Mzee Wasira wewe ni hazina kubwa sana kwa taifa hili. Mungu akubariki kwa maneno yako ya hekima. Amani ya nchi ndiyo utajiri na urithi wetu na vizazi vijavyo. Mungu ibariki Tanzania.
Yeye mwenyewe kipindi cha magufuli alivyopigwa chini ubunge na Ester buraya aliandamana kupinga matokeo mpaka akapeleka kesi huku musoma lakini akapigwa chini😂😂😂😂😂
Upo saw wao wangeandaman bila kutoa tamko la ovyo.. yote haya yasinge kuepo na wange andamana bila shida ,, lakin co waanze kutoa taarfa mbay ndio waandamane... Tuiombee nchi yetu tuone mfano nchi zenye vulugu wanavyo teseka sisi hatutaki teseka
Sio Kila Mtu aimbe wimbo wa chadomo wanauwa watu polisi serikari nchi hii tuko wengi sio Kila Mtu awe kasuku Kila atakachosikia ni kuimba tu HAPANA sio Kila Mtu ni kukurupuka tu unaweza ukajikuta Umebeba Diri za watu na kuzipigia chapuo kumbe ndani ya haya mambo kunawanufaika wewe unajitoa kubeba watu kumbe wao wanajua wanachokifanya
Kazi ya daktari ni kumpa mgonjwa dawa ili kusudi mgonjwa apone na sio daktari kumpa mgonjwa sumu ili afe, Sisi wenye D2 tumekusoma kazi kwao wale vilaza kazi wanayo.
Kaongea ukweli polisi jeshi wanatakiwa waelimishwe kwa maslahi ya taifa.uzalendo na ,tangu kipindi cha cuf,tuyaache ya nyerere.. ..(***).uzalendo na usawa..............tunachotaka raia wema ni usawa wa haki sawa kwa maskini na matajiri..................
Mzee wasira maandamano yaliitishwa kwa sababu vijana waliotekwa akina Soka na wenzanke..... Waje live or Dead. Wewe unapiga propaganda tu...... Wandishi ...ulizeni maswali na kukanusha uongo. Kama hamuwezi acheni kueneza propaganda.
Kuuawa watu hawajaona kuwa ni uvunjifu wa amani ila kudai watu waliokufa ktk mazingira ya kutatanisha hiyo ndiyo amani kwakuwa havichukuliwi serious na polisi ila watu kwenda kuuliza kwanin watu wanauwawa hii ndo polisi wameona ndo uvunjifu wa amani eti.
Mzee pasua nazi mchele uive mana hasira inataharuki badala ya subra badala yake watu wana perseption ya haraka kumtengua pilato katika kesi ya point pilate saga!
Mzee usiamini Kila asemacho samia ,hakukua na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, maandamano yalifanyika na polisi walishiriki kikamilifu .ujumbe ulifika Kila mahali.
ee babu hizo tuhuma polisi walizibuni tu ili kuhalalisha ukatili wao sasa kama hili ni kweli kwa nini wasiwashitaki watuhumiwa kabla ya hayo maandamano msitufanye watz ni wajinga saana kwa vile mnaongea kiengereza
Enzi za Nyerere yupo,enzi za Mwinyi yupo! Enzi za Mkapa yupo! Enzi za Kikwete yupo, Enzi za Magufuri aligombea akashindwa sasa anatafuta cheo cha kuteuliwa?
Hao wanaojua viashiria mbona hawakuona upotevu wawatu hakuona waliompiga lissu azory,mawazo,Ben sanane na wengine wengi. Wanaona viashiria maandamano ya cdm tu hahahahaaaa kwe nchi nzuri Kwa maziro
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ongera babu yetu,sijui mzee kikwete yuko wapi jamani na wengine kama hawa
Mzee wasila nimekuelewa sana na una hoja mzuri safi sana mzee wangu
Mzee Wasira wewe ni hazina kubwa sana kwa taifa hili. Mungu akubariki kwa maneno yako ya hekima. Amani ya nchi ndiyo utajiri na urithi wetu na vizazi vijavyo. Mungu ibariki Tanzania.
Amina
Asante mzee wangu kwa kusema ukweli nilifikiri utasema uongo
bado tuna wazee ambayo ni hazina ya taifa wenye madini ya kutosha!!mzee wetu wassira!!mungu akupe afya njema uendelee kulisaidia taifa!!
Mzee wassira hana jipya it's just a figure
Tupe jipya wewe ambae una jipya kuliko Wassira
Mzee nimekuelewa sana sana unafaa kuitwa MZEE MUNGU AKULINDE
Wewe ni unaleta kinyaa kwenye taifa Bongo hii.
Hongera mzee wetu hakika umetoa darasa zuri Sana
Ukitaka kufaham nyinyi vijana wenye asili ya Chadema hamuna Adabu mnamtukana Mzee Wasila kweliiiiii
Safi sana kutuletea Tyson he's gifted with convincing power
Uko vizur mzee wasira wewe ndio tunu ya taifa
Jamani nayo hiyo ni tunu ya Taifa.
Ety tunuu maviiii😂😂😂
Tunu ya taifa angepigwa chini na wanabunda wakiongozwa na blaya?
Hongera baba ,Bado unauwezo mkubwa wa kushauri na kutoa darasa
Hongera Mh Rais . Kwa uono wa mbali . Tumia busara / nguvu kulinda AMANI YA TZ
Kwisha kabisa! Mzee umemaliza maneno. We were serious and will continue to be serious
Aisee we mzee mwenzangu, acha uongo. da aisee
Ongela saana mzee wasira maana unatililika na points mpaka maswsali yanatafutwa kwa torch
vp Mbona hamtafutangi mzee wetu MUSTAFA NYANG,anyi
Kiukweli huyu mzee yuko sawa sana, wao walisema ni maandamano ya amani sidhani kama wangeleta vurugu
Waambie Mzee hakuna jambo la shortcut Chadema wajenge Chama waache propoganndda
Uko sawa kabisa
Hongera saana mzee wetu kwa busara kubwa
Huyu Mzee Mimi namkubali sana na ni hazina kubwa sana katika nchi sio Mzee wa hovyo kama wengine
Tusipende kuiga hongera Mzee wasila
Kama unamkosoa mzee wasira hujitambui
Wewe ndiye usiye mfahamu Tyson na hana jipya in simple words.
Mbona hawajakamatwa uongo wasamia na miwani yake wangekuwapo waalifu wa chadema wote wangekuwa magerezani
Mzee Wasira uko sawa kabisa.Ile miito ya Samia must go ilikuwa na maana ya kuiondoa serikali madarakani.
Yeye mwenyewe kipindi cha magufuli alivyopigwa chini ubunge na Ester buraya aliandamana kupinga matokeo mpaka akapeleka kesi huku musoma lakini akapigwa chini😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉wazeee bado wapo wenye madini hekima na busara na mzee kama huyu wametoka mbali hii nchi anajua katiba ndio maana anatoa madini
Yeye alikuwa ni waziri na mbunge wa bunda mpaka amezeeka aliifanyia nini bunda hawa wazee ndiyo waliharibu nchi yetu😢😢😢
walisema waitaingia barabarani na SAMIA must go!!!
Kka wa mzee natus iriza wa kiloreli
Kaaaa!!!kweli tumetoka mbali
Mzee katulieee uendelee kusinzia😂
Nyinyi mnaesema huyo Mzee hafai nyinyi ndiyo hafai .
Hivi hili zee halina kwao hovyo
Nyinyi mnaomtukana Mzee huyu mko mawakala wa shetani
Na wewe hujitambui anaelenza Habari za rais yeye ni rais kwani
Tatizo la mzee Wasira ni njaa yake kuibeba kwenye kiroba!!! (UCHAWA UNAMSUMBUA MZEE HUYU!!!)
Inasikitisha san lizee kama hili limezeeka lkn linakuwa linafiki ase tanzania bado san kama wazee ndio hawa vijana kazi tunayo
Upo saw wao wangeandaman bila kutoa tamko la ovyo.. yote haya yasinge kuepo na wange andamana bila shida ,, lakin co waanze kutoa taarfa mbay ndio waandamane... Tuiombee nchi yetu tuone mfano nchi zenye vulugu wanavyo teseka sisi hatutaki teseka
Bado umelala ukiamka utajua
Hapo ulipo tu unateseka na MAISHA alafu unasema utaki kuteseka😂😂😂😂😂
Mzee Wasira ni hazina.
Hovyo kabisa huyu Mzee Wasira. Hafai hata kupewa airtime ya dakika moja. Retireded person. Atalipoteza Taifa
Hata kesi ya lissu haijachinguzwa 7 years byeee mzeeeee
Sijui, uchunguzi wa Ngulelo chap ila wa mauaji na utekaji ndo hivooo, tuskilizie hii nchi
Watanzania bado tuko gizani sanaaaa...... Inafaa watu tuwe tunatembea na torch hata mchanaaaaa
Sema tz wajinga ni wengi
Taifa linahitaji wazee wenye hekima kama Mzee Warioba, butiku, nawengine wanaojitambua ili taifa letu liwe salama sio wazee machawa
❤
Hili Zee la ovyo kweli ndiyo maana hii NCHI ilishindwa kupata maendeleo
Wewe ndio pumbavu
Hata adabu huna halafu unataka maendeleo
Sio Kila Mtu aimbe wimbo wa chadomo wanauwa watu polisi serikari nchi hii tuko wengi sio Kila Mtu awe kasuku Kila atakachosikia ni kuimba tu HAPANA sio Kila Mtu ni kukurupuka tu unaweza ukajikuta Umebeba Diri za watu na kuzipigia chapuo kumbe ndani ya haya mambo kunawanufaika wewe unajitoa kubeba watu kumbe wao wanajua wanachokifanya
Maendeleo anzia kwako, acha kutukana wazee, umevaa miwani ya mbao huoni hata nchi imepiga hatua? Halafu watu wasio tembea ndo wanadharau nchi yao.
Wew umefanya nn hapo ulipo cha maana
Usifikiri Kila mzee ana hekima, Yako mazee ambayo ni mapumbavu.....(mzee unasubiriwa wenzako wametangulia mkajibu pamoja na wenzako).
Mzee amezeeka sana.Tukio la Lisu lilichunguzwa? Mbona kwenye matukio yote ya utekaji polisi ni watuhumiwa Namba 1?
Mzee hovyo!!!!
Chawa mzeeee
Amani hailindwi na police, Tanzania hatuna amani tumetulizwa na hofu ya vyombo vya Dola.
kwaiyo uchunguzi wa Chadem umefanyika kwa halaka sana kuliko watekaji na wauwaje.hii nchi ile bendera itiwe langi nyekundu tujue moja.
Wao polisi wangeereza kuwa kiusalama tutapanga siku nyingine
Handsome boy😂
WATU MNATANGULIZA MIHEMKO NA CHUKI LAKIN MZEE ANAONGEA VITU VYA MSINGI SANA
Bado sana
siasa ina mambo mengi hata kwenye bibilia iliandika....Mungu atupe hekima
Katika political parties Act hakuna mahali ambapo imeandikwa kwamba Polisi ilinde maandamano.
Huyo analinda pesheni yake zee zima unapotosha kuchunguza mbaka lini
Sijaona mzee mpumbavu hana akili kama hili bora amalizie uzee wake kujua haki ya utanzania
Huyo mzee amechanganyikiwa, hapo anaongea utumbo tu.
Kazi ya daktari ni kumpa mgonjwa dawa ili kusudi mgonjwa apone na sio daktari kumpa mgonjwa sumu ili afe, Sisi wenye D2 tumekusoma kazi kwao wale vilaza kazi wanayo.
Kama haya yalikua na viashiria, je yale ya mbeya?
Wazee wasiyo kuwa na busara hekima nchini kama huyu
Kaongea ukweli polisi jeshi wanatakiwa waelimishwe kwa maslahi ya taifa.uzalendo na ,tangu kipindi cha cuf,tuyaache ya nyerere..
..(***).uzalendo na usawa..............tunachotaka raia wema ni usawa wa haki sawa kwa maskini na matajiri..................
Mzee wasira maandamano yaliitishwa kwa sababu vijana waliotekwa akina Soka na wenzanke.....
Waje live or Dead. Wewe unapiga propaganda tu......
Wandishi ...ulizeni maswali na kukanusha uongo. Kama hamuwezi acheni kueneza propaganda.
Hyu mzee sija wahi kumuelewa hata kidogo tukiwaambia mulete ushahid hamuleti kazi kusema uwongo Kila siku majibu hamtoi hadi leo
Tuna kushukuru baba kwa ufafanizi wa kina
Kama polisi wapo haikuwa na haja ya polisi kuzuia maandamano na kazi Yao ni kulinda amani na sio kuzuia
Mzee wasira tumependa busara zako tunakushukuru kwa hekima zako
Kuuawa watu hawajaona kuwa ni uvunjifu wa amani ila kudai watu waliokufa ktk mazingira ya kutatanisha hiyo ndiyo amani kwakuwa havichukuliwi serious na polisi ila watu kwenda kuuliza kwanin watu wanauwawa hii ndo polisi wameona ndo uvunjifu wa amani eti.
Ni lipi neno la nzee Wasira, maandamano yashibitiwe kama alivyosema Polisi walifanikiwa kudhibiti au watu waoewe uhuru wa kuandmana?
Sasa hao polisi ndoo wahusika wa mauji wanalinda amanigani ndoo watekaji
Kazi kubwa ya polisi ni kuzuia mskosa chairman na hso wengine wajue sheria ns Co kujifanya kujua
Hata Magufuli alisema uchunguzi wa shambulio la Lisu.ULIFANYIKA? Huyu mzee no kisirani kilichobakia.
Mzee Acha kujipendekeza huwezi kuteuliwa tena
Kwer huyu mzee anajipendekeza
Chadema wameferi hawataki ushauri.
Huyu cameraman lazima aelekeze camera jikoni?
Mzee ana akili nyingi sana,Huyu mzee ni hazina kwa taifa,Atunzwe.
Du
Hawa wazee wasikilizeni vijana Wana hazina
Babu huogop kuongea uwongo umri huo??? angalia Kuna maisha yakwenda kumjibu mwenyezi mungu
Mzee pasua nazi mchele uive mana hasira inataharuki badala ya subra badala yake watu wana perseption ya haraka kumtengua pilato katika kesi ya point pilate saga!
Mzee usiamini Kila asemacho samia ,hakukua na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, maandamano yalifanyika na polisi walishiriki kikamilifu .ujumbe ulifika Kila mahali.
ee babu hizo tuhuma polisi walizibuni tu ili kuhalalisha ukatili wao sasa kama hili ni kweli kwa nini wasiwashitaki watuhumiwa kabla ya hayo maandamano msitufanye watz ni wajinga saana kwa vile mnaongea kiengereza
Enzi za Nyerere yupo,enzi za Mwinyi yupo! Enzi za Mkapa yupo! Enzi za Kikwete yupo, Enzi za Magufuri aligombea akashindwa sasa anatafuta cheo cha kuteuliwa?
🤣
Eti kwa umri huo mtu bado anajipendekeza tu!!
Mzee sio riziki habari zko 2nazo
Fkira,chakavu
We mzee hamnazo unakufa na zambi zako mjinga mmoja wew unajifanya uoni matatzo yanayo wakuta wanzio unavunga nakuchukulia poa unaweka akili mfukon mbwa wew
Dogs do know each other
Ili zeee unalioji la lakazi gani? Ana kitu hapaaa
😢
Nilifikiri una akili kama ndungi kumbe 0 kabisa zee jinga huongelia watu kutekwa kuuwawa huna maana kabisa sura mbaya tu
Huyu "Nyara" ya CCM atatuambia nini kipya cha kuiletea jamii ya Kitanzania. It ishigh time he should Tanzaians alone. He is "dead wood"!!
Porojo nyingi Na uchawa Uyu mzee wa kungombea madalaka kwenda Mahakamani na esta bulaya
Kumbe hili Zombi linaongea. Lakini ajue tu kuaminiana hakuna maana wauwaji na police na usalama. Then iweje wachunguzi ni miongoni mwao?
Anaye sema Tanzania hatuna maendeleo, ametupima na nchi gani? Je! Yeye ana maendeleo gani kuliko wenzake hapa Tanzania?
Huyo mzee mwambiye hizi sio zama zake apishe Vijana
MUNGU azidi kukuongeza miaka
Kesi ya nyani hakimu ngedere.
🇹🇿
mzee wasila shikamoo naswali kwako kama maandamo katiba inalusu kwanini selekali inatumiaguvu je watu wanaotekwa bonaniwapizani siyo ccm ivi kutaka kujua ukweli nidhambi ? kwani matukio yamezidi je jeshi lapolic limeshidwa kukamatwa hao watekaji? mbona jambazi anapatikana naao tunataka tuwaone mwisho tuliombee taifa ayamajanga yapunguwe kwani watanzania tunaishi tunaogapana atuna amani
Hao wanaojua viashiria mbona hawakuona upotevu wawatu hakuona waliompiga lissu azory,mawazo,Ben sanane na wengine wengi.
Wanaona viashiria maandamano ya cdm tu hahahahaaaa kwe nchi nzuri Kwa maziro