MTUME MUHAMMAD NDIYE MSAIDIZI WA YESU, QURAN IMETOKA KWA MUNGU, UST KIMWERI AMJIBU MWL NDACHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 289

  • @swalehissa777
    @swalehissa777 17 годин тому +8

    MaashaAllah teach him language I adore you maalim

    • @Josembis
      @Josembis 2 години тому

      What a common scam ,,
      🎉 Jesus Christ cast out demons ref mark 5:13.
      Muhammad received demons ref Quran 46:29
      🎉 Holy spirit indwels people
      ref Joel 2:28,acts 2:15
      🎉 The holy spirit is to be with us until the end of the age ref John 14:16,
      Muhammad died 632 AD ( where is he to be the holy spirit)
      Holy spirit is God himself ref John 3:24. Muhammad has never been holy ie sahii albukhari 5134 , Quran 66: 1 tafsir Al-aljalalayin zina!!

  • @DenaDuu
    @DenaDuu 2 години тому +1

    Mashaallah unajuwa bro

  • @swalehissa777
    @swalehissa777 15 годин тому +5

    Sir you are genius and you are very knowledgeable . Allah bless you more

  • @elihigh3235
    @elihigh3235 14 годин тому +5

    Simulizi, you're doing an excellent job as a host! Your guest is highly knowledgeable. You should consider inviting him to your show more often.

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 3 години тому +1

    Huyu mwalimu ni Genius sana anajibu unaelewa sasa ushindwe kuslim ufe kafiri utachomeka na gas maan ushajua kila kitu❤

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 18 годин тому +5

    Mwalimu unafahamisha vizuri sana anayekataa ni yeye mwenyewe tu

  • @omarchuo2178
    @omarchuo2178 2 години тому

    Dah Shekh Kimweri ukimsikiliza kwa makini utajufunza mengi sanaa. Nampenda sanaa shekh kimweri anamafundisho mazuri sanaa

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 9 годин тому +2

    Kuna watu wanajua na ukiwaangalia hauwezi kujua kama wanajua mpaka uwaone katika sekta zao za ujuzi maashaaAllah Allah amuhifadhi zaid

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 9 годин тому +1

      Amyn yaaraby

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Годину тому

      Allahumma Aaamin
      Mashaallah
      Ndio Raha ya Uislamu ni lmaan/Dini ya Kujiridhisha Kwa Utafiti wa Kisomi/KiElimu (Kisayansi) na si Imaan/Dini nyengin e Nje ya Uislamu (Mfano Wakristo - eti Kiumbe/Yesu ndio Mungu wao na Wahindi-eti Ng'ombe (Kitoweo) ndo Mungu wao🙌🤫🙆
      INNALILLAHI WANNA ILLAHIYL RAJ OUN 😭😭😭😭

  • @AdamAli-q1v1n
    @AdamAli-q1v1n 3 години тому +1

    Mashallah huu ndio ukweli sahihi wakiristo mnangoja nini sasa kuweni waislamu muokokeee

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 7 годин тому +1

    MASHALLAH USTADH UNAFUNDISHA VIZURI NIMEKUELELWA THANKS

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 8 годин тому +1

    Swadacta shekhe kimweri Allah akupe afya jema na mwisho mwema nakushukuru umeweza kufafanua suala la kupewa utume

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 17 годин тому +8

    Mashallah Mashallah,shekh amenyooka laisa- lkiasi,asomuelewa huyu ata darasani atakuwa tiro

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 10 годин тому +1

      Msaidizi wa Yesu n Roho mtakatifu asiyeonekana kwa macho ya nyama.. Huyo ndye ale2achia Yesu.. Achen kpotosha wa2!

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 9 годин тому

      ​@@godsonishengoma5378😂km hukuwa kilaza darasani utakuwa ushaelewa

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 годин тому

      ​@@godsonishengoma5378
      Roho mtakatifu hakuwepo kabla ya Yesu?. Roho mtakatifu ni jina analoitwa Malaika Gabriel. Roho wa kweli ni Muhammad kwa maana ya nabii.

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 8 годин тому

      Yaani nyie watu mnatafuta pa kujibanza,roho haionekani​@@MB-yq3ty

  • @Bistwishs
    @Bistwishs 13 годин тому +3

    Mashaallah shekhewangu wafundishe lugha kwanza watakuelewa tu

  • @saidhassan7544
    @saidhassan7544 11 годин тому +3

    Huyu jamaa Genius Mashallah

  • @masudihamisi-z6m
    @masudihamisi-z6m 2 години тому

    shekhee nakuelewa sana rehma za mungu ziwe juu yako

  • @leonceuwandameno6378
    @leonceuwandameno6378 4 години тому

    Majini wameinyoosha sana. Hongereni!

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 17 годин тому +3

    mashallah sheikh ❤❤❤ wafundishe haki

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 6 годин тому +1

    Maa Shaa Allah Shekhe Kimweri anaelimu lakini hana sifa za hovyo. Yaani ni hifadhi Quran na hiyo Biblia ameisoma Allah akuhifadhi na akupe umri wenye afya ya kweli.

  • @silvoclassicofficial959
    @silvoclassicofficial959 17 годин тому +4

    Dhaa masheh wasikuizi yaani awana elimu Roho wa mungu Ana kuwaje Muhammad. Uwo ni uwongo wa msikitini mnapo danganyana

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 10 годин тому

      Roho wa kweli ni nani ..!? (Nifahamishe tafadhali)

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 9 годин тому

      Na wew tuambie Huyo Roho ni nani, maana atakuja mpaka Yesu aondoke na ukisema ni Roho Mtakatifu yupo hata kabla ya Yesu kuzaliwa kipindi cha Yohana mbatizaji,

    • @silvoclassicofficial959
      @silvoclassicofficial959 9 годин тому

      @@swafiirbulbul819 nayo nchi ilikuwa ukiwa,tena utupu, na Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji,, roho ya mungu ikatulia juu ya uso wa maji. MWANZO 1-2

    • @silvoclassicofficial959
      @silvoclassicofficial959 9 годин тому

      @@ulimwengumaulid7397 nayo nchi ilikuwa ukiwa,tena utupu, na Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji,, roho ya mungu ikatulia juu ya uso wa maji. MWANZO 1-2

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 4 години тому

      ​@@ulimwengumaulid7397uislam ni njia ya jehanam kwa kudanganyana

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 16 годин тому +1

    Hongela bwana simuluzi,nakutabilia uwe mualimu kama ndasha muzaindine kueneza injili🇰🇪

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Годину тому

      Azidi Kupoteza Watu japo ameshaiona na Kujuwa Kweli na Haki na anakili Kwa Kuitikia "Sawa..." Pale anapridhishwa Kwa Majibu ya Maswali yake hukosa Hoja na hivyo huibuwa Swali/Maswali Mengine Kuendeleza Mjadala badala Kusilimu. 🙌🤫🙆
      📌Kweli Sikio la Kufa haliskii Dawa...

    • @misscesty5817
      @misscesty5817 46 хвилин тому

      Acha hasira,wewe endelea kukaa kwa dini yako na kumfwata mtume ambaye pia nae anagonja hukumu ​@@alhadajjmohammedsmith9042

  • @WilliamJamanda
    @WilliamJamanda 13 годин тому +3

    Ayi Yesu alisema habari za roho huyu kimweli anasema alikua anamkaribisha muhamed kwa waisraeli sijaona muislamu amepotea ka uyu jamaaa

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 4 години тому

      Kwanza kapotea kabisa had akili

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 2 години тому

      ​@@Furahinikatkabwana
      Huyu waislaam ata wanakataa maneno yake, wanamshangaa

  • @OmieMari-x7d
    @OmieMari-x7d 4 години тому

    Sheikhe umeongea point Sana...Ila uyo mtangazaji...sio mwelewa...hana elimu kabisaaa

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Годину тому

      Anaelewa sana na ndomaana baadhi ya Maswali Mengi yakijibiwa husema/huitikia "Sawaa...." Akiashiria amekubali/ameridhiswa na Jibu (hana Hoja/hapingi) 🙌
      Ameshaelewa.
      Laakin lmaa/Dini yao (Wakristo/Ukristo) Umesimama/huwa Hai Kwa Kupinga Ukweli na Kulinda/Kutetea ya Uwongo uloasisiwa na Makafiri na Kukataa Ukweli/Uislamu;
      📌Wapagani wa Antokia-Matendo ya Mitume 11 : 25
      📌Luka 1: 1
      📌 Barnaba 67: 5 - 6 na 13 -7
      👆 Wakristo wanapinga Ujio wa Mtume Muhammad SAW Kupitia Utabiri wa Mwana wa Maryam na ndomaana lnjili ya Barnaba wameinyofowa/haipo (hawaiweki) ktk Biblia sababu ni Mwiba na Silaha ya Kuangamiza Ukristo na Wakristo.
      📌.....na tusubiri Siku ya Mavuno.,...Mwenye Masikio na asikeee...
      📌Mpanzi (Yesu/Mwana wa Maryam) alikwisha Panda Mbegu Njema, laakin Adui Shaiytwan (Paulo na Wafuasi wake) wakaongeza Kupanda Magugu ktk Mashina ya Ngano alikwisha Panda Mbegu Njema Mpanzi/Yesu.
      📌Yesu alipanda Imaan/Dini ya Uislamu Kwa Wanafunzi wake laakin Paulo na Washirika wake/Wapagani wa Antokia wakaoandikiza Imaan/Dini ya Ukristo (Ukafiri/Ushirikina -Kusbudi Viumbe) ikawa ndo Imaan/Dini ya Wanafunzi wa Yesu/Mwana wa Maryam Wakti Mwana wa Maryam aliwafundisha (aliwaachia) Uislamu na ya Waislamu Wanafunzi wake

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 5 годин тому +1

    Kuutetea uislam ni ngumu jaman,lakin uongo kwao ni suna

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 7 годин тому +1

    Hebu msikilize huyu jamaa vizuri anavyo ulizwa maswali yeye anajibu tofauti na vile ameulizwa kachanganyikiwa kabisa hata kumwelewa ni ngumu sana

  • @georgevumbu4476
    @georgevumbu4476 4 години тому

    Msaidizi ni Roho mtakstifu siyo mwanadam!

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 54 хвилини тому

    Mtume wako Mohamed siyo Roho mtakatifu... Bali alikuwa mtumishi wa allah na majini,wala hausiki na Jehovah hata kidogo..Kwani Jehovah na allah ni Mungu wawili tofauti, allah malaika zake ni majini (mashetani)na Jehovah malaika zake wako mbinguni... Ubarikiwe.

  • @StevenPeter-sg7zo
    @StevenPeter-sg7zo 18 годин тому +2

    Yesu alivyosema atakuja msaidizi alimaanisha Roho mtakatifu na siyo Muhammad na ndomana Muhammad alimpinga Yesu kwa kilakitu

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 9 годин тому

      Acha uongo na wew usilahisishe mambo

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 годин тому +2

      Yesu na Muhammad hawakupingana .. waliokuja kupindisha mafunzo sahihi ya Yesu, ndio walioleta tafrani. 🖊

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 9 годин тому +1

      Hakuna kilichopindishwa maandiko yanajieleza Yesu alisema yeye ni mwana wa Mungu hata kabla ya mtume paulo ambaye nyie mnakataa.,
      Na Muhammad alivyokuja alimpinga akasema Mungu hana mwana.,
      Huo usaidizi unatokea wapi hapo?

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 8 годин тому

      @@StevenPeter-sg7zo Muhammad amesema "MUNGU hana MWANA" .. Wewe unaamini kuwa MUNGU ana MTOTO .!?? 🤔

    • @abangaabanga4677
      @abangaabanga4677 5 годин тому

      Amen to that 🙏

  • @SweetbertusNtega
    @SweetbertusNtega 2 години тому

    Matendo 2:1-4. - Kwenye neno "Roho Matakatifu" weka neno "Muhammad".
    1. Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.
    2 Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.
    3 Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao.
    4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
    (Kumbuka kuwa hapa ilikuwa miaka 590 kabla ya Muhammad hajazaliwa).

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 6 годин тому +1

    Ni kazi ngumu sana kutetea uislamu,vema tu kwenda shamba kulima,ni rahisi zaidi kuliko kutetea uislamu. Maneno mengi matupu yatokanayo tafsiri ya mawazo yako. Ndo tatizo la kunywa chai ya rangi na kitumbua

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty Годину тому

      Chai ya rangi kwako ni bangi eti?

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 6 годин тому

    Acheni kuforce Kipotoshi Muhammad kuwa mtume wa Mungu wetu

  • @ZakariaJackson
    @ZakariaJackson 16 годин тому +1

    tofauti ya muisilam na asie muisilam ni swala acha Kudanganya watu kila mtu anajua kusoma siku izi Sio kama Zamani mta wafanya watu waichukie iyo dini siku moja kwa Kulazimisha watu kwa kutumia uwongo

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 11 годин тому +2

    Muhammad kwenye biblia ni nabii wa uongo mathayo 24:11 amewadanganya wengi alitimiza andiko biblia aikuacha kitu ananatwambia. Yaliyopita na yaliopo na yajayo Asante BWANA YESU KRISTO MWAOZI wetu unatupenda wanadamu

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 10 годин тому

      Unaposema Yesu kristo ni Mwokozi ..! Unakusudia nini.? . . (Yaani, unamaanisha yeye ndie Mungu?)

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 2 години тому

      ​@@swafiirbulbul819
      Waislaam wacheni ubishi saa zote, chukua bibilia ujisomee kwanza na utaelewa kama wewe unataka kuelewa , lakini kama unatafuta kasoro hautawahi kuielewa

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 58 хвилин тому

      @@mutuasteve2179 Huwa mnatwambia hatuna Roho Mtakatifu wa kutuongoza katika kuilewa Bibilia.. 😔 ..

  • @kazungukasukari
    @kazungukasukari 6 годин тому

    Mohammed alitumwa na watu Mungu alikua shahidi tuu hilo linaeleweka sio mtume wa Mungu

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 6 годин тому

    Majibu ya Waislam yote yanafanana kwa sababu Quran ni moja,Leo nakupa mtihani,chukua swali moja ukaukize Mchungaji mmoja badala ya mwingine,ukipata jibu la kufanana njoo unipeleke jela ntakubali kifungo.

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 19 годин тому +3

    Manabii wa uongo waliotabiriwa ni hawa wa sasahivi sio mtume Muhammad, haijasemwa atakuja nabii wa uongo bali imesemwa manabii wa uongo maana ni wengi sio mmoja, acha ushabiki na mihemko,

    • @JoyMoraa
      @JoyMoraa 4 години тому

      @@habibumadege8187 Mohamed ni anti Christ juu alimpinga Yesu Hawa wa sahii ni wenye shetani anatumia kwa njia ya kuwaingiza watu kwa eneo lake

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 6 годин тому +2

    Huyu mtu anadanganya kwenye dakika 38:15 eti koran ilishushwa na jibril na aya iko wazi aliyeshusha ni adui wa jibril >>>>>
    Learn more
    Surah Al-Baqarah Ayat 97 (2:97 Quran) "Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu".
    ADUI WA JIBRIL NI NANI NDIO SWALWA NYETI HAPA!!

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 5 годин тому

      Haujui kitu unajifedhehesha tu

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 5 годин тому +2

      @@sultanbakary4292
      Pinga kwa hoja sio mawazo yako.
      Aliyekuwa adui wa jibril ni nani??

  • @MohamedHozi-p1u
    @MohamedHozi-p1u 3 години тому

    Wakristo hata waone ukweli bado wataukataa kwa kuogopa kufukuzwa na kutengwa na jamaa zao..wanasahau mungu ndio kila kitu

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 6 годин тому +3

    Mtume gani wa Mungu mwenye kuoa mtoto wa miaka 6? Hivi kweli mtoto wa miaka 6 kweli? Hatimae Aisha alikufa mgumba. Mohammed mtu mbaya sana na tabia zake mbaya.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 години тому

      Wakikusikia .....
      Watasema TAKBIRRRRR

    • @abdullahimohammedabdi3823
      @abdullahimohammedabdi3823 Годину тому

      @@richardnganya2311 anachokisema kilishasemwa na na wengi sana...ila haishangazi kwa sababu nikitu kilichotabiriwa tayari. ili uwe kweli lazma tusikie maneno km hayo....
      alafu isitoshe, unasahau hata jamii zetu za kiafrica na hata kwingine, kitambo kulikuwa utamaduni ya kuchumbia mke/mtoto bindi tu anapozaliwa, so hiyo Mtume SAW kumchumbia mtoto wa miaka sita, hainashida yoyote,
      kingine unasahau karne hizo watu walikuwa wanabaleghe haraka kuliko zama hizi zetu

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 13 годин тому +3

    Kwani anasoma biblia gani huyu jamaa roho wa kweli anakaa nasi milele na Muhammad alikufa kwani akili zenu zilifungwa kias gan

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 10 годин тому +3

    ZIMULIZI HUYU MWALIMU NI AMECHANGANYIKIWA KABISA KULIKO WOTE ALTHOUGH AMEJENGA HOJA NZURI KWA KUELEWA KUWA MUHAMMED PIA ALIKUCHA KWA WARABU TU,LAKINI AELEWI YESU MWENYE MAMLAKA AKAFA AKAFUFUKA, HANA ANDIKO

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 годин тому

      Sijaelewa comment yako .. Unakusudia nini?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 годин тому

      ​@@swafiirbulbul819uwezi helewa maana akili zako zimefungwa na majini!

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 8 годин тому

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Jibu lako hili ulonipa, umeongozwa na 'Roho Mtakatifu' au ni hisia zako Kaka ..!?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 8 годин тому

      @@swafiirbulbul819 ndio muislamu wote wote duniani nivigumu kuelewa maana akili zimefungwa na majini,quran si kitabu cha Mungu sasa ww unafikiria wenye kutumia iyo akili zao ziko sawa?

    • @IssaRamadhani-yg1xy
      @IssaRamadhani-yg1xy Годину тому

      Hiii ndo shida ya mwanadamu hebu jaribuni kua wastaarabu sikiliza kwa makini then nenda kafuatilie vizuli mafudisho anayofudisha shekhe je yupo sahihi au hapana

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 5 годин тому

    Shekh umefundisha vizuri sana hawatakitu kuelewa 😅

  • @SweetbertusNtega
    @SweetbertusNtega 2 години тому

    Yohana 16: 8-12 (Amekosea namna ya kusoma maandiko-amechanganya changanya)
    8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.
    9 Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi;
    10 kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;
    11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
    12 Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.

  • @Bbj-f3r
    @Bbj-f3r 10 годин тому

    shetani hakua Malaika alikua kizazi cha Majini wakristo mmepotea na Malaika hajawahi kumuasi mwezi mungu

  • @StevenPeter-sg7zo
    @StevenPeter-sg7zo 18 годин тому +3

    Yesu alisema mara nyingi yeye ni mwana wa Mungu lakini Muhammad alivyokuja alikataa akasema Mungu hakuzaa wala kuzaliwa kwahyo Yesu anawezaje kumtabiri mtu ambaye anakuja kupingana na mafundisho yake?
    Sehemu pekee kwenye biblia Muhammad alipotabiriwa ni pale Yesu aliposema Siku za mwisho watatokea manabii wa uongo.

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 11 годин тому

      Pls read my comment yenye anwani Paulo ni Mtume fake

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 9 годин тому +1

      ​@@alyaqdhan5206Yesu alijiita kuwa yeye ni mwana wa Mungu miaka mingi hata kabla ya mtume Paulo ambaye nyie mnakataa.,
      Muhammad alivyokuja alimpinga Yesu akasema Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
      Yesu hawezi kumtabiri Muhammad kwasababu ni watu wawili tofauti wenye imani zinazopingana

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 6 годин тому

      @ Mimi nimeleta hoja kama Paulo ni Mtume fake lakini wewe umeruka kwenye jambo jingine, kudai kama Yesu ni Mwana wa Mungu, mimi sikuleta subject hio

  • @salumuhafidhimtabe
    @salumuhafidhimtabe 4 години тому

    Mwalimu anafundisha vizuri sana ila mtangazaji ana kichwa kizito sana sijawahi kuona.....😂😂😂😂😂😂

  • @DavidBoikamba
    @DavidBoikamba 10 годин тому

    Sheh Kakamatika anajitetea kweri kweri

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 9 годин тому +3

    WAISLAMU WATAHANGAIKA SANA WAKIJARIBU KUHALALISHA DINI YAO KUPITIA BIBLIA!!
    MUHAMMAD ALIKUWA ROHO AU BINADAMU??
    MUHAMMAD ATAKUAJE MSAIDIZI WA YESU WAKATI ANAMPINGA? ANAMPINGA SIO MWANA WA MUNGU, HAKUFA NA KUFUFUKA MSALABANI ETC???
    WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 9 годин тому +3

      Yohana 16:7 "Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu."
      Kimweri akilazimisha muhammad ndiye msaidizi...itabidi akubali YESU NI MUNGU kwa mujibu wa Yohana 16:7!!!
      Maanake manabii wote walituma na Mungu na huyo msaidizi anatumwa na Yesu!!

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 9 годин тому +1

      @@chapchap-oz1ou
      KWELI KABISA....NDO NKASEMA WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 години тому

    Waislamu kila nikiwaambieni nitafuteni mimi. Nina majibu yote ulimwengu mzima. Mimi ni mwalimu ambaye elimu yangu inatokana kwa Mwenyezi Mungu kutaka.
    Hayo mnayo bishana wala hamna elimu nayo. Mwishowe mtakufuru.
    Ndani ya miaka 40 sijawahi kumuona sheikh akaweza kuitafsiri maana hata ya B ismillah rahman, raheem.
    Sijamuona yeyote akatafsiri akaleta maana kwanini familia ya Mariam wakishangaa kumuona Mariam amebeba mtoto, mimba ilikuwa wapi . kina mambo mengi ndani ya Quran wote hamyajuwi ila baadhi tu ambayo yapo wazi. Nd an I ya miaka 40 nimeona mambo ya ajabu sana, wanagombana misikitini kesi zao mahakamani ni ajabu mno. Mimi si msomi miongoni mwa wasomi wenu ila elimu yangu si ya kawaida. Nawasomeeni yatokanayo na mbingu i moja kwa moja, nimepewa kuifasiri Quran na sura zote maana yake .nimewahi kuandika humu YEYOTE ANAYE WEZA KUITAFSIRI MAANA SURAT TYN AYA 1-4 TU 200,000. HAKUNA ALIYE JITOKEZA. NIPO DSM +255715417511.

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 2 години тому

      Asante sana, naona roho wa Mungu anaendelea kukufunulia njia ya kweli, na karibuni utaamua.

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 9 годин тому

    Wewe unaeitwa Nickson Lyimo acha kumtukana Mtume Muhammad hajaua mkristo Wala hajaua myahudi ila alikuwa rafiki wa Kila mtu. Nick acha uongo acha uzushi usiwasingizie mitume wa Mwenyezi MUNGU.

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 7 годин тому

      Kaka watu kama hawa Qur'an ishawaelezea wapo na mwisho wao ni Adhabu kali

  • @JohnAwinda
    @JohnAwinda 9 годин тому

    YESU asifiwe watuwetu yeye ndio alituma Moha

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 5 годин тому

    HICHIKICHWA NI HATAREEEE NILI KUWA NAJIULIZA YUPO WAPI HUYU MWAMBA NILI MUONA CKUMOJA TU LAKINI NILI MUELEWA KUWA NIHATARI MWA MWAMBA HUYU APA. HUYUJAMAA NIMSOMI TUACHE USHABIKI
    AKIWEKA HOJA LAZMA UME NA D. 2

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 години тому

    Wakristo wenyewe hadi leo hii hwajuhi dini yao kaileta nani na mtume wao ni nani hata salamu ya yesu hawajui hata Mungu wa kweli hawajui ni nani ndiyo sababu kila unalofundisha wao wanapinga huo ndiyo ukristo dini ya shetani kwa sababu Paulo alimpa shetani wanafunzi wakristo wafundishe na shetani simtukane Mungu yaani walimu wa imani ya kikristo ni mashetani ndiyo sababu ibada zao ni muziki na kucheza viuno

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 2 години тому

      Mungu akusamee maana hujui usemalo, maana njia yetu ni moja, nayo ni hii,,, kumwamini Yesu Kristo kama mwokozi wetu. Amina

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 6 годин тому +1

    Roho wa kweli anakufa? Huyo Mohammed alikufa hadi Leo yupo kaburini. Iweje Roho wa kweli awe Mohammed?

  • @isaacmligo9187
    @isaacmligo9187 9 годин тому

    Naona Waislam wanazid kuchanganyikiwa sijui wanasomaje maandiko yan ni kinyume nyume

  • @SelemaneMomadeFormassane
    @SelemaneMomadeFormassane 7 годин тому

    Kaka wa Mic Ana kiburi sana, ataki kuherewa

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 7 годин тому

      Hv kwann upande wenu wengi hamjui kuandika vizuri na kusoma? Kuherewa ndio nn? Ila kwa ubishi sasa ndio mafundi

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 5 годин тому

    Wakristo kaeni mkijua biblia siyo kitabu alichopewa Yesu hicho ni kitabu cha warumi na wazungu Yesu kapewa kitabu kinachoitwa Injili kitafuteni hicho kitabu mtapata habari za mtume Mohamed humo makafri wa kizungu hicho kitabu wamekificha hacheni ujinga na ubishi mwingi ndiyo sababu mnamadhehebu mengi sana kwa kudanganyana hadi leo hii Mungu mwenyezi hamjuhi ni nani

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 11 годин тому

    Jitaidi kumtetea huyo mtume nabii wa uongo hili andiko la mathayo 24:11 utabiri ulitabiriwa kabla ya huyo allah na Muhammad wakajitokeza mwaka 610 wakatimiza unabii wakawasilimisha majini mapepo wachafu mashetani ambao Yesu aliwafukuza na akatupa amri ya kuwafukuza Muhammad na allah wakawapokea Quran 46:29-31 na 72:14

  • @shabanbisaki
    @shabanbisaki Годину тому

    Waisilam tuwe na subra tusitoe matusi Kama wao wanavyo tukana tufikili kitu kimojatu wao huwa wanachoma Quraan umeshasikia muisilam anachoma bibulia

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 11 годин тому +1

    Huyu jamaa ajielewi anasema Muhammad alizuiliwa kufanya uovu wakati Quran inathibitisha ni muovu Quran 4:79 na 47:19 na 40:55 Muhammad ni mdhabi ndiomaana kila aiku wanamuombea rehema

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 годин тому +1

      Kilichokusudiwa;
      Alizuiwa kushiriki ibada za Masanamu walizokuwa wakifanya Jamii yake.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 9 годин тому

      @swafiirbulbul819 hivi nyie huyo Muhammad mbona ni mwanadamu kama wewe Quran 18:110 Tena ni mdhambi kama wengine Quran 40:55 hizo Aya hamzioni nyie waislamu mmekuwa vipofu kiasi Gani mbona huyo mtu yupo wazi tu ?

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 8 годин тому +1

      @@prochesernest5439 Ni sahihi kaka; Muhammad (saw) ni Binadamu kama Sisi, na kama ilivyo Sifa ya Mwanadamu kupatia na kukosea. Ukamilifu ni wa Mungu pekee.

  • @KevinAtito
    @KevinAtito 10 годин тому

    Kwanza yesu alitumwa kwa ulimwengu wote ,

  • @barutibuhendwa7558
    @barutibuhendwa7558 18 годин тому +3

    kama yesu alisema atatuma roho na huyo roho nyinyi waislamu mnasema ni muhammad maanake yesu ni mungu wa muhammadi

    • @mercymjunior9684
      @mercymjunior9684 6 годин тому

      Muulize tena

    • @MohamedHozi-p1u
      @MohamedHozi-p1u 3 години тому

      Shida akili zenu ni pofu wakristo kwani apo yesu amesema yye ndio atamtuma muhammad mpaka yesu awe mungu.

    • @mercymjunior9684
      @mercymjunior9684 2 години тому

      @@MohamedHozi-p1u kulingana na uislamu yesu ni mtu tu kama mtu wa kawaida sasa Ako na mamlaka Gani ya kutuma mumamad akiwa ndie roho wa Mungu ?uislamu umechanganyikiwa ata tukijaribu kuwaelewa tunapata ata wao hawajielewi Kuna mambo ya kushangaza sana eti Muhammad ndio roho wa Mungu aliyetumwa na yesu

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 години тому

      ​@MohamedHozi-p1u hebu tutafakari pamoja: nani mwenye uwezo wa kutuma roho ikafanye kazi ya kufundisha hadi mwisho ?

    • @mercymjunior9684
      @mercymjunior9684 Годину тому

      @@richardnganya2311 Yesu alipewa mamlaka yote binguni na duniani

  • @JosephChai-u1h
    @JosephChai-u1h 4 години тому

    Yohan mbatizaji alimukaribisha yesu Na yesu tukamuona Na Yohan tukamuona kwanini Mohamed hakuonekana

  • @kamanjamwenjerwa7032
    @kamanjamwenjerwa7032 7 годин тому

    MUNGU WANGU SKIA AKILI YA MUISLAMU IMEJAA MAJI TUPU KUELEWA NI SHIDA😂😂😂

  • @JohnAwinda
    @JohnAwinda 9 годин тому

    Kwani YESU ndiye MUNGU 😂😂😂

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 9 годин тому

    Malaika ana umbo Gani nanani Alisha muona malaika kwa umbo lakee

  • @chikuiddy9946
    @chikuiddy9946 7 годин тому

    TULETEE TENA HUYU MWALIMU ANAELEWEKA VIZUR SANA KTK KUFUNDISHA KWAKE

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa5256 16 годин тому

    😅😅 hawa ni ku comment, MaashalaAlah tu hata kama kinachoongelewa ni upuuzi upuuz tu.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 години тому

    Roho wa kweli ni Roho Mtakatifu. Huyu jamaa ni sifuri. Maagizo walipewa wanafunzi wa Yesu!! Sasa kama ujumbe ni kwa wana wa Israel sisi tunaingiaje ?

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 2 години тому

    KABLA JAMAA HAJAONGEA NILI MPONGEA YAANI HUYU JAMAA BASI TENA ANA TISHA ANAJUA SN YANI NI MSOMI ASIE KUWA NA KIBURI KATULIAAAAAA KTK HOJA ZAKE

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 10 годин тому

    Maelezo bila andiko zimulizi si vyema maana kila mtu ako na ushawizi kilugha, maandiko yaseme tu

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 6 годин тому +1

    Nabii gani mwenye kuoa mwanamke umri wa mama yake?

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 11 годин тому

    MALAIKA WAMESHA TENDA DHAMBI NA WALIMUASU MUNGU , PIA SHETANI ALIKUWA MALAIKA NA ALIASI NA KUTENDA DHAMBI NA MTENDA DHAMBI MPAKA SASA

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 9 годин тому

      Kwa mujibu wa Qur-ani shetani ni jinni alieasi sio malaika

  • @KevinAtito
    @KevinAtito 9 годин тому

    Hawa watu wanakuaga na maelezo mingi kuliko hata mandiko

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 16 годин тому

    Muhammad alifunuliwa kwa Waarabu tena na haswa Wawuresh waliokuwa waabudu Masanamu na sio kwa Dunia nzima

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 12 годин тому +1

      Kanye ukalale

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 10 годин тому +1

      Toa andiko ili tuamini na nikwambie tu ukweli Muhammad kw watu wote ushahidi wa Aya upo, huwezi jua kitu bila kuuliza

  • @mzaliwaseif7079
    @mzaliwaseif7079 8 годин тому

    Simulizi leo umefikwa na sizani tena kama utakuwa na Shaka kuusu ilo swala lako.Yani ulimpata doctor kweli.

  • @saidhassan7544
    @saidhassan7544 12 годин тому

    Yohana 16
    8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.
    Huyu c wawanafunzi pekee ni waulimwengu, Huyu ni mtume Muhammad.

    • @JohnAwinda
      @JohnAwinda 9 годин тому

      Na alitumwa na YESU 😂😂😂

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 8 годин тому

    mwambie arejee katika yohana 16.8 roho atajwae hapo ni wa ulimwengu maana atauhakikishia ulimwengu habari ya dhambi, haki na hukumu na sio kuwahakikishia wana wa israel bali ni walimwengu wote

  • @MosesKubo
    @MosesKubo 7 годин тому

    Roho kaonekana kweli chizi karogwa tena

  • @AbdulazizPacha
    @AbdulazizPacha 7 годин тому

    Duuh kunawatu wanavichwavigum utabiri wa nabii wa uongo sio juu ya mtume bali ni kwa hawa wakina mwafulani na mzee wa up,gwjm hivi bado mpakaleo humjawajua mitume na manabii wa uongo wauza upako na mchanga

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 15 годин тому +1

    Jamaa ni muongo kama kweli hio roho ni Muhammad sasa kwanini alifundisha mafundisho tofauti na Yesu😂😂😂

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 годин тому

      kbs

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 годин тому

      Yesu, Mussa, Ibrahim, Muhammad n.k .. Walikuja n Ujumbe unaofanana kutoka kwa MUNGU .. Walipokuja walioamua kuchafua mafundisho, Wakafikisha hali hii inayoonekana leo.

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 годин тому

      @swafiirbulbul819 tulia na majini wako apo ww!

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 9 годин тому

      Tupe mifano tuzidi kukuelewa

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 годин тому

      @ZayyanaBamuni yohana 10:36,anti-christ Muhammad anakata Yesu si mwana wa Mungu,ila Yesu mwenyewe anajiita yy ni mwana wa Mungu!

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 10 годин тому

    Hizi Bangi zipigwe marufuku tu vijana wengi wanaangamia😂😂😂

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 17 годин тому

    Huyo shehe kaisha mezeshwa huko aliko tumwa na majini yuko tayali kuuwa na kusema uongo ilimladi abishe

  • @BenjaminChome
    @BenjaminChome 11 годин тому

    Roho ni mtu hapo unapotosha uma roho hana mwili wala mfupa achauongo ,mbona mohamed alipokuja alikuwa anapinga mafundisho yaliyotangulia ,mashehe wasiku hizi hawana elimu kabsa .

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 5 годин тому

    Nenda kakojoe hukalale kawadananye maamuma wenzio

  • @Rashid-w2l
    @Rashid-w2l 17 годин тому

    Mtume mohamed amekuja miaka 570 baadae kizazi cha wakati wa jesu washapita wote ,na jesu alikuwa alete msaidizi kwa kizazi kile aliacha kwaivo mohamed aingiii kabisa...

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 7 годин тому

    Msaidizi wa Yesu ndo roho mtakatifu, 😂😂😂😂hayo ni mafundisho ya kiislam tu.

  • @Milanova460
    @Milanova460 2 години тому

    Jehanam ya waizilamu ni pahala pa kutombana.... ahahahah...

  • @wilsonolekoei
    @wilsonolekoei 18 хвилин тому

    kama ndugu zetu wa kiislamu wa kawaida wangekuwa na uwezo na uhodari wa kuuliza maswali ya kiakili kama SIMULIZI , hakika wote watabatizwa!. First proof without reasonable doubt that Mohammed revelation was from God.

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 9 годин тому

    Yaani akili pia zitumike ktka kujibu naswali jamaa yupo Sawa Sana abarikiwe.

  • @wilsonolekoei
    @wilsonolekoei 5 хвилин тому

    Ajabu na kwamba walimu wa kiislamu wanatumia BIBLIA kuthibitisha KORAN. Mbona wasitumia matukio ya KORAN KUTETEA UKWELI WA KORAN??

  • @nenolamungulungele3495
    @nenolamungulungele3495 10 хвилин тому

    Uyu jama hana helimu ata kidogo

  • @KevinAtito
    @KevinAtito 10 годин тому

    Hii mada hata mm naeza kukunyosha ushagaye ,

  • @graduationtv3072
    @graduationtv3072 5 годин тому

    Huyu shekhe ukimsikiliza bila ushabiki ni kwamba anazungumza vitu asivyokuwa navyo utashi na anaongea kiushabiki siyo kihoja

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 8 годин тому

    Njaa itakuuwa

  • @evermtuku
    @evermtuku 3 години тому

    yan roho wa kweli n mohamed uyu shekh ni ovyo kabisa heri Mbogo ni muongo lakin si kama huyu🤣🤣🤣

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 7 годин тому

    Uyu jamaaa mbona anajua sana duuuuuuuu

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 15 годин тому +1

    Yaan waisilamu wanatafuta namna yote yakumpachika Muhammad kwenye Bible ili aonekane ni mtume kutoka kwa Mungu 😂😂😂 Muslims scholars and Arabs have failed to do so, who are you eti Holy Spirit amekua Muhammad ambae nayeye anasubiria kuhukumiwa na Yesu

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 годин тому

      Waislamu hawana akili hizo ..! kwasababu;
      • Zaburi kapewa Daudi • Torati kapewa Mussa • Injili kapewa Issa • Qur’an kapewa Muhammad
      BIBILIA amepewa Mtume gani ..!??

  • @deogratiasrutabana2387
    @deogratiasrutabana2387 7 годин тому

    Kwahiyo kuna majini yameslimu yakawa waislamu. Kwahiyo waislamu kwao kuna majini mazuri na mabaya?

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 4 години тому

    Huyu mtangazaji nihatari mdadisi balaa

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 години тому

    ACHA USENGE