки тому +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akujalie khekma na subra ktk dini yetu ya kiislam ili huendelee kuipigania din yetu!na mwenyezi mungu akujalie mwisho mwema!

  • @shwaibuathumani5656
    @shwaibuathumani5656 6 років тому +10

    Mashaallah mkono kwa mkono hadi peponi

  • @zaymaramra2679
    @zaymaramra2679 4 роки тому +1

    Mashallah Mungu anijaalie mume wa aina yko na kizaz kilchobora zaid mbele ya Allah

  • @fatmaswaleh7004
    @fatmaswaleh7004 5 років тому +2

    ALLAHU AKBAR MashaAllah tabarakallah mola akuhifadhi sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 5 років тому +3

    MashaAllah Jazakhallahu khaira Allah atupe ujasiri wa kuwa pamoja naye Yaaa Rabie

  • @abdikadirmaareeye1236
    @abdikadirmaareeye1236 5 років тому +1

    kazi bora dunia ndio haya malipo yake ipo kua mungu masha allh mungu akupe maisha nzuri na mambo aliyo bor

  • @MohammedAlhabsi-ji4ux
    @MohammedAlhabsi-ji4ux Рік тому +1

    Mashaallah mashaallah jamani naomba namba ya cimu ya shekhe nurdin kishk

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому +1

    MASHAALLAH, jazzakallah kher sheikh na waandaaji na wote walioshiriki

  • @husseinhure795
    @husseinhure795 4 роки тому +1

    Alhamdullilaah mweyezi Allah atupe ilmi na ambariki sheikh kishki

  • @reyathumyan5666
    @reyathumyan5666 3 роки тому +1

    Masha Allah sheikh mngu akupe umri

  • @elizachemba112
    @elizachemba112 5 років тому +2

    Asante shekh tujifunze kushukuru kwakwel

  • @مريمالعامري-غ3غ
    @مريمالعامري-غ3غ 5 років тому +5

    Maan shaallah shekhe wetu

    • @maida2710
      @maida2710 5 років тому

      Mashaallah mawaidha mazuri alla akuzidishie kher zake nas tuwe miongoni mwako

  • @agustinommassi2443
    @agustinommassi2443 5 років тому +1

    AMINA namimi najifunza sana kupitia mafundisho aya kaka

  • @BonayaBoya
    @BonayaBoya Рік тому

    GOD bless you sheq

  • @hadijayusuf115
    @hadijayusuf115 2 роки тому +2

    Masha Allah Allah bless you

  • @hasniaa3575
    @hasniaa3575 3 роки тому +1

    Amini yalabi lalamina

  • @hassankatram5697
    @hassankatram5697 5 років тому

    Allah awabariki kwa kazi nzuri mnayofanya

  • @yasenkontee4718
    @yasenkontee4718 Рік тому

    Maashallah sheikh Kishk

  • @usktvonline1827
    @usktvonline1827 5 років тому +1

    AL hamdu lilay nzuri sana

  • @salimbiaisha6466
    @salimbiaisha6466 5 місяців тому

    Shukran Sheikh wetu

  • @samiralisamir7594
    @samiralisamir7594 5 років тому +5

    Jazakal llahu kher

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому +1

    MashaAllah ❤

  • @salimoabularabular235
    @salimoabularabular235 3 роки тому

    mimi naipenda ahera sio duniani dounia nimapito amepitamtume iwesisi mogo panini alhwa

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому +1

    2012 nilipata Mtoto wa pili kwa sasa ni mama wa watoto wawili safar yakwanza nilisafir mwaka 2016 mwez wa 6 tr11 kwenda abudhab

  • @سميرةالعامري-ع4س
    @سميرةالعامري-ع4س 4 роки тому +2

    Allahuakbar

  • @nimcoabdullahi3560
    @nimcoabdullahi3560 2 роки тому +1

    Axsante

  • @sadiaGodana-f4x
    @sadiaGodana-f4x Рік тому

    mashallah

  • @rashidhamis6505
    @rashidhamis6505 5 років тому +2

    👍😀❤❤❤ mashaAllah

  • @omadybinumady5427
    @omadybinumady5427 5 років тому +2

    MAshaa allah

  • @maryamyusuph9084
    @maryamyusuph9084 5 років тому +4

    Manshallah

  • @kassimsalim8225
    @kassimsalim8225 3 роки тому

    Great mawaidha...can I get contacts of sheikh Nurdin Kishk

  • @fatmaahmed5994
    @fatmaahmed5994 4 роки тому +3

    Masha Allah ❤️❤️❤️🥰

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +1

    Mashallah

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +1

    Kwelikabisa subhanallah

  • @سميرةالعامري-ع4س
    @سميرةالعامري-ع4س 4 роки тому +1

    Subhanallah

  • @yusuphmashimila4127
    @yusuphmashimila4127 3 роки тому

    Allah akibal

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Nilikaa miez 4 nilienda Oman mwez watisa nilirud mwez wa 12 Nina watoto wawil wakike wakiume

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 роки тому

    Maashaallah

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Walitumia jina langu

  • @abdikadirmaalim6809
    @abdikadirmaalim6809 5 років тому +1

    MashaAllah sheikh lakin hii ni mambo ya diini so utufanyie offline hii video ili sisi sote tufaidike

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Huyu mume nilianza kujuana nae anzia 2006 tulifunga ndoa 2007 tulibahatika kupata Mtoto wa kwanza 2008 matatizo ya kuvurugika kwa aman ilianza anzia mimba yamwanangu wa kwanza nilikuwa napata njoz za vitisho lakini mungu alinisaidia nilibahatika kupata Mtoto wa kiume

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Kwa jina naitwa ZAINABU RAJABU naitaj msaada wa maombi ilinirud kwenye uhalisia wangu

  • @anishakemisa8806
    @anishakemisa8806 5 років тому +2

    Maa sha Allah

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Nilianza kulishuulikia kabla ya safar lakin halikutoka nilipo rid safarin nikaanza tens matibabu sikuwa vizur nilikuwa kama tahira lakin lilelilokuwa likijitokeza kama jin mait lilitoka kwasasa bado nasumbuliwa nahayo nilio toka nayo oman

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Miez mitatu wa 6 had watisa

  • @hamadisere6011
    @hamadisere6011 5 років тому

    Baada ya miaka 2 nilianza kupata shweetan lilikuwa linanitokea pond nigombanapo namume wangu au nikipata mshtuko wataarifa mbaya ugojwa au umaut kwa MTU nimjuae

  • @jamilamungai9450
    @jamilamungai9450 3 роки тому

    Mashaallah

  • @thurayaalriyamyal2068
    @thurayaalriyamyal2068 5 років тому

    Wenzangu ktk iman kuna yoyote anayeweza kunipa nambari ya sheikh au whatsapp yake

  • @abdikadirmaalim6809
    @abdikadirmaalim6809 5 років тому

    Why video is not off line???

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 років тому +1

    Kishki nakuomba acha kwanza hiyo kazi kaitafut kweli muwawaelwz waisilamu nakam unaijuwa Bali unataka tu sifa zahap duniau kweli itazihiri tu yusufu diwani awasomee majini kuruani nawew ukushane wanadamu uwasomee kuruani kuruani niyawanadamu au yamajin namsiwadanganye waisilamu mkawambia yesu ndie isa huo niuongo ulio dhahir yesu kwakiarabu yasua nawala sio isa ala subuhana wataala ana majina 99 lamia mmeambiwa analijuwa mwenyew nayale sio majina zile nisifa ikiwa jina ikiwa sifa kuruani limo jina lamia jina lamia anaitwa isa namaana yaisa nidajali namaana yadajali nimuongo sifa yamia yamungu wenu nimuongo waisilamu mnatumikia ibilisi na kwajina lamia nasubuhana wataala l inasibitisha kuwa yesu nimungu wakweli naisa mungu wauwongo isa anapokea mpaka majini waliosilimishwa namuhammad uisilamu ninjia nyepes yamotoni kazi kuwangamiza watu mpaka Leo hamuwambii kuwa maana yasu nimuokozi namaana wamasihi nimpakwa mafuta ukisema masihi isa unasema mpakwa mafuta wauongo kwanini mnaendelea kuwatumikisha watu naibada yadajali watu wanafurahiy wanapokuj viongozo wasaudua hiyo ndio mishetani faida gani anaipata muisilamu juhifadhi kuruani zaid yakuwafurahisha majini ndio mana waisilamu wapingaji sababu wana mtumikia shetani kazi kubadilisha majina navisa vyamitume ndio mana mungu lung yakiarabu akainyim heruf wanatafautisha kwavidoto kishiki ikiwa umekuja kuchukuwa kundi lamotoni utaaiabika

    • @fatuma_amour
      @fatuma_amour 5 років тому +2

      Allah akuongoze, akuondolee udhalili

    • @alhabibismail3031
      @alhabibismail3031 5 років тому

      Inalilahi,May Allah guide you,,

    • @bahatihadijabahati7456
      @bahatihadijabahati7456 5 років тому

      Hivi we uko na nn jaman mbona usiende kusikiz mapastor huko

    • @rashidramathanwanjiku71
      @rashidramathanwanjiku71 5 років тому +2

      Sarah abduratif.atuhitaji mawaitha yako wewe unaimani yako sisi tuna imani yetu sasa tuache na imani yetu wewe baki na imani yako Mungu umuongoza amtakae

    • @kassamruzuru4913
      @kassamruzuru4913 5 років тому

      Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @joharykhery6808
    @joharykhery6808 5 років тому +24

    Mashaalah mungu anipe kizazi chenye kusimamisha bendera ya Lailah Illah Muhammad rasul Lilah kama wewe. Mungu akulipe zaid niombee

  • @rahmaally1775
    @rahmaally1775 5 років тому +3

    Masha Allah twawapend Sheikh kwa ajili ya Allah

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +4

    Mashallah

  • @nimcoabdullahi3560
    @nimcoabdullahi3560 2 роки тому +2

    Mansha Allah

  • @mwanaidishabani6411
    @mwanaidishabani6411 2 роки тому +1

    Mashaallah