Mungu akupe nguvu na Afya njema ukayafikirie haya maoni na uyatafakari una Vita kubwa sanaaaa humo ndani ya Ccm na Serikali yako kisa wewe Mwanamke pole sanaaaa Mungu atakusaidia
Kwa kweli sisi tuluoko mitaani tunasikia mengi sanaaaa tunaomba Mama aweke wazi kuhusu utekaji na waliotekwa waonekane ili famulia zao zitulie wawe wako hao au wamekufa taharuki ya wananchi imekuwa mbaya wananchi wameingia woga sanaaaa sidhani kama watajutokeza kwa wingi kwenye kupiga kura wameanza kuogopa wanasema kutakuwa na virungu hiyo ndiyo imani yao
Chande Chobde Mama halu mitaani kuba naneno mengi sanaaaa sisi wanawake ndiyo wapiga kura wabasema kadi zao zitakuwa za kukopea mikopo ya tu ya mwendo kasi hawatakwenda kupiga kura wanaogopa virungu ba kutekwa watoto wao Mama rudisha Amani ibataka kutoweka Mama yangu wewe ni mzazi ona uchungu wa uzazi
Kwa maoni yangu mama angetoa maakuzi ya kutaka zaidi hawa watekaji wawekwe hadharani ili nchi iwe na Amani naona inataka kutoweka nchi jirani zinazotuzunguka ni Vita kila wakati Watanzania wameshapata uoga hata kwenye chaguzi wanaona kutakuwa na fujo nahofia watu hawatakwenda kupiga kura heri aweke wazi watekaji wajulikane
Mama mimi binafsi maoni yangu kama Mama lakini umri ninekuzidi nina Wajukuu na Vutukuu chonde naomba hao waliotekwa wafanyie kazi warudi ili nchi iwe na Amani Mama huenda baadhi ya Washauri wako wabakupiga vita ya chinichini kwa vule wewe Mwanamke uobekane hufai kuongoza tuwe Wanawake hatuna thamani
Hiyo mchambuzi WA BBC akichambua msemo wa rasi SAMIA kwu KILA MTU atalia KWA namna yake na kusema uhai WA MTU ni WA dhamani sana
Mungu akupe nguvu na Afya njema ukayafikirie haya maoni na uyatafakari una Vita kubwa sanaaaa humo ndani ya Ccm na Serikali yako kisa wewe Mwanamke pole sanaaaa Mungu atakusaidia
Mama Samia wewe ni mtoto wa kiislamu naamuni unasali sanaaaa nakuombea kwa Mungu ushinde vita hii pole Mama yangu
Mama yako samia mmh