JINSI YA KUWAVUTIA NA KUWATUNZA WATU MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO || JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @AbisaiBilla
    @AbisaiBilla Місяць тому +2

    Asante sana kaka Joel, kwa makala hii nzuri hakika unabadiri maisha yangu kwa viwango vikubwa , MUNGU azidi kukubariki kaka.

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa Місяць тому +2

    Asante sana coach Joel nimejifunza kitu 👏👏👏👏

  • @paulpeter4684
    @paulpeter4684 Місяць тому +2

    Mungu akubariki Mr Joel

  • @gbkamihanda
    @gbkamihanda Місяць тому +3

    Powerful wisdom, thank you Joel.

  • @Mwanafunziwayesu-p1y
    @Mwanafunziwayesu-p1y 8 днів тому

    Aiseeee maarifa haya ni matamu sana ❤❤
    Ahsante sana kiongozi

  • @AngelaMmbaga-g9k
    @AngelaMmbaga-g9k Місяць тому +1

    Asante kiongozi nimekuelewa hasa hapo,wapewe thamani hao watu na mengineyo sita ,nimejifunza.

  • @PetroMaroa-v8h
    @PetroMaroa-v8h Місяць тому +1

    Hakika kam ni watu mungu alikutumia na ukawa msaada kwao hakika ni mm mwaka jana nlkua na magumu madeni yamenisumbua uchumi umeyumba hakika kupitia kwako nililipa na niliepukika na changamoto niltaman ningekutana na ww nkwambie ahsante lkn nlmwambia Mungu akusaidie sana leo hii mm nisingekuwa hai kwenye maisha yako jua uliyaokoa maisha yangu

  • @FelisterMassawe-j8h
    @FelisterMassawe-j8h 18 днів тому

    God bless you kweli kwa maarifa ulionayoo natamani ungekua raisi wa nchi yetu

  • @HilaryMassawe-y7s
    @HilaryMassawe-y7s Місяць тому +1

    ✅✅✅ ✅✅✅ SOMO ZURI SANA💯 BE BLESSED MORE SERVANT 🙏

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza Місяць тому

    Hii kubwa sana mtu wa MUNGU

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w Місяць тому +2

    Safi 🙏

  • @GodfreyMsangawale
    @GodfreyMsangawale Місяць тому +1

    Daaaah 😊

  • @nadiaseif
    @nadiaseif Місяць тому

    Somo zuri sanaa hakika umejuwa tubadirisha maisha yetu Mungu akubariki ameen

  • @veronicamwautenga7394
    @veronicamwautenga7394 Місяць тому

    Thank u very much

  • @EduardoElias10107
    @EduardoElias10107 Місяць тому

    Napenda

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 26 днів тому +1

    👊✌️

  • @HelenadaudDaud
    @HelenadaudDaud Місяць тому

    Ubarikiwe sana nimejifunza mengi!

  • @Lydiaowino
    @Lydiaowino 17 днів тому

    Amen

  • @simonherman5365
    @simonherman5365 Місяць тому

    👏👏👏

  • @MalcomxLumumba-hl4bk
    @MalcomxLumumba-hl4bk 29 днів тому

    Wash! Kumbe Waafrika hatupo kama yanavyo sema maandiko
    Kuna kitu kizuri sana ambacho nimetokeya kugundua katika hii speech

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Місяць тому

    Nzuri mno

  • @JafariAbdallah-t7p
    @JafariAbdallah-t7p 9 днів тому

    🙏

  • @akwadaniel5383
    @akwadaniel5383 Місяць тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RashmaAbdulla
    @RashmaAbdulla Місяць тому

    Kaka wengine hutupokei zawadi ila anakuwa ana mawazo chanya kiukwer simpendi itaniletea mazara