Thank you pastor.Yesterday for the first time in many years listened to lucky Dube, Whitney, Michael Jackson and wondered why worldly music is so appealing.
Watumishi wengi maarufu katika nchi hii tafaut yao na wewe ni kwenye mafundisho biblia inasema mtawatambuaje Hawa tutawambua kwa matendo yao. Nawewe mafundisho Yako yanakuthibitisha kuwa mtumishi wa mungu wa kwel.
Nyimbo za kidunia sizipendi kabisa nazichukia hazinivutii chochote , kabla ya kumpokeaYesu ndiyo niliogelea kwenye mambo yote mabaya pamoja na hiyo miziki.
Thank you pastor.Yesterday for the first time in many years listened to lucky Dube, Whitney, Michael Jackson and wondered why worldly music is so appealing.
For the first time i hear this good sermon from tanzanian pastor , glory to God
Unafundisha vizuri sana sio rahisi mimi kukubali maubili ila haya nimeyakubali
Du! Ila hiyo baba jamani! Ana madini aisee! Yaan Huwa namtukuza Sana Mungu. Napenda kumsikiliza
Watumishi wengi maarufu katika nchi hii tafaut yao na wewe ni kwenye mafundisho biblia inasema mtawatambuaje Hawa tutawambua kwa matendo yao. Nawewe mafundisho Yako yanakuthibitisha kuwa mtumishi wa mungu wa kwel.
Barikiwa sana
@DenisRukangula amina
Nakukubali sana mtumishi
Baba ubarikiwe sana kila ninapokusikia najisikia uamsho wa ajabu ndani yangu
Barikiwa mtumishi kwa kuniingizia kitu kipya kwenye ufahamu wangu wa kiroho
Mungu akubariki sana MWALIMU wangu
Nakupenda Sana mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri barikiwa Sana.
Hii imeenda
Amen sana mchungaji wangu
Amen
Wewe ni mtumishi wa MUNGU hakika tena wakweli kabisa MUNGU akupe mwisho mwema.
Amen! Barikiwa sana mtumishi%
Baba Barikiwa saana.
Mungu anaona mwisho na anajua mawazo na mienendo ya watu kuwa ataishi vip anajua.atachezea.dhambi.kiasi.gani ko anavokurehemu.anajua ulivo moyo wako
Baba yangu Asante san tupe kingine kipande cha kipindi hiki
Amen Ame
Amina mtumishi wa Mungu 🎉🎉
Amee kubwa
Kichwa cha habari nakipinga.
NyImbo za injili hata zikae miaka hazichuji, nashangaa upako wa nyimbo za tenzi za rohoni, tumwimbie Bwana nk
Njlidhani ni Mimi tuu sijaelewa kichwa Cha somo
Baba tunaomba channel ndani ya kisimbuzi cha Azam plz dady.
Hilo jambo nimelisubilia kweli
Aaee gwajiboy
Yani mtumishi unafaa kabisa kuwa mwalimu wa Theolojia
Umedumu mno kati ya mbawa zake hakika umepewa
Kweli kabisa baba hata Madilu System ule uimbaji alitakiwa amwimbie Mungu
Mwambaaaaaaaaaa
Dk ya 12:32
Mbona inaishia njiani😢
Kafuatilie ibada mzima
Hao wanao chekacheka mtumishi aki hubiri huwa wanaelewa kweli. Au ndio oya oya waibada
vibe tuu🤣🤣🤣
Nyimbo za kidunia sizipendi kabisa nazichukia hazinivutii chochote , kabla ya kumpokeaYesu ndiyo niliogelea kwenye mambo yote mabaya pamoja na hiyo miziki.
😂😂
Sasa unapingaje kichwa cha habari nahufundishi wewe haikuwa lazima kuongelea hayo mambo kiroho huo ni udhaifu
Amen