Aina Tano (5) Za Nguvu Zinazoleta Mafanikio - Joel Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 200

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 років тому +29

    Nguvu zote ni nzuri bali mi ningependa kuwa katika EXPANT POWER nataka kuwa na kujikita zaidi katika kitu ninachotaka kukianzisha nataka baada ya miez au miaka niwe mtaalam zaidi juu ya hili ninalotaka kuanza kulifanya.. Ubarikiwe Kaka Joel unatufumbua masikio tunasonga mbele 👍👍👍

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 років тому +2

    Somo zuri kiongoz,napenda kujifunza zaidi kupitia vipindi,vyako kutokana haya maisha yapo kwy kujifunza zaidi

  • @farmpridetz8974
    @farmpridetz8974 5 років тому +11

    Barikiwa” natengneza nguvu ya kuwa Guru kwenye maswala ya ufugaji wa kuku na incubators Hp nitafika kwa jina la Yesu

  • @ipyanathomas4254
    @ipyanathomas4254 2 роки тому

    Nahitaji sana kuwa na Expert power mana nimekuwa Mtu wakunichangia ya san kwenye kazi bila kuwa na utaalam wowote na nashkuru Mungu ni referent power nnayo

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 Рік тому +1

    Asante sana kaka mimi nataka kutumia EXPANT POWER katika kitu ninachotaka kusomea asante sana kaka Mungu akubariki

  • @antigonimathew5090
    @antigonimathew5090 4 роки тому

    Nashukuru sana kwa elimu hii...ningepeñda kujuana na watu waliyofanikiwa kibiashara.

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 років тому +1

    expect power nataka niwe mtaalamu wa ufugaj wa kuku wa kienyeji wa mayai na wa nyama ila watu hunikatisha tamaa na kuzid kuua ñďòto ýàñģù ushaur wako kaka angu il nitimize ñďòto ýàñģù hyo ndo passion yangu

  • @zenahaji6310
    @zenahaji6310 3 роки тому

    Mungu akuzidishie nguvu na hekima mm ni miongoni mwa watu uliowatoa sehemu moja na kunipeleka sehemu nyengine nakupenda Sana na nakubali Sana umenitia nguvu Sana pale nilipokqta tamaa

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 5 років тому

    network power aisee hii nilishaianzaga lakini sikua najua kwamba ni muhimu na sio vibaya kuitafuta! asante nanauka

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 років тому +6

    Asante sana kwa kutengeneza video hili,
    Nikitazama mazingira yangu,sina connection power,sina legitimate power, but I will never give up developing my expert power, I will never loose my referent power and through my skills and specialisation,I believe I will be able to hold my referent power too
    Thx Joel Nanauka,your messages always has an impact in my life ❤❤❤

  • @elizaberthswai3522
    @elizaberthswai3522 5 років тому +2

    Ninaona hizo nguvu zote tayari unazo kaka Joel, siyo kwa passion hiyo ya kutaka kuwaona watu at the top, I love you Muheshimiwa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Asante Nashukuru
      #SeeYouAtTheTop

  • @pr.ndaturuem.9809
    @pr.ndaturuem.9809 5 років тому

    Nafurahia sana kwa masomo yako, kuna jambo natamani kushare na wewe, ukipata muda tuwasiliane, ubarikiwe na Bwana

  • @jacklinemashenene5976
    @jacklinemashenene5976 3 роки тому

    Namshukuru Mungu kwa kukutumia ww ili nijue anasema nn namimi umenisaidia kuishi kwenye uwezo wangu wakipekee Mungu akubaliki sana kaka joel

  • @King_Kev78
    @King_Kev78 5 років тому +1

    Joel asante sana. Mimi ningependa kutengeneza zaidi nguvu ya kwanza.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @gabrielmwakalasya
    @gabrielmwakalasya 5 років тому

    Mimi nataka kuitengeneza kuvu ya Coherent Power. Mimi ni muimbaji so I find that the majority of people Loving me so much

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 5 років тому +1

    Asante Sana Kaka Joel
    Nguvu ya Network ndio ninayohitaji
    Nishauri juu ya hili.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 років тому +3

    Asante sana, mimi natamani niwe na conection power

  • @kenethkunambi8684
    @kenethkunambi8684 5 років тому +4

    Unakuwa na nguvu zote au baadhi Ila persistence na continuation ni kikwazo...tatizo kwangu

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 роки тому

    Haipiti cku bila kukusikiliza kaka Joel nanauka ktk ratiba zng za Kila cku napenda kukusikiliza asubuh wkt wa break na jioni Kuna vitu vikubwa sana najifunza kwako

  • @festorymlekwas4050
    @festorymlekwas4050 5 років тому +2

    Nguvu ya kutengeneza hapo kwa upande wangu ni CONNECTION POWER ,kwani mbinu hiii itasaidia Mengi sana

  • @gastormichael7677
    @gastormichael7677 5 років тому +2

    Connection power
    Ndg Joel mungu akubariki sana kwa masomo yako mazuri.

  • @imsalauriani7254
    @imsalauriani7254 Рік тому

    Asante kwa kuendelea kutupa madini mimi nahitaji connection ya watu.

  • @mwajumayunus2041
    @mwajumayunus2041 5 років тому +5

    my morning lesson for today be blessed my Broo your the best

  • @rollahngimbwa6978
    @rollahngimbwa6978 Рік тому

    Asant San nimejifunza mengi kupitia video hi.
    Ymkn ngv zote ni nzr ,me natamani Sana kuwa na ngv ya expart power
    Natamani kujifunza mengi na kuwa na ujuhi wa kutatua jmb kwa ulahisi bila kuumiza kichwa sn.

  • @jescakabogo730
    @jescakabogo730 5 років тому +2

    asante ndogo wangu, nahitaji expert & connecting power. be blessed.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @emmanuelyusuph9057
    @emmanuelyusuph9057 5 років тому +2

    nahtaji sana expert power, asante bro joel

  • @ludovickmwikwabe5129
    @ludovickmwikwabe5129 5 років тому

    Naipenda zaidi connection power,nahisi inanisaidia mno, naipenda niifuatilie Zaidi.

  • @mussaali4702
    @mussaali4702 5 років тому

    We noma kaka nakukubli San mim nahitaji kua mfany biashar hebu niambie n kitu gan ambacho natkiw kufanya

  • @wigengeazizi3801
    @wigengeazizi3801 5 років тому +2

    Thanks brother nahitaj sana connect power network

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @bitemwita6809
    @bitemwita6809 5 років тому +3

    connection power ndo nahitaji zaidi na naomba unisaidie lkn pia expert power tayari nina general knowledge ninachohitaji ni specific knowledge na namna ya kupata watu maalum ktk hiyo specific area

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 5 років тому +2

    Nakuewaga sana kka love u

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 5 років тому +3

    Nahitaji kuwa na Connection powers,,, nifanyaje? Maana ni mgumu kuanzisha connection na watu.&Ahsante kwa somo zuri.

  • @theresiabukuku9821
    @theresiabukuku9821 5 років тому +2

    M nnahitaji kutenge neza connection power,nna amin katika ilo

  • @gablesladyfashionanddesign1409
    @gablesladyfashionanddesign1409 5 років тому +4

    For me ineed expert power for sure

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @zenahcharles7640
    @zenahcharles7640 4 роки тому +1

    Me nahitaji nguvu namba 1 iwe hiyo nd inanifaaa

  • @sabatomjungu9727
    @sabatomjungu9727 5 років тому +2

    Ahsante ,Iyo ya nne inabidi kuizingatia sana kwa sababu ninayo lakin na ya tatu itabidi kuanza kuifanyia kazi pia

  • @elishasundu9338
    @elishasundu9338 4 роки тому

    Njema Kaka Sana Kaka Mungu akubarikiii

  • @zulatantalising6636
    @zulatantalising6636 5 років тому +4

    Shukran kk, I think exp power & connection power

  • @niholausbarnaba3314
    @niholausbarnaba3314 5 років тому +1

    nguvu katika somo la chemistry

  • @sahachi397
    @sahachi397 2 роки тому

    Nataka connection power na wewe Joel uwe sehem ya connection yangu

  • @ndeke_154
    @ndeke_154 5 років тому +2

    Powerful. Thank you my brother

  • @najmachami547
    @najmachami547 5 років тому

    Asante sana kaka ww ni shujaa wangu sijuti kukufuatilia

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 5 років тому +2

    Nimekuelewa vizur

  • @msengisimoni2087
    @msengisimoni2087 5 років тому +2

    natengeneza nguvu ya kuwa mrekebishaji magari bora

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Weka Nguvu Katika Eneo Hilo
      #SeeYouAtTheTop

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 роки тому +1

    Nimejifunza kitu hapa

  • @yohanageorgekika2240
    @yohanageorgekika2240 2 роки тому

    Hongera sana kaka kwa mafunzo mazuri.

  • @naomikalebi4332
    @naomikalebi4332 3 роки тому

    Cohesive, legitimate,Expant etc maneno haya hayana tafsir yake kwa kiswahili mbali na maelezo yake,Sio wote tunajua kizungu kaka. Elimu hii tunayoipata hapa twahitaji kuelimisha na wenzetu waipate,

  • @idutathomasmaige2113
    @idutathomasmaige2113 5 років тому

    The power of expert nimeipenda zaidi

  • @kennedywabwire8772
    @kennedywabwire8772 5 років тому +3

    asante. good topic in life

  • @elizaberthswai3522
    @elizaberthswai3522 5 років тому +2

    God bless you much

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 4 роки тому

    Ubarikiwe kwa somo nzuri

  • @denmat4118
    @denmat4118 5 років тому +1

    Nilikuwa nakufatilia sana katika kila video unayopost kweli ninakushukuru sana nimejifunza mengi saana ahsante sana lkn naomba unisaidie kitu kimoja ambacho mpaka Leo ninakifanya lkn sijui nnafanya kivipi ambacho ni studying techniques or how to study kwa sababa mm bado ni mwanafunzi

  • @mariamsimon2235
    @mariamsimon2235 4 роки тому

    Nataman zaid na expant power na connection power naomba ushaur nifanyeje

  • @sannyverse1967
    @sannyverse1967 5 років тому +1

    Mtu mwenye connection power teacher!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @selehmaniz5065
    @selehmaniz5065 4 роки тому

    Asant brother me nahitaji mtu mwenye connection power

  • @malalezengo4405
    @malalezengo4405 5 років тому +1

    safi sana joel wetu ubarikiwe sana kwa masomo yako

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Vizuri Ndugu Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 років тому +1

    Naisi nipo ivyooo yan natafutwa na watu juu ya ujuzi nilio nao ila cjajua jinc ya kupata pesaaa nisaidie.

  • @rebecamlindwa2913
    @rebecamlindwa2913 5 років тому +1

    Kaka Joel mm nipo ktk hiyo expert power coz Nina skills ambazo nahitaji kufanya how should I communicate with you ili unifundishe deeply according to my skill

  • @awadhimaramshamaramsha1910
    @awadhimaramshamaramsha1910 5 років тому

    Kaka nimezpenda nguvu ya Kwanza natamani kuwa mfugaji was kuku lakini pakuanzia pananipa shida Sana nifanyeje kaka

  • @nicksonmaftah102
    @nicksonmaftah102 5 років тому

    Asante kaka expert power

  • @kenedynkana3693
    @kenedynkana3693 Рік тому

    Connection power and referent power are best power to reach our target.

  • @epifaniamzena1077
    @epifaniamzena1077 Рік тому

    Ktk maisha yangu nahitaji networking mi nina utaalamu wa kufuga kuku

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 5 років тому +3

    Expert power ndo jambo la msng

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Good
      #SeeYouAtTheTop

    • @dianampangala7060
      @dianampangala7060 5 років тому

      Joel Nanauka Mungu akubariki tunapata kitu katika masomo yako naomba uni - add katika group yk 0767 -860840 Mpangala

  • @burhansalum6214
    @burhansalum6214 5 років тому +2

    asante brother mm ninataka niwe na expert power sababu mm ni daktari kwa hiyo niwe na mikakati gani niweze kuijenga?

  • @february2866
    @february2866 5 років тому +3

    Jaman nawezaje kufungua channel Yutube,naomba mnisaidie natamani sana!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      Piga Simu Hii Hapa 0754811753

    • @february2866
      @february2866 5 років тому

      +Joel Nanauka Oooooh,Amina Sana Kaka,!Ubarikiwe Sana

    • @arobogastmashamba8957
      @arobogastmashamba8957 5 років тому

      @@joelnanauka nami nitapga kaka maana nami pia nataman kufungua na nmeshajalibu ila nashindwa kuiweka hadharan

  • @youngtone4333
    @youngtone4333 Рік тому

    Great master mind

  • @angeljabir8608
    @angeljabir8608 5 років тому +1

    Dizaini kama akuelewa hivi

  • @FSanja
    @FSanja 5 років тому

    Natamani sana kupata vitabu yako

  • @salumtamopa5480
    @salumtamopa5480 5 років тому +1

    mm ningependa kuwa Expart Wa masuala ya welding fabrication

  • @athumankikwete9707
    @athumankikwete9707 5 років тому +3

    Thank you brother!

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 4 роки тому

    Hello!!asante kwa vipindi vyako mungu akubariki kaka!mimi naitaji kupata expart power na conection power

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 5 років тому +6

    Shukran nmeipenda nguvu y a kwanza na ya 3 nifanye jitihada gan?

    • @jihadisadick3789
      @jihadisadick3789 5 років тому

      Nina malengo ya kufungua mpesa asante sana kuna KT nimekupata

  • @rebecajoxephat1708
    @rebecajoxephat1708 5 років тому +1

    asante kwa somo kaka angu

  • @fadhilrehan5129
    @fadhilrehan5129 5 років тому +1

    Asante ubarikiwe

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +1

    Connection Power 🔥

  • @xavialonso3819
    @xavialonso3819 5 років тому +2

    Jinsi gani naweza kuwasiliana na wewe bro

    • @xavialonso3819
      @xavialonso3819 5 років тому

      I live outside the county.I'm trying to reach you.Which are the best way to reach you.

  • @Cyper255
    @Cyper255 5 років тому +2

    Hiyo Referent Power nadhani unamzungumzia Bw. Konki Konki Konki Master au? Nahitaji ufafanuzi hapo.

    • @victorpeter2105
      @victorpeter2105 5 років тому

      Kak nafrah san kupata maharifa haya naomba uniunge kwene grp namba angu 0652288857

  • @AdventJulius
    @AdventJulius Місяць тому

    Connection power

  • @evalyata2697
    @evalyata2697 3 роки тому

    Connection power kaka yangu

  • @evalyata2697
    @evalyata2697 3 роки тому

    Connection power kaka yangu

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 років тому

    Connection power is the best to me

  • @asiakibali3936
    @asiakibali3936 4 роки тому

    thanks brother

  • @telesiamkumbwa8888
    @telesiamkumbwa8888 5 років тому

    thanks brother

  • @telesiamkumbwa8888
    @telesiamkumbwa8888 5 років тому

    thanks brother

  • @khamismakame3764
    @khamismakame3764 5 років тому +2

    Legitimate power nitengeneze zangu binafsi nitaazaje?

  • @gladmboya2385
    @gladmboya2385 5 років тому

    Nakushukuru sana kaka nilikuahidi naanza upya na kweli nimeanza upya, naomba uniunge kwenye group lako la WhatsApp nijifunze zaid

  • @kelvinfelician3721
    @kelvinfelician3721 Рік тому

    Me kwngu mmi naitaji kutengeneza nguvu ya kujua kufanya biashara naitaji san kufaamu kaka naomba nisaidie

  • @isackmagidanga9906
    @isackmagidanga9906 Рік тому

    I've charisma and I need legitimate power ( position )

  • @thefuturegrobaltv8619
    @thefuturegrobaltv8619 5 років тому +2

    M ni mtaaramu wa kilimo na mifugo nataka kuwamtaaramu wa mtaaramu zaidi ktk eneo hili lakini pia nataka niwe na connection power

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому +1

      Vizuri Inawezekana Anza Leo
      #SeeYouAtTheTop

    • @christopozzy6405
      @christopozzy6405 5 років тому

      Mi kwa upande wangu nahitaji sana kuwa na expert power & connection power

  • @womanhappness
    @womanhappness 5 років тому

    Connection and network power

  • @sylvesterlaurent5365
    @sylvesterlaurent5365 4 роки тому

    Nguvu ya mtu mwenye network

  • @mosseschristian1650
    @mosseschristian1650 3 роки тому

    Thanks broh

  • @deboramenard1855
    @deboramenard1855 2 роки тому

    Asant Sana

  • @HADESSPETER
    @HADESSPETER Рік тому

    Asante sana kaka

  • @awamkhalid5571
    @awamkhalid5571 2 роки тому

    Connection power

  • @gregorykavenuke2700
    @gregorykavenuke2700 3 роки тому

    Connection power

  • @papakefa2201
    @papakefa2201 4 роки тому

    Poa mwalim mimi naishi Burundi nawe zaje pata vitabu ?

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 років тому

    Mungu akubariki kaka

  • @ayubunnko4177
    @ayubunnko4177 Рік тому

    Expert power

  • @emagorromo6418
    @emagorromo6418 4 роки тому

    me nahitaj network power bro